Тёмный
Joel Nanauka
Joel Nanauka
Joel Nanauka
Подписаться
Karibu Katika chaneli ya RU-vid ya Joel Nanauka. Tafadhali Subscribe ili uendelee kujifunza masomo mbalimbali ya kuelimisha na kukuhamasisha kufikia malengo yako. See You At The Top
SET YOUR SELF A PART - JOEL NANAUKA
1:36:31
2 часа назад
HASARA ZA UWEZO MKUBWA JOEL NANAUKA
8:46
14 часов назад
Комментарии
@annajulius9940
@annajulius9940 6 минут назад
😭😭😭😭💔💔💔
@Semsango
@Semsango 2 часа назад
Tunaomba somo Namna Ya Kubadili maadili ama nidhamu ya Mtoto
@Semsango
@Semsango 2 часа назад
🎉
@Evanceedward-e2d
@Evanceedward-e2d 4 часа назад
nimependa sana
@estherkeba24
@estherkeba24 4 часа назад
Namskia joshua selman kwako
@estherkeba24
@estherkeba24 4 часа назад
Namskia joshua selman kwako
@estherkeba24
@estherkeba24 4 часа назад
Aseeee🙏
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 4 часа назад
Kwa kweli hayo yote nilipitia , Kwa jina la YESU nitaweza
@CatherineMinja-dk9hc
@CatherineMinja-dk9hc 6 часов назад
Barikiwa sana Life coacher 🙌
@estherkeba24
@estherkeba24 6 часов назад
Mbinu ya 15 kati ya zipi? mtiririko wa ya 1 mbaka apa tafadhali mwenye kujua🙏
@AbuuSalha
@AbuuSalha 6 часов назад
Nini maama ya bypass????
@user-nc6ve6be4u
@user-nc6ve6be4u 7 часов назад
Asante kaka
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 7 часов назад
Somo zuri Sana coach Joel 🙏
@FelicianJacob
@FelicianJacob 8 часов назад
Barikiwa mtumishi
@saidkhalfan8207
@saidkhalfan8207 9 часов назад
Ahsante sana
@lucyrehema6207
@lucyrehema6207 10 часов назад
Barikiwa Sana Kwa ushauri mzuri Kaka umenitoa Mahali
@williamkilulu2222
@williamkilulu2222 10 часов назад
Nakushukuru sana mpendwa nanauka Mungu awe pamoja nawe katika mipango yako
@avitus-thobias
@avitus-thobias 11 часов назад
Asante sana, Mungu akubariki sana kama ninavyobarikiwa na wewe
@JamesAtilio
@JamesAtilio 11 часов назад
Barikiwa sana umenikumbusha wakati fulani nilikua nikisoma kitabu nikakutana na kisa cha mchumi mmoja anaitwa Cyril Northcote Parkinson, huyu bwana alikuja na sheria au kanuni alioiita Parkinson's Law ni kanuni ya kijamii Inasema kwamba kazi inachukua muda wote uliopewa ili kukamilika. Hii ina maana kwamba watu mara nyingi wanatumia muda mwingi zaidi kuliko ulivyo takiwa kwa ajili ya kutekeleza kazi, Kwa mfano Ikiwa una muda wa siku 7 kuandaa ripoti, kuna uwezekano mkubwa kwamba utachukua siku zote 7, hata kama ripoti hiyo inaweza kumalizwa kwa siku 3. Naungana na wewe kaka mkubwa Kuweka deadline ni muhimu sana. Tuzingatie muda, muda ukipita umepita.
