Тёмный
No video :(

Halima Kopwe afunguka alivyojiandaa kuelekea Miss World, "Walinisingizia mtoto, niko 'single'.., 

Mwananchi Digital
Подписаться 998 тыс.
Просмотров 878
50% 1

Mrembo anayeshikilia taji la Miss Tanzania mwaka 2022, Halima Kopwe anatarajia kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Miss World mwezi Mei, ambayo yatafanyika katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu.
Halima ambaye pia alishawahi kuwa Miss Mtwara alitwaa taji hilo mwezi Mei 20, 2022 katika ukumbi wa Mlimani City ambapo aliwabwaga warembo 20 aliopanda nao jukwaani kuchuana na hatimaye kukata tiketi ya kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya dunia.
Akizungumza na Mwananchi, katika mahojiano maalum Halima alisema amejiandaa vyema kuiwakilisha Tanzania, kwa kutangaza utamaduni mwema uliopo nchini.
Alisema kitu cha muhimu katika mashindano hayo ya Miss World huwa wanaangalia mrembo anafanya nini kuisaidia jamii yake.
“Hivyo nikiwa kama mrembo ninao mradi wangu wa ‘Afya ya mama na mtoto’ ambao ninahamasisha watu kuchangia damu ili kuweza kuwasaidia wajawazito wanaopoteza damu nyingi wakati wa kujifungua,”alisema

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1   
@crownprince399
@crownprince399 Год назад
Halima Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Далее
UTACHEKA BALAA LA EBITOKE UGENINI
9:07
Просмотров 2,1 млн