Тёмный

Hatua Tano(5) Za Kufanya Maamuzi Sahihi 

Joel Nanauka
Подписаться 293 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 86   
@abdulrahmanhassan814
@abdulrahmanhassan814 6 лет назад
Hili somo nilikuwa nalingojea sanaa shukran, nimejifunza kujipa muda wa kufikiria na kuchambuwa jambo kabla sijaliamua
@herlychavdy2932
@herlychavdy2932 6 лет назад
Good giniaz wewe ndio umenifanya mbaka nibadirike nirikuwa siweki akiba sasahv naweka hatar zidi kukonga mioyo yetu kutubadirisha ubarikiwe sana
@priscaenock9926
@priscaenock9926 6 лет назад
Nafaidka Sana n mafundisho yko, barikiwa Sana Kk
@johnfubusa1598
@johnfubusa1598 6 лет назад
Kaka jiwe la leo ni lenyewe hakika limenigusa sana asante sana Mungu akubaliki
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 5 лет назад
Kupangilia vizuri mshahara wangu umenigusa sana barikiwa.
@davidtvonline6020
@davidtvonline6020 5 лет назад
Mada Ni Yangu Kabisa hi ...ASNTE Sana brother Nanauka Kwa kutupa Ufaham kwa Kujifunza Mambo Mengi sana Kutoka ktk Vipindi Vyako...Mungu Akutie Nguvu Sana usichoke
@alphamenson3784
@alphamenson3784 6 лет назад
To kno the priorities in ma life,,,choices btn good n best,,,to see problems as opportunities...this time i recognize dat great thinkin precedes great achievement, n thank you so much brother Joel, I love you so much n Jesus Christ bless you.
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 5 лет назад
Asante barikiwa sana
@yunesnyabonyi1728
@yunesnyabonyi1728 6 лет назад
Asante Sana kaka kwa somo zuri mungu akubarika Sana ,keep it up.
@mariammasatu4785
@mariammasatu4785 6 лет назад
Asante sana bro ubarikiwe mm nahitaji vitabu navipataje
@gervasrobert1057
@gervasrobert1057 6 лет назад
Nafatilia sana clip zako brother najifunza mengi sana mungu akubariki
@happynessruge9016
@happynessruge9016 5 лет назад
asanteee sana bro umekuwa msaada sana ktk maisha yangu
@anthonykimaro807
@anthonykimaro807 6 лет назад
Asaantheeee my dear brother barikiwaaaaaaa Sana. Nazidi kujifunza kwa ubora na uzuri zaidi. Nakupenda
@malalezengo4405
@malalezengo4405 6 лет назад
safi sana sana mwalimu wangu somo zuri sana
@mariammariam2475
@mariammariam2475 6 лет назад
tunakuelewa kaka shukran
@adrianaciku1812
@adrianaciku1812 6 лет назад
Since i started listenin to ur videos and read the book poordad rich dad i have decided to quit my job and follow my passion
@dyandavid666
@dyandavid666 6 лет назад
Wonderful message
@hamisimusaa1698
@hamisimusaa1698 4 года назад
I'm provide from ideal and says brother thanks very much
@kharifasiraji3446
@kharifasiraji3446 2 года назад
Nikwer joeli mi tatizo langu ni kubadilisha kazi ila changamoto kubwa ni wazizi awataki sijui nifanyeje
@beatricemachundesautiikoch2242
nimeanza juzi tu kupata masomo yako hakika mungu akaubariki sana ananisaidia sana ila tutembelee na mikoani na nimejigundua udhaifu na njia kutataua
@jonsaclajohn6979
@jonsaclajohn6979 2 года назад
nimejifunza umuhimu wa kutyumia mda wangu vizuri na jinsi ya kutunza kipato changu kwa faida ya badae
@amosdesire568
@amosdesire568 6 лет назад
Ulichosema n sahihi bro barikiwa sana
@benjamininyambaso5041
@benjamininyambaso5041 6 лет назад
Asantee mwalimuu
@peterdaniel9481
@peterdaniel9481 6 лет назад
Nimejifunza sana broo God bless you
@patrobadaniel8371
@patrobadaniel8371 6 лет назад
nakubali sana mkuu wangu
@seifshikeli8854
@seifshikeli8854 6 лет назад
Shukrani sana kaka kwa darasa
@Mwamba67
@Mwamba67 6 лет назад
Asante sana kaka....!
@willbroadloatha2305
@willbroadloatha2305 6 лет назад
Kaka Joel nilikua naomba unipe elimu;kuna rafiki yangu amekua confused na maisha alimaliza form6 2017 akakosa principle 2 za kwenda university akahamua kuresit kutafuta principle mwaka huu akamaliza bt bado mambo yamekua vile vile na wazaz wake hawana uwezo wa kumpeleka chuo.....kipind hiki kwake ni kigum sana amekata tamaa ya maisha ameona maisha kwakwe ni shida tabu na mm nataman kumsaidia naomba elimu ya kumpa....
