Тёмный

HATIMAE SERIKALI TANZANIA YATOA TAMKO, KUHUSU KUWAAMISHA WAMASAI NGORONGORO, LOLIONDO 

HABARI 24
Подписаться 220 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us assengablogtz@gmail.com

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 9 месяцев назад
Mnawathamini wageni kuliko wananchi tena waarabu Mungu usimame na wamasai mmewaonea sana wamasai sad inasikitisha sana
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz 9 месяцев назад
Ni hatari sana 😭😭😭😭😭😭😭😭
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 месяцев назад
Mnachuki na waarabu na mkipewa misaada hamsemi kitu
@FredrickKagusa-wt9bw
@FredrickKagusa-wt9bw 9 месяцев назад
​@@alzawahirabdallah2299misaada lazima watupe sisi tuu kwanini wasiwape hamasi
@richkinji2583
@richkinji2583 9 месяцев назад
​@@alzawahirabdallah2299acha uzuzu wewe hakuna anaehtaji misaada yao hao wanaowafata ndo wanakula misaada yao
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 8 месяцев назад
Kwanj waarabu wanatusaidia nini. Uongozi wa mwinyi, kikwete na samia wabaubia na waarabu kwa maslahi yao. ​@@alzawahirabdallah2299
@Zenny89
@Zenny89 9 месяцев назад
Wamasai wamejikalia zao mbaliii wamewaachia mijini yenu na umeme wenu..kiherehere cha kwenda kuwasumbua na kuwahamisha ni nini??? Wanyama pori na Wamasai wameishi pamoja tokea Enzi za kale..wivu tuu!!!
@mwanabucheyeki226
@mwanabucheyeki226 9 месяцев назад
Ina maana umejitolea Kujibizana na Bunge la Ulaya ambalo limepiga Kura Wabunge zaidi ya 400 wameitaka Serikali ya Tanzania iache mara moja kuwabughudhi Wamasai wa Ngorongoro na Loliondo, wasihamishwe! Wabunge 20 pekee wamekubali Wamasai wahamishwe! Hikika ipo Kazi!
@robertigohe7477
@robertigohe7477 9 месяцев назад
Wamasai wanatetewa na bunge la playa, Bunge letu uozo mtupu
@Missionary_work
@Missionary_work 9 месяцев назад
😂Kama kweli hivi. Ila Wewe jamaa mkali. Hakuna Waarabu kule....?😅
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 9 месяцев назад
Co kwa serikali tunayo ijua iwape watu nyumba bule na fidia kuna kitu chini ya capeti Mafuriko juzi mmeshindwa kuwajengea
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 9 месяцев назад
Unajua wewe huna akiliwala elimu ila hujui
@ZakayoJoseph-g5p
@ZakayoJoseph-g5p 9 месяцев назад
You must to think more than
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 9 месяцев назад
@@ZakayoJoseph-g5p more than what
@Barakatobiko-r5s
@Barakatobiko-r5s 9 месяцев назад
Serekal ya Tanzania Ni ya kipumbavu sana
@shahakaisi1920
@shahakaisi1920 9 месяцев назад
Safi sana kazi nzr, natamani na maneno mengine mngefanya hivyohivyo.
@BozaDizamile-u1d
@BozaDizamile-u1d Месяц назад
Kwa Nn Waarabu Wasipewe Kizimkazi Zanzabar Na Wakaziwake Wakapekwa Msomela?
@Felix-e6t4m
@Felix-e6t4m 11 дней назад
asanteni sana watanganyika Samia Wacha kuuza nchi yetu kama kuku akome kabisa
@jeremiangarai5097
@jeremiangarai5097 9 месяцев назад
Iyo siyo hiari serikali inatumia nguvu sana kupitilisa kiasi mm ni mwana ngorongoro tangu serikali kuanzisha zoezi hili maendeleo imekatizwa ndani ya ngorongoro mpaka
@Emmanuelmbai-in8ie
@Emmanuelmbai-in8ie 9 месяцев назад
Kati ya majeruhi ya wamasai na wanyama ngorongoro na hajali za magari barabarani semu mbalimbali ichni kwetu Madhara saidi Yako wapi
@SakayaMeshili
@SakayaMeshili 9 месяцев назад
Mungu atawasaidia wamasai
@SimonMaika-s3v
@SimonMaika-s3v 9 месяцев назад
Tutamkumbuka baba wa taifa
@godfredkimaro3292
@godfredkimaro3292 9 месяцев назад
We mzee ukiamishwa pale kwenu utajisikiaje jamani wacheni Wamasai.
