Тёмный

DIAMOND, ALIKIBA, na HARMONIZE Walivyotinga Kitofauti kwenye Kampeni 'KAWE' Tazama MANDINGA yao 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 512 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,2 тыс.   
@espoirirakoze9000
@espoirirakoze9000 4 года назад
Kwa hii hapa Kiba ameninyoosha!!! Kiba for real!!! Simple,smart and Humble!!! My idol!!! Love from Burundi +257
@aishal1953
@aishal1953 4 года назад
Yani binaadam mzuri anatakiwa HAISHI maisha kama ayo ya king Kiba
@raheemar7043
@raheemar7043 4 года назад
Siuwezi kuulaumu moyo wangu kwann umempenda kiba wallah💥😙😙
@jumanasoro8903
@jumanasoro8903 4 года назад
Umempenda kwaajili ya dunia au kwaajili ya Allah?
@ramadhanikibenga6317
@ramadhanikibenga6317 4 года назад
King Kiba hana mbwe mbwe dah safii sana
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@paulinalala1693
@paulinalala1693 4 года назад
Kiba nakupenda bureee
@pendomwabuka8696
@pendomwabuka8696 4 года назад
Anaesema mlinzi ni Mungu tu tuuangane pamoja kumpa likes king Kiba👍👍👍👍👑👑
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 года назад
Alhamdullillah
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 4 года назад
Alhamdulilah kwa king kiba❤️💋💋❤️
@janetkemush3784
@janetkemush3784 4 года назад
Amin
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@mohamedmatogoro4067
@mohamedmatogoro4067 4 года назад
Msanii ngoja apate matatzo mnaanza kusema msanii mkubwa hana ata ulinz wabongo bhana
@minazsaid2470
@minazsaid2470 4 года назад
Roho yangu mie kiba nitakupenda daima
@hassanmweta7244
@hassanmweta7244 4 года назад
comment zote kwa kiba the humble man adorable smart approchable salute sana kwako
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 года назад
Anaishi kwa kuonewa huruma ndio maana
@hassanmweta7244
@hassanmweta7244 4 года назад
nani amuonee huruma he's real hana mambo mengi
@allyzicko8149
@allyzicko8149 4 года назад
Shemellah we2 hana makubwa yuwajuwa dunia mapito, Mungu akuongoze
@maraedimburgh7028
@maraedimburgh7028 4 года назад
nimeamia kwa Alikiba team kiba mimi hapa mwenyewe 🇲🇿
@minazsaid2470
@minazsaid2470 4 года назад
Karibu
@maraedimburgh7028
@maraedimburgh7028 4 года назад
@@minazsaid2470 Asante 😍
@KhadijaKhadija-cv9db
@KhadijaKhadija-cv9db 4 года назад
😂😂😂umehan kukoment au km shabiki wa aliy sem ukwel wako
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@johnsilima1629
@johnsilima1629 4 года назад
Wee nenda tena umechelewa mbona
@fravythemistocless6903
@fravythemistocless6903 4 года назад
Alikiba mungu akubariki sana una ela lakni hujichetui sijui maswala ya mabodygord Safi bless up broo
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@yunyun799
@yunyun799 4 года назад
@@kingsmusicfans1416 😂😂
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
@@yunyun799 😂😂✌
@mussamichael2336
@mussamichael2336 4 года назад
King umetisha hunambwembwe zama. Bodyguard kwenye eneo lenye usalama
@haimahaima9473
@haimahaima9473 4 года назад
Nan kaona message zote ni kiba kiba🤣🤣🤣💯 Wallh kiba kipenz cha watu
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 года назад
Ni msg za kumuonea huruma hahahahahah anataka kujiita king wakati huna kitu
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 4 года назад
@@albertkadyanji9722 🤭🤣🤣🤣🤣🤣
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 4 года назад
@@albertkadyanji9722 Nenda tabata ukaoshe lile BMW na lile Benz akulipe acha kulialia shida
@capital_98e
@capital_98e 4 года назад
Tena alipoenda ua kabisa chuma dereva yeye mwenyew 🔥🔥
@aminkeymohamed
@aminkeymohamed 4 года назад
