Тёмный

HELA YA JENEZA 

Joti TV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 327 тыс.
50% 1

Wana ndugu kumbukeni sio kila mkipata tatizo kwenye familia pesa ya majukumu mnampa ndugu yenu..
Kuna ndugu wana laana na pesa..

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 434   
@azryrazack648
@azryrazack648 Год назад
Joti chizi sanaa nipen Like 100 za kumkubali joti
@usher_bambi94
@usher_bambi94 Год назад
We zann ss like😅😅😅😅😅
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Год назад
We ndo jot hd upate like 100😂
@officialkamdudu
@officialkamdudu Год назад
@@PaulinaSemindu-ob3de like unazipeleka wapi kenge wewe ? acha ushamba 😏
@briandaniel1705
@briandaniel1705 Год назад
Leo nmewahi naomben like ata tano kwa ajir ya joti 🙄🙄🔥
@GeorgeUsele-kr6qk
@GeorgeUsele-kr6qk Год назад
Sawa
@salimmwichum6037
@salimmwichum6037 Год назад
Hongera😂
@officialkamdudu
@officialkamdudu Год назад
like unazipeleka wapi kenge wewe ? acha ushamba 😏
@faidhacute
@faidhacute Год назад
Like ya nyoko
@ماجكموزجوني
@ماجكموزجوني Год назад
And your last day you have to hurry up as well
@dayanaelvinamos9474
@dayanaelvinamos9474 Год назад
Ningekuwa wa mwisho lakini naombeni like zenu ata 3 wapendwa
@daddykaizer8174
@daddykaizer8174 Год назад
heheheh! ila hii team iko na watu safi sana aseeh...combination nzuri sana...
@catherinemanyama9108
@catherinemanyama9108 Год назад
Kuna kulia bem bem bem beeeeem na hamsem 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
@indexchitanda4477
@indexchitanda4477 Год назад
Hela ya jeneza Safi sana tem mzima nawakubali vibya❤❤❤❤
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 jot nikionana na wewe nakuuza bure harafu washiriki wenzio wako vizuri hawaboi wanajua wanajua wanajua tena 🎉🎉🎉🎉
@AbdulazizHussein261
@AbdulazizHussein261 Год назад
Ni nishai Tu na flaqo raz Kenya hakuna mwingine ❤
@chrismuganwa8634
@chrismuganwa8634 Год назад
BURUNDI 🇧🇮 you never disappoint me Joti!
@franklin-yz9we
@franklin-yz9we Год назад
Bem bem beeeeeeem bem ziiiichaaa! Kama 17 mayai 🤣
@DavidMido
@DavidMido Год назад
Yaan
@JumaMfano
@JumaMfano Год назад
Joti number one
@allysudi4429
@allysudi4429 Год назад
😂😂😂 fuso imewaka😅😅
@YashoopatrickYashoo-t1p
@YashoopatrickYashoo-t1p Год назад
Joti ww fara sanaa😂😂😂😂😂
@YashoopatrickYashoo-t1p
@YashoopatrickYashoo-t1p Год назад
😂😂😂😂😂🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@movietvtz5637
@movietvtz5637 Год назад
Marafiki wengine hata sio wazuri wallah sijapenda, imeniuma kweli 😢
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 Год назад
Kuwa makini hasa ukiwa na hela
@movietvtz5637
@movietvtz5637 Год назад
@@samwelimoshi5614 Dah we acha tu
@TbanksOriginal255
@TbanksOriginal255 Год назад
Nimefiwa ila kama kuna party,... Hata angebak kwan angekua Beyonce😂😂Ghaflaa
@HAJIATHUMANI-bs9se
@HAJIATHUMANI-bs9se 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@waluzeomar6853
@waluzeomar6853 Год назад
Uwiiiii joti yani unalia kama engine ya Gari kudadeki Beeeeee Beeeeee Beee 😅😅😅 siiii siiii siii
@Magatiabdul255
@Magatiabdul255 Год назад
Timu yanoti yote ni talented 101%
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 Год назад
Suzi😂😂😂 anasauti anajua kupiga kelele 😂😂😂much love ❤
