Тёмный
No video :(

BILL NASS AVUNJA UKIMYA Kuhusu MTOTO wa HAMISA MOBETTO 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 161 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 151   
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 Год назад
Duniani watu wanafanana...mungu fundi bwana ila watanzania wana wivu sana ndio maana wanapenda kuharibu maisha ya watu
@bahathmuro7145
@bahathmuro7145 Год назад
Bilnass he is very bright sana God bless you forever!
@mariamkai2705
@mariamkai2705 Год назад
Umefanya vizur kuweka wazi bilnasi mtoto hamfanan kabsa ni porojo TU,
@MwachirembeMzungu-sb2ug
@MwachirembeMzungu-sb2ug 9 месяцев назад
Jamani kwani mtoto kufanana na mama ni dhambi ama kwani ni lazima afanane na baba tuu jamani tuwe wangwana na mondi jua mungu yupo
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Год назад
Acheni umbea jamani mpumzisheni mtoto wa mwenzenu!
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Yule mtoto ana mababa milioni😂😂😂😂😂ukweli anaujua mwenyew hamisa
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Год назад
Inabidi utuambie wewe unaowajua hao ma Baba
@felicianboss6953
@felicianboss6953 Год назад
Uache umbea na ww ana mababa million umewaona ukiona huna cha cucomment pita kama daladala 🚎hatutaki comments za kumsema mtt wa wa2 alafu ww na kichwa chako kama tenga la viazi °°naolewako usinijb utaingia cha vikongwe°°👩‍🦯
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
​@@felicianboss6953😂😂😂😂😂😂😂 uwiiiiiiiiiii
@rehemaomary3493
@rehemaomary3493 Год назад
Baba yake ni mmoja TU
@umfahad2609
@umfahad2609 Год назад
Hakuna kiumbe chochote chenye zaidi ya mmoja. Hao milioni kivipi??
@emmanuelmorris5083
@emmanuelmorris5083 Год назад
Billinas sio mtoto wake bwana acheni ndoa ya watu iendeleeee wivu wenu tu
@hamisimsosi6237
@hamisimsosi6237 9 месяцев назад
Hili swala la mtoto wa hamisa tunaomba sisi Kama wtz lifike mwisho haraka iwezekanavyo kabla ya mtoto hajaanza kujitambua fanyeni hiyo d n a ya mwisho ya wazi hata ikionyesha mtoto ni wa mondi lakini hamtaki itakuwa ni sawa tuuu kuliko ilivyo Sasa Kama alivyosema mangi kuwa hii d n mpya siyo hiari ya hamisa Wala daimond hili ni agizo la wtz aksante👏👏👏👏👏😫😫😫😫😫😫🙄🙄🙄🙄🙄😭
@doricecyprian7246
@doricecyprian7246 Год назад
Kila mara mtoto wa hamisa aliwakosea wapi jameni si kuna maswali mengi😂😂😂
@Mrboom720
@Mrboom720 9 месяцев назад
Mr Boom was here
@margaretlewis6801
@margaretlewis6801 Год назад
Mtoto wa Hamisa anafanana na Mama yake sana
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 Год назад
Kwahiyo Billnass anafanan na Hamisa 😂😂😂
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Год назад
Anafanana na billnas pia
@nurukwilabya2790
@nurukwilabya2790 Год назад
​@@shanatatrigger6537😂😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
​@@annasolomon9855Sana
@user-ci1ph2rr4v
@user-ci1ph2rr4v Год назад
@@shanatatrigger6537Ana fanana na wewe
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Год назад
Its not the first time billnas anahojiwa wasafi juu ya uyo mtoto... Acheni unafki
@user-jl6yz8jd3m
@user-jl6yz8jd3m 9 месяцев назад
Mtot wa hamisa anafanan sana na bilinas
@violethbosha1666
@violethbosha1666 Год назад
Binadamu tunajua kupambana na habari za watu huyu mtoto wa hamisa ana wahusu yenu mbona hamyasemi tumuongope mungu wapendwa
@KakumaMusicBaze
@KakumaMusicBaze Год назад
Sio mungu ni Mungu
@user-yp5js9ij6q
@user-yp5js9ij6q 9 месяцев назад
Naomba wasanii mnapokuwa live muwe mnavua hizo tintedi
@maryamm7765
@maryamm7765 Год назад
Kama nawaona wambea sura zilivyowashuka pumbavu zenu mbao lazimisha baba ni bilinas
@user-nj9dc5nj1t
@user-nj9dc5nj1t Год назад
Mtoto wangu jaman me napenda watoto
@mwanalimasaid2368