King kiba simplicity at its best no show off very humble man may the Almighty Allah bless you kaka
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@bonimwendwa9237
@bonimwendwa9237 4 года назад
U.N..UK.UK
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 4 года назад
Aamin
@mariamothman7404
@mariamothman7404 4 года назад
King kiba me huwa unanikosha every day love u to much 💪king kiba wakuache
@mamafaty6190
@mamafaty6190 4 года назад
Yan wamuache miaka miaaaa
@mariamothman7404
@mariamothman7404 4 года назад
@@mamafaty6190 😘
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 4 года назад
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗wamuache kiba etu
@mariamothman7404
@mariamothman7404 4 года назад
@@tatuhongeranurushaus485 kabisa
@Ikomajo
@Ikomajo 4 года назад
When you're loved you don't need protection ,cause you're beloved ones Will always secure you that's why king kiba doesn't impresse us with bodyguards,cause he trusts his fans and incase of any problem we'll be there to secure him . #Kingkiba thanks for your trust you'll forever remain the king 👑 others need to bear their father's names cause we don't know them they're just doing scandles
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
🔥🔥✌
@sidneyogendi2589
@sidneyogendi2589 4 года назад
but remember they r trying to create employment to the youths 🥺so I don't think if it's a bad thing
@sidneyogendi2589
@sidneyogendi2589 4 года назад
but still kiba got to b the best
@thelastking5180
@thelastking5180 4 года назад
Wewe unapopendwaa lazimaa wawepo na wanaokuchukiaaa huweziii pendwa na Kila mtu
@martinerichard5827
@martinerichard5827 4 года назад
Umemaliza chief!!
@calebkangogo1358
@calebkangogo1358 4 года назад
Kiba I admire your humility bro 🇰🇪
@mirajimalongwe5028
@mirajimalongwe5028 4 года назад
Kibanimjanja mtotowamjini siouyokondewenu mabaunsakibaaoo
@pascalnewstv5439
@pascalnewstv5439 4 года назад
🇰🇪ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-2zT0cii4ezI.html🇰🇪🇰🇪
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@kingndinyo9764
@kingndinyo9764 4 года назад
👑ni 👑 2 ...wapi team Kiba 2juane hp⛓
@hightechofficial255
@hightechofficial255 4 года назад
KING NI KING TU😍😍
@avithapolinary7443
@avithapolinary7443 4 года назад
Unaga makuu mtoto wa watu God bless king kiba🙏🙏🙏
@salummhina4857
@salummhina4857 4 года назад
Jamani wapenzi wa music msinielewe tofauti na comment tu kuhusu namna walivyoingia ukumbini. This proves that King Ali Kiba is a man of the people!!! Very simple and humble down to earth man.A really natural born super star
@mwanahamisisalumu8688
@mwanahamisisalumu8688 4 года назад
Mashallah Alikiba mungu akupe moyo huohuo ucye na sifaa za kijinga alla akulinde love you
@alwattanchinga
@alwattanchinga 4 года назад
Kingkiba haendesha mwenywe gari napenda iyo Boss wangu
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@munmun_stepup6900
@munmun_stepup6900 4 года назад
King 👑 KIBA wangu jamaniiii nakupenda kufaaaaa
@zynabmanyandeshi7143
@zynabmanyandeshi7143 4 года назад
Piga kelele kwa kiba akeeee....😉😉😉 yuko simple sana nampenda mpk nahis vby... love you kiba
@راشدالكلباني-ظ1ظ
@راشدالكلباني-ظ1ظ 4 года назад
Team kibaaaaaa💋💋💋💋💋💋💋🙏🙏🙏🙏💋🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🥂🥂🥂🥂🥂hatuna paparabwana
@ramadhaanmathey5065
@ramadhaanmathey5065 4 года назад
Hawa majamaa wengine mi naona huwa wanajisumbua sana wallahi....Let me go for Alikiba hanaga ku complicate huyu
@aminasuleiman3182
@aminasuleiman3182 4 года назад
I love Ali Kiba his simple and smart
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 4 года назад
