Тёмный

HARMONIZE NA TIMU YAKE WAMEFELI SHOW YA YANGA | ALIKUWA NA MAMBO MENGI KUKIMBIA SANA PUMZI IKAKATA 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 1,3 тыс.
50% 1

Harmonize alifeli na alipewa muda mdogo wa kujiandaa. Na hili ni jambo la kimaisha na tusizungumze tu Harmonize angeacha ile show ni kama mpira kuna siku mchezaji akiingia uwanjani anakuwa hayupo kwenye fomu kabisa. Na hayupo mchezoni hata kwa wasanii ni hivyo hivyo. Mfano kwenye upande wa uwandaaji mfano msanii ameandaliwa hela. Hata kama Yanga walichelewa kumtangaza msanii lakini pia kuna sehemu msanii alifeli yeye na timu yake"- Mdau wa burudani, @el_mando_tz

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Месяц назад
Kufananisha super bowl na simba au yanga day ni kichekesho sana.
@AugustineFadhili
@AugustineFadhili Месяц назад
We almando unaonekana kabsa upo kiteam kabsa, hujui mziki unaongea ushuuzi😮😅😅😅
@AugustineFadhili
@AugustineFadhili Месяц назад
Ko mlitaka afanyeje ndo aonekane kafanya shoo vizur, hii Tanzania had watangazaj nao ni machawa😮😊😊😢😢, na clouds kipind Cha Leo mmezingua knoma
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 Месяц назад
Amefeli haitaki touch
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe Месяц назад
Hao ni mashabiki wa madunduka
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Месяц назад
Kuna kitu hamuelewi na mnalazimisha pale lengo Hua ni mpira na timu na wala si hao wasanii wenu wasanii ni mengineyo tu ingekua ni tamasha la mziki sawa
@fidelitymrina8652
@fidelitymrina8652 Месяц назад
Ukweli usemwe Ali pekee Ndio Ali perform vzr the resp Cheng tu makelele mengi Wala Sio swala la utimu
@festusabramary-bz4ef
@festusabramary-bz4ef Месяц назад
almando awo wenzio ni mashabiki TU wa mziki sio wajuzi wa mziki kama wewe
Далее
Мой телеграмм: v1ann
00:14
Просмотров 25 тыс.
INTERVIEW SHOW  BABA LEVO  at COCONUT fm ..ZMOTION
7:05