Тёмный

HAMISA MOBETO AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE NA AZIZI KI/ AKIRI KUVUNJA KWA PENZI LAKE NA KEV 

ZamaradiTV
Подписаться 251 тыс.
Просмотров 154 тыс.
50% 1

Usisahau ku"SUBSCRIBE" RU-vid channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 156   
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 4 месяца назад
Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤ MISSA looks gorgeous. Allah bless yoy
@IreneSilvan-c9l
@IreneSilvan-c9l 2 месяца назад
Umependeza hamisa cute
@gracehaule8232
@gracehaule8232 4 месяца назад
Sa kama Hamisa Yuko single mi ni nan uwiiiii mniacheee😅😅😅😅
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w 4 месяца назад
😅😅😅😅😅
@awadhally1052
@awadhally1052 4 месяца назад
😂😂😂😂😂
@rehemayona2223
@rehemayona2223 4 месяца назад
Hamisa ni mzur sana Ila hana bahati kwenye mausiano na wanaume
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 4 месяца назад
Laivu
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz 4 месяца назад
Sio Hana bahat tabia nazo huwaponza kila mwanaume akiwa hela wanashobokea ndio maana wanakosa mahusiano sahihi
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 4 месяца назад
Ana laana ya kuharibu mahusiano ya watu
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 4 месяца назад
Uzuri wa hayo machavu yaku ng'aa kama taa au nini 😅😅
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 4 месяца назад
Kama mm😂😊
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 4 месяца назад
Ana bana kisauti kama Wema
@AfricaQueen
@AfricaQueen 4 месяца назад
🤣😂🤣Huyu huyu anapenda kuiga kila kukicha 😂🤣😂🤸🏽‍♂️🤣😂😂maparachutiii🤣😂🤣🥳🥳
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Месяц назад
Kevin alisema ana m chat😂😂😂😂😂 yni taaama ya wadadas in town😂
@AmisiSelemani-qt8qs
@AmisiSelemani-qt8qs 3 месяца назад
Ivi mnajifikilia nini mnapomshirikisha mungu kwenyehuwo umalaya wenu unasubutu kusema eti huwa unamuachia mungu kwenyeswala laumalaya uzizi acheni ujinga wenu
@Ellyeliud
@Ellyeliud 4 месяца назад
waandishi wa habar na waooo aaaha wamezidi jmn
@annertz9969
@annertz9969 4 месяца назад
Kuna ule msemo unaweza ukawa mzuri nausiwe mtamu yani😂😂
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 4 месяца назад
Kweli
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 4 месяца назад
😮mama yako ndiyo siy mtamu❤
@salmasudi8901
@salmasudi8901 4 месяца назад
Mungu akijalie mwanaume sahihi Hamisa wangu nakupenda ❤
@AfricaQueen
@AfricaQueen 4 месяца назад
🤔🤔🤣🤣🤣Huyu dada anapenda haya manguo ya parachute 🤣🤣🤣
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 4 месяца назад
@@salmasudi8901 mwambie atulie atapata sio kugawagawa tu ndio maana anakosa mume wanaume wanamtizama ni mzuri lkn uaminifu hana Maana Mpaka jirani atapita
@happyhaule671
@happyhaule671 3 месяца назад
❤❤❤❤❤ nampenda saba huyu dada
@GwakisaMwaisanga-th7uz
@GwakisaMwaisanga-th7uz 3 месяца назад
Unampenda saba??
@SheikhomariKhamis-bx2ed
@SheikhomariKhamis-bx2ed 4 месяца назад
Daaah usishangae ikawa hawakua wapenzi hao kwanza nimecheka wameachana ? 😂😂😂😂
@RahimJacob
@RahimJacob 3 месяца назад
Sana tu
@johanjoha5262
@johanjoha5262 4 месяца назад
Nasauti ilibadilika 😂😂😂😂😂
@YunisJerald
@YunisJerald 4 месяца назад
Angetoa hilo bawa huko nyuma angependeza zaidi.mbona kama sauti imebadilika.