Shemela lake mimi#king kiba💕
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@jerrythefavouredkenya7386
@jerrythefavouredkenya7386 4 года назад
King kiba, 👑 always
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@benmkare1095
@benmkare1095 4 года назад
KINGKIBA very simply and smart. No need of show off kudos KINGKIBA 🔥🔥🔥🔥❤💯
@adolphmaige4249
@adolphmaige4249 4 года назад
Kikawaida tu tumia akili ya kuwa hv unazan alikiba anamashabiki wengi kumzid mond au aya achana na mashabiki unaelewa mashabiki wa mondi Wana vibe tofauti na wa Ali hayo yote huyaoni remember diamond ndio msanii wa kwanza bongo kuwafanya baunsa kazi yao iwe ajira kwa wasanii Nan zaman alikuwa anatembea na bodigad au comera halafu utasikia anajisikia jaman kiba msanii mzur isipokuwa jamaa anaupepo Zaid yake mwambien akubali tu
@magiehermess9949
@magiehermess9949 4 года назад
Si show off,Mond hawezi bila security watu watamrarua
@snawtasnota6708
@snawtasnota6708 4 года назад
@@adolphmaige4249 babu msanii wa kwanza kuwa na baunsa ni dully sykes alikuwa na Arat ngumi jiwe na hata show za nje sio yeye wa kwanza kuna watu walishayafanya hayo kabla yake sema technology inabadilika ndo hvyo
@sponsor7882
@sponsor7882 4 года назад
Well said
@itshaluastyle
@itshaluastyle 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Byww4vMAHsw.html
@خسنموس
@خسنموس 4 года назад
99% comments Ni Mafans Wa King Kiba Thats nice. MUNGU TU NDIYE ANAYETULINDA DUNIA NI MAPITO.
@salumally4627
@salumally4627 4 года назад
Nawapa like timkiba wote
@emmanueldavid9506
@emmanueldavid9506 4 года назад
Jamaa,anajielewa sana
@starnleykisia1040
@starnleykisia1040 4 года назад
Anachukua mda na funs ana moyo safi hana kiburi# ##kiba
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 года назад
@@starnleykisia1040 hujui unachozungumza wewe kibamia anajielewa hahahahahahah tuliopo ndani ndio tunamfahamu nyinyi wa nje Ni kelele tu na ushabiki
@maggiehazel2454
@maggiehazel2454 4 года назад
King kiba my all time
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@ezezedon7253
@ezezedon7253 4 года назад
Mediocre is really song✌️😁😁
@dizoboy7256
@dizoboy7256 4 года назад
Always we love u king kiba👏🏻👏🏻
@jacksonwanjiru5245
@jacksonwanjiru5245 4 года назад
Love from kenya for ALIKIBA🇰🇪❤️Simple but sure🔥♥️
@alwattanchinga
@alwattanchinga 4 года назад
Kiba love you forever,hao wengine upuzi tu,
@hidayaking3383
@hidayaking3383 4 года назад
King kiba mungu yupo na wewe atakulinda ishalla 🔥🔥🔥 wewe ni wa kuingwa
@kadijajggf9367
@kadijajggf9367 4 года назад
Insha Allah ❤️
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 4 года назад
Inshallah
@farisytanzania6566
@farisytanzania6566 4 года назад
Igeni Mashekhe muingie peponi. Wanamuziki hatari.
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar 4 года назад
Sijui kwa Nini namkubali Sana Ali kiba, Hakuna cha bodyguards Wala nin.
@sponsor7882
@sponsor7882 4 года назад
Yuko really
@beduitedy2953
@beduitedy2953 4 года назад
Hana maajabu
@mariamothman7404
@mariamothman7404 4 года назад
Tuendelee kumpenda sio mshamba kama majirani zetu kina mwafulani 😁😁😁😁
@williamkigonela5467
@williamkigonela5467 4 года назад
@@mariamothman7404 mbahiliii huyo
@ansilamtana1511
@ansilamtana1511 4 года назад
@@mariamothman7404 si unajua ushamba mwko eeeh.....kng kbaa
@leeldavid3712
@leeldavid3712 4 года назад
May Jah bless you kiba,you've no any pride and God likes ameek heart and for sure you'll go far🙏🙏
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@sponsor7882
@sponsor7882 4 года назад
Alikiba very simple but the best.