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Год назад
Wewe jot uchuro si vizuri lakini 👍👍❤❤❤❤
@ndayikezaoscar3467
@ndayikezaoscar3467 Год назад
Nishai analia kama anakanyaga Excelletor ya gari. ANABADILISHA HADI GIA😂😂😂😊😊
@0768-k3w
@0768-k3w Год назад
🤣🤣🤣
@mrafb7224
@mrafb7224 10 месяцев назад
Ahahahaha
@erickmidomsodock8716
@erickmidomsodock8716 Год назад
Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 🤣🤣😂😂
@Oscarokran8133
@Oscarokran8133 Год назад
Sawa ila hii ya Misiba tupumzishe,Mauti zinauma icwe sehem ya Comed..😢
@IluMshana-ni8xf
@IluMshana-ni8xf Год назад
Kweli kabisa
@joharimanyanda3358
@joharimanyanda3358 Год назад
Umeona ee
@zach4068-c9e
@zach4068-c9e Год назад
Kwa kweli
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Год назад
Anapitiliza Sasa joti😢 Sijapentraaa
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Год назад
Kwani kuna atayeishi milele
@jamesgeofrey8692
@jamesgeofrey8692 Год назад
@Joti dis time around you have the right person. Keep them
@iaminnos_7624
@iaminnos_7624 Год назад
Daaaah Joti baba jotii..nimechekaaaaa sanaa et nyumban kuna part mpk wanalia😂😂😂😂😂👏👏👏👏
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Год назад
Ila joti mungu akuweke inshallah 😂😂😂😂😂
@zuanshimchina2278
@zuanshimchina2278 Год назад
Kwa waislam tunasema kwa sote inshaallah%🎉
@MpunduMariam
@MpunduMariam Год назад
Aki joti wewe uyo muliyo nimuliyo wanaina gani?😂😂😂😂😂 mungu azidi kukufikisha mbari pamoja na kundi lako❤🇧🇮🇸🇦
@faidhacute
@faidhacute Год назад
Nlichokuja kugundua na kufuatilia ni kwamba joti anamkubali sana diamond plantinumz
@HASSANTL-m7c
@HASSANTL-m7c Год назад
Jot noma sana😂😂😂
@geofreykayombo401
@geofreykayombo401 Год назад
Mwananyamara laki Tano!!joti Eti unaijua Hadi Bei yake
@natyabdul3410
@natyabdul3410 Год назад
Ukimtoa mzee majuto basi joti ndio G.O.A.T wa comedy tanzania kma unakubaliana na mm gonga like
@mngwallanassoro1217
@mngwallanassoro1217 Год назад
Mr Nishai as usual 😃😃😀😀
@charlzlyimo1982
@charlzlyimo1982 Год назад
hahaha hahaha!! hela ya jeneza!!! haya yanatokea mtaani
@youngssamjr3662
@youngssamjr3662 Год назад
Daah nimecheka sana mungu akutunze joti
@davidmfune1063
@davidmfune1063 Год назад
Yaani joti sijamaliza movie naanza kucheka jamani noma nyingi
@patrickkapisha628
@patrickkapisha628 Год назад
nishai umetisha man
@Immahjr
@Immahjr Год назад
Ameyatimba mzee anacheza miguu Yote 🙌😂😂😂
@ElisioVicenteMadimba
@ElisioVicenteMadimba Год назад
Kkkkkk Uyu Nishai ametisha sana hii video kiukweli schoki kutazama. 😅
@erickmichael9019
@erickmichael9019 Год назад
Kipaji hakijifichi mwamba anatuwakilisha vizuri. Like kama wamkubali lucas mhuvile aka joti
@princepiusaprodisiusmutabu7336
😂😂 ni hatar saana et mzee jot unajua sana
@teeqflavour155
@teeqflavour155 Год назад
Nimekua views Wa 876 Pia comment Yangu imekua ya 112 sijui nilitaka niseme nn au basi nimewa motivation
@JosephMulumbaDunia
@JosephMulumbaDunia Год назад
Nyumbani kuna party hadi watu wanaliya 😂😂
@mussangalili
@mussangalili Год назад
@DORISHyera
@DORISHyera Год назад
Big up mwambaa mungu azid kukuweka na team yako
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn Год назад
Misib imezid jmn joti punguza kidogo
@CosmasMbiro
@CosmasMbiro Год назад