@mwanalimasaid2368 Год назад
😂😂😂
@dianasago9214
@dianasago9214 Год назад
Waaandishi mnapenda umbea mbona hamisa Yuko busy Sana na Mambo yake kazi kuchokonoa Mambo
@naufalmustafa565
@naufalmustafa565 Год назад
makini sana nenga#chukua maua yako
@joyhylton7901
@joyhylton7901 Месяц назад
He is the father of Hamissa son. The boy look just like him. That's not Diamonds child
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d Год назад
Mwanamke ndio anajua baba mtt hata kama watakubal watakana lkn mtt siri ya mama na wangap wanaish kwa ndoa mpk uzeeni mwanamk akiamua kusema ukwel utaskia hawa sio watt wako, au watt wa jiran pia ni wa mume wako yaan tafran hvyo acheni mwanamke mwenywe sk akiamua kutoa siri hiyo atasema ukweli yawezekna hata sio billnas wala daimond hvyo achen tu kama ilivyo amin mtakavyomini ila siri anaijua mama mtoto .
@user-ly7oc2oh4w
@user-ly7oc2oh4w 9 месяцев назад
Mtoto wa birinasi jamni Wana fanana sanaa 😊
@claudiajames2003
@claudiajames2003 9 месяцев назад
Unalazimisha?
@ishararosette2306
@ishararosette2306 9 месяцев назад
Unaroho wa kishetani ndani yako kwahiyo omba sana, utakazimisha kwa nini
@AshuraKipalala-qx1cg
@AshuraKipalala-qx1cg Год назад
Sasa kwa nini billnass ulikaa kimya cku zote hamisa akitukanwa na mtto malaika wa MUNGU yule ilitakiwa ujitokeze zamani kupinga hii habar kanyanyasika sana hamisa wwtu kwa mitusi jmn
@umfahad2609
@umfahad2609 Год назад
Umeona eeeeh..?? Ht mimi nashangaa. Kaacha mtt adhalilike maskini. Yeye amekaa kimya.
@adilaadila1128
@adilaadila1128 Год назад
Amuogopa Nandy
@happinesswilliam2948
@happinesswilliam2948 9 месяцев назад
Ukiwa matured uwezi ongea upuuzi sasa aonge nini ajawahi kuwa na hamisa kimahusiano na yeye acheni kuongea vitu kama kakosea anawaona amjielewi anawaachatu
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 Год назад
watu wana wivu sana na familia nzuri. ili mradi tu watu waharibu family
@hamisaramadhan4628
@hamisaramadhan4628 Год назад
Vp kuhusu JAGWA?watanzania mnapenda sana kufuatilia mambo yatu,nguvu hiyo kubwa mayor itumia katika kuchunguza ya watu mnekuwa mnaitumia kufanya kazi basi watania wengi leo hii wangepiga hatua katika maendeleo,fanyeni kazi,majungu sio mtaji.
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 Год назад
Ukweli wa mtoto anaijuwa Hamisa maana yeye ndio alilala nao. Na kwanini amuanike mtoto hadharani , kaa Hamisa hembu acha milele mwanao
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Год назад
Apo '' ILITOKEA ' tumekuelewa tuliosoma #cuba😂😂😂
@mwajabuamiri508
@mwajabuamiri508 Год назад
Nmecheka kifalasi hii comment#tuliosomea Cuba tumeelewa
@AmmyKurunge
@AmmyKurunge Год назад
Watasema mchana ucku watalala kwahyo wanaokuambia mtoto ni wako ili ufanyaje waambie watoto wako na Mandy ndio halal au Kama wanaona ni mwanao alaf hutoi huduma waambie wakusaidie kutoa huduma maana mtoto wa ndoa anakuumiza kichwa namna gan stapata huduma zake heb wasikuchanganye akil hao wametumwa baada ya kuona kila siku mnapata furaha ya ndoa
@kennohg6152
@kennohg6152 Год назад
Mamake ndio anajua
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Год назад
Katk vitu ambavyo misa anafeli ni kumtembeza mtt mitandaoni kama mbga za majani wakati ana uwezo wa kumpa malezi bora na asipungukiwe na chochote
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
uyu dada analiwa na boss
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
Kwa hyu boss hakun cha ajabu
@hamidangitu227
@hamidangitu227 Год назад
Acha uongo wewe mtoto ni wako😅😅😅😅😅😅
@peteromary8764
@peteromary8764 Год назад
@@saidasaid1154 hata we huenda kuna mtu unafanana nae bado hujajua tu watu hufanana na si kila unaefanana nae ni ndug yako la hasha!