@samwelalex8417
@samwelalex8417 6 лет назад
Nice brother. Nimejifunza kitu kikubwa sana. Now naanza kuact as well.
@magdalenawanja2690
@magdalenawanja2690 4 года назад
Kuondoa baadhi ya watu kwenye maisha yangu💃💃
@isayampogole4370
@isayampogole4370 6 лет назад
ubarikiwe kaka ,I see me at the top🙏🙏👍👍
@janeljulius4938
@janeljulius4938 6 лет назад
Nzuri hyo kaka. ...nakufuatilia xn unatupa hamasa kweli
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 6 лет назад
Ubalikiwe sana bro
@rojahussein3131
@rojahussein3131 5 лет назад
Br unajua sanaaaa
@nalihamad2451
@nalihamad2451 4 года назад
Uko vzr my brother mungu akulipe kila la heri je km mtu ana maswali akutafute kwa njia gani?
@martinmag7202
@martinmag7202 6 лет назад
naomba ndugu yetu ungeunda tu group utusaidie ni mengi tunayo ikiwa maswal . asante
@moshiramadhan1082
@moshiramadhan1082 5 лет назад
your a genius brother
@eliudikijuzi4909
@eliudikijuzi4909 3 года назад
Thanks
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 лет назад
Asant sana mwalimu wangu Nanauka
@shukranjulius7310
@shukranjulius7310 6 лет назад
Kaka MUNGU akubariki sana
@GodfreyMkodo
@GodfreyMkodo 6 лет назад
Nimeielewa hyo bro Your The Best
@jasminesaid6358
@jasminesaid6358 6 лет назад
umenigusa sanaa tena sana
@furahabaraka2705
@furahabaraka2705 5 лет назад
yan brother kinach nisumbua mm matumiz y hel nashindw kutumia pes ipasavy nisaidie kanun z kuepuk matumiz zisiz n maan pls broo help m
@worshipertv9968
@worshipertv9968 6 лет назад
Asante sana Bro
@leilahashim4207
@leilahashim4207 6 лет назад
Elias Emmanuel nice
@anthonymwandu2615
@anthonymwandu2615 6 лет назад
asante
@francsadock3062
@francsadock3062 5 лет назад
Kiukweli ktk somo la leo limenijenga mnoo,
@elfadhilsteven7308
@elfadhilsteven7308 6 лет назад
Nice
@peterdaniel9481
@peterdaniel9481 6 лет назад
Alternative solution imenisaidia sana
@mariamhabiba5762
@mariamhabiba5762 2 года назад
Naweza kupata namba zako namuda niweze kujielezea
@mwanaimanali7133
@mwanaimanali7133 6 лет назад
asant sana kak joel
@franceskayombo5967
@franceskayombo5967 6 лет назад
nimekuelewa sana mkuu. but nahitaji kitabu chako Nipe muongozo nipo morogoro
@raginauthor1881
@raginauthor1881 6 лет назад
Ndani ya dakika moja, niko hapa
@offdutyjungle_farms4551
@offdutyjungle_farms4551 6 лет назад
RAGIN AUTHOR ....tupo wengi
@azzeaazza6331
@azzeaazza6331 6 лет назад
Ahhhhh unavishindo wewe
@melissamhumbira147
@melissamhumbira147 6 лет назад
Kuachana na mpenzi wangu
@anisetnyaki750
@anisetnyaki750 6 лет назад
Melissa Mhumbira Nimeipenda Hii
@Almisbahy9551
@Almisbahy9551 5 лет назад
Nmejifunz Kitu Muhim Xna Kaka Joel , Ttzo Lngu Naez Nikapanga Mpango Wa Biashara Na Mwanzo Nikauamin Kabis Unaez Nipatia Pesa Lkn Mwisho Wa Cku Najikuta Naanza Kuukatia Tamaa Na Kuuacha Kabisa Hapa Nilipo Plan Za Biashara Ambazo Zishapita Akilin Mwangu In Zaid Ya Hamsun Lkn Mwisho Wa Cku Hakuna Nliojarib Hats Moja Najikuta Naikatia Tamaa Nin Hasa Sababu Ya Tabia Hii
@abuuharuna4278
@abuuharuna4278 6 лет назад
niliwahi kumuacha dem naempenda iliniuma sana ila ilinibidi nimuache sababu alinificha harafu baada ya kuwa nae kwa muda kama wa miezi 4 haraf nikagundua ni mwanafunzi ha nikaona jela inaita niliahilisha kufanya maamuz kama mwez mzima kila nikijalibu nashindwa chezea mapenzi ila mala ya mwisho nikaona potelea mbali bola maumiv ya moyo ya muda kuliko jela miaka 30 nikamuacha. ila niliumia nilikuja kuzoea miez kama 8 ndo nikaanza kumfuta akilini
@aishaomar4318
@aishaomar4318 5 лет назад
Nimeipenda hii mana kunakitu nakitaftia maamuzi nini miezi 6 sasa .sijakipatia maamuzi sahihi.
