Тёмный

Hali ya Kiuchumi kwa Mzee Yusuph Yabadilika Sana Kutokana na Dini. 

TimesFMTZ
Подписаться 541 тыс.
Просмотров 548 тыс.
50% 1

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 243   
@alfanmrutu5409
@alfanmrutu5409 7 лет назад
mashallaah Broo mungu akupe ..subraa n akupe nguv kW Kila atuaa ....allaaah ajaaliaa 2...inaallaaa maswabilinaaaaa...
@michaelbundala2988
@michaelbundala2988 6 лет назад
Ashukuriwe Mungu aliyekuokoa na alishakusamehe,songa mbele brother!
@Big-ns6gj
@Big-ns6gj 7 лет назад
Allah akufanyie wepesi maalim utapata riziki yenye kheri na ww inshaallah!
@karolinwanjiru8831
@karolinwanjiru8831 7 лет назад
Napenda nyimbo zako sana Mzee Yusuf and naamini this change is a calling from God. Mungu akupe strength ya kusimama na kuifanya kazi yake and may you and your family never lack.
@dodomikleni9299
@dodomikleni9299 7 лет назад
mwenyezi Mungu akujaalie kipato cha halali na akuzidishie imani zaidi
@husseinshatir6969
@husseinshatir6969 7 лет назад
barakallahu fik mini pia nilikuwa mwanamźiki na napenda Sana mziki Lakin alhamdulillah nimeacha kwa ajili ya dini yang muziki ni haramu na allah Ndio mpaji allah AKBAR !!
@abdallahhadaika2131
@abdallahhadaika2131 7 лет назад
mashaallah,mungu akuongoze zaidi,usife moyo mungu akujaalie mwisho mwema,umenifunza kitu kikubwa sana.
@abasishabani2576
@abasishabani2576 7 лет назад
shekhe yusufu amshukuru Allah kwa kumbadilisha katika imani take !Hakika mwenyezimungu ni mkubwa sana
@susankidakwa6626
@susankidakwa6626 7 лет назад
maashallah I salute you man
@neemajosephu6187
@neemajosephu6187 7 лет назад
mungu akupe nguvu na kukupatia ridhiki katika maisha yako na kukusamehe makosa yako umenifundisha
@aminahamza6127
@aminahamza6127 7 лет назад
lnshaallah
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
Neema Josephu ameen
@omand1761
@omand1761 7 лет назад
Amin
@zunirasalim7660
@zunirasalim7660 7 лет назад
Neema Josephu amiin
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 7 лет назад
Mungu yuko pamoja na wenye kusubirri Mungu akupe subira inshallah
@hassansalum8496
@hassansalum8496 7 лет назад
yaaan​ wallah ra'adhim brother sema alhamdulillah Allah Kareem omba sana Dua
@khabasmahmoud7125
@khabasmahmoud7125 7 лет назад
wow!!! it's good speech. inshallah mungu akuzidishie apa na ahrah
@zulfasalum6211
@zulfasalum6211 7 лет назад
mashaallah m.mungu akuzidishie
@Chiefdomain
@Chiefdomain 7 лет назад
Allah atamtakabalia touba yake na kumbadilishia maovu yake kuwa mema. Ameen
@ummimohammed1856
@ummimohammed1856 7 лет назад
Allah akuzidishie hidaya kwa vile umejihidi na ushauri wangu usiimbe kasida toka ktk makundi ya fisabililah na ushikamane na madarsa basi
@mohammedsalim6398
@mohammedsalim6398 6 лет назад
hongera Sana umejitambua u hai na ALLAH atakuongoza utazoea maisha mazuri haya
@politeman8011
@politeman8011 6 лет назад
Subhanallah kweli allah humchagua amtakae Mzee yusuph ameingia katika nuru ya allah Amakweli analolitaka allah ndo huwa Yaani kweli hii pepo ni yake mungu na humuingiza amtakae.
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 лет назад
I salute you Mzee Yussuf,ishaallah Allah atakufungulia milango kwengine ili uweze kupata riziki yako ya halali.
@ramlakadesa4417
@ramlakadesa4417 6 лет назад
Masha Allah simama na Allah hakika yy ndo hupeana Rizk
@vanessaaisha663
@vanessaaisha663 7 лет назад
Mungu akupe wepesi baba yang amiin
@aminasaid9431
@aminasaid9431 7 лет назад
ama kweli mwenyezi mungu s.w.t humuongoza atakae,Allah akuzidishie imaan
@imamumponda276
@imamumponda276 7 лет назад
jazaaka llahu khayra hongera kaka pia kuwa na subra kwa msiba mkubwa inna li llahi wa inna ilayhi raajiuun
@saidgawawa5742
@saidgawawa5742 6 лет назад
MashaAllah ...Mungu akupe baraka zaidi na hekma mzee yusuf.Wallahy yataka moyo ulilolifanya kwa ajili ya Allah..najua c rahisi kwa wasanii wengi kuamua hvo ulivoamua kuacha mziki na kufanya ibada.Jazaa yako kwa Allah usivunjike moyo ndugi yangu...dunia mapito.
