@@alliymohamedalliy6524 sio vichwa Machungwa harmonize huu mwaka Tayari Kapiga shooo zaid Ya 5 njee Ya Tanzania Kisha Uniambie Anachaguliwa vp zuchu Ambae Hana Ata shoo mbili njee Ya Tanzania Uwon hpo Kuna mkono wa Mtu upo unakataa nn
@@alliymohamedalliy6524 mzee ivi marioo achaguliwe alafu harmonize hasichaguliwe,sawa marioo anastahili coz ana ngoma kalii ilo nakubari,je harmonize ndo hasichaguliwe??,kuna watu wameweka mpunga mzee izi figisu zipo mzee kuna ata kipindi Wizkid aliwai lalamika mpaka akasema wasimpendekeze kwenye tunzo oote kuwa jina lake na mziki wake ni mkubwa kuliko izo tunzo nakumbuka ilikuwa tunzo za BET ilikuwa zamani kidogo
Hakuna wa kubana ni muda tu na promotion investment ndio ndogo kwa harmonise pia fun base ya nje ni ngumu kuishika sababu inahitaji creativity kubwa sana na pesa nyingi.
mbona ye pia asiweke huo mpunga? si anao? na utawekaje mpunga ilhali hauna uwakika wa kushinda hizo tuzo? ubanie mtu ilhali hicho kipengele kina tawaliwa na wanaijeria!!!
Está foi a grande visita a Moçambique, visita não é virem ao país bilionários querendo invistir, grande visita é trazer pessoas maravilhosas com um coração de irmandade, trazer alegria, amor e paz parabéns felicidades a Mama Samia e ao grande Ícone da cultura Tanzaniana Mr Harmonize Wakond.
hizi hereni vipi? shetani muongo sana. zamani usingekanyaga state house kama hujavaa vazi official. suti na tai. siku hizi suka nywele, toga masikio na pua, suruali nusu matako unatinga ikulu. sihukumu lakini haya ni mabadiliko
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Dn8saxAgIaE.html FAHAMU PESA NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA *#*# ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Dn8saxAgIaE.html
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Dn8saxAgIaE.html FAHAMU PESA NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA *#*# ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Dn8saxAgIaE.html