Тёмный
ZamaradiTV
ZamaradiTV
ZamaradiTV
Подписаться
News, Entertainment and Lifestyle channel that has varieties of programs including Series, Talk shows and Documentaries.

Informative, Educative and Entertaining.
Комментарии
@asiansky9767
@asiansky9767 18 часов назад
48:25
@user-is9he3pb3b
@user-is9he3pb3b 19 часов назад
Pete.ni.pambo.tuu..kwa.waislamu.ndowa.nikwenye.napsi.ya mtu..kupendana heshima.na kustahamili na kusaidiana
@MariaThomas-wm9iq
@MariaThomas-wm9iq 19 часов назад
Baba mchungaji mwamponsa umeweza🤭
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 19 часов назад
Hivi hii reality huwa wanapewa script au?
@aishakamundi4985
@aishakamundi4985 20 часов назад
That's stupid. When somebody told you I was in prayer and I needed to pray, but you are calling yet😮😢😊
@MainaSlimbaby
@MainaSlimbaby 21 час назад
❤❤❤
@sheikhaabbas8680
@sheikhaabbas8680 21 час назад
Diva unadharauliwa sanaaaaaa, mm subutu mume wangu anikatie simu aone chamtema kuni
@naifathassan2607
@naifathassan2607 День назад
The wave ( Al murooj) Al khair
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 День назад
Msiache kuchukua mikopo msiache kufanya michezo, nyoo shukuru ulipofika hii dunia ina mengi
@JacklineMakule-id8hn
@JacklineMakule-id8hn День назад
Nalia ni izoo sofa zakoo chaafuuuuchaaafuuu mshangaz mzima lkn sofa chafu ndo mana mama mkwe anakupulizia dawa za mbuu
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 День назад
Today is a day but Kuna siku nyingine zaidi ya leo
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 День назад
Labda urudi kwa yuleeee
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 День назад
Tena hicho kifurushi ulichoijounga kitakutesa sana
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 День назад
Diva una shida ya mapenzi
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 День назад
Mungu ni mwema kila wakati atatenda ipo siku utatuonyesha nywele zako
@witnessmlay7415
@witnessmlay7415 День назад
Ila Nandy😏
@Tuu2019
@Tuu2019 День назад
Zuri copy ya baba Mwamposaaa Hongeraaaaa kwa kukufanikiwa kumchunaaa mchungaji
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc День назад
Ni bahati yake tumpe hongera sana yake kaweza
@JacklineMakule-id8hn
@JacklineMakule-id8hn День назад
Sofa zenyew dd hujazi safish mpk zimebadilika rangg mmhh uzungu mwingii ila mchafuui cjui chumbani kukojee
@GraceSwella
@GraceSwella День назад
Congratulations mama zuu❤
@JacklineMakule-id8hn
@JacklineMakule-id8hn День назад
Alaf kumbe ww ndo unatafutaga kiugomv kwa abduli alaf akikuchenjia unaanza kusema ooh abduli nyooo nyooo kumbe wwndo nyooo nyooo unahic unamuweza sana mwanmme pole utachezea matukio mpk mai uite mma shenz type
@user-ji1bc5ti8r
@user-ji1bc5ti8r День назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 salehe anavyopambana kubeba gauni sasaaaaa mi hoiii
@hildajoel5
@hildajoel5 День назад
Spa 1 nyumba ya billion kadhaa🤔 mwenzetu biashara yake ina faida 😂
@JacklineMakule-id8hn
@JacklineMakule-id8hn День назад
Jmn tumemuon zuri aisee pua hazidanganyii,komwe lipo jmn mbeya moja hiyoooo kubali kataaas husingizia wal nn kubali uliteleza tu kitanda hakizai haramu
@Sonia_abass
@Sonia_abass День назад
