Nimesoma comment nimegundua mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzake,yaani wanawake walivyotoa mapovu humu unagundua tu tumejaa unafiki,roho mbaya,na vijiba vya roho,@Hamisa songa mbele mama,wewe ni mchapa kazi waache hao wasio na kazi siajabu hata kula ya shida waendelee kupiga Domo,go baby go,Mungu akurinde
Kwani kizungu ndo nn wewe acha ufala ata akikosea sio lugha yke kwaio no Sawa tu watz sio wajinga km wakenya , wakenya kiswahili hamjui mnapapatikia kizungu wakat sio lugha yenu acheni utumwa fala wewe
Mbna mwahangaika jaman mm nimesema tu nahuo ndio ukweli kizungu hamjui kubalini tu😂😂😂pia nyinyi mwapea kiti wa🇰🇪🇰🇪ndio maana mwatoka uko mwakamu kutafta mabibi uku nyoooo🤣🤣🤣rusheni mawe pia n comment sijali mm ni mzaliwa wa mitandaoni nimezoea🤭🤭pia niko na jengo hunda mkanisaidia tu sana ikiwezekana leteni kila mtu lorry 2 alaaah
@@saeedmassoud256 lugha ya nyumbani tuifanyeje sisi hio n lugha yakula sima so watu wanangangana na kingereza kumbe nyinyi mwangangana n kiswahili🤮🤮ata mtoi wa miezi 2 yuaongea kiswahili ss sisi wakubwa tubakia apo tukisubiri nn😏😏amkeni😂😂mm sitakutusi lkn hizi n comment tu ukijisikia kesha ama lete matusi Lorry 6
Munaosema hamisa mchawi je munaendaga wote kuwanga au unauwakika gani vijuso nyinyi mkifatilia yake yenu yanaingia chini fateni yenu bas acheni kufatilia yawatu sawa
Ila nyie watangazaji muwe straight you don't put things in the right way, mnaongezea sukari na chumvi aki, amesema tu wote ni wadogo na a nawapenda, anazipenda kazi zao