Тёмный

Mzee wa upako hana raha kama Ruto. Mwalimu Joseph Mgonja Ageuka GenZ. Mzee wa final Touch asikiliza. 

Bishop Anthony Assenga
Подписаться 829
Просмотров 1,8 тыс.
50% 1

Mwinjilisti na Mwalimu Joseph Mgonja aamua kuweka wazi hali ya kiimani inayoendelea kwa sasa kwa baadhi ya watu kukataa Yesu ni Mungu. Asisitiza watu wasipotoshwe Yesu ni Mungu haijabadilika na haitabadilika.
E.A.G.T Mji wa makimbilio Ruaha Kilombero.
Follow Bishop Anthony Assenga on;
Instagram: / bishopantho. .
Facebook: / bishopanthon. .
Whatsapp & Telegram; +255 784 407 362
Offerings (sadaka); +255 784 407 362
NMB Account No; 21702502411
Imani chanzo chake ni kusikia Neno la Mungu.

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@user-up1sc3kw8r
@user-up1sc3kw8r Месяц назад
Aamen kubwa
@frankkasote
@frankkasote Месяц назад
Safi sana
@elizabethmusyoka453
@elizabethmusyoka453 Месяц назад
Amen baba ubarikiwe kwa Elimu hii
@DeoLuengeka
@DeoLuengeka Месяц назад
Ujumbe umefika huu ndo ukweli!
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 Месяц назад
@@DeoLuengeka Amina mwanang
@Cianadvd1
@Cianadvd1 Месяц назад
Amen
@ElishaUdamwa-he3dh
@ElishaUdamwa-he3dh Месяц назад
Amen MUNGU azidi kutupa maarifa na ufahamu zaidi 🙏🙏🙏🙏
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 Месяц назад
🙏🙏
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 Месяц назад
Amina
@ashrafnuru6402
@ashrafnuru6402 Месяц назад
Utakauka koo bure lakin ukweli utabaki kuwa ukweli,Yesu siyo mungu na uzur mzee wa upako anachokiongea anadhibitisha kwa maandiko
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we Месяц назад
Hana elimu
@aggreyprince3983
@aggreyprince3983 Месяц назад
YESU ni MUNGU kasome Isaya9:6 Mathayo 1:18-24 Tito 2:13 Yohana Mt 1:1-4(14) Wakolosai1:15-23 1Timotheo3:16 Ufunuo22:12-16 Yeremia23:25-29 1Yohana4:1-3 Wafilipi2:6-11.
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 Месяц назад
Barikiwa sana mtu wa Mungu atakaye shindwa kuelewa hapo tena huyo ni sikio la kufa​@@aggreyprince3983
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 Месяц назад
​@@GeofreyKalo-ot3wekabisaa
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 Месяц назад
MUHUBIRI HUYU NI WA KIMATAIFA ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-7yuq6ClEFXA.html
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Месяц назад
Yani wakristo niwajinga sana kwani Hawa wachungaji hawezi juhubili mpaka makelele sasa hapa anafundusha au anapigia watu kelele ?? Harafu hayo maneno anayosema yesu kawafia msarabani kwaajili ya zambi zao ameyatoa wapi au katika kitabugani au nimaneno to ya kibangibangi 😂😂😂😂😂
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 Месяц назад
Ongeza juhudi elimu haina mwisho usikubali kubaki na dini uliyorithishwa fanya utafiti maana Mungu Hana dini.
Далее
SAFARI YA MTUME PAUL
28:28
Просмотров 9 тыс.
NGUVU YA KIBALI  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:35
Просмотров 18 тыс.
MAGONJWA YA KUTENGENEZA part 1 - Bishop Gwajima
21:04
Просмотров 186 тыс.