Uyo jamaa mfupi kafanana na gwajima😂😂
@jumaseleman5972
@jumaseleman5972 Год назад
Nyumban kunapati,duu joti noma xana
@Ellybaba-xk9qo
@Ellybaba-xk9qo Год назад
Xo poa masaa mawl viwers xhaziii 😁😁😁
@JamesMwandoje
@JamesMwandoje Год назад
Joti we bwege kweri🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢
@shehaswalehagilagil2343
@shehaswalehagilagil2343 Год назад
Wah hilo jeneza Lita patikan kwa hali hii itabidi alipie jeneza
@meshackaloyce9662
@meshackaloyce9662 Год назад
Jott utafika mbinguni ukiwa umechoka😂😂😂😂
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Год назад
😂😂😂😂
@abdallahomary515
@abdallahomary515 Год назад
Jamaa aingiza mambo kifokifo sana cku hizi cjui anatabiri nini
@sheny4120
@sheny4120 Год назад
hii imeweza 😂😂😂🎉🎉
@Newfacekaboss
@Newfacekaboss Год назад
Love jotti I'm from burundi ebu katuretee mama vandam tnamkumbuka bwanaa
@starjay3052
@starjay3052 Год назад
heee dada me nimefiwa jamani 😂😂🤣🤣
@edsonmunuo7112
@edsonmunuo7112 Год назад
😂😂😂,.ila jotiiii dah yaani you made my day
@sheledeshele1048
@sheledeshele1048 Год назад
Watu hawalali huku,nilidhani mi wa kwanza leo,lakini duuh! Pongezi kwenu aisee
@mrmanuel904
@mrmanuel904 Год назад
This is well done kaka Nishai.
@patrickmukundichalamila3038
Joti kama Ronaldo de Lima wa Brazil kwa kufunga kwa kupiga chenga 😂😂 eti bebee bebeeee
@evanchimbi7121
@evanchimbi7121 Год назад
Leo na me nimewah🙏
@AbuubakarHaji-nm4ww
@AbuubakarHaji-nm4ww Год назад
Leo 4 lake zenu
@GodfreyRItuwe
@GodfreyRItuwe Год назад
Tulikaa kinyonge sana, Tajiri huna baya, Kibanebanee kije kiliwe na nyenyeree, umetisha sana hahaahaha🤣🤣🤣🤣🤣
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Год назад
😂😂😂😂😂😂 eti Angebaki angekuwa Beyonce Sasa 😂😂😂😂
@veronysiwale7832
@veronysiwale7832 Год назад
Heheee nyumbani Kuna sherehe mpk watu wanalia
@tiffahtiffahbaaby6161
@tiffahtiffahbaaby6161 Год назад
Hela ya jeneza hiyo nishaiiii inaitwa tajiriiiii
@KGONLINETV-i7z
@KGONLINETV-i7z Год назад
Aaah apo kutoa lana imenihuzunisha si mahali pa kuchekesha
@rosedagnocutegirl
@rosedagnocutegirl Год назад
Wa kwanza leo jmn msubscribe na kunilike😋
@255og
@255og Год назад
Number one
@starjay3052
@starjay3052 Год назад
dah ila joti 😂😂🤣🤣
@DeogratiasKitenge
@DeogratiasKitenge 7 месяцев назад
Félicitations monsieur Vevo
@athmanywaomary3204
@athmanywaomary3204 Год назад
Ukisema unawai, wenzio wamekesha!!! 😂😂😂😂😂 Joti💥🙌
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
🤣🤣🤣
@BwemeroFelix
@BwemeroFelix Год назад
Ila joto anajua sana
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Год назад
Kwn nishai anapga oni ama vepee nyumbn tmefiwa Ila naona Kama kna,pat
@azizsaleh9402
@azizsaleh9402 Год назад
🌟 🌟 🌟 🌟 🌟 nishai unalia kama fuso
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr Год назад
Huyu jamaa ataendelea kuchukua tuzo za uchekesahaji mpaka anakufa maana hana mpinzan 😅😅😅
@Iddy-pg8kj
@Iddy-pg8kj Год назад
Leo timu imekamilika
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior Год назад
JOTI NUMBER ONE!NA HII TIMU ULIYONAYO USIMTOE HATA MMOJA NI HATAREEEEE
@willylyanda9108
@willylyanda9108 Год назад
Nimewahi na mimi😂😂😂😂
@Suleimankhalid-l2z
@Suleimankhalid-l2z Год назад
Wa kwnza like zang
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 Год назад
