Tunaambiwa tunatangaza nchi au tunatangaza sehemu alipozaliwa samia huu ni ufujaji mkubwa wa pesa za nchi ambazo tunaenda kila siku kuziomba kwa wazungu Leo maadili Ya kizanzibar yameendelea kuharibu siku baada Ya siku ulevi na music ndio imekuwa hali yetu Zanzibar Leo imekuwa chaka la kufanyia ngono kila mzinifu pakujifichia ni Zanzibar
Naona sherehe za kizimkazi zinafanyika Zanzibar ila wasaa wa Tanganyika watupu hakuna mzaznibari hata mmoja hata waimba Taarabu zaidi ya mzanibari wa Daimond ambae hatukai nae Zanzibar waleteni wasanii wa Zanzibar pia hata waimbaji taarab ili tuone muungano sawa mnajipendelea wasanii wenu wa kizazi chenu kipya tu