Nakubali sana uwezo wako wa kufikiri. Hongera sana. Ujumbe ufike kwote ulimwenguni. Miti ubeba asili yetu, ubeba utamaduni wetu, Afya yetu, elimu yetu na maisha yetu. Maisha yetu utegemea sana mazingira yetu ya asili. Mungu akubariki wewe na timu yako