Nimeiona hii video mara mingi sana lakini leo ndio nimegundua nguo ya Harmonize katengenezwa na vijiko, vyuma na visu vya kupaka siagi kwenye mkate. Legendary hit H Baba, Harmonize na Bazuuu Awilo.
We are Happy as Congolese 🇨🇩 to see every colabo tuna itwa iko na more Views on RU-vid.... But we know Tz nyinyi niwezi wa views RU-vid... Plzz let yr Son Harmonize pia break a record walai in Africa
Wapendwa nani kairudia zaidi ya mara 7 kama mimi hii nyimbo? Maana nimeipenda sio mchezo Harmonize unanitesa sana kwa nyimbo yako ilivyo tamu pamoja sana wakati wote🙏🏼 Nakuombea mbele zaidi mpaka kimeeleweka💕💖💝😍
*Habar zenu ndgu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali bila malipo yoyote karbuun mjifunze ingia RU-vid andika sir Binladen 786 pia naomba kwa heshima na taadhima msisahau kusubscribe Asanten*
Yani atakama niuchokozi sio kwa style hii ibrah Alisha sema kwa ile nyimbo y hayakuusu,,,,, wanachokonoa😂😂lakini uzuri nikwamba amesha vunja rekodi Yao ndani y dakika 44 yeyé yake aliweka na dakika 48 Hamo ame vunja 🤣🤣🤣🤣🤣niuchungu kwakweli na Ndio maana Wana mfatilia Hamo oyeeee
Sijawahii kuiona hii record sio bongo sio mbele 3M,on one day hii sio ya kitoto aisee nipate like 300 tu sitaki zaidii kama unaamini harmonize ananyima watu usingizi huko hakulalikii
Awilo! Unajua Kuna O'l Skool listeners hapa? Sasa hiyo fusion ya O'l Skool na Millennials/Gen-Z or whatever,.....you guys just hit the nail on the head na hii "track". 😍😍😍 Love love love it
Ni nyimbo ambayo uwe mlemavu, mlevi, umeokoka, mwenye hela, masikini au fukara, mwenye stress au furaha, uwe unatokea Asia, Afriaca, Amerika au Western kwa style zako utacheza tuu, big up man
this song is lit especially ikianza kwanza outfit ya vijiko na fork wapi likes za harmonize na awilooooooooo hata leo mnifikishe 100 likes ana 1k ikiweza
@@hassannyuchy3228 tatizo sio maviews je wewe nyimbo umeipenda au la bro...?hili jimbo ni dude na ndo uone 3 weeks bado no . 1 trending ...hapa tuondoe unafki konde boy kaweza sana
Vipi konde gang wenzangu hivi tunafikisha million kumi ndani ya mwezi kweli naomba tujitahidi tusichoke kuangalia goma kali haswa wakati huu wa sherehee
This song is a hit uongo mbali, the flavour in it is so sweeeet, nimejipata nikismile. Nigerian, congolese and Kiswahili in it.....it is waaaah, likes zikam from Kenya
oya patitudeeeeeeee i wana show u ma atityudeeeeeeeeee. wazee km tumekula ela ya mtaji ili kumfikisha kondeboy 4.2 pigilia like apa za nguvuuu. from 254.
Tanzanian artists have unity and that uplifting spirit within themselves in their Industry unlike Kenyans where everyone wants to be KING without merit,they deserve the massive Support. Konde Gang! ✊🏼✊🏼✊🏼✊🏼✊🏼✊🏼
3.1million views in 1 day wow 😳 just wow weldone to my bro Awilo and Harmonize. Love to see our African stars do collaborations. Je suis fière de vous 👏🏾 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿 j’aime cette chanson 🎶 eza suka vraiment
So each day with its a million views wow 😍😍as for me this anthem is on repeat till further notice 💃💃💃this song can't let one rest on her sick bed in peace 💃💃💃💃it is fire 🔥🔥🔥thank you Jeshi, thank you Awilo for bringing back our childhood memories
Sijachelewa sana wapi Like za wale wana tambua harmonize love kutoka kenya baba yo keep making great music like this and will never leave this channel 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💥💥🔥
Naanza wiki na attitude. Harmonize ananifanya mimi kama hustler mwenzake nifanye kazi kwa bidii ndo mafanikio kama haya yake yaweze kuonekana. Mungu atubariki sisi wote tutakao sikiza huu wimbo. Tufanyeni bidii
Leaving wasafi is the best desicion you made..lesson to us never depend on someone for too long find your onw way infact be your own boss..kama uko 20yrs and you are out of your father's house gonga like hapa💠
kaka japounijui nimexikiliza maongeziyako kuuxu diamondi kikweli niuonefu polesana. mungu akuzidishie mafanikio jamni du naixi adi kuliammm😭😭😭😭😭 ,,pole pole polepole