@sharonchristian3711
@sharonchristian3711 4 года назад
Hana mbesa 🤣
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@richardhegani5898
@richardhegani5898 4 года назад
Ni wakawaida tu hana amsha amsha tofauti na wenzie wananyomi ya watu
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 года назад
Sio simple hana hela ya kushindana uo ndio ukweli
@Rad07919
@Rad07919 4 года назад
@@albertkadyanji9722 na yeye ndo aliekuja na gari ya bei kuliko wote
@allymbwana5026
@allymbwana5026 4 года назад
Embu nipeni like zakuto kwajili ya king kiba
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 4 года назад
Kiba wngu 😍😍😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥
@iradukundamike5370
@iradukundamike5370 4 года назад
king kiba baba lao👌👌
@lilianemmanuel9158
@lilianemmanuel9158 4 года назад
King kiba kipenzi cha watu nakupenda sana king hauna show off wewe ni mfano wa kuigwa natamani mwanangu aje awe kama kiba🙌🙌Mungu aendelee kukuweka king naenjoy sana muziki wako na style ya maisha yako barikiwa sana
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
🔥🔥✌
@ansilamtana1511
@ansilamtana1511 4 года назад
Ntachanganyikiwa mm ....uwiiiiii king kibaa aish daima
@rajabubojoo9467
@rajabubojoo9467 4 года назад
Team kiba twende sawaa
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@bencruz1717
@bencruz1717 4 года назад
Kiba kiba simple and relaxed
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
Yup
@sabinamuhanda9903
@sabinamuhanda9903 4 года назад
Watching from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪...yaan napenda king kiba sana ❤️ uwa ajigambi
@musty2025
@musty2025 4 года назад
Kiba noma yani amejiendesha mwenyewe🙌🙌🙌very simple guy
@haysanhassan2685
@haysanhassan2685 4 года назад
Jamaa anaishi real sana
@leeldavid3712
@leeldavid3712 4 года назад
He will go far indeed,
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 года назад
Kibakuli mbahir sn
@eliofootz6519
@eliofootz6519 4 года назад
Ujue no ajira kwa vijana toka kwake
@itshaluastyle
@itshaluastyle 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Byww4vMAHsw.html
@eddywinnie7539
@eddywinnie7539 4 года назад
King kiba jeshi la mtu mmja kudos brother mungu akulinde INSHAALLAH
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 4 года назад
King acheni aitwe king tu big up broo kiba hakika Mungu yupo pamoja na wewe achana na hao wakuja wewe walikukuta kwenye game na watakuacha unazidi kusonga mbele big up sana kaka
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@hassanmapenzi6188
@hassanmapenzi6188 4 года назад
Wakati atakuja tekwa na wakora mtasema aje
@ramadhanimohamed4093
@ramadhanimohamed4093 4 года назад
Team. King tujuane APA kwa like
@delvinemoraa4248
@delvinemoraa4248 4 года назад
I always appreciate kiba coz Hana jembejembe kbsaa ...... Love ur humility 💋💋💋254
@ramy-k7932
@ramy-k7932 4 года назад
King kiba 4 real n lyf....
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@omarcontema4634
@omarcontema4634 4 года назад
Amazing mob luv from Kenya team kiba humility is the key bro 🙏🙏🙏
@moha9043
@moha9043 4 года назад
King always simple person hakuna shombo🤲
@mamafaty6190
@mamafaty6190 4 года назад
Kiba roho yangu👌😘😘
@mackmillammila6957
@mackmillammila6957 4 года назад
Kingkibaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@nicewilliams5255
@nicewilliams5255 4 года назад
I like the simplicity of king Kiba the rest are just animals as they call themselves
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 4 года назад
Shem kiba yani na penda swaga zako mtu makini kabsa
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@shadrackngovano5747
@shadrackngovano5747 4 года назад
Sehemu salama unajikoki nn nmekubali sanaa life stail ya kiba
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
✌🔥🔥
@lindaemmanuel5121
@lindaemmanuel5121 4 года назад
that's why l love kiba anaga makuu is very simple af apnd mashindano,,,, live a long life my king
@ericlowasa3097
@ericlowasa3097 4 года назад
Siyo Kama hapendi mashindano hela hana choko huyo...
@abeltuyisenge4794
@abeltuyisenge4794 4 года назад
@@ericlowasa3097 unanyingi kumuzidi au??😂
@hamzahassan273
@hamzahassan273 4 года назад
@@ericlowasa3097 hahaha kwel hana jiwe
@lindaemmanuel5121
@lindaemmanuel5121 4 года назад
@@ericlowasa3097pesa anaz but apend kujionyesha af unaposema ana ela ulishawai kwenda kwake ukaona kwel ana pesa?