@abdulswamadabdallashee5802
@abdulswamadabdallashee5802 9 месяцев назад
Hogeraa mama samiya mungu azidi kukubariki kuwafanyia wamasaii mambo mazuri nakuwatendea haki
@ezekieltate4877
@ezekieltate4877 9 месяцев назад
Hakuna mambo mazuri tunayofanyiwa kaka,hakuna hayo ni maneno tu ukitaka kupata ukweli fika ngorongoro na utapata ukweli. Pia hatuwezi kutunza mazingira yetu ngorongoro alafu mwarabu aje akae hiyo haikubaliki.msemaje wa serikali hasemi ukweli na wala hajui hayo ni maneno tu lkn Mungu yupo tunaamini kwa nguvu ya mwenyezi mungu
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 9 месяцев назад
Yan ulaya wanatuamuliaje maisha yetu lazima wahame
@IzoAlashula
@IzoAlashula 8 месяцев назад
Kaka wew auna akili ata kidg ufai kuwa kiogosi ata kidg
@jimmykurya8554
@jimmykurya8554 9 месяцев назад
Kwani ninyi mnapatakia nini? Nyie mmeambiwa kulinda asir ya viumbe hai ,,bado mnalazimisha waarabu wakae pale , !!
@ruwaichijoseph5946
@ruwaichijoseph5946 9 месяцев назад
Hivi mtu mzima kusema bila aibu mwogope Mungu,anakujua hata hujasema
@shahakaisi1920
@shahakaisi1920 9 месяцев назад
Halafu mtu mzima huyohuyo anacoment Kwa mihemko bila kuelewa mambo jinsi yanavyokwenda, bahati ilioje Kwa hao wamasai kujengewa nyumba bule wapewe na mashamba bule, wakati Kuna wantanzania wengine nchi hii wamehamishwa maeneo Yao na kuvunjiwa nyumba zao, na hawajapata hata shilingi, Leo hii eti tuone wamasai wanaonewa? Kweli kwenye safari ya mamba na kenge wamo.
@allenblackamerica7199
@allenblackamerica7199 9 месяцев назад
Nchi inawatu wake ,,, nyie wenyeji wezangu tuimbe mungu nibebe
@godfredkimaro3292
@godfredkimaro3292 9 месяцев назад
Waarabu wana hela lazima Wamasai waame,iyo inaitwa mwenyehela mpishe.
@BarakaNangoro
@BarakaNangoro 9 месяцев назад
Alafu mamazenu wakae huko ngorongoro au hao biumbe vyenu waarabu
@SilasKuuan
@SilasKuuan 9 месяцев назад
Mungu pekeyake ndio mtenda haki kwa wanchi wangororo mungu simama nasi 🙋🙋🤦🤦
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 9 месяцев назад
Piga fimbo hamisha wote mbona mtwara walikula fimbo
@erastomathias911
@erastomathias911 9 месяцев назад
Hivi tumelogwa na nani hii Tanzania
@success-only
@success-only 9 месяцев назад
Serikali ya wezi Kazini Mpeni mwaarabu fidia aondoke loliondo Halafu wamasai waende wote loliondo kuliko kuwapeleka maneno kame na yenye migogoro ya Ardhi,
@partysekemi5
@partysekemi5 9 месяцев назад
Acha uongo nyie ni manyangau wanaotaka rasliMali ya nchi mlifanyaje ifadhi ya arusha na tayari ni kiziwa endeleeni kuuza nchi iko siku na nyie mtatoka kwa nafazi zenu uridhi uridhi kwani kuna dunia bila watu?
@matukutajuma156
@matukutajuma156 9 месяцев назад
TATIZO HAMUELIMISHI JAMII KABLA YA UTEKELEZAJI INAWEZEKANA NIA NI NJEMA PIA SHIRIKISHENI KWA UWAZI WANANCHI KWENYE MAAMUZI NA SIO VIONGOZI WA KIMILA PEKEE!
@robertigohe7477
@robertigohe7477 9 месяцев назад
Kuna uozo ndiyo maana hawezi kuwa wazi kamwe haitatatokea ktk awamu hii,mambo yote yanafanyika gizani
@KhadijaHassan-dk1ji
@KhadijaHassan-dk1ji 9 месяцев назад
Achen kuongelea udin
@ezekieltate4877
@ezekieltate4877 9 месяцев назад
Hakuna elimu inayotolea au iliyowahi kutolea kwa wakazi wa ngorongoro,hakuna na wewe ni muongo.
