Тёмный
No video :(

Harmorapa amchana Master J, asema hajui chochote 

EastAfricaTV
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 57 тыс.
50% 1

Msanii wa hip hop Bongo akiwa KIKAANGONI

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@baytertz8256
@baytertz8256 7 лет назад
Uyu master j alishawai kumfukuza harmonize jukwaani leo harmonize uyooooo
@juliuskalawa8262
@juliuskalawa8262 7 лет назад
Safi sana nmecheka sana 😂😂😂😂😂😂 ,hana ishu mwana au sio
@evamday2896
@evamday2896 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂 akalimeee uyuu jaman
@dominicclassic8089
@dominicclassic8089 6 лет назад
Kichaa kalogwa tena
@IsmailMadrelya
@IsmailMadrelya 7 лет назад
Haahhahaa et hajui Master J ninan daaah kweli Dunia inazunguka ...aiseee wazee mi nasinzia kidogo tukifka Oman muwaambie wanishushe maaana dunia iko kasi sana
@anntecklar1749
@anntecklar1749 7 лет назад
Ismail Madrelya hahaha
@dickensndadema5403
@dickensndadema5403 7 лет назад
master j producer mzuri sana tatizo maringo kibao
@sifasanga7866
@sifasanga7866 7 лет назад
Safi Hamorapa.....komaa..
@omarshani8244
@omarshani8244 7 лет назад
strong human point of correction
@joshiamwinami9875
@joshiamwinami9875 7 лет назад
acheni wivu nyinyi harmony unatisha
@chalersmatonya3353
@chalersmatonya3353 7 лет назад
huyu jamaa naona wali2pa mtoto wakachukua uchafu mana mamb yk yakichafu chafu
@julietjumanne7166
@julietjumanne7166 7 лет назад
Strong Woman
@omarisaidi9376
@omarisaidi9376 5 лет назад
Harmorapa kaza buti haya maisha hayana mwenyewe
@qaboossaid2259
@qaboossaid2259 7 лет назад
master J msamehe bure,kwani alipaswa kuwekwa zoo kajichanganya uraiani kwa bahati mbaya too.
@saadakiyungi5664
@saadakiyungi5664 7 лет назад
Huyo arudi kijijini akalime tu. Mashauzi mengiii halafu hajui kitu
@Thebatony-a
@Thebatony-a 7 лет назад
sanaaaaaaa harmorapa safi
@vicentykikoti5936
@vicentykikoti5936 7 лет назад
waonyexhe
@oomwee2574
@oomwee2574 7 лет назад
kazi kweli kweli😆😆😆
@dicksongideon9431
@dicksongideon9431 7 лет назад
weeeeeh HAMOOOOO
@ahmedkhatibu5387
@ahmedkhatibu5387 7 лет назад
hahahaaaaaaa,,,,ebana weee
@musasaidi7973
@musasaidi7973 7 лет назад
Safi harmorapa akimwaga mboga unamwaga ugali
@shabanimsukuma6148
@shabanimsukuma6148 7 лет назад
Musa Saidi
@juliuskalawa8262
@juliuskalawa8262 7 лет назад
mwaga mboga nimwage nguna, kama wee Si msanii yee ndo hajulikani kabisaaaaa 😂😂😂😂
@nichorausamosbakar368
@nichorausamosbakar368 6 лет назад
Namkubal sana hamo lkn tyu nyota hana huyu Dogo.
@salummuhija4435
@salummuhija4435 7 лет назад
maswali yenu yakinafiki dizaini kama mnamchora hamorapa lakini mkae mkijua hakuna mtu aliyezaliwa na kutembea.
@originalnchimbi570
@originalnchimbi570 7 лет назад
tafuta rizik kijana jaa yu pamoja nasi
@ricksamthecrow
@ricksamthecrow 7 лет назад
Anaringa nae strong woman na ako kasauti ka kuremba...
@originalnchimbi570
@originalnchimbi570 7 лет назад
harmo swala
@qaboossaid2259
@qaboossaid2259 7 лет назад
Acha kujinadi kwenye hakuna. huna nyumba huna gari wala huna biashara unayo simamia ww ni kapuku tu na tarifa zako tunazo,ww ni sugar baby tu. acha kumponda master J,tena ukome strong woman.
@mussawambwe9237
@mussawambwe9237 7 лет назад
Sifa mbaya ##Harmorapa. Mkubwa nimkubwa2. P.Funk mwenyewe alimwambia Masta Jay kua akae atulie aje amwone Hamorapa. ila hakusema Masta Jay hajui chochote
@mathayokaaya5803
@mathayokaaya5803 7 лет назад
nilidhani huyu jamaa wanamsingizia uchizi kumbe ni kweli aisee ni chizi
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 7 лет назад
usitukane mamba hujavuka mto..master j humjui umezaliwa lin?unafanya mziki gani?..mjibu alicho kusemea kama kibaya tumia hekima tu...usilewe mashabiki kwa stahili hiyo ya kiki...watachoka alafu utakosa kuweka alama kwasababu kiukweli ww bado ni mchanga..i hope sabuka na p-funk wata kuweka sawa..go harmorapa
@saidimohamedi8563
@saidimohamedi8563 6 лет назад
duuu
