Тёмный

Mke wa Mzee Yusuf asimulia alivyopambana na Majambazi 4 wenye bunduki na mapanga 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 831 тыс.
0% 0

Mapema wiki hii Mzee Yusuf na mke wake Leyla Rashid walivamiwa na majambazi nyumbani kwao Chanika nje ya kidogo mwa jiji la Dar es salaam. Bi Leyla ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kwenye muziki wa Taarab wamefunguka mwanzo mwisho alivyopambana na majambazi hao.

Развлечения

Опубликовано:

 

9 янв 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 602   
@salmaothman153
@salmaothman153 5 лет назад
Poleni sana yote mitihani ya mwenyezimungu alhamdulilah mko salama muanze kufuga mmbwa sasa pole sana leyla
@abdallasalim6543
@abdallasalim6543 5 лет назад
Poleni mzee yusufu ,Allah atawalipa Yaliyo bora kabisa
@mohamednassormohamed3027
@mohamednassormohamed3027 5 лет назад
Wakwanza kbsa km unamkubali mama layla gonga like apo
@mwanakhatibu3722
@mwanakhatibu3722 5 лет назад
pole Dada Mwenyezi mungu akufanyie wepesi kwakila jambo
@azizasikalwani8432
@azizasikalwani8432 5 лет назад
Poleeni sana familia Mzee Yusuph pia hongera bi Reila kwa ujasiri Allah aliokupa pia pole kwa maumivu ulioyapaya.
@abuuzayd1326
@abuuzayd1326 5 лет назад
Poleni sana kwa mitihan ilio kukuteni mung awape subra na uvumilivu ktk kipind hik kigumu🙏🙏🙏
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 5 лет назад
Amiin
@immaculathangonyani5839
@immaculathangonyani5839 5 лет назад
Abuu zayd s
@abdallahmuhammad4729
@abdallahmuhammad4729 5 лет назад
Poleni sana Sheikh Yusuf na Bi Leila Rashid Allah awahifadhi na kwengine.kwakweli nimefurahi sana kumuona Bibi Leila akiwa na ushungi kichwani.Allah atuongoze ssi wote waislamu na atujaalie Pepo baada yakuondoka ulimwenguni.Nasaha yangu kwako Bi Leila plzz achana na taarab make na bwanako kwa njia yakuridhisha Mungu.Shukran sana
@salmaothman153
@salmaothman153 5 лет назад
Mtu utafute pesa kwa shida halafu uje umizwe kwa pesa zako mwenyewe daah 😢😢😢😢😢😢
@lauranora7013
@lauranora7013 5 лет назад
yaani inashangaza. Hawana hata roho za huruma. Mungu anawaona lakini
@willydessaxxx2059
@willydessaxxx2059 4 года назад
ina sikitisha san polen
@yahyaawadhmodel91
@yahyaawadhmodel91 5 лет назад
Hasbuna Allah... Hasbuna Allah x 70 Every day God Has Answers for everything ...
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
Mackin pole sana inasikitisha sana, Allah akutie nguvu kwa kila hatua na Atakulipieni inshallah 🙏
@derrickmatenga4804
@derrickmatenga4804 5 лет назад
❤😭
@nansikilovele1424
@nansikilovele1424 5 лет назад
pole sana Leyla mungu akusaidie sana unashinda majarib meng sn,we ni mwanamke jasiri,na wewe ndo mwanamke bora WA mfano,kwangu mimi KWA mwaka huu 2019 ,
@siimakagambo7015
@siimakagambo7015 5 лет назад
pole sana
@mahijajumanne3420
@mahijajumanne3420 5 лет назад
pole.sana
@kassimaliyy6113
@kassimaliyy6113 4 года назад
Nansi Kilovele
@sophiajuma790
@sophiajuma790 4 года назад
pore dada angu
@zahbenmohamed1089
@zahbenmohamed1089 5 лет назад
Poleni mitihani, mwenyezimungu atawalinda zaidi inshallah.
