Mashindano ya urembo yamebadilika sikuizi huko ulimwenguni its not about being beautiful tu anymore its about how u can use ur words to inspire others Well done Miss Mamba 🙌
Excuse me, but we need to sign a petition for a contestant 16 to give her a chance to answer that question! Or at least let’s give her easier question, it’s actually sad that she didn’t answered
What is this jamani, they can’t even try, how can you say (ningekosa cha kumwambi maana simjui🙄???? ) sasa unafanyaje hapa???? Shameeee, kama umefanya maamuzi ya kuingia kwenye shindano fulani, google it, chunguza, angalia mashindano yao yaliyopita, uliza waliopita, 🙌🙌🙌🙌
Mbona Iyvonne Paul kajibu vizuri sana kuliko wote group namba 3 na hajatokea hata top 8. Judges wametumia vigezo gani?!!!!! ila Rebecca ametisha sana, mumpe tu maua yake kwa kuongeza views kwa hii interview maana mie kanitoa whatsapp kuja hapa kuitafuta nione na wengine ilikuwaje. Sara inaonekana alikariri majibu sijui nini kilitokea. All in all wasisitizeni wachague lugha ambayo wako confident nayo si aibu kutumia Kiswahili. Aibu ni pale wanaposhindwa kujibu vyema kwa sababu ya kulazimisha Ki-iinglish
What I have learnt in this video is young girls of nowadays are not good listeners ,they don’t understand and sometimes language makes it even worst 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Okay like literally guys c'mon I believe kiswahili ndio Lugha ya taifa la Tanzania why woulld you ask them questions in English?? It doesn't make sense at all alafu wakenya tukiwacheka mtasema mara wakenya this wakenya that... Tanzanians wajameni wajameeeeeeeeni eiyyy😅😅😅
Sio kweli, angesema kutoa uraia pacha na kuelezea faida za uraia pacha 😄angesema wafungwa kulipwa wanapofanya kazi gerezani ili wakitoka wawe na income wasirudie uhalifu, angesema wafungwa kukutana na wenzi wao ili kupunguza vitendo vya ubakaji na mapenzi ya jinsia moja gerezani, angesema hata mabasi ya abiria yatembee usiku kucha, viko vitu vya kawaida ambavyo ni logical tofauti na bangi despite ugumu wa kuvitekeleza
Sio mtego ni moja ya technical question yes kuna bangi coz inatibu magonjwa kama cancer,kuna kuruhus abortion sepecially kwa wanawake waliobakwa,kuna kukeketwa wanasema ina punguza matamanio zaidi ya wanawake yako majibu kibaooo sema wengi vilaza hapo
Please rebecca stanely aulizwe maswali kwa kiswahili. Sasa mkimwambia legal na illegal na hajawahi skia such a word , how did you expect her to answer???? Language Barrier . Please give her free marks or you ask the question again in swahili. Tanzania is not an English speaking nation so please save the girl from such embarrassment. I blame the host.
Hawa warembo wenyew wanaonekana hawapo happy yani WaPo WaPo tu kama vile wameelemewa na msongo Wa mawazo .TANZANIA hakuna raha msichana na mmama utawaona WaPo sawa tu hakuna mwenye Furaha. Mpaka com iondoke madarakani .watu watafunguliwa Ktk gereza la mateso .