Тёмный

Harusi ya Joti: Joti na Bella wasakata sebene, Mpoki aibu 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 355 тыс.
50% 1

Usiku wa sherehe wa Harusi ya Joti ulijaa burudani za aina mbalimbali, lakini moja kati ya vitu ambavyo viliibua shangwe ukumbini hapo ni jisni mkali wa masauti, Christian Bella alivyocheza na mwana harusi. Wawili hao walionyesha uwezo mkubwa katika kusakata masebene mbalimbali ambayo yalikuwa yakipigwa ukumbini hapo.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
@thinkingbarbie4106
@thinkingbarbie4106 7 лет назад
Wowwwe HARUSI NZURII ...JOTI UMECHEZAAAA VIZURII KAMA VLE MLIFANYA MAZOEZI NA Bella
@innocentbyamungu7892
@innocentbyamungu7892 5 лет назад
christian Bella; wewe ni mkali kabisa Mr joti nawew, respect kabisa.unawezaaaaa
@aishahassan8247
@aishahassan8247 5 лет назад
Mashallah !duh si kwa ucheshi huo jot umetisha
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 4 года назад
joti kwenye harusi na kazi unaigiza pole mamaharusi
@mejubaraza8787
@mejubaraza8787 6 лет назад
Congratlation joti uko sawa. Kucheza
@malkiavasht7024
@malkiavasht7024 6 лет назад
Bellaaa nakupenda babaaa napenda kaz zakoo nzuriii mnoo
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 лет назад
JotiJotifurah kaka umepata yako 😂😂sio ile ya kuwekeana ahadi mara paaa anakudanganya leo siji kuna msiba hapa kumbe kaenda kudanga kwingine😂😂
@catenzeki678
@catenzeki678 5 лет назад
@Radhia Salum 😂😂😂😂😂kweli
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 лет назад
@@catenzeki678 😂
@barnabasstanslaus6895
@barnabasstanslaus6895 7 лет назад
safi sana. heshima pesa. shikamoo. makelele
@ahmedabdulqadir6315
@ahmedabdulqadir6315 7 лет назад
Nice joti umetokezea fresh
@lydiamarie4994
@lydiamarie4994 6 лет назад
Heee Christian Bella tokooss frere nangai❤❤❤❤❤❤❤❤
@edwigamtenga2537
@edwigamtenga2537 7 лет назад
hongereni a
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 7 лет назад
Mmetisha
@nyevukahindi4955
@nyevukahindi4955 6 лет назад
jamaa anajua kucheza lingala congratulation.
@addydajaneth7259
@addydajaneth7259 6 лет назад
Jmn mpoki mke wa mtu huyo
@veronikaleonard8357
@veronikaleonard8357 7 лет назад
hongera sana Joti
@aminkumsha8689
@aminkumsha8689 7 лет назад
Safi Sana
@alawisaidi4411
@alawisaidi4411 6 лет назад
noma Sana
@jafaritungi9970
@jafaritungi9970 4 года назад
2020 like zenu bgap
@halmasaidi6688
@halmasaidi6688 7 лет назад
hiii harusiii tamu nme have fun
@juliusmwinga4051
@juliusmwinga4051 7 лет назад
heko kaka. may God bless your union.
@didamugya6039
@didamugya6039 7 лет назад
Mpoki kanifurahisha😂😂😂
@maryndomba7028
@maryndomba7028 7 лет назад
Tishaaa mbayaaaaa
@ibraimoali8113
@ibraimoali8113 6 лет назад
were noma joti!