@kelvinidd5173
@kelvinidd5173 12 часов назад
Salute sana Big Thank
@StephanoManyanda
@StephanoManyanda 12 часов назад
Kila ninapo skiliza masomo yako kaka Joel najifunza vitu vingi sana nashukuru Kwa mafunzo yako
@marhaj-products
@marhaj-products 13 часов назад
"Fanyia kazi leo bila kuchelewa" nimeipenda hii Ahsante kwa ujumbe mzuri
@mwlrobinson
@mwlrobinson 13 часов назад
❤❤❤❤
@mariamdavid957
@mariamdavid957 13 часов назад
Joel rudi kwenye ile saut ya siku zote ya taratibu😅
@HalimaAmadi
@HalimaAmadi 10 часов назад
Anatuambia kwa msisitizo ili tuelewe zaid😂😂
@eliastanda9825
@eliastanda9825 10 часов назад
Anarekod kitabu
@mariamdavid957
@mariamdavid957 9 часов назад
@@HalimaAmadi aa!hii sauti inanifokea sana ile ya taratibu ndio nzuri
@mariamdavid957
@mariamdavid957 9 часов назад
@@eliastanda9825 aaa basi ndomana
@onesmoaron4378
@onesmoaron4378 13 часов назад
Uko vzri mkuu
@eliasmugume254
@eliasmugume254 13 часов назад
Asante Sana Kwaushari mkubwa Mungu Akubariki Sana
@saidalhabsi9257
@saidalhabsi9257 14 часов назад
Wakwanza
@user-qk8bl9dr1n
@user-qk8bl9dr1n 14 часов назад
Kweri sipo hapo
@tinakamukulu3048
@tinakamukulu3048 18 часов назад
Asante sanaaa🎉
@mchattachattanoga7795
@mchattachattanoga7795 19 часов назад
Mafunzo yako ni mazuri kaka
@cyriluskaijage4227
@cyriluskaijage4227 19 часов назад
This is more than powerful 🔥 Thank you @Joel Nanauka
@NotasMakoye
@NotasMakoye 19 часов назад
Nakukubali kk joel kwa salisafa zako
@vanessasalema6087
@vanessasalema6087 20 часов назад
Noted.
@Alexijustin
@Alexijustin 20 часов назад
Apo ku chati njo una nigusiye mimi niko congo🇨🇩 sijuwi nitakuona aje nikup gift 😢😢🎉
@AshirackAbdalah
@AshirackAbdalah 20 часов назад
Hiii nmechukua
@BoniphaceManasse
@BoniphaceManasse 20 часов назад
Big up San brother.
@barikiyesaya8582
@barikiyesaya8582 20 часов назад
Amazing lesson be blessed
@AlaminMohd-it7xr
@AlaminMohd-it7xr 21 час назад
Mimi ni wasi wasi na hio hofu na some time Kuna mahala nikikaaa basi kutokana na wasi wasi na hofu huwa natoka jasho na kutetemeka vibaya😔
@FatmaAhmed-rs2hh
@FatmaAhmed-rs2hh 21 час назад
Watu wanatoka cn nje ya mada
@NguruKamoka
@NguruKamoka 21 час назад
Ubarikiwe Sana
@RoseOnaire
@RoseOnaire 23 часа назад
Jamani Mimi nimeathilika kisaikolojia yaaaani sina furaha na chochote nawazs kujiua nimejaribu kusikiliza mafundisho lkn nashndwaaa
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 23 часа назад
Mmmh!umeongea kaka ❤
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 23 часа назад
Kaka Joel ubarikiwe mnoo.
@user-gg9xo8lf8w
@user-gg9xo8lf8w День назад
Asante Br kutujuza mambo ya msingi
@AnithaKikoti-q5z
@AnithaKikoti-q5z День назад
Nidhamu ya fedha tatizo sana kwangu,pamoja muda
@euphraziandalahwa-dv4qw
@euphraziandalahwa-dv4qw День назад
Asante sana nimefungua duka nilihofu kabisa kama nitapata wateja
@user-wx6sm7hl5n
@user-wx6sm7hl5n День назад
See you At The Top 🎉
@user-lv7wt6tj4j
@user-lv7wt6tj4j День назад
Asante, kiongozi.
@HaniyaKisingo
@HaniyaKisingo День назад
Madini matupu mungu azidi kukuimarisha kwa ajili yetu unatutia moyo sana❤❤❤