@saidikikwikwi2772
@saidikikwikwi2772 7 лет назад
mungu akupe subira inshallah mungu umuongoza amtakae utafanikiwa tu mtawakali Allah
@apangumombasa5265
@apangumombasa5265 6 лет назад
Allah akulinde na mtiani dunia (Amin )
@jadidajadida9154
@jadidajadida9154 7 лет назад
Allah atujalie mwisho mwema waislaam wote, atushibishe iman katika vifua vyote
@kwakilikilikwakua3127
@kwakilikilikwakua3127 6 лет назад
Jadida Jadida Inshaallah
@politeman8011
@politeman8011 6 лет назад
Allah atakuhifadhi mzee yusu atakupa afya na rizki booora nzuri na safi yenye barka kuliko ile, aaamin.
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 7 лет назад
mashaallah uckate tamaa kwani palipo dhuruba kali ndipo palipo njia Allah atakuvusha salama na ramadhali hii inshaallah
@mimamkassy6563
@mimamkassy6563 7 лет назад
MashaaLLAH ALLAH azidi kukuhifadhi
@neemajosephu6187
@neemajosephu6187 7 лет назад
mungu akupe nguvu na kukupatia ridhiki katika maisha yako na kukusamehe makosa yako nimekupenda sana na nimejigunza mengi lazima nyote vipotee ili mungu ajuei kweli uko tayar kupanda safar yake ya misuko suko mingi hayo ni .ajalibu utapata zaid ya Mali Dha mwanzo
@jumaramadhani5861
@jumaramadhani5861 7 лет назад
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika maisha yako,
@muuminikakoko8589
@muuminikakoko8589 6 лет назад
Amen inshallah Allah akupe wepesi
@smaihsmaih2815
@smaihsmaih2815 7 лет назад
wa LLAH raha bora uwe n ALLAH pesa zikiondoka kuwa n subira riziki mtoaji n MOLA hata ukiwa nazo utaziacha hphp kaburin amali zako tu
@fatmaalismaili2069
@fatmaalismaili2069 6 лет назад
Mungu akuhifadhi ndugu yangu huwo ni mtihani na inshallah mungu atakufunguliya inshallah Ameen
@marcelkimaty1167
@marcelkimaty1167 7 лет назад
Hongera kwa maamuzi mazito kaka. naamini huo ni mwanzo tu, MASIHI ANA HAJA NA WEWE.
@magrethvicent2104
@magrethvicent2104 7 лет назад
ni maamuz sahihi mzee Yusuph, hongera kwa kumpa Mungu kipaumbele kuliko maisha, umaarufu wako, Mungu alisema utafuten kwanza utakatifu ambao hakuna mtu atakae muona Mungu asipo kuwa nao, yote yanapita, uko sahihi kabisa
@delsbeatstz4732
@delsbeatstz4732 7 лет назад
Siku zote Mwenyezi Mungu ni mwema, hukunyang'anya vya dunia vilivyo haram, na kukupa vilivyo vyake vya halali. Inshaallah
@zamushasha9930
@zamushasha9930 6 лет назад
yote hayo nimajaaribu ya Allah anakuangalia utapac au utashindwa. naami kuwa hayo ni maari na pia naamini kunaneema inakujaa utaneemeka kuliko mwanzo. Mubgu anataka upate va halali ndomana kapoteza vote va zamani amavo hakuvifurahi. kuwa nafubra tu
@rayaalnaamani8823
@rayaalnaamani8823 7 лет назад
aw mzee yusuph pole sana kwa msiba ulio pita mungu amraham ampeleke peponi inshaallah mm nimtu wa omani mzaliwa wa tabora
@rashdshabn5104
@rashdshabn5104 6 лет назад
mashaallah mwenyez mungu akutie nguvu katika maisha mapya uloyaanza
@HabibaKanona
@HabibaKanona 7 лет назад
Allah atupe wepec kwa pamoja haya jaman nawatakia ramadhan karim na makbuli
@zuhrahalima5987
@zuhrahalima5987 7 лет назад
inshallah allah akupe za kheri na halali chochote ambacho hakifurahishi allah huwa na wasiwasi mno good luck kwa mafundisho mwema.