@masoudzanzibarali9994
@masoudzanzibarali9994 4 года назад
@@lindaemmanuel5121 Ndio Tatizo la WaTz tunaishi kwa Kukariri mtu anakwambia fulani hana Hela au anazo Nyingi utasema yeye ndo Banker wake, wanashindwa kujua kama kila Binadamu ana Life Style yake hapa Duniani sifikirii kama Ali Kiba atashindwa kuwalipa Bausa Mshaara wenyewe haufii ata Milion kwa Mwezi, kuna yule Mzazi mwenzie alikuja Zanzibar alifikia kuna Hotel Nungwi alikaa kama week 4 na Room kwa night moja 180$ na alikua analipa Kiba alafu yeye wala hajafikia Pale
@saidhamis1124
@saidhamis1124 4 года назад
Nakubali sana ali kiba siku zote mlinz ni mungu pekee sasa hao jamaa wanajipa shida ya bile t mungu akipanga lake hashindwi hata kidogo . Big up sana kiba
@lizmass4253
@lizmass4253 4 года назад
Thus why alikiba hako na strongest fans, fans ambao wanashida hata media za east Africa na African na ni wa ukweli kwake coz the guy is simple and smart. Remember the time he win MTV award na wakampa wizkid! Hakuna media yeyote Tanzania ili support kiba bt his fan wali make sure award imerundi kwake. In short nasema hivi kiba anapetwa for real ndio maana ana shida kutembea pekee bila security. Much love king
@alexcastory2346
@alexcastory2346 4 года назад
Kwel
@ramaburhandambwe4871
@ramaburhandambwe4871 4 года назад
Kibaaaa
@minazsaid2470
@minazsaid2470 4 года назад
True 👏
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
Totally true ✌
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 года назад
Hahahahahahah ndio mnavyojifariji hayuko level hizo
@happychua1031
@happychua1031 4 года назад
Kiba😍😍😍😍upo smple sana hauna mambo mengi love yooooou
@lutifiaussi3728
@lutifiaussi3728 4 года назад
Jeshiiiiii 🥰 love ya
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 4 года назад
We love you King kiba the one and only simple guy and humble much respect
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 года назад
Alikiba umetisha
@matiasabilio2558
@matiasabilio2558 4 года назад
from Mozambique. Alikiba you are the best brother, Moz we love you. you are different.
@ndetiwaiwc5563
@ndetiwaiwc5563 4 года назад
King Simple sana . This is real Guy.
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 4 года назад
Ndio hananga makuu❤️👌
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@Ashley_family123
@Ashley_family123 4 года назад
Jeshiiiiiiiiiiiiiii mambo yetu yakistaharabu sana 💥💥💥
@mishikitendo4983
@mishikitendo4983 4 года назад
🐘
@jimkellyngige981
@jimkellyngige981 4 года назад
Kiba is so humble and down to earth lakini hata hivyo bado simba ni baba lao!!
@yunyun799
@yunyun799 4 года назад
@محمد العبري 😂😂
@theesankaratv
@theesankaratv 4 года назад
Una ujinga wewe,, kiba ndo baba lao!!! Kiba tosha upende usipende,he is the real dude
@goddamwakimi5889
@goddamwakimi5889 4 года назад
Ali k , Bro we ni kipenz cha WATU, usie na makuu wala majigambo, uko simpo SANA Bro
@dollydolly9778
@dollydolly9778 4 года назад
King of kings 💋❤kibaaa
@asiliyakechuma4319
@asiliyakechuma4319 4 года назад
Mbahili hata dereva hana
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 4 года назад
Nani aliyempa UFALME kiba
@pascalnewstv5439
@pascalnewstv5439 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-2zT0cii4ezI.html🇰🇪🇰🇪
@farisytanzania6566
@farisytanzania6566 4 года назад
Astaghafullah. Acha kuropoka ndugu. Mfalme wa Waflme kiba Duh! Mungu atakuwa nan? Tubu makosa yako sasa utakufa kifo kibaya
@farisytanzania6566
@farisytanzania6566 4 года назад
@@asiliyakechuma4319 Awe na Dereva yeye Rais au Waziri. Hayo ndo Maisha ndugu. Na maamuzi ya mtu. Mangapi kafanya, kajenga msikiti, kasaidia watu. Hataki sifa za kijinga.