@eggysulle7988
@eggysulle7988 4 месяца назад
Fashen
@edmomaira3202
@edmomaira3202 4 месяца назад
So kumbe mobeto nikiongozana nae kumbe mtaunganisha. . . .. . .
@enjobw5682
@enjobw5682 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uyu dada apana kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@patrobaerasto2352
@patrobaerasto2352 4 месяца назад
Jaman
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 4 месяца назад
Pretty pretty❤
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 4 месяца назад
Dada zetu hebu punguzeni haya mambo 😢😢 mungu hapend
@mariedelarie873
@mariedelarie873 4 месяца назад
Am nyingi haipendezi
@sarahkamphanga
@sarahkamphanga 4 месяца назад
Napendaga Sana interview za hamisa
@umfahad2609
@umfahad2609 4 месяца назад
Na mimi pia. Huyu dada nampenda saana. Cjui kwanini hana bahati? Anachukiwa na wengi jamani.
@julianamwalongo6047
@julianamwalongo6047 4 месяца назад
@@umfahad2609 wengi hawampendi wana roho za kimaskini, mi binafsi nampenda hatari Huyu single mother, nawashangaa wanaomchukia Kwanza anapambana.
@Tamim-sn2gy
@Tamim-sn2gy 4 месяца назад
Nakupenda hamisa
@rashidmohd6967
@rashidmohd6967 4 месяца назад
Odama 0:00
@MemoryNjole-qk1se
@MemoryNjole-qk1se 3 месяца назад
Et watuache too kama amisa yuko single who aim😂😂😂😂
@wennybarny168
@wennybarny168 4 месяца назад
Alikuwa na weusi wake mzuri sana Sasa hivi ule weusi mzuri haupo !!!!
@DayaniMutalemwa
@DayaniMutalemwa 3 месяца назад
Mzur san sem kwenye mapenz mhmhmh atar
@FatumaNyenje
@FatumaNyenje Месяц назад
Ivi unTarajia Zizki hatakuowal 4:23 😊
@GabrielyShephatia
@GabrielyShephatia 3 месяца назад
Mungu hawez mp mtu vitu vyote jmn..🤭🤭
@ModextaModexta-on7mi
@ModextaModexta-on7mi 26 дней назад
Ha😂😂❤❤❤❤❤
@faimaally7329
@faimaally7329 4 месяца назад
ila sauti umeibana sana ama wataka uongee kama wema sepenga
@AbdillahRamadhan-z2c
@AbdillahRamadhan-z2c Месяц назад
Weee naijuwa io apo hamna mapenz lakin mahusiano yapo kujuw hatujuw lakini kuchora weng tunajuwa
@RAMLATHAJI-ig4pf
@RAMLATHAJI-ig4pf 4 месяца назад
tafuta hela tubadilike sauti
@LuluMalima-j1w
@LuluMalima-j1w 4 месяца назад
Hamisa just stunning ❤❤❤❤❤
@LucyRaia-sx8jk
@LucyRaia-sx8jk 4 месяца назад
Ni Kweli
@MaedaMm
@MaedaMm 4 месяца назад
Kisiriri and nuksi and mikosi😂
@faimaally7329
@faimaally7329 4 месяца назад
hapo umesema ukweli sana
@RamadhaniMajaliwa-om1fv
@RamadhaniMajaliwa-om1fv 3 месяца назад
❤❤
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 4 месяца назад
Maswali mengine ya kitoto ati kitu gani hubebi hata iweje
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 4 месяца назад
Huyu hamisa alikosea wapi jamani? Ni mrembo lakini sauti imegeuka ya wema!!!
@JanePhilip-o6d
@JanePhilip-o6d 2 месяца назад
❤❤❤❤❤
@ModextaModexta-on7mi
@ModextaModexta-on7mi 26 дней назад
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@RobertAnton-o9p
@RobertAnton-o9p 2 месяца назад
Una mapenzi na mwamba wa bukinafaso
@christopherkayagambe7796
@christopherkayagambe7796 4 месяца назад
Wazooo2 hii kauli amazing sana😂
@RobertAnton-o9p
@RobertAnton-o9p 2 месяца назад
Wewe ni demu wa Aziz ki, bhana usidanganye
@ChikuOmmary-ii2xf
@ChikuOmmary-ii2xf 4 месяца назад
Hamisa mzuri sana Lakini bahati ya mapenzi huna we piga kazi piga danga
@mussammanga7791
@mussammanga7791 4 месяца назад
Eti jitu lipo uchi ndio limependeza.
