Maisha yana siri kubwa sana. Imagine sumalee alitrend akiwa hana ata you tube account, I wish ata angekuwa nayo nisubscribe just to show how much i appreciate what he did back then, he did it and leave😭😭 so sad for real, I can see izi motion zake kwenye video, dah naona kama vile sumalee mziki ulikua unamhitaji sana, anyway Mungu amlinde uko aliko🥺🤛. 2024🎉🎉.
Diamond just released Enjoy, I came back here to compare nione if hakunanga will lose it’s position as my all time favorite song, but no, the year is 2023 and this song still remains my number one
Best song ever recorded in Tanzania Mind you, Mb dogi is my favorite tz artist Lakini hii ngoma apa man, hakutawai kua na kubwa shinda hii. My opinion though 😊 The end part is kila kitu
hakunaga ni nyimbo nayoikubal sana tangu 2012 mpaka saivi 2022 ila nikitafuta boomplay nakosa ila kweny computer yang napata kwann sasa sometime nahitaji kusikiliza kwenye cm ndio ivo inashindikana na katika hii nyimbo namkumbuka sana rafiki yangu wa primary adam na hussein
Dem Days, reminds me of My classmate, homemate, namemate when we completed Our form 4 Year 2013, unfortunately, Hesbon passed away, May his soul rest in peace.