Machawa wachawi munaomuombea mabaya Harmonize mupo? Nyoo na hapo semeni hana pesa mjuwe imekula kwenu Harmonize mbele zaidi na nakuombea kwa mwenyezi mungu uwe salama wakati wote. Aamiin🙏😍
Hiyo ni kazi ya editor. Director yeye ni muongozaji tu wa video. Kuna camera man yeye kazi yake kushoot. Video ikiisha director anampelekea editor na kumuelekeza jinsi unavyotaka
Umeuwa sana broo umefanya video inahelewe sgory hatakama mtu hujaambiwa yenyewe inajieleza wewamotoo sana kumbe #harmonize msanii mkubwa lakini wanaosumbua nihawa ma director #kenny umeupiga mwingi sana #rahaaaaa