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 4 месяца назад
Uchi unaujua wewe Kaangalie kwa Wamasai
@mussammanga7791
@mussammanga7791 4 месяца назад
@@BrunoNamanga Kiasi usiujuwe kwsbb huna miongozo iyokuelekeza uchi wa mwanamke unaanzia wapi.
@RehemaRashid-xj2fv
@RehemaRashid-xj2fv 4 месяца назад
kafanans na paula
@AliyussufMakame-js5dp
@AliyussufMakame-js5dp 4 месяца назад
Ujana una mwisho andaa ahera yako saivi kwani maisha mavupi
@RahmaHoussein-p4s
@RahmaHoussein-p4s 3 месяца назад
Hii ya kubana sauti hua inampa wakati mgumu sana
@JumaAbdull-xy4cf
@JumaAbdull-xy4cf 4 месяца назад
Haaa
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 4 месяца назад
Aziz key jama niii
@RoseMadatta
@RoseMadatta 2 месяца назад
😂😂😂😂😂Hatali
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 4 месяца назад
KIBOKO YA WASANII WAKIKE MISA NA WASANII WA KIUME NI DAIMOND HAWA WATU HATA WAVAE GUNIA WANAPENDEZAAAA❤❤❤❤❤NAWAPENDAAA.WANADAM YA NGUO HASAAAAA👌
@kherichapa7324
@kherichapa7324 4 месяца назад
Usimdanganye ..mwenzio
@NdayisengaTatu-f2v
@NdayisengaTatu-f2v 4 месяца назад
Ndo ukweli mchungu
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 4 месяца назад
Mhh hapo kwa diamond nimecheka
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 4 месяца назад
Hapo kwa Mond umetupiga na kitu kizito...hivi unamjua Jux wewe!??!!
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 4 месяца назад
@@fatmaallyabdul1732 aah wapi Wa kwaza DAIMOND, dimpoz,dogo janja,jux na ..
@mussaelias3535
@mussaelias3535 4 месяца назад
Usiwajali wabongo
@elisbegaelias163
@elisbegaelias163 4 месяца назад
Hamisa ana rsfiki huyu kasha mdanga kubabake
@JoycePoul-l8y
@JoycePoul-l8y 4 месяца назад
Yaani mnavyomuelezea utadhani mnajua mambo yake ya ndani
@MamaKabula
@MamaKabula 4 месяца назад
😂😂
@mariedelarie873
@mariedelarie873 4 месяца назад
Am,am,am kila mstari
@RehemaRashid-xj2fv
@RehemaRashid-xj2fv 4 месяца назад
haikuhusu
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 4 месяца назад
Hajuapendeza nywele za bandia. Kope bandia. Matako ya bandia mwili wako umejaa vitu vya bandia huna lolote
@umfahad2609
@umfahad2609 4 месяца назад
Kwanini watanzania hatupendani?