@nurukhama9136
@nurukhama9136 5 лет назад
Zahben Mohamed
@bitangacasafi3279
@bitangacasafi3279 5 лет назад
poleni ja mani
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 5 лет назад
Zahben Mohamed usikie Kwa MTU tu ilishanitokea
@hamadeddy8089
@hamadeddy8089 5 лет назад
Pole Sana Dada Leyla Rashid wewe mwana mke shupavu sana pole Sana kwa maumivu bhana
@zenajuma3440
@zenajuma3440 5 лет назад
Ukomii
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 лет назад
Poleni sana nimtihani tuu kwasababu mpo namungu
@Worldunite
@Worldunite 5 лет назад
Poleni saana, na umshukuru sana Allah kwa ujasiri aliyokupa hadi ukaweza kupambana na majambazi 4 kwenye silaha ukiwa peke yako,hakika umshukuru Allah na mtoe sadaqa kwa wingi.tumuombe Allah atulinde sote- amiin
@safiamohamud3035
@safiamohamud3035 5 лет назад
Sorry sister Allah give you shifaa and subra Amiiiiiin yaa Allah inshaAllah 🤲💞💞💞 I feel 😢from 🇺🇸
@zachariamishai7258
@zachariamishai7258 5 лет назад
Nashukur Mko salama tu🙏 Mungu ni mwema
@maryamadam5622
@maryamadam5622 5 лет назад
Poleni na mitihani. Kuvuka hili na Jengine. Mlamali hapa Dada
@sumayejumbe847
@sumayejumbe847 5 лет назад
mungu anawaona watakuwa hawaendi mbingun
@husnabbygal5213
@husnabbygal5213 5 лет назад
mjasiri kwl Lela mungu yupo pamoja nanyi
@zainabumkurutu
@zainabumkurutu 27 дней назад
Pole kipenzi hakika mungu amekulinda
@mamafatuma138
@mamafatuma138 5 лет назад
Poleni sana Allah awanusuru hapo na pengine tena
@zamhajuma9294
@zamhajuma9294 5 лет назад
Pole saana mungu hakupanga
@dorismponda2972
@dorismponda2972 5 лет назад
Pole kipenzi,hongera sn mtangazaji upo vzr na una nidhamu inaonekana....big up mtangazaji kazi nzuri
@shammoha5297
@shammoha5297 5 лет назад
I say poleni. Allah awape shifaa na subra. Allah atawapa zaidi ya mlioibiwa. Ameen yaa Rabbil allamiin
@hamisifire7351
@hamisifire7351 5 лет назад
Sham Moha pole cna dada leyla
@hawafadhili8427
@hawafadhili8427 5 лет назад
Pole dada Umevimba uso jmn pole sanaa
@user-gy8lk8te8d
@user-gy8lk8te8d 5 лет назад
Poleni sana Mungu awlinde zaidi,na mnapo ingia ndani ya nyumba msisahau dua zakujilinda na hatari msihofu Allah atawalinda
@diyaosman8992
@diyaosman8992 5 лет назад
Pole sana dadangu mungu akupe afya Inn shaa ALLAH
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 лет назад
Pole sana sister mungu akupe subra na afya
@fofomohammed6253
@fofomohammed6253 5 лет назад
Mungu amewanusuru hapo napengine inshaaAllah
@mathaally6799
@mathaally6799 5 лет назад
Dah! Poleni sana lakini Bi Leyla ni jasiri Sana
@shamilamaryan4744
@shamilamaryan4744 5 лет назад
Amiin
@SalmaZan-sl8mh
@SalmaZan-sl8mh Месяц назад
Maskin yote yana malipo ayo wey muachie mung tuu dada pole sana
@tifahfauzia9157
@tifahfauzia9157 5 лет назад
pole sana mzee Yusuf na daa Leyla na familia yenu Allah awahifadhi na awanusuru kwahayo na mengineyo pia, hakika hii sio dunia ya juzi na jana yakina babuzetu na bibi zetu hii dunia nihatari sana imeharibika,lakini Allah anaona na kipoalicho waandalia majambazi hao.
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 лет назад
Poleni sana kwa tukio Allah awalinde awanusuru ln Shaa Allah, Pole kwa maumivu Allah akusaidie ln Shaa Allah.
@cuteminah4013
@cuteminah4013 5 лет назад
Mwanamuke jasir sana walh daah mungu mwema 🙏
@saidasaidisaida9230
@saidasaidisaida9230 5 лет назад
Pole sana dadangu mungu hakunusuru na pengine yarabi
@sikandarsuleiman3345
@sikandarsuleiman3345 5 лет назад
Poleni sana , Mzee Yussuf na family awape subra na awajaalie mupate zaidi ya kilichoibiwa
@maryamkawasaki6334
@maryamkawasaki6334 Месяц назад
Poleni sana ndugu ALLAH KAREEM mpo hai Alhamdulillah.