@rehemaomary3493
@rehemaomary3493 Год назад
Mbona DNA ilionyesha mtoto wa Nasibu
@mwajabuamiri508
@mwajabuamiri508 Год назад
Ila dhambiii jamani 🙄🙄🙄
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Ila yule mtoto anafananishwa na watu wengi
@tikisaelikivuyo4030
@tikisaelikivuyo4030 Год назад
Kananae sana nainamuuma roo
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Год назад
Kwa hiyo mama KICHECHE
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
@@ismailmasoud6001 mmmh wala sijamaanisha hvy
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
@@tikisaelikivuyo4030 umebananisha sana
@budhbd5208
@budhbd5208 Год назад
Sana mara yule wa kenya jaguar sijui watu wabaya sana
@user-vg8ok3vc9n
@user-vg8ok3vc9n 9 месяцев назад
Tutakuja jua iyo mambo baadae ukooooooooooool
@leilamsafiri8320
@leilamsafiri8320 9 месяцев назад
Huyo dada Hamisi hajielewi kabisa.mpaka kufikia hapo ni kua Hamisa zumbukuku.angejiheshimu na kuwacha tamaa ya mali yasinge mfika haya.
@dandydeprince
@dandydeprince Год назад
Dunia ingekuwa kitabu n vyema tungejua wema
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 Год назад
Acheni kuongelea mtoto wa watu, hiyo roho mbaya tu kutwa hiyo radio yenu kumchimba chimba mtoto wa watu
@omarypetro3207
@omarypetro3207 9 месяцев назад
😂😂 Simba kaza bhana mbona hao wengine hauna mashaka nao mzee ✊✊ ila hawa wanao kulazimisha ukubali huenda na hawa wanakitu wanakijua nyuma ya pazia na hapa WANAWAKE lazima wajifunze kuachia papa bila formula madhara yake ndo kama haya - kama SIMBA kawaka DUA tu kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
@user-xs7bw2im8h
@user-xs7bw2im8h 9 месяцев назад
Nae awe na msimamo usivuruge ndoa ya watu unagawa gawa mtt
@singidaone5628
@singidaone5628 Год назад
Ukiacha ushabiki huyo mtoto ni bernas bhana hapo kuna siri tu ili mondy aunguze pesa baade itafahamika tu
@user-ci1ph2rr4v
@user-ci1ph2rr4v Год назад
Uliwashikia mguu acha kuongea usio yajua
@singidaone5628
@singidaone5628 Год назад
@@user-ci1ph2rr4v tuambie ww ulie washikia mguu
@agripinabukhala649
@agripinabukhala649 9 месяцев назад
Kazi gani kulala na qdune wengiii...achana nate ahangaike huyu mobeto oli iwe funzoo ya usgerati😮
@user-de1df1kw4l
@user-de1df1kw4l Год назад
Ila jaman kwahiyi wote hapo mnamhoj mtu mmoja aa!jaman
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 10 месяцев назад
Nyie nani mnaosema mtoto wa Fulani au sie wa wafulani. Kwanini hamumuachi mwenyewe mama aliyetinginywa mpaka akapata ujauzito anamjua vyema baba wa mtoto. Nyie yameqahusu nini? Mnayenu yamepinda hayanyooki hamyawezi mmeshika Bilnasi Hamisa Mondi kwanini hebu kama hana la kufanya kakojoeni mkalale.