@StellahErick-wx5tw
@StellahErick-wx5tw 4 месяца назад
Mh ila mekapu ijampendeza kabisa
@ErickChaula-jr6tm
@ErickChaula-jr6tm 3 месяца назад
Mrembo
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 4 месяца назад
Hayo mashavu nayo umeenda kuyaongeza jmn mbona watish hivyoo 😊 au ni hiyo make up 😂
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 4 месяца назад
Mdomo wake pia hauko sawa umepinda
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 4 месяца назад
@@ziadasalimu1730 mmmhhh 😄😄🙌
@ZulfaAlly-pm4kk
@ZulfaAlly-pm4kk 4 месяца назад
Kiukweli ukiangali mwili wa amisa mobeto aslimia tisin wakutengeneza mpaka amekua wa kawaida sana
@nuhumwikwabe2647
@nuhumwikwabe2647 3 месяца назад
Achawivu na roho mbaya
@RamadhaniMajaliwa-om1fv
@RamadhaniMajaliwa-om1fv 3 месяца назад
❤❤❤❤❤ 3:29
@emanuelkitonga
@emanuelkitonga 4 месяца назад
Waandish nyie wachen kupepelez maish ya watu here mmezid sanaa
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 4 месяца назад
Masikiniii hasara yakua malaya 😂😂😂😂😂😂😂😂sasa aziz.sanaugojwa ataa kwa macho😂😂😂😂😂😂
@BakarAbdalla-zl6qn
@BakarAbdalla-zl6qn 4 месяца назад
😂😂😂😂
@sawackmlinga
@sawackmlinga 4 месяца назад
Umempima acha roho mbaya
@JescaJulius-m5z
@JescaJulius-m5z 2 месяца назад
😅😅😅binadam sisi
@TahilaRamadhan-hz3pd
@TahilaRamadhan-hz3pd 4 месяца назад
Kumbe unakuwa na sauti ilio sawa huwa unajikamuwa tuu
@wennybarny168
@wennybarny168 4 месяца назад
Make up huko usoni ni vipi😢😢😢😢
@adamSindano
@adamSindano 4 месяца назад
Huwajui wazuli
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 4 месяца назад
HAMISA tusaidie kumushawishi MWAMBA asaini mkataba mupya
@Shongonilekerere-br5ps
@Shongonilekerere-br5ps 4 месяца назад
😅😅😅😅😅😅
@JumaAbdull-xy4cf
@JumaAbdull-xy4cf 4 месяца назад
4:18 4:20
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 4 месяца назад
Malaya huyu. We subiri uzee unakuja.
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 4 месяца назад
Huyu shepu inambeba lkn kasura pasono 😂
@SapnahAnkway
@SapnahAnkway 4 месяца назад
Muumbe wako bs
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 4 месяца назад
Weka picha ya Mkeo au Mumeo😊
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 4 месяца назад
@@SapnahAnkway nishaumba Njoo uchague
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 месяца назад
Misa dear,why hutulii na mpenzi, yaani akikunyandua mara moja hatamani kurudi tena, why? au ndio ule usemi unaosema Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti.....
@MwanaAthumani-q2d
@MwanaAthumani-q2d 4 месяца назад
Hhhhhh kulaaa chumaa iyoooo
@AliHaji-w1x
@AliHaji-w1x 4 месяца назад
Wewe wa kufunuliwaa tu na uzuri wako wa nje ila ndani kisima Cha marumbii
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 4 месяца назад
Heee kwann utaje kwao watt wangu kwanii marumbiii jaman aaaaa
@OmanOman-gu1wy
@OmanOman-gu1wy 4 месяца назад
Nyot munao muon hamis malay wakwaz nyie wenyewe malay wakubwa hamumpend kunatu wanajitembez uko mitandaon hamuwasemi
@fbr5113
@fbr5113 4 месяца назад
Wanaume hawakainae muda mrefu labda ana tabia mbaya na ana magonjwa ya zinaa anawaambukiza wanaume wanamkimbia na pia ukiwa hivyo unakuwa unatoa maji yenye harufu mbaya wakati wakujamiana
@InessKoku
@InessKoku 4 месяца назад
Acha uchawi basi auna akili kbs wew
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 4 месяца назад
Hawana fedha za ziada na hawataki shida
@saudashani5981
@saudashani5981 3 месяца назад
Kwenda huko malaya mchafu wewe
@LusekeloMwakyalabwe-ux9xq
@LusekeloMwakyalabwe-ux9xq 4 месяца назад
Malaya wewe
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 4 месяца назад
Umejuaje 😢😢😢😢😢😢
@mzembemakini3532
@mzembemakini3532 4 месяца назад
Nawew pia
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 4 месяца назад
Itakuwa mlafanya umalaya pamoja
@marieuwonkunda8161
@marieuwonkunda8161 4 месяца назад
❤❤❤❤
@JacintaWambui-jt4od
@JacintaWambui-jt4od 4 месяца назад
❤❤❤❤
Далее
AMEAMUA KUMPENDA MUUZA CHAKULA WAKATI KWAO NI MATAJIRI
16:10