@AishaabdulSaid-jl8jj
@AishaabdulSaid-jl8jj Месяц назад
Pole sana mama leyla kwa mtihani uloupata
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 месяца назад
Dahh pole kwa Familia ya mzee yusuph. Hawo majambaz watajulikan tuu inshaallh
@samwelnyansika1638
@samwelnyansika1638 4 года назад
Pole Sana dada tena hongera kwa kujiahami.tunaomba polisi wafuatilia kuwakamata
@zinaibrahim7004
@zinaibrahim7004 5 лет назад
duuuh pole sana mama yangu kwaa mtihan huu Allah akupe uvumi livu amina
@dadaagnes4483
@dadaagnes4483 5 лет назад
Mzee yusufu kaongea uongo sana tofauti na mkewe halafu mzee muoga sana sasa sijui mkeo wangemuua au kubakwa sijui ungesema nini
@helgaaporinaly2811
@helgaaporinaly2811 5 лет назад
Poleni sana. Mungu akuponye
@aishahayata4831
@aishahayata4831 5 лет назад
madada wa kazi uwa wanatembea na vibaka alafu wanachora ramani kueni makini na wasichana wa kazi
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 лет назад
Halafu dada usingesema km unamjua. Hayo ungeeleza polisi tu, Anaeza kukuvizia huyo!
@princessfairy4146
@princessfairy4146 5 лет назад
Mmmmh kwel lkn
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 5 лет назад
kweli kabisa
@lizb2012
@lizb2012 5 лет назад
Huyo mtangazaji pia asingemuuliza hivyo. Maswali mengine bwana, halafu anauliza tena kuhusu usalama wao wamejipangaje.😵😵😱😰🤔
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 лет назад
@@lizb2012, Sio lazma kujibu kila swali, lkn inaonyesha still wapo kwenye shock! Akili hazijarudi, wanaropokwa tuu
@lydiammmhhachahuendasyoriz4088
polen jamani
@missyabdull142
@missyabdull142 5 лет назад
pole dadangu Allah awaepushe kwa kila baya
@kacheali4777
@kacheali4777 5 лет назад
Pole Mum Leila Mungu ukupigania
@mwanakombomwinyi9265
@mwanakombomwinyi9265 5 лет назад
pole sana malkia wetu Allah akupeni subrah
@hashtagdarling4738
@hashtagdarling4738 5 лет назад
poleni sana kwa mkasa huo.Allah awaadhibu huko waliko majambazi hao.
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 лет назад
poleni sana familia ya mzee..bi .leyla pole na hongera sana..hapo ungezidisha ujasiri ungewabwaga chini wote..sema roho ya mwanamke naijua
@aishasalimaishasalim1323
@aishasalimaishasalim1323 5 лет назад
Poleni sana mungu...lnshaallah atazidi..kuwasimamia
@mwanatumujuma6527
@mwanatumujuma6527 5 лет назад
Pole Mungu awape subra Binadamu jaman kutoa POLE pia inakushinda kaz ni kuangalia nyumba ikoje na kma hajajistiri OVYOOO
@nasraiddy8164
@nasraiddy8164 5 лет назад
Pole sana dada leyla Allah aawalinde na familia yako. ....ooh jamani mim ningejinyea naogopa majambaz mim nakumbuka walivamia mtaan kwetu duka la mpemba walimuaa mpemba wawatu anatoka msikitini na mkewe alikua ametoka kujifungua jamani majambazi hawana huruma wallah kuweni makini wanaweza kurud tena hao .....siwapendi majambaz,vibaka ,wez wachawi jamani nawachukukia .....
@minnahthagut7118
@minnahthagut7118 5 лет назад
Pole sana Allah akufanyie wepesi inshaallah
@tuumaabdinoormursal8132
@tuumaabdinoormursal8132 5 лет назад
Subhana allah polee sanaa wallahi nasikitika kuweli kuskia hivo dhaah poleni saanaa😓
@shamilamaryan4744
@shamilamaryan4744 5 лет назад
Pole sana Leila Allah akufanyie wepesi akuhepushe na mabalaa mengine
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 5 лет назад
Pole sana,hao wanaonekana wanajifundisha ujambazi na hio bastola itakua ya kidosi inalia tyu tyu tyuuu!!! mwisho inatoka moshi . Wanaume wazima baada ya kutafuta kazi mnavamia watu.
