Sijambo. Hamjambo? HONGERA kwa kupiga hatua hii kubwa ya maendeleo. Ni vizuri jenga pia viwanda. Vilevile jenga shule au chuo cha sanaa ili watanzania wanifunze muziki na sanaa zingine zenye soko kubwa hivi sasa hapa nchini na kimataifa. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukulinda.
Mimi ni mu Burundi lakini kwa kweli namkubali san huu rajabu kuliko wengine wa sani kutoka tz hata sijui kwanini. Lakini pia ana utuu fulani hivi sio mjivuni
Nami nampenda sana kwa upambanaji wake na ustaarabu wake hata kama watanzania baadhi yao hawapendi lakini mimi kuna mengi sana ninayojifunza kutoka kwa Rajabu Harmonize 😍
Koma tena koma ishia huko huko rundi kwenu kawapende warundi wenzio kwan nyie hamna wasanii au ndo unataka utukize ubinafsi et hana majivuno unamjua vzr huyo wewe
Iko chonjo Mzee mijigari kama zote na jinyumba lenyewe masha Allah pongeza sana lkn namuomba konde boy Kazi ya compound yeke yamemeya kwenye mawe compound nzima na mid Niko na ufundi nao Nipe naki ningarishe jicompound lako LA ki fahari utapenda mwenyewe mzee😊😊😊😊❤❤🎉🎉🎉
Sasa magari yete ya Nini ajenge magesti mashule ya praiveti afunge na kuku awape watu ajira kampuni Mambo yabiashara watu wapate ajira ata kwa ndungu zake upamde wa Mama wa baba awape ajira familia magati mawili yanatosha makali