Тёмный

HAPANA KUMVUA YESU NGUO ASISITIZA MWALIMU JOSEPH MGONJA ASSENGA 

Bishop Anthony Assenga
Подписаться 830
Просмотров 325
50% 1

Mwinjilisti na Mwalimu Joseph Mgonja aamua kuweka wazi hali ya kiimani inayoendelea kwa sasa kwa baadhi ya watu kukataa Yesu ni Mungu. Asisitiza watu wasipotoshwe Yesu ni Mungu haijabadilika na haitabadilika.
E.A.G.T Mji wa makimbilio Ruaha Kilombero.
Follow Bishop Anthony Assenga on;
Instagram: / bishopantho. .
Facebook: / bishopanthon. .
Whatsapp & Telegram; +255 784 407 362
Offerings (sadaka); +255 784 407 362
NMB Account No; 21702502411
Imani chanzo chake ni kusikia Neno la Mungu.

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@rosekanyika8421
@rosekanyika8421 27 дней назад
Mungu atuzaidie
@JoyceMkojera
@JoyceMkojera Месяц назад
Mungu wa mbinguni azidi kuwainua utukufu hadi utukufu tumebarikiwa sana
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 Месяц назад
@@JoyceMkojera Amina sana mwanang
@EnockMwakajila
@EnockMwakajila Месяц назад
Mungu wa mbinguni azidi aendelee kuwapa mafunuo makubwa watu wajue kweli ya Mungu na Kuokoka mji wa makimbilio ni moto
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 Месяц назад
barikiwa sana
Далее
Short Story (3): The RICH and the POOR
51:20
Просмотров 8 тыс.