@hashimoscar1920
@hashimoscar1920 5 лет назад
Poleni sana..muhimu nyie ma star bongo nyumba vipi haina cameras ama mlindaji..nna uhakika ni mambo madogo kwenu..zingatieni hilo suala mengine tena mambo ya mungu kindly jilindeni..poleni Allah atawanusuru..
@fatumasaid9985
@fatumasaid9985 5 лет назад
Mtihani huu kwa waliopatwa na haya wanaelewa nn anachoongea,Hata sisi nyumbani yalitukuta haya yote Lakini Allah alitunusuru walichukua walichokichukua Alhamdulillah tulinususrika
@alodiajovin336
@alodiajovin336 5 лет назад
Pole sana atawaongezea mengine
@alodiajovin336
@alodiajovin336 5 лет назад
Nimekupenda sana kwa ujasili ulionao polen
@maryamadam5622
@maryamadam5622 5 лет назад
Poleni na mitihani. Hifadhi yake Mmungu katika kudumisha wingi wa Ibada, quraan na Sadaka katika nyumba. Kinga kubwa.
@tatuta6529
@tatuta6529 5 лет назад
Poleni sana mungu atawalinda sana
@humudyhabibi4541
@humudyhabibi4541 5 лет назад
Poleniii sanaa sanaaa Sanaaaa Da leilaaa Mpee pole na kaka yg Mzee Yusuf Pole pole pole sanaaaa Dada
@neemalilley972
@neemalilley972 4 года назад
Dah pole sana mpenzi adui wa mtu ni mtu mungu akuponye
@maryambintally6525
@maryambintally6525 5 лет назад
Pole sana mwenywe mungu akupe shifaa
@bijumakassim3697
@bijumakassim3697 5 лет назад
Poleni sana Allah awanusuru hapo na penginepo inshaallah
@agnessraphael2550
@agnessraphael2550 5 лет назад
Pole sana mwenyezi mungu awaeimamie sana
@EstherClement-wb4jo
@EstherClement-wb4jo Месяц назад
Pole kwamsala jaman mungu awalinde waimbaji wetu
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 5 лет назад
Pole Ila Mumeo muogA kakuachia mwenyewe
@swalhaswaleh.mwinyi7896
@swalhaswaleh.mwinyi7896 5 лет назад
Sikiliza vizuri, yeye keshasema alitoka kutafuta usaidizi, kama angekuwa muoga angetoka nje na huko ndiko waliko tokea, mtundu ni mtoto wao kuona watu na hataki kusema mpaka kakazaniwa ndio kasema, angesema mapema Angolau
@adamkumbi4880
@adamkumbi4880 5 лет назад
Pole sana mamangu
@tatut3889
@tatut3889 5 лет назад
Ww unacheza nakufa 😂😂😂😂
@dadapaul2533
@dadapaul2533 5 лет назад
Dahhh pole sana jaman hadi huruma mungu atakulinda siku zote za maisha yk
@sadasaid4408
@sadasaid4408 5 лет назад
Poleni sana,Allah atawalaani ishallah,hawana huruma hata kidogo laana kum hao,Wampiga binadamu mwenzio kama jiwe au sanamu jamani pole sana Leila kwa yalokukuta,
@samirnaty8774
@samirnaty8774 5 лет назад
Polen sana mungu awaepushe na mitihan
@nunuuali5316
@nunuuali5316 5 лет назад
Poleni sana jaman,Allah azidi kuwalinda
@user-jg5xb4kp6e
@user-jg5xb4kp6e 2 месяца назад
Poleni sana kwa mitihan
@annasitaziagamba4186
@annasitaziagamba4186 Месяц назад
Pole jmn dada Layla mungu kakurinda sana
@faridaally8812
@faridaally8812 4 года назад
A alaykum warahmatuwwah Poleni kwa mtihani uliowakuta..kinachotakiw ni kumshkur Allah kwa kila jmbo na tusiache kumuomba yeye
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 5 лет назад
Poleni Allah atawalinda maana ukionekana wangara tu bac wajulikana unahela
@omarimichael644
@omarimichael644 5 лет назад
Pôle kikumbwa nikumuomba mungu kwa hilo
@perischarles2121
@perischarles2121 5 лет назад
Pole sana mama mungu akuzaidie utaskia nafuu.