@kudrasudi865
@kudrasudi865 7 лет назад
Allhamdulilah Allah akutie nguvu katika msimamo wako @Mzee_yusufu
@hassanboi5906
@hassanboi5906 7 лет назад
mungu akuzidishie mzee yussu pamoja na waislamu wote duniani
@tamrouliranzi6186
@tamrouliranzi6186 5 лет назад
Allah akuzidishie hekma
@lucasbishop4052
@lucasbishop4052 7 лет назад
Thank you for your message mullah messagea e barcshada whata patey mashey sechooo
@mmondasaid5521
@mmondasaid5521 7 лет назад
Mungu atakujaalia inshaallah
@ashastambuli5157
@ashastambuli5157 6 лет назад
mashaallah umenifrasha sana kaka angu kumludia Mumbai wako
@asinakassim1548
@asinakassim1548 7 лет назад
MaashaAllah yusuph Allah atakupa iliyoriziki yako ya khalali
@faridaiddrashidhi7930
@faridaiddrashidhi7930 7 лет назад
m/mungu anakusudizake kaka angu huwenda ungbk muziki mpk sasa usngekuwa na mwsho mwema nadhni sasa Dada angu kipnzi rayla Rashid atkuwa na amani ktk ndoa yenu allah awazidishie lizki na furaha ktk maisha yenu inshaallah
@elibarickthomas6581
@elibarickthomas6581 6 лет назад
Allah akupe maisha mazuri na aman daima
@fayeezomar8283
@fayeezomar8283 7 лет назад
MASHAALLAH Allah atakuongz INSHAALLAH
@mhinaalmasi5280
@mhinaalmasi5280 7 лет назад
maashaallah mungu atakupa wepesi
@mohamedosman6356
@mohamedosman6356 7 лет назад
Allah akupe ya duniani na akhera.
@zainabbukari1910
@zainabbukari1910 7 лет назад
Mungu atakufanyia wepesy utapata kazi ya halali
@geofreymakoye3124
@geofreymakoye3124 7 лет назад
m
@monammmmm4651
@monammmmm4651 7 лет назад
geofrey makoye nikwelmunguhunfezahatakanyemiminikiwasaudiaharebia
@jumahamlonjwayo6875
@jumahamlonjwayo6875 7 лет назад
Allah akubariki sanaaa SHEKH wangu
@awadhgenstar8583
@awadhgenstar8583 7 лет назад
pore sana mzee yusufu
@jumambarale699
@jumambarale699 7 лет назад
Maashallah hakika mungu ni mwemaa
@hamidaomar935
@hamidaomar935 6 лет назад
Alhamdulillahi Allah asikurudishe ulipo toka Mzee Yusuf
@faizahsaleh9652
@faizahsaleh9652 6 лет назад
Masha allaha baraka. Allaha fii
@princeesssalma9622
@princeesssalma9622 7 лет назад
mashallah mungu mkubwa hakuna zaidi ya Allah
@marwahmohammed6302
@marwahmohammed6302 7 лет назад
Ma shaa Allah TabarakAllah❤....
@muchiameir7416
@muchiameir7416 6 лет назад
Allah kishakufungulia kheri mashaalah... Na ninkhatma njema hiyo kila MTU anaiomba...
@leilamehbub948
@leilamehbub948 4 года назад
Asc mzee Yusuf usijali hii Mali ya dunia utaziwacha Haina maana fikiria Akhera yako usijali na uchumi fikiria kaburi Allah anakupenda Sana amekupa a new page in life Anza zero hamna shida kweli Imani unayo usirudi nyuma
@kingsoboropayani5127
@kingsoboropayani5127 6 лет назад
Mungu akupe subira
@latifahlondo6619
@latifahlondo6619 7 лет назад
mungu akuongoze inshaAllah
@ahmedmwadin6104
@ahmedmwadin6104 7 лет назад
mwenyzii mungu atakufanyia wepesi inshaallh
@ramadhansalum9797
@ramadhansalum9797 7 лет назад
Mungu akupe maisha marefu.
@hidayaalisaid1083
@hidayaalisaid1083 6 лет назад
Allah atakujaalia kila la kheir insha Allah Almuhimu subra hakuna zaidi ya Allah
@abdulpaku5051
@abdulpaku5051 7 лет назад
Maashaallah allah atujaalie mwisho mwema.