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 9 месяцев назад
G .Bush eneo 😂 pesa shikamo
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 9 месяцев назад
Mbona nyie hamhamushi mama zenu muwapeleke msomera?
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 9 месяцев назад
😭😭😭👊👊🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 9 месяцев назад
Mmetutea utumwa wa waarabu Du sad wamasai ndugu zetu poleni inauma sana
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz 9 месяцев назад
Utumwa ni hatari sana
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 месяцев назад
Na bado tushamaliza la bandari sasa tunaenda Airport tuliaaa
@robertigohe7477
@robertigohe7477 9 месяцев назад
Siyo wamasai peke Yao,ni watanzania wote
@success-only
@success-only 9 месяцев назад
Hivi kwanini hamsemi ukweli? Mnazungumzia ikolojia Je mwaarabu anayewinda kwa kutumia ndege usiku na mchana mbona hamsemi wkt mnalichukua ardhi muweze kumpa ? Muwe wakweli acheni utapeli, pesa kidogo tu za mwaarabu mnaawaua raia ili mule pesa
@shahakaisi1920
@shahakaisi1920 9 месяцев назад
Hao wamasai wamekaa hapo miaka mingapi na wamepata nini? Leo hii wanajengewa nyumba Bure wanapewa mashamba ya kulima na kuchumga mifugo Yao Bure, halafu wanatokea kenge wengine mnaponda,watu wangapi nchi hii wamehamishwa maeneo Yao na nyumba kubomolewa na hawakupata fidia yeyote?
@success-only
@success-only 9 месяцев назад
@@shahakaisi1920waliokaa kwenye mashamba wamepata nini ? Na Nani aliyekuambia wamasai wanahitaji mashamba , Hakuna watu wa kuwapa mashamba hayo ? Vipindi vyote tangia Uhuru WA nchi hii hawakuwa wanahitaji ila ni kipindi cha Utawala WA kuridhi ?
@richkinji2583
@richkinji2583 9 месяцев назад
Picha ya x
@allysimu6856
@allysimu6856 9 месяцев назад
Nibola yahao walabu kuliko hao wanaotuletea ushoga watanzia acheni mitazamo duni na udini je wangepewa waitari mngepiga kelele acheni udini Tena acheni kabisa tunataka amani mungu lilinde taifalangu.
@JohnValle-xn1dx
@JohnValle-xn1dx 9 месяцев назад
Muarabu ndo mashoga wakubwa duniani kaa na warabu uone tabia zao, na warabu hawatambui dini wa Tanzania munapenda kujipendekeza kwa warabu
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 9 месяцев назад
Wewe ndo lijitu la dini
@wilsonkilong2944
@wilsonkilong2944 9 месяцев назад
Hapo kabla ya kumega lile eneo la Loliondo kuwa hifadhi mpya ya mwarabu, hao wanyama wanaohama walikuwa wanapita wapi? Kwa miaka mingi sana, kulikuwa hakuna wanyama wakali wa kuwashambulia?
@juliusdonard933
@juliusdonard933 9 месяцев назад
Nashukuru serikal kufanya hivii Hao IHR sometimes n mapapety ndo hawaa ulaya wanatukalia vkao vya kipuuz wameshdwa wao kupambana na putin wanakuja kwetu wanyonge na mungu atawazibu kwa mambo yao ya hovyoo ,m hua inaniuma sanaa bara la africa kuonewa nankuibiwa malinzetuu then wanatuingilia .
@denismisango6166
@denismisango6166 9 месяцев назад
Kwa hiyo? Huu ni uonevu hata hao waliojiandikisha ni vielelezo tu ili serikali itimize lengo lenu Muogopeni Mungu ipo siku mtajibu
@DICKSONTimoth-xk7rj
@DICKSONTimoth-xk7rj 9 месяцев назад
Ni wapumbavu tu hawapaswi kutuingilia kwenye masuala ya ndani ya nchi yetu hii nchi ni huru ina sheria na taratibu zake
@KasangaKalanga-vo6od
@KasangaKalanga-vo6od 9 месяцев назад
Muongo wewe, MUNGU anakuzikiliza
Далее
I Did This With Coffee! 🤯☕️ #shorts
00:22
Просмотров 215 тыс.
LIVE: UN Security Council meeting on the Middle East
2:41:45
U.S. State Department press briefing: 10/1/24
1:41:00
Просмотров 17 тыс.
I Did This With Coffee! 🤯☕️ #shorts
00:22
Просмотров 215 тыс.