@vivaidaramsy7415
@vivaidaramsy7415 5 лет назад
Pole dada Leyla mtihani ila allah atatufanyia wepesi in sha Allah
@papaissabinego5391
@papaissabinego5391 5 лет назад
Pole Maman,Allah azidi kuyilinda famille yako
@sabrinamasoud9970
@sabrinamasoud9970 5 лет назад
Poleni sana dada allh atawashinda hao walimwengu
@maryamathman8917
@maryamathman8917 5 лет назад
Poleni sana mungu awalinde afadhali uweke camera mzee yusuf
@merrymgani3008
@merrymgani3008 5 лет назад
Maryam Athman poleni sana mungu atawalinda
@aishahassan2417
@aishahassan2417 5 лет назад
Maryam Athman poleni sana
@saidaabdallah4320
@saidaabdallah4320 5 лет назад
Polenii sanaa Mungu wetu sotee..
@abdalomari5912
@abdalomari5912 5 лет назад
pole sana mzeee
@beatricepaul5444
@beatricepaul5444 5 лет назад
Poleni sana
@hamidsoud2436
@hamidsoud2436 5 лет назад
pole sana habibt inshallah Mola akulinde na mabalaa yote nimesikitika saana dada
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 5 лет назад
Pole saana . Allah atawahifadhi Inshaallah yaarabi.
@rehemangoiya8054
@rehemangoiya8054 5 лет назад
Pole sana Leyla. Mungu akuponye na akusaidie kuisahau hiyo hali.
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 5 лет назад
Jmn mtu pesa zako zinakuuwa dah, mungu atulinde.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 лет назад
Tutoeni sadaka. Sadaka inazuia maradhi, majanga, wizi, kufilisila na mengi mabaya
@janetikapami246
@janetikapami246 4 года назад
POLENI SANA WAPENZI MUNGU ATAWALIPIA, MAANA MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI, HESABU NI AHELA
@abdallahmzimbiri4776
@abdallahmzimbiri4776 4 года назад
Kwel
@SinsiaZumy
@SinsiaZumy Месяц назад
subhanaa laaha Pole poele
@alimwamasumbo7535
@alimwamasumbo7535 5 лет назад
Poleni sana,,hao jamaa ni wa kupotezwa jela milele
@user-kv1mf5rn5o
@user-kv1mf5rn5o Месяц назад
Pore sana dada kumbwa munguanakupenda san
@gracerosi6179
@gracerosi6179 5 лет назад
Awa binadamu uloumbwa kinyama ayana hofu ya mungu ipo siku izo fimbo zitawageukia wao duu pole sana
@mhandobakari569
@mhandobakari569 5 лет назад
Pole mam wangu Aunt wa rashid wangu
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 лет назад
Pole sanaaa
@shekhamohammed560
@shekhamohammed560 5 лет назад
Pole sana dada yangu
@adijamagwila8426
@adijamagwila8426 5 лет назад
Duh aiseee poleen sana jaman
@fidesbenard3243
@fidesbenard3243 5 лет назад
Jamani pole mwanamke mwenzetu polesana..
@gggjjahhhh9419
@gggjjahhhh9419 5 лет назад
Duuuh Subhanallah mungu atustiri yarabb
@maryamjuma9816
@maryamjuma9816 5 лет назад
Poleen snaa ndugu zetuuu
@maryammarym4437
@maryammarym4437 5 лет назад
Duh polen sana Mola atawalinda
@anifajumajuma2681
@anifajumajuma2681 5 лет назад
Pole Sana mungu awape nguvu
@aminazuma2012
@aminazuma2012 5 лет назад
A very strong woman after all that she still can afford a smile , you are brave mama
@magenkoswe4546
@magenkoswe4546 4 года назад
Pole mamy mungu nimwema
@shukulukondo8287
@shukulukondo8287 5 лет назад
Poleni wapendwa mungu yupamoja nanyi
Далее
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Просмотров 1,3 млн
WANTED FULL MOVE
1:07:36
Просмотров 240 тыс.
NIKUMBATIE  UNITY CREW WAWAKOSHA WATU HOLINI
1:06
Просмотров 10 тыс.
Не плавайте тут!😨🌊
0:26
Просмотров 4,2 млн
🍁 СЭР ДА СЭР
0:11
Просмотров 8 млн