@mariameena5630
@mariameena5630 7 лет назад
joti umetishaaaaaaaa
@mussamcheto2078
@mussamcheto2078 7 лет назад
kamkubwa umetisha
@tanganyikacherry5672
@tanganyikacherry5672 7 лет назад
Kupatika kwa harusi 😂😂
@MariaMaria-dx6jl
@MariaMaria-dx6jl 4 года назад
Mpokii anabambia
@majimoto75
@majimoto75 6 лет назад
Congrats ❤❤❤❤
@phaustaemma3327
@phaustaemma3327 7 лет назад
Kupatwa kwa harusi ya joti
@missmoona4497
@missmoona4497 6 лет назад
Umeonaeeeh maana mmmh
@maryndomba7028
@maryndomba7028 7 лет назад
Tisha mbayaaa
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yan mpoki
@shadiashadia4701
@shadiashadia4701 7 лет назад
😁😁😁😁😁 joti unavituko ww
@shadiashadia4701
@shadiashadia4701 7 лет назад
Uwiii mpoki 😁😁😁😁😁😁
@salmaramadhan3648
@salmaramadhan3648 6 лет назад
Shadia Shadia hf6:)jbh t.t tdon't really koko aslay tom
@rahmaadam1937
@rahmaadam1937 7 лет назад
Big up
@safarimwaminifu2068
@safarimwaminifu2068 7 лет назад
Rahma Adam joti wewe ni nomaaaa
@mussaharuna937
@mussaharuna937 7 лет назад
aaah nimeinjoi kama nilikuwepo bonge la party
@annamalugu9880
@annamalugu9880 6 лет назад
Mussa Haruna mambo💜💛💚💓💝💟
@ibrahimayubu4182
@ibrahimayubu4182 5 лет назад
@@annamalugu9880 ex
@saram3530
@saram3530 7 лет назад
Hapatishi kbsa
@petershigemelo4973
@petershigemelo4973 7 лет назад
😂😂😂😂😂😂Joti mtambooo
@mahmadougronkjaer8316
@mahmadougronkjaer8316 7 лет назад
kusema kweli mpoki hajui kuchekesha anafosi tu
@jumaislah1392
@jumaislah1392 7 лет назад
mahmoud mbonde mamaaaa duh watanzania bhana
@jumaislah1392
@jumaislah1392 7 лет назад
mahmoud mbonde broo cjawah comment kitu RU-vid lkn ulichongea co sahh
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 7 лет назад
mahmoud mbonde ni mtazamo wako tu,hila yuko vizuri zaidi ya unavyomfikiria
@wahindiakwembe8066
@wahindiakwembe8066 6 лет назад
Jot salut
@jonkomba7406
@jonkomba7406 7 лет назад
this is amizing joti😂😂😂
@thadeomwaipaja5876
@thadeomwaipaja5876 7 лет назад
Limpoki nalo lioe siyo kubambia tu wa ubavu ya wenzake!
@halmasaidi6688
@halmasaidi6688 7 лет назад
Thadeo Mwaipaja 😅😅😅😅umnchkeshaa
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Mashallah congratulation joti
@tolekakipira9415
@tolekakipira9415 7 лет назад
Hapo kwa lingara ndio pake hapo joti kimbinda ikoi
@mamadavido9129
@mamadavido9129 7 лет назад
Saumu Hassan .
@ibrahimayubu4182
@ibrahimayubu4182 5 лет назад
Unholy
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 7 лет назад
yan joti umetoboaaaa mbyaaaaaaaaa
@jasminebaibe7355
@jasminebaibe7355 6 лет назад
tisha mbayaaaa😂😂😂😂
@nurudinaidan6978
@nurudinaidan6978 6 лет назад
hlw
@halmasaidi6688
@halmasaidi6688 7 лет назад
bella ww njacline hongreni kila shughuli mko muwe nmoyo huo huo
@sassboy9360
@sassboy9360 7 лет назад
Joti nyoko
@lucyjoseph7845
@lucyjoseph7845 5 лет назад
Hatareeeeeeeeee
@jemsjems8311
@jemsjems8311 7 лет назад
Hatereeeee
Далее
WATAZAME   CHRISTIAN BELLA NA JOTI KWENYE NGOMA MBILI
12:49
UTANI WA MCHEKESHAJI MPOKI KWA WANAWAKE WANAOVAA MAWIGI
10:26