😂😂😂
@RehemaUwesu
@RehemaUwesu День назад
😂😂😂😂 hapooo kwenye waume zawatu
@julianavicent4845
@julianavicent4845 День назад
Unajisikia sana punguza kujisifu hata uwe mpole happy birthday
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 День назад
HONGERA SANA SANA SANA SANA SANA SANA SANA SANA❤❤❤❤ I LOVE IT and pole sana kwakupoteza wazazi wako😢🎉🎉🎉🎉🎉 enjoy mama
@JacklineMakule-id8hn
@JacklineMakule-id8hn День назад
Kaz ya mwa..... Hiooo sadaq....... 🙈🙈 Hizo taa n hio bei y nyumba huwez sema sadaqa zetu ndo zimetumika apoo
@JacklineMakule-id8hn
@JacklineMakule-id8hn День назад
Mchepuko.wa baba yetuu wa Kiroho🤭
@rwakitatechnology7308
@rwakitatechnology7308 День назад
Mwamba anamtetea Nandy ila kwa ufupi Nandy alimkataa mchzi 😂😂
@munirahassan5013
@munirahassan5013 День назад
Mtoto kazaa na Buldoza
@munirahassan5013
@munirahassan5013 День назад
Zuri Mwamposa
@user-ll7np8td7x
@user-ll7np8td7x День назад
❤❤❤❤❤ongera dada ongera sana mungu azidi kuyalinda .mafanikio yako
@AmanaHussein
@AmanaHussein День назад
Boyfriend 13🙄 mbona nimeshituka mpaka nikakimbilia swala jamaniiiiii diva wewe 🦛
@user-qq2oc4bt3i
@user-qq2oc4bt3i День назад
Diva kuko nguoo Za kiislamu nzuri tunapenda siku moja uwe umevaliaa habaya Na jalabibu ujione utakavyopendeza
@witnessmlay7415
@witnessmlay7415 День назад
Ila Diva😂😂
@EmmyNamoyo
@EmmyNamoyo День назад
Mpiga picha wako salehe kidogo ajirekebishe si mara moja anafanya hivyo kwa mfano pale ulipokuwa unashangaa kuhusu kitanda hatujaona,badala ya kuonyesha kitu au sehemu unayoongelea yeye anaonyesha sehemu nyingine si kwa ubaya ni maoni yangu tu ili kunogesha kipindi kwasababu tunakipenda ❤
@user-wg3it8uu5c
@user-wg3it8uu5c День назад
19:53 19:54 19:55
@naifatshafii2504
@naifatshafii2504 День назад
Mie mshamba kama Saleh kizunguzungu siwezi kuishi nyumba yenye gorofa kama na naanguka ivi siwezi kwa kweli rabda nikatmbee nirudi basi hongera sana super woman
@Neychuchu-tz
@Neychuchu-tz День назад
😂kwanza hizi nyumba wanatumia nin kujemga☹️😂
@Oman-cd3zq
@Oman-cd3zq День назад
Nyie mrejeane mnapendeza sana mkiwa pamoja mntuchangamsha san😅😅
@annajoseph9955
@annajoseph9955 День назад
Ila Diva eti MIM NIMEFANYA SANA MAPENZI🤣🤣🤣🤣🤣bora umesema ukweli
@AmanaHussein
@AmanaHussein День назад
Nimechoka Leo 🥴
@annajoseph9955
@annajoseph9955 День назад
@@AmanaHussein yan duh
@PaulinaRaymond-f6s
@PaulinaRaymond-f6s День назад
Hongera sana mdada!!!Mwanamke na nusu ,hongeraaa sana 28:03
@PaulinaRaymond-f6s
@PaulinaRaymond-f6s День назад
Hongera sana mdada!!!Mwanamke na nusu ,hongeraaa sana
@PaulinaRaymond-f6s
@PaulinaRaymond-f6s День назад
Hongera sana mdada!!!Mwanamke na nusu ,hongeraaa sana
@PaulinaRaymond-f6s
@PaulinaRaymond-f6s День назад
Hongera sana mdada!!!Mwanamke na nusu ,hongeraaa sana
@salhaomar5382
@salhaomar5382 День назад
Hongera mdogo wangu umejitahd san❤❤❤❤
@annajoseph9955
@annajoseph9955 День назад
Nywele milion ngapi vileee😂😂😂😂😂
@annajoseph9955
@annajoseph9955 День назад
Diva huna mtoto bhana kula Bata shoga angu inshi maisha mazuri maisha yenyewe mafupi haya ponda mali baby
@deadcrush
@deadcrush День назад
Lovely…..
@NoraNora-gv7md
@NoraNora-gv7md День назад
Na Imani katika kupambana kwangu nitapana amin