@davidjoseph6918
@davidjoseph6918 7 лет назад
yani uyu jamaa ni kihiyo kweli
@ladslauspeter2648
@ladslauspeter2648 7 лет назад
Harmorapa namkubali sanaaa dah!!!!ni hatareeeee
@andrewmlamba
@andrewmlamba 7 лет назад
Master J,sialisema harmonize hajui kuimba Bongo Star Search,labda kufikia sasa Harmonize anapesa hata kumshinda
@peter1018ful
@peter1018ful 7 лет назад
ivi ni nani yule MJ......producer.!!!
@abdulrahimselemani4922
@abdulrahimselemani4922 7 лет назад
we dogo unamdiss master j...ceo wa mj rec....huyo p.funk anamuheshimu huyo jamaa we unamdiss.. et humjui bhac kwenu hata tv hamna maana ungekuwa unamuona kwny bss... presenter ungentajia hata nyimbo3 tu zilizopitia kwny mikono ya master j..... yan huyu dogo angeendelea kuwadiss hao hao wakina lizer bt.mj ni level zingine asee...
@kallamudaily73
@kallamudaily73 7 лет назад
Strong woman
@wemamtotochanelyusuphomari8262
Toa miwani bac
@norbertmlokota370
@norbertmlokota370 7 лет назад
aisha yusuph omariy haaaahaaaa😀😀😀😀
@qaboossaid2259
@qaboossaid2259 7 лет назад
kudhihirisha ww ni strong woman ndio maana ukafanya colabo na juma nature wanaume halisi!!! si mbaya sokwe jike lazima asake madume
@g.phasemaestro1108
@g.phasemaestro1108 7 лет назад
huyu dogo amekua juzi tu anamjua master jay kweli?
@eddybryson6586
@eddybryson6586 7 лет назад
Sasa mkurugenzi na manager kuna tofauti gani aisee!?? Hivi mboona 80% ya wasaani wa bongo kiingereza kimewachenga????? Daah!
@eddybryson6586
@eddybryson6586 7 лет назад
Sijifanyi kuwa najua kiingereza, nakifahamu vizuri kiingereza na pia kiswahili nakijua kwa sana, hii ni karne ya 21 na sio kuwa naringa, kwenda skuli ni muhimu. Ila ukweli bado ni ule ule tu, kuwa ni wasanii wachache sana wa Bongo wanaokielewa na kukizungumza kiingereza kwa ufasaha, AY, F.A, P FUNK na Q-CHILLA to name just a few, but big stars like my fevorite DIAMOND PLATNUMZ? Aisee! Hata wewe utaniunga mkono kuwa Kizungu kimemchenga sana, huyu kaka.
@qaboossaid2259
@qaboossaid2259 7 лет назад
ww ni HAMNAZO sio HAMORAPA
@shukurusbxrule
@shukurusbxrule 7 лет назад
check vidole utaniambia
@babaiteg3565
@babaiteg3565 7 лет назад
shukuru sbxrule cjaelewa kwavidole kuna nini
@shukurusbxrule
@shukurusbxrule 7 лет назад
Babaite G35 mu check jamaa anavyo penya vidole inawezekana ni freemason
@babaiteg3565
@babaiteg3565 7 лет назад
shukuru sbxrule bas inawezekana atujihakikishii ila km kweli yupo hawaruhusiwi kukili wala kusema chochote
@shukurusbxrule
@shukurusbxrule 7 лет назад
Babaite G35 kazi kwao siye wazidi kutuwakilisha tu
@babaiteg3565
@babaiteg3565 7 лет назад
shukuru sbxrule hawajiamini kumshirikisha mungu kwamaombi yamafanikio cjui muumba na iblis nani mwny uwezo zaidi
@mussawambwe9237
@mussawambwe9237 7 лет назад
Bongo Dar ss salaam ya P.Jay, alitengeneza Masta Jay nasio P.Funk kama ulikua hujui. Tena Kagonga beat verses zisharekodiwa kitambo, na p. funk alishindwa kufanya Mixing adi Master Jay akaimaliza yote. Leo unalopoka eti hajui chochote wala humfahamu??? usipandishwe kichwa na crew yako ukawadharau uliowakuta hapo town bro. Madam umeshapata chance, Ok just do ya' own Shit...
@terrieblieyz4818
@terrieblieyz4818 7 лет назад
huyu jamaa alishaugua uchizi cjui "strong woman" afu alichelewa kuongea na mziki ameanza kusikiliza mwaka juzi.
@zahramobne7807
@zahramobne7807 6 лет назад
Terrie Blieyz ww umemwona vipi yuko sawa sana pia amaeshima sana
@gaspermassawe7397
@gaspermassawe7397 7 лет назад
YAANI HUYU ANATAKIWA SHULE YA HARAKA LA SIVYO ATAILETEA AIBU KUBWA TASNIA YA MUSICIAN YA BONGO,STUPIDITY SUPER WOMAN
@praygodwillson4613
@praygodwillson4613 7 лет назад
Huyo dogo akatafute pa kucheza
@shemasitz8007
@shemasitz8007 7 лет назад
ƙweli harmomɓio xio msani kɓc ni kioja tu nenɗa kijiji tu ɗogo
@ibrahimmbogela1107
@ibrahimmbogela1107 6 лет назад
Shemasi Tz wew ndo hufahi hamorapa yupo juuu
Далее
娜美这是在浪费食物 #路飞#海贼王
00:20
50 Cent Reacts: 'Suge Knight Deserves This''
9:30