@offdutyjungle_farms4551
@offdutyjungle_farms4551 6 лет назад
Bila clip zako wiki yangu inakua ngumu sana
@raginauthor1881
@raginauthor1881 6 лет назад
naona ulisuburi alfajiri kimya
@azzeaazza6331
@azzeaazza6331 6 лет назад
Mm huwa naumwa. Sana nicpo mckilza Mwalimu
@amourali6057
@amourali6057 5 лет назад
Mr. You always do the best. You always help me in my life. I really wish to see you my dear teacher. Iam extremely interested for your life lessons
@awenanassor3169
@awenanassor3169 5 лет назад
@@azzeaazza6331 pole
@azzeaazza6331
@azzeaazza6331 6 лет назад
Nakuelewa Mwalimu nachukia umasikini nandio mana nimetatua tatizo kaw kutafuta pesa
@kelvinnyambo3076
@kelvinnyambo3076 6 лет назад
maamuzi namba tano ( act) nimekua mgumu sana kuchukua hatua
@raginauthor1881
@raginauthor1881 6 лет назад
leo imechelewa sana
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 4 года назад
🙏
@sundaymariba360
@sundaymariba360 6 лет назад
Da nashindwa kujua nikomenti vp? Kaka ila asante kwa elimu yako
@giftelia5535
@giftelia5535 6 лет назад
Define the problem
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 лет назад
Maamuz ninayotakiwa kufanya mimi ni kuachana na ajira!!naamini hakuna tajir yeyote duniani ambae ametokana na ajira!So ili nifanikiwe najifunza kufata passion yangu!ajira inanichelewesha
@richardsalvatory3186
@richardsalvatory3186 5 лет назад
duuuuuh
@evakweka2578
@evakweka2578 4 года назад
Bando langu nalimalizia apa kaka asnte kwa somo.
@skychamitv4091
@skychamitv4091 6 лет назад
Betting but nishakuwa addicted how stop it plz
@zainashaha2935
@zainashaha2935 6 лет назад
maamuzi niliyojifunza ni ya namba5 yani kazi ninayofanya hainilipi natamani kufanya maamuzi ila sasa nikiacha itakiaje maisha?
@fenyotzmlekwa7590
@fenyotzmlekwa7590 6 лет назад
Kwa kwely umekuwa msaada mkubwa ,maamuzi yangu sahihi ni hapo kwenye kwenye act
@offdutyjungle_farms4551
@offdutyjungle_farms4551 6 лет назад
Maamuzi yaliyo wahi kunitesa niliuza kuku zangu zote nikaangia kwenye kilimo cha maharage bila analysis hahahaha kilicho tokea sasa Hadi kesho sitakaa nikasahau
@azzeaazza6331
@azzeaazza6331 6 лет назад
Ahhhhh pole sana Mwalimu yupo hapa ata kusaidia unarudia zaman
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 лет назад
Hongera kwa kupambana !ndio tabia za biashara za mfumo huu,karibu tufanye biashara isiyo na majuto rafiki!
@mixland2553
@mixland2553 2 года назад
Kupunguza watu
@shukranjulius7310
@shukranjulius7310 6 лет назад
Kaka hauna grp kwenye watsAp
@johnitembe7581
@johnitembe7581 6 лет назад
Shukran julius ,tuma namba yako nikuunge kwenye group alilopo
@shukranjulius7310
@shukranjulius7310 6 лет назад
@@johnitembe7581 91909412
@johnitembe7581
@johnitembe7581 6 лет назад
Shukran julius nipo na kaka Joel grp moja
@herimailo8183
@herimailo8183 Год назад
Apa Sasa nikweli maamuzi ni sahihi kuanzia leo
Далее
EPUKA VITU HIVI VINAVYOPOTEZA MWELEKEO - JOEL NANAUKA
9:31
aespa 에스파 'Whiplash' MV
03:11
Просмотров 35 млн
DIY Pump Solutions
00:18
Просмотров 2 млн
UCHAMBUZI WA MITIHANI YA UDEREVA
7:49
Просмотров 28 тыс.
DALILI 4 ZA WAKATI WAKO WA KUINULIWA - JOEL NANAUKA
7:43
Kujenga Uwezo Wa Kufanya Maamuzi Sahihi Siku Zote
9:17
VITU VYA KUFANYA KABLA YA KUWEKEZA - JOEL NANAUKA
7:07
MAAMUZI YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO
7:26
Просмотров 47 тыс.
MAKOSA YA KIPESA YA KUEPUKA - JOEL NANAUKA
5:36
Просмотров 166 тыс.