@boniphace6405
@boniphace6405 Год назад
MBNA paji lauso unafanana nae Yule chalii 🤸🤸🤸🤸
@Catherine-u6g
@Catherine-u6g Год назад
Kafanana na mama yke
@user-rg1qh6hq9z
@user-rg1qh6hq9z Год назад
Ni kweli hila aya wahusu
@AmmyKurunge
@AmmyKurunge Год назад
Ety mtoto wake Kwan ulishiriki kwenye tendo ukaona mimba ikitungwa yaan badala nteseke na watoto wenu mjue wanakula nn wanavaa nnn mnabak kuhangaikia maisha ya watoto wa watu nyau nyie
@shyllahnekesa216
@shyllahnekesa216 Год назад
Awe wake asiwe inawaongezea vitamin Gani mchieww
@zindunasaid5779
@zindunasaid5779 Год назад
Wanamjengea picha mbaya mtt na maneno yao ya ushubwada, mnatrajia huyu mtt atakuwa wa namna gani?
@yusufdola7645
@yusufdola7645 Год назад
Wapige DNA 2 waondoe utata...
@pendomedard9246
@pendomedard9246 Год назад
Jamani mpaka uongee unagusa puani
@muhsiniamiri9310
@muhsiniamiri9310 9 месяцев назад
Sema tupo ipo cku mtot wa hamisa atakuja kuw kam diamond nahao wengne unawez kuta hawatomsaidia
@user-pd8cm4sz7m
@user-pd8cm4sz7m 9 месяцев назад
Haraf huyo mtoto kafanana na mama yake ukiangalia vizur
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 Год назад
Billnass muongo bhana hamisa Mbona alisema alishawahi kuwa kudate na wewe kabla kupata mimba ya uyo mtoto levo unakataaa duh!!!!
@mackysuphian
@mackysuphian Год назад
Mmmh hajasema hivyo alisema kwamba alikua na ukaribu kipindi ambacho ameshamzaa dylan jmn khaaa
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 Год назад
@@mackysuphian Ohooooooo okay xaw basiiii me niliskia vibaya
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 Год назад
Tuliosoma Cuba tushaelewa muda xana
@umfahad2609
@umfahad2609 Год назад
​@@mackysuphianumeona eeeeh.. Kwenye ukweli wanajifanya hawackii vizuri.
@clarawilliam9959
@clarawilliam9959 Год назад
Kuna mtu namsikia tu oyaaaa😅
@loiselyse4764
@loiselyse4764 Год назад
DNA ifanywe kwa huyo mtoto na BILL NASS na pia ule EX wa Hamisa wa Kenya anayeitwa " JAGUAR! Mtoto si wa Nasibu hata !
@wanjinjorosjunior1621
@wanjinjorosjunior1621 9 месяцев назад
Mwafanana kubali yaishe, mkelea dp😂
@goodteam7890
@goodteam7890 Год назад
Hiyo ndio hasara ya kudanga Misa angekua na Bwana wa kueleweka asingepata kashfa hizo mpaka sasa kitoto kina miaka sijui 6 lakini kameshapachikwa wababa milioni🤔🤔
@peteromary8764
@peteromary8764 Год назад
Ye anamjua baba wa motto wanaompachika hawamjui baba yake wanahangaika kujua ni nan wanashindwa wanaishia kufananisha tu motto mwenye anamjua baba yake na kwasbb hayatuhusu wanatuangalia tu tunavyohangaika wao hawana habr
@ZuuMainya-by9cx
@ZuuMainya-by9cx Год назад
Hamisa nae anapigwa miti Sana Kila msanii kamla
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 10 месяцев назад
Yake mwenyewe na wewe unayako kaipigishe kama huna bahati basi subiri iliwe na mchwa ooze. Anapogwa miti sana kwasababu inalipa yako inapapa maji. Wacha kuwakashifu wenzio bwana wewe unayako.
