Daah.! Mi naumia kuona muziki mzuri tumeuacha nyuma. Yani beat, mashahiri na mpangilio wa sauti vyote fresh. Mika Mwamba amefanya makubwa kwenye muziki wetu wa Bongo utafikiri sio mzungu yule jamaa. Najua kuna watu wengi hamjui kuwa Mika Mwamba ni Mzungu na ni raia wa Finland. Kama unajua gonga like yako
Sio wepekeako unaeumia, mepia. Alafu sasa hawawasanii wamewatelekeza gizani. Wengne hawajiwezi kimaisha ukiwaona baadhi yao wamechoka wamechakaa. Jaman me nilkua natoa ushauri kwenye baraza ra muzic basata pamoja na wazili wamichezo. Iwaangalie hawa wazanik wakongwe. Maana wanamchango mkubwa sana kwenye hiii nchi. Nawaomba sanasana muwajali wasannii wetu kwakuwa ni kioo vhajamiii
Hii nyimbo daaaah Hardmad....namkumbuka sana marehem baba yangu....R I P....nilikuwa nikiskiliza hii song kutoka mikocheni B hadi mwenge kwa mguu nenda rudi...LIFE ilikuwa tight sanaa...huwa nikiskia machozi hunilenga lenga......basi tena.!!!
Legendary music..😢 Inanikumbusha udogoni nipo na mzee tumetoka shamba tupo na baiskel ya phonex.kanipakiza kwenye bomba radio yetu kwenye staring kigiza kinaingia anachochea kupandisha nyumbani inapiwa ngoma hii ooh old is gold..
Popote pale walipo hawa jamaa heshima kwao ktk bongo flavor itadumu dahali, huu wimbo hata nikiwa na hasira, stress n. k huwa nikiusikiliza tu napata relief, my #1 song kwny count down za miaka yote
Daaaah huu wimbo tangia zamani naupenda mpaka sasa bado ninao kwenye sim yangu wakati unatoka nwaka 2004 mm ninamiaka nane ndani ya Zanzibar mpaka sasa 2018 Nina miaka 22 bado ninao naupenda sana na mda wote nausikiliza ndani ya sim yangu daaaah aiseeeeee
Hii ngoma ilikuwa inapigwa sana radio free kipindi Iko tuko kjjn ..mtangazaji aliitwa Fredrick Bundala😂😂usiku tunaota moto na redio yetu risingi "life"
leo tar 25/8/2024 nmekuja kuusikiliza mziki huu kutokana na mwanadada Fatma mnonji kuwa kwenye kipindi cha #back intertain kwenye station inayo itwa BONGO FM zamani TBC FM.before sikujua unaitwaje but nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa primary darasa la tatu mzee anawasha redio free africa saa kumi na mbili asbh kwenye radio ya mbao mziki huu unapigwa dah sasa ni mwalimu naupiga kwenye smart phone nimeconnect kwenye Bluetooth na bado tamala ipo ila mziki wa zamani nyie hadi tumachozi kwa mbali ukikumbuka maisha ya nyuma😢
Mikaa mwambaa he deserves a legend medal of the best producer of all the time his beats still lives up to right now 2020 and still am having feelings and the vibes with these songs that has been produced by him #MIKAMWAMBATHELEGEND
HII NYIMBO INA historia kubwa sana katika maisha yangu siwezi sahau 2004 mpaka leo naipenda, big up hard mad na mika mwamba, mchango wenu ni mkubwa kwenye gemu ya muziki wa bongo .
Huu wimbo ulinitesa sana...niliupenda sana ila nilikua sijui kaimba nani.. Then juzjuz hapa ndo najua mika mwamba ni mzungu baada ya kufanya mahojiano na millard ayo...kweli maisha yamebadilika.
Nikisikiliza hii ngoma nakumbuka nikiwa Darasa la saba Shule ya msingi makuburi 2004 tulikuwa tunaenda dhihara bagamoyo kwenye gari tuliyopanda hii ngoma ilikuwa inarudiwa mpaka raha
August 2018 nasikiliza hii ngoma...bit kali toka kwa Mika Mwamba...Hardmad shikamoo..sauti kali ya dada wa Hardmad daaah natamani nyakati zirudi nyuma😥😥😫😫😪
Ambroce Malya umenikumbusha mbali sana, umbwe primary nilisoma miaka ya 91-92 std 4-5. Huu wimbo umetoka nikiwa udsm, nakumbuka sana mabibo hostel .. good old days!
i'VE BEEN LOOKING FOR THIS SHIT FOR YEARS TILL I CAME ACROSS BWANA MISOSI NITOKE VIPI, THATS WHEN I CLOCKED MY MAN HARDMAD. COULD'T HELP FEELING NOSTALGIA
Mika mwamba rudi +Tanzania bhana tumemis ladha ya bongo fleva za zamani mika mwamba vionyo vya mika mwamba nyimbo za sasa hiv havipo havisikiki walikutoa tz kwa majungu tu kk waliona unawafunika ila kaz zako bado zipo na hazichuji heshima kwako mika mwamba ngoma za cku hiz mwez tu zishachuja
Hahaha.... Kiukwli leo namamlizia 2019 kwa wimbo huu kwafraha zote kwani kwa wakati huo 2004 ulinitoa chozi😅ilah leo shavu 😘😘😘saluti mkali popote ulipo kuimba unajua.
Nakmbuka 2004 naenda zangu kampala Scandinavia primary enz izoo nilikaa siti moja na blaza mmoja jina Edwin alikua na zile walkman za cd akanipa headphones nkaiskia hii ngoma kwa mara ya kwanzaa haijawai kukauka akilin kwangu leo ni 2021 heshima kwa kila alieshirik kwenye hii ngoma