@tanzaniatouristsattraction1622
@tanzaniatouristsattraction1622 4 года назад
Mbwembwe nyingi sasa izo radio call za nini mabody guard wenyewe wa kigogo😂😂
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dogoshazzy761
@dogoshazzy761 4 года назад
🤣🤣🤣🤣
@anthonykamkolwe5766
@anthonykamkolwe5766 4 года назад
😀😀😀😀
@alexcastory2346
@alexcastory2346 4 года назад
Hahahaha
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
😂😂😂
@jumamwengwa4682
@jumamwengwa4682 4 года назад
Comments zote ni #KING KIBA. AL HAMDULLAH
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 года назад
Anatia huruma ndio mana unaona zote uko
@ansilamtana1511
@ansilamtana1511 4 года назад
Kipenz cha watu wap shabiki wa domoo Sasa maana wanajidai wana mashabk wngii
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 года назад
@@ansilamtana1511 choko kweli wewe kibamia kwasasa biashara ishaisha Simbaaaaa Baba laoooooooo utake usitake takwimu zinasoma hatutaki porojo na mahaba niuwe kibamia akalime tu asimami ata kwa koroshooo
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 4 года назад
Icho ndonachompendaga kiba yuko tofaut sn yani km sio sta vile sifa zakijinga uwagahana kbs yani kifupi hanaga ulimbukeni ni very sipo 💕💕💕💥👌big up
@williamkigonela5467
@williamkigonela5467 4 года назад
Mbahiliii huyo
@sharonchristian3711
@sharonchristian3711 4 года назад
@@williamkigonela5467 ela zenyew Hana 🤣
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 года назад
Eti Hana sifa za kijinga atazitoa wapi wakati hela Hana
@annasimon1696
@annasimon1696 4 года назад
Kiba mungu akulinde unaishi maisha simple mungu ndiye muweza wa yote sio mwanadamu
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 года назад
Hakika aisee Amen
@ramathedon4001
@ramathedon4001 4 года назад
kabisa mlizi ni mungu tu
@hidayaking3383
@hidayaking3383 4 года назад
Tena sana
@mwanamkuusaidmwajambo1387
@mwanamkuusaidmwajambo1387 4 года назад
Ameen
@itshaluastyle
@itshaluastyle 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Byww4vMAHsw.html
@salimliemba3458
@salimliemba3458 4 года назад
Mlinzi mkuu ni Allah hongera kwa Kiba hanaga shombo na walinzi
@fadhilimartin9466
@fadhilimartin9466 4 года назад
piga kelele kwa King wa Making Alikibaa!
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@nicksonwario9183
@nicksonwario9183 4 года назад
King kiba
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 4 года назад
Alikiba yupo tofaut kbsaa hanaga makuu kbsaa very nice broo💋❤️❤️❤️
@mosesvivaldo87
@mosesvivaldo87 4 года назад
Kiba juu
@mansoormtuzu9107
@mansoormtuzu9107 4 года назад
King 💯♥️♥️♥️♥️♥️
@saladaniel9274
@saladaniel9274 4 года назад
Yaani kiba umenifurahisha Sana Huna mambo mengi
@ashamohamed1461
@ashamohamed1461 4 года назад
Ananinii
@highthemetv7857
@highthemetv7857 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-zTIQTFkGZr4.html 👆👆👆👆👆👆 Beyonce ni mungu mke 😨 aliyeteuliwa na freemason ana abudiwa na member wote wa illuminat nimekuwekea video Gusa link 😱👆
@bekabeyser4119
@bekabeyser4119 4 года назад
Kiba hana noma yko peace xna jamaa
@ashamohamed1461
@ashamohamed1461 4 года назад
Tatizo Anna maajabu
@abdumalunde5505
@abdumalunde5505 4 года назад
@@ashamohamed1461 unataka kutuaminisha hao wengine wana hela kuliko kiba
@suleamber2777
@suleamber2777 4 года назад
Kingkiba nakukubaliii saaanaaa kaka big up
@hidayaking3383
@hidayaking3383 4 года назад
Sana mtoto wa watu
@mrs2918
@mrs2918 4 года назад
kibaaaaaa big up kido
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
✌🔥
@catherinemandi3039
@catherinemandi3039 4 года назад
Aliimba akasema ...Ushamba mwiko kwa mtoto wa kariakoo
@janetkemush3784
@janetkemush3784 4 года назад
Alikiba oyeee live long our role model🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@heriholder2937
@heriholder2937 4 года назад
Mody bin laden Swagg amaizing Tisha sana msanii wangu no 1 Africa nzima.