Joti week ya pili hii jamanini ni msiba2 misiba ni huzuni na siyo vichekesho tafadhal punguza kidogo kuwa kama zamani maana wapo watu wamefiriwa so na wanamajonzi wanakuja kuangalia comed kujifarij lakini wajiona tena vilio unawakumbusha mbali😢
@swalesale2229
@swalesale2229 Год назад
Msiba ni jambo la kawaida ww,hata mm na ww tutakufa,so sijambo la kufichwa koz tunaelekea huko huko
@swalesale2229
@swalesale2229 Год назад
Kwa hio usiogope msiba
@swalesale2229
@swalesale2229 Год назад
Nishai uko juu
@laizerrikanga1095
@laizerrikanga1095 Год назад
Joti Mjinga Sana Unalia Kama Fiati Bovu 😂😂😂😂😂😂
@gametongwe3539
@gametongwe3539 11 месяцев назад
LEGEND 👑🤣🙌
@JacsonMkwawa
@JacsonMkwawa 27 дней назад
😂😂😂😂😂 daaaah joti 🤜🤜🤜
@jameslucas7161
@jameslucas7161 Год назад
Joti is Martin Lawrence of Bongo 🙌
@Issaali-it4nt
@Issaali-it4nt Год назад
Nakubali
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
Mauti yalivomagumu halafu mnayafanyia comed
@simonandrew1489
@simonandrew1489 Год назад
Good Job Mr Joti with your Team
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 Год назад
Umeweza joti
@PhilimonAmbilikile-ri1iz
@PhilimonAmbilikile-ri1iz Год назад
Kweli gari linapanda mlima joti
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 Год назад
joti hujawai feli😂😂
@juliusjulianho7254
@juliusjulianho7254 Год назад
Wa 51 leo nimejitahidi kinomaaa.
@abdulghanshakuru3973
@abdulghanshakuru3973 Год назад
Watu hamlali nimejua nakuwa kwanza Leo kumbe watu wako macho
@JaneLayson-v3p
@JaneLayson-v3p Год назад
dah joti wewe bwege sana daaah mecheka mpaka nimepalkwa. We got our own Efdy griffin
@starnicky9540
@starnicky9540 Год назад
Mpyaaaaaaaaaa
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Год назад
😂😂😂nimecheka😂😂
@HassanManjeleza-lo6wj
@HassanManjeleza-lo6wj 6 месяцев назад
Joti akiwa analia bna, anazingua sana kma hauna mapafu.. unaeza zima.. 😂😂 analia kma fusoo😂😂
@maulidynassibu-f6i
@maulidynassibu-f6i Год назад
Daah, nimecheka sana asee
@Fils85
@Fils85 Год назад
Shukuru
@Iddimussamwenda
@Iddimussamwenda День назад
Kweli pombe sio chai😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
Mnatamani yatakufikeni
@abdallahathuman9493
@abdallahathuman9493 Год назад
Nice jot
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂pole Kama zoteeeee navijembe marehemu anapewa asinge kuwa beyonce😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@samuelntaconagize1445
@samuelntaconagize1445 Год назад
Respect my brother 😂😂😂😂❤❤❤😊
@kambikashama4619
@kambikashama4619 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Joti Dunia Nyingineee.!
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
😂😂😂😂😂😂😂ivo vilio sasa 😂😂😂balaa
Далее
TUSIKUFULU
8:13
Просмотров 286 тыс.
JIONGEZE MWANANGU
9:23
Просмотров 628 тыс.
БЫСТРАЯ сборка ПК - от А до Я!
00:22
ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?😁​⁠​⁠@osssadchiy
00:20
HELA YANGU YA MCHEZO
9:23
Просмотров 494 тыс.
UMBEA- Shadow,Ray&Sonia
9:09
Просмотров 81 тыс.
GOOGLE
12:31
Просмотров 369 тыс.
NAMTAKA HUYU
10:37
Просмотров 797 тыс.
KAPATA MSIBA
6:38
Просмотров 496 тыс.
MR MACHALE (PART 04)
14:01
Просмотров 186 тыс.
NAWATAKA WOTE
9:13
Просмотров 312 тыс.
CHAWA
10:17
Просмотров 482 тыс.