Namkubali sana Ally Kiba Coz Ni Msanii ambaye havai maereni Wala kusuka na pia mavazi yake Dah! Broo Appreciate for that, Mungu akuongoze katika kazi zako...!! Aamin
Kiba ni msanii pekee a aye shobokewa na wenzake tz, kuanziya diamond, harmonize, rayvanny, shilole,... Wote wanamweshimu, not because he is the best but because he has a good character, one of a king.
Wow!🎉heko Kwa KingKIBA I really like the part where KONDEBOY came and hugged KingKIBA that is a sign of recognition and unity ...thank you very much am proud of you 2🎉🎉🎉🎉🎉
Hii imenifurahisha sana Kati ya alikiba na harmonize.halafu nimeona mrembo kama shilole .kweli damu ni nzito kuliko maji.hongera alikiba na konde .na wote walio fanikiwa kufika kwenye mahojiano.
Watu mmeichukulia hii issue tofauti,King asingeweza kuacha interview,aanze kuongea na wasanii wenzake,ilibidi amalizane na interview,then waongee off camera
Alikiba is intelligent and confident..anajibu maswali kisomi na anaruka mitego ya kusudi la majibu kwa mwandishi... Hataki shobo, hataki bifu na hataki chuki na mtu yaani he is " natural to litimass"
Hiyo siyo dharau my dada,kumbuka Yuko kwenye interview,na asingeweza kuacha interview na kuanza kuongea na Harmo,ama Shishi,may be waliongea behind the camera
They are the ones to learn from Diamond not the otherway round,Diamond has nothing against them,he even invited them to wasafi festival but they declined
@@chrisk.efreestylerofficial149Alitia tu unafiki kuwakaribisha hata mimi nisingeenda ,Wangeenda ungeona maneno ya wabongo 😂😂😂 na pia hawajaenda maneno ya wabongo yako pale pale so mtu aishi atakavyo yeye dat de way King anaishi so kwa ajili ya kuwafurahisha watu Ishi maisha yako Watu ni wanafiki always!
Wabogo bwana kwanini alikiba asifanye na mdogo wake Ili nayeye angalau unukie ustar huyo harmonize ni mond mtupu kwahiy ukijifanya unaempenda harmonize wew nishabiki wa mond kindaki ndaki
hii ni zaidi ya historia, big up sana. na nijambo la furaha sana kumuona konde boy akimsurprise king kiba, hivyo ndo game inavyotakiwa kuwa ili kutengeneza ukubwa wa mziki wa tanzania
@@josephevaristi8923 ndg yangu heshima ni kitu cha Bure kabisa, sijamtusi mtu Bali nimesema maneno ya kuwasapoti wasanii ili wawe na umoja kama wapopo( wanaigeria) kusukuma mziki ufike mbali zaidi. Sijaongelea swala la bifu, tunapokuwa tunacomment sio kwamba hatuna business za kufanya hapana, Bali tunawatia moyo wasanii. Acha kujibu usivyovielewa . Huwezi juwa labda unaye mjibu yukoje kihazi. Heshima ni kitu cha Bure. Heshimu watu na watu watakuheshimu.
Truth talking , atakama muda mrefu with nothing because he has egoism, bro just see how he reacted to harmonize - was not good reaction , na inasemekana moja kati ya vitu vilivyochangia diamond platinumz kumuacha mbali Ali kiba ni hiyo tabia ya kujisikia./
King nakukubali ila sometimes upunguze ugum daah mwenzio anaonesha love kama haupo vile so fresh kabisa. Msinitukane jaman mimi mwenyewe ni team kiba ila boss wetu amezidi kukaza ukweli usemwe
Wow that's awesome..it's not like kiba hajafrahia hug ya konde,shida in vile vijilights na kelele mob ndio zimevuruga king but ako sawa..lazima angeshtuka kiasi sababu ya zile kelele alafu hakuwa anaexpect kama mtu angetokea kumhug 😊
Wanaombeza harmo et kakosea kumhug king siyo kwer kwanz kaonesha love kwa msanii mwenzake pili kaonesha respect na umoja pia hii ndivyo inatakiwa kuwa hasa kwa wasanii wote wabaofany muzik muzur.....saf kbx 👍
😂Ukitizama vizuri Yani hapo ni mwendo Wäkukwepana tu 😂😂😂 Mara #Alikiba kamkwepa #harmonize na #harmonize uyo uyo nae kamkwepa #Mwijaku Dhä niatari sna😂
If king can do a collabo with the east African legends the likes of chameleon Uganda 🇺🇬, nameless and nyashiki Kenya.......that would be another East African bar and any place banger anthem..........
Konde ana hio mazoea. Angalia alivyo mkumbatia Eslay. Na sasa hi Ali. Luminati, baba. Hapo si wote safi. Industry chafu. Many are ready to do ANYTHING to get fame. Subha Allah. Hi Shaaban. Jitayarishe ku pokea mwezi mtukufu kakangu. Vya dunia ni kama unavyo jua. Umevi onja. Al dunia mata'a al ghurur.😢😢❤
Kitendo cha konde kum hug alikiba kwanza kidogo kime mshtusha pili kime mshangaza tatu kime m'boa kiasi kwasababu alikuw yupo ki interview Bila kusahau pia Alifurahii kimtindo kuona shavu toka kwa Hamonise kumshabikia nakumwita king kweli lazima ata kaa niwew Utafrahi san sio kidogo