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 года назад
Hamna kitu hapo njaa tuu unawasumbua Kwa unumla
@mrmohammed1914
@mrmohammed1914 4 года назад
This the reason why kiba will forever remain the king ,his simplicity amazes everyone around him.hatumii nguvu ama fujo.
@apolinarykindole5238
@apolinarykindole5238 4 года назад
Siyo kwa sasa,Ali alikuwaga zama zake zilishapita
@minazsaid2470
@minazsaid2470 4 года назад
Apolinary endelea kujidanganya ila kiba alipo hashuki ng'o utasubiri sana
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
YEEEEBABA
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 года назад
@@minazsaid2470 ashuke mara ngapi wewe acha ulimbukeni Yani unataka kutuzeesha na maisha yenu ya miaka 47 ongea kwa niaba yako sio sisi alishashuka kitambo uyo na aweke walinzi kwa lipi ata akipita peke yake hakuna wakumbuguzi ivyo poa tu
@minazsaid2470
@minazsaid2470 4 года назад
@Albert kadyanji naona umeongea kwa chuki sana ila kiba kma humpendi ni wewe ila kwa mm bado yupo juu iyo habari ya kushuka ni dua la kuku 18 years in tje game na still he's top kila siku yupo midomoni kwenu inachoma kma pasi kiba atabaki alipo
@johnsonnjamasi309
@johnsonnjamasi309 4 года назад
Naenjoy sana Maisha ya musicians wa bongo......
@mosesharerimana278
@mosesharerimana278 4 года назад
King kiba 👑
@antonyngala1977
@antonyngala1977 4 года назад
Kingkiba
@hellenheilen671
@hellenheilen671 4 года назад
King forever
@chunxdi9695
@chunxdi9695 4 года назад
King kiba is always real,nice and humbled guy.God is the only guider.love to king kiba
@salumally4627
@salumally4627 4 года назад
Nawapa like timkiba wote waliocomment namm naomba like zenu timkiba
@dogoshazzy761
@dogoshazzy761 4 года назад
Kingkiba👑👑👑👑👑💯💯
@mcpambe8063
@mcpambe8063 4 года назад
Asili yangu hupenda sana mambo "simpo" hata hupenda kuwa simpo hata pale itokeapo nakwezwa na wananzengo! King Kiba's style is my best ever style - safi sana mkuu wa kambi!
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 4 года назад
Kiba shame lake hana makubwa wallah
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 года назад
Wow daah King kiba yebaaaa Ahsante sns beat Safi sana
@hadijapazia684
@hadijapazia684 4 года назад
The king him self🔥🔥🔥🔥
@giftngailo5442
@giftngailo5442 4 года назад
King z the best of all time
@rangalmas8833
@rangalmas8833 4 года назад
Aki huyu alikiba sijamwonea mwenzake bongo nzima jamaa peace kabisa anajitambua na anaamini haya nimaisha tu haya kaja pekeake kaimba na kashow love kwa mashabiki wapi kadhurika
@hatibhatib5760
@hatibhatib5760 4 года назад
lazima wawe na ulinzi binafsi, diamond ashawahi kufanyiwa fujo na kundi la alikiba ndo mana wanaulinzi
@farajirubisi1114
@farajirubisi1114 4 года назад
@@hatibhatib5760 una uhakika na unachokisema?
@rahmakhassani4148
@rahmakhassani4148 4 года назад
@@hatibhatib5760 wacha dhambi kusema usiyo na uhakika nayo
@hidayaking3383
@hidayaking3383 4 года назад
Kumbuka diamond walimwangusha uwsnja wa taifa wakati walizi walikuwepo hivi wangetaka kumzulu c wangezulu
@dainesskisinda2926
@dainesskisinda2926 4 года назад
King for lever
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 4 года назад
🔥🔥✌
@nanounakib2943
@nanounakib2943 4 года назад
Alikiba nakupenda sana mlinzi nimoja tu ni mungu
Далее