@cadabra7402
@cadabra7402 7 лет назад
allah akuongoe usirud nyuma kaka angu, allah tayr amekuonesha hakki
@aminaseleman3627
@aminaseleman3627 7 лет назад
alhamdu lillah hakuna kisichowezekana mbele ya Allah
@bisadibisadi6862
@bisadibisadi6862 7 лет назад
mashallah mungu akuzidishie
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 7 лет назад
Allah awe pamoja na kaka yetu kipenzi
@saumubarua2291
@saumubarua2291 7 лет назад
Seif Abdullah Ameen
@ashaabdinoor8666
@ashaabdinoor8666 7 лет назад
Masha Allah Mola akuzidishie na awaongoze wengine
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Ameen yarab
@ramadhanimiraji2271
@ramadhanimiraji2271 7 лет назад
Allah akusamehe dhambi zako na akupe ridhiki ya halali
@hoomyalkhatti2645
@hoomyalkhatti2645 7 лет назад
Alihamdulilai Munguu Akuzidishiye imani zaidiu
@emmanuelmwananzila776
@emmanuelmwananzila776 7 лет назад
Hoomy Alkhatti a
@ambrozmalembeka1410
@ambrozmalembeka1410 6 лет назад
Mungu hakukosea kukupa kipaji, unachotakiwa ni kukitumia vizuri tu na si vinginevyo
@wemakalam9415
@wemakalam9415 7 лет назад
Am happy for that no matter what mzee yusuf big up
@nahdasaid1640
@nahdasaid1640 7 лет назад
in shaa Allah mungu atakufanyia wepes ktk maisha yako
@zuhuraramadhan1623
@zuhuraramadhan1623 5 лет назад
Inshaallah
@adiltoi6374
@adiltoi6374 6 лет назад
Mashallah Allah' atujalie nasisi pia
@herrymloge2660
@herrymloge2660 7 лет назад
mungu akupe wepes
@stevenhinjo9664
@stevenhinjo9664 6 лет назад
Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli na Yesu kristo uliyemtuma HERI WENYE MOYO SAFI MAANA HAO WATAMWONA MUNGU.
@samanthaali873
@samanthaali873 6 лет назад
Mashaa Allah usijali mungu atakupa Rizki ya halali
@omarymwigula5479
@omarymwigula5479 7 лет назад
Allah akujaalie kila la kheri tunaambiwa tuombe mwisho mwema
@salf8made446
@salf8made446 7 лет назад
Omary Mwigubbjj
@Manu-gi4gn
@Manu-gi4gn 7 лет назад
muuza gongo ana hatia lakini wanawe hawalali njaa wala kukosa karo.Mungu hukataza maaswia kwa sababu ya mashadhra yake ya baadae msiishi karne za zama za ujinga limbukeni
@jafarahmad4408
@jafarahmad4408 6 лет назад
goood umeona mbeleeeeeeeeeee
@kasuhyasudi
@kasuhyasudi 6 лет назад
Mansha Allah !! Allah akusimamie
@lelaallububa5739
@lelaallububa5739 6 лет назад
Mashaalh mung akuongoze
@mohamedkisijin8696
@mohamedkisijin8696 7 лет назад
mashaallah mungu atakusaidia ishaallah
@ezbornmarko4735
@ezbornmarko4735 7 лет назад
.mambo vip
@shauricaptain4619
@shauricaptain4619 6 лет назад
Mohamed Kisijin
@jadidajadida9154
@jadidajadida9154 7 лет назад
Allah atujaze iman katika vifua vyetu
@aminakindete339
@aminakindete339 7 лет назад
mungu yupo pamoja nawewe
@abasishabani2576
@abasishabani2576 7 лет назад
mwenye amjaalie yusufu aweze kuilinda imani yake wala asiteteleke. na maisha !zahoro magera wa msimmba SUNUKA kigoma
@murielleharushamagara6461
@murielleharushamagara6461 7 лет назад
naskiliza 2 n ku watch. sina mengi y kusema
@williammatingo1883
@williammatingo1883 6 лет назад
Murielle Harushamagara nitafute 0655300600
@raziajolie4057
@raziajolie4057 7 лет назад
Allah amekupenda sana
@Rahmamatengo6114
@Rahmamatengo6114 7 лет назад
Hongera sana mungu akufungulie kila la kheri
@allymamlo2868
@allymamlo2868 7 лет назад
Nimefurah sana na mungu yu pamoja nawe utapata ridhik iliyo halali
@hawa-luumiwrty3144
@hawa-luumiwrty3144 5 лет назад
Mashaallah
@saishathassan9262
@saishathassan9262 7 лет назад
ALlah atakupa wepec in sha allah
@tusiipendeduniaduniasikutu4819
Allah akupe nguvu inshaaaa Allah
@husseinmohamed2366
@husseinmohamed2366 7 лет назад
Maasha Allah
@imamumponda276
@imamumponda276 7 лет назад
hongera bro
@leilamehbub948
@leilamehbub948 4 года назад
Miaka mingapi Allah amekupa neema Sasa acha bro Kama ni Anasheed mashAllah sawa saidia dini Awareness to our youths bila bendi na instrument siunajua sio vyema uliza mashehe vizuri Kisha utajua
Далее
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 36 млн
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 8 млн
MZEE YUSUF ARUDI MJINI
20:50
Просмотров 21 тыс.