Тёмный

HATUA NNE ILI USHINDE KATIKA MAISHA YAKO!( VISIMA VINNE VYA ISAKA) 

Подписаться
Просмотров 34 тыс.
% 329

Опубликовано:

 

18 дек 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@hbdina
@hbdina Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Mahubiri yako Pastor David safi sana.Jehova/Yahew Baba Mungu ashukuriwe Amina
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 4 месяца назад
Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen Nazidi kubarikiwa na mahubiri yako Mtumishi wa Mungu Barikiwa sana🤲🤲🙌🙌🙌🙌
@judithcherono2595
@judithcherono2595 4 года назад
Hallelujah Amen barikiwa pastor
@christianekisimba
@christianekisimba Год назад
Amen amen amen, kabisa nani nifikiye bersheba sasa bwana yesu.
@kalebujacob8323
@kalebujacob8323 5 лет назад
Somo nzuri sana barikiwa mtumishi wa Mungu
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 5 лет назад
Ubarikiwe sana PR masomo yako yananisogeza karibu na Baba yetu Wa Mbinguni
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 5 лет назад
Ubarikiwe sana mtumish kwa kazi hiyo ya Mungu wetu Alie hai nauendelee kutumika kwa jina la Yesu Kristo Amina
@shulestuff
@shulestuff 5 лет назад
Hicho kisa vile ulivyo lelewa imeniguza kweli...umenikumbusha utoto wangu..kweli Mungu hututoa mbali
@lutemahindiakaje5046
@lutemahindiakaje5046 5 лет назад
Ninabarikiwa na somo la "Visima vya Isaka" BWANA na akutumie zaidi Pr David A Mmbaga
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 3 года назад
Amen
@naomimiriamkwendo543
@naomimiriamkwendo543 5 лет назад
Ubarikiwe zaidi Mtumishi kwa somo nzuri.Tumtangulize Mungu kwanza katika kila jambo.Hakika hakuna mafanikio bila kupambana na kustahimili.
@mkapajoseph7988
@mkapajoseph7988 4 года назад
Nabarikiwa sana mchungaji!
@dayocha1855
@dayocha1855 4 года назад
Napenda mahubili ya mchungaji mbaga maana huwa namwelewa Sana maana anafanya napenda neno la mungu .... Balikiwa sana mtumishi
@mahubirionlinetv1532
@mahubirionlinetv1532 5 лет назад
Pr, tunabarikiwa sana, kwa mafundisho yako!!! Kutoka Iringa.
@bedamnamalalikonda1124
@bedamnamalalikonda1124 4 года назад
Asante kwa baraka za somo zuri Pastor!
@jaqlinemsaki7263
@jaqlinemsaki7263 5 лет назад
Nabarkiwa sana, leo nimeamini Sk nilipo funga nikiwandani y Maombi mwezi huohuo Nikapoke phone Viza imetoka naitajika Kuondoka ndani ya Mwaka mzima nasubili Viza haitoki sk nilipo funga nakuomba Nikajibiwa ndani ya week, Maisha yn yanaushuhuda Mwingi kumshuhudia Kristo Sk Moja nitafanya kz y Bwana wng
@yusuphzakayo702
@yusuphzakayo702 5 лет назад
Amina Pr. Ubarikiwe Sana somo limenigusa
@jaqlinemsaki7263
@jaqlinemsaki7263 5 лет назад
Ubarikiwe sana 😂 kama huku Nilipo mtu akitaka kuolewa ndo anataftiwa mtu amfunze kz z Jiko😂 from Dubai 😂😂
@GdddsHddd
@GdddsHddd 3 года назад
Barikiwa sana pastor
@joinamnisi4949
@joinamnisi4949 5 лет назад
Amina.
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 4 года назад
NIMEFIKIA BEERSHEBA SASA KATIKA JINA LA YESU KRISTO.UBARIKIWE SANA BABA YETU.
@nditezesimon5389
@nditezesimon5389 5 лет назад
barikiwa pastor...karibu zanzbar
@violetjoseph8649
@violetjoseph8649 5 лет назад
Somo zuri sana barikiwa
@rosejonhsoni7302
@rosejonhsoni7302 5 лет назад
Amina mchungaji, naomba huduma ya maombi pia
@neemamakwani9715
@neemamakwani9715 5 лет назад
Ubarikiwe Pastor kwa somo zuri
@gitanokambarage8789
@gitanokambarage8789 5 лет назад
Amina na ubarikiwe sana mchungaji
@akinyisusan8049
@akinyisusan8049 5 лет назад
Barikiwa sana mchungaji asande kwa mafunzo mazuri
@elizabethtondo5178
@elizabethtondo5178 5 лет назад
Mungu akubari nabarikwa na masomo yako mchungaji
@rhinakiza
@rhinakiza 4 года назад
Amina👏👏👏
@GoldenBoy-kq1wc
@GoldenBoy-kq1wc 3 года назад
Amina sana
@ntweigatv7597
@ntweigatv7597 5 лет назад
amina
@stephenmanyonyi2776
@stephenmanyonyi2776 2 года назад
Muchungaji kwa kweli unanibariki moyo wangu saana laiki ningefunuliwa siri ya mungu mapema,muhimu niombe nifanyike makudi ya mungu naamini nimepata kitu kwa mafundisho nitafwatilia hadi nimwelewe mungu zaidi,Lydia oneya from Kenya amen and amen.
@jackschannel6556
@jackschannel6556 Год назад
Amen! Amen! Amen!🙏
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 4 года назад
ADI RAHA BANA...MAFUNDISHO YAKO NI UPONYAJI MTUPU.
@GdddsHddd
@GdddsHddd 3 года назад
Wakenya mkowapi tubarikiwe pamoja
@midwife_anitha
@midwife_anitha 5 лет назад
nabarikiwa sana na mafundisho yako
@tonnsimbasportsclub7168
@tonnsimbasportsclub7168 5 лет назад
Amina
@mariamuatukuzwe7504
@mariamuatukuzwe7504 4 года назад
Barikiwa mchungaji
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 3 года назад
Amen
@mzimyadavid1030
@mzimyadavid1030 5 лет назад
Ubarikiwe pr
@rebeccampeta6650
@rebeccampeta6650 5 лет назад
ubarikiwe na Bwana
@agnessevarist499
@agnessevarist499 5 лет назад
Nabarikiwa
@singosingojr6210
@singosingojr6210 5 лет назад
Nyanya zikishuka bei saga ukaogee nyumbani kwako
@bobog9732
@bobog9732 5 лет назад
Amina amina
@jeromecosmas618
@jeromecosmas618 3 года назад
.
@isabelavictor9964
@isabelavictor9964 4 года назад
Amen
@mandwashija4992
@mandwashija4992 5 лет назад
amina
@hoseajames4312
@hoseajames4312 5 лет назад
Amina
@samwelnguvila8793
@samwelnguvila8793 5 лет назад
ubalikiwe
@angel-y
@angel-y 5 лет назад
Amen
@yohananyabu4040
@yohananyabu4040 4 года назад
Amina
@mosesotieno540
@mosesotieno540 5 лет назад
Amina
@priscakihengu4620
@priscakihengu4620 5 лет назад
Amina
@joyceteleho1932
@joyceteleho1932 5 лет назад
Asante kwa neno la kutuhamasisha. Kufanya kazi wengine wanatuambia Pokea utajiri Pokea Gari bila jashp
@timonwilson6679
@timonwilson6679 5 лет назад
Amina
Далее