@mwanjumajongette8187
@mwanjumajongette8187 Год назад
Nikweli ni babayake mtoto wa amissa
@faridampota-jh9rx
@faridampota-jh9rx Год назад
Jangwa amefanana nae
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Год назад
Bilnasi anaficha
@RandB_Channel
@RandB_Channel Год назад
Mm naona yule mtoto kabisa kabisa kafanana sana Nenga. Anyway baba atajulikana tu
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Год назад
Vaa miwani
@RandB_Channel
@RandB_Channel Год назад
@@madawamchuwa8253 😃😃😃😃 aseme tu watamusamehe
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Год назад
Hapa mbele yauso kafanana nae
@RandB_Channel
@RandB_Channel Год назад
@@salmaalimusa6809 thank u . Wawo njo hawaoni subiri siku watasemaka kweli sijuwi hawo watapficha sura wapi😃😃😃
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 Год назад
Baba ake ni mama ake...
@jacklinewilliam3547
@jacklinewilliam3547 Год назад
Sema duu wanafnana
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 9 месяцев назад
We kitombi
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 Год назад
Waandishi wa mchongo mfyuu, mbona wakwenu hatuwaoni mkiwaleta na kuhojiana kuwahusu.
@aibulamilanzi1466
@aibulamilanzi1466 Год назад
Nenga wa mwamba
@piuskanyampala4540
@piuskanyampala4540 Год назад
Hatà watoto sio jambo baya
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th Год назад
unaapa mpka mwisho kisa tu unamuogopa simba
@Alphertv
@Alphertv Год назад
siri hii apa kuhusu mtoto wa hamisaru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-wMQV7d-Y2EU.html
@user-nh3bf1zs3l
@user-nh3bf1zs3l Год назад
😮
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw Год назад
Wakapime vidam
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy Год назад
Mi nacho shangaa kwa nn mama wa mtt hataki kupima DNA, si anajua baba wa mtoto, anaonekana anadanganya hivi hivi anamuogopa nandi, ila mtoto siyo wa diamond, mond mweusi, mama mweusi mtt weupe wa nani
@iktharsalum7440
@iktharsalum7440 Год назад
Kwaiyo nyote mmefanana na babaa enu na pia iyo DNA si washafanya
@shanmlawa
@shanmlawa Год назад
Ww jaman jarbu kufatilia interview za hamisa yupo tayar mtot afanyiwe DNA Yule mama et anaumia
@nasrafarjallah6691
@nasrafarjallah6691 Год назад
Alifanya DNA mara mbil,unakuw mbea af taarifa kamil huna
@nasrafarjallah6691
@nasrafarjallah6691 Год назад
We hamisa ni mweusi????au haujui huyo hamissa n nan
@malichanda3146
@malichanda3146 Год назад
😂😂😂,😂😂😂Ila wewe
@annajohn2488
@annajohn2488 Год назад
WASAFI na boss wao NI wajinga ndo kaomba muongelee hilo
@mohammedihamisi3493
@mohammedihamisi3493 Год назад
mtego huo😂
@nokeytz
@nokeytz Год назад
Nyimbo.pendwa ya simba ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Y2qfd5nSe2g.html
@patisondidas6720
@patisondidas6720 Год назад
Wambea hawawez Amn bilinenga 😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
😂😂😂
@umfahad2609
@umfahad2609 Год назад
Ht wacpo amini, hawana umuhimu wowote. Hamsaidii chochote mtt. Zaidi ya kumsema vibaya mtt wa watu.
@typohneprofiel515
@typohneprofiel515 Год назад
Bilnass ni muongo. Hadi Nafsi yamsuta. Kwa Interview nyinginre ulisema mlikua na mausiano. Acha kumsingizia Dee mtoto. Wamuogopa Nandy?
@peteromary8764
@peteromary8764 Год назад
Nandy MUNGU??? Hakosei??mpaka aogopwe ???
@sherylachieng4660
@sherylachieng4660 8 месяцев назад
Wafala nyinyi kazi tu ni dylan jameni how can you feel as a woman if your child becomes a social media talk
@fitinakisamuhagakisamuhaga693
Hata nyie mnaoshadadia mnaweza kuta baba zenu mlipewa tuu ila mkienda pima vinasaba mtarudi namisiba mizito
Далее
Classic Italian Pasta Dog
00:20
Просмотров 2,1 млн
Мелл хочешь сына от Дилары
00:50
Classic Italian Pasta Dog
00:20
Просмотров 2,1 млн