Тёмный

HIGHLIGHTS: SIMBA 1-1 ASANTE KOTOKO (SIMBA DAY 8/8/2018) 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 1,6 млн
50% 1

Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Simba SC wametoka sare ya bao 1-1 na Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo huo maalum wa kuadhimisha Siku ya Simba (Simba Day) uliopigwa kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam, Asante ndiyo walioanza kupata bao dakika ya 44 kupitia kwa Obed Owusu, na Simba kusawazisha kupitia kwa Emmanuel Okwi dakika ya 76.
Katika mchezo huo pia Simba walikosa mkwaju wa penati kupitia kwa Adam Salamba.
Tazama highlights za mchezo huo kwa mfupi.

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 211   
@izraelsaimon1023
@izraelsaimon1023 4 года назад
Naingalia hii gemu 2020 mulioangalia mwaka huu tujuane hapo chin
@FootballHighlights-zv5bc
@FootballHighlights-zv5bc 3 месяца назад
First game fo Mwamba wa Lusaka Clatous Chama.... Fantastic player
@juliusmichealy1397
@juliusmichealy1397 3 года назад
2021 still watching
@adrianomtanzaniano6310
@adrianomtanzaniano6310 4 года назад
Tuliorudi kumuangalia Yacoube tujuane
@perfecttz2690
@perfecttz2690 4 года назад
Jamaa wamoto
@rhodabenz8412
@rhodabenz8412 4 года назад
Mimi hapa
@zunguleunardo9292
@zunguleunardo9292 4 года назад
Tupo babaa
@caroxmedia1036
@caroxmedia1036 4 года назад
Tupooo jangwani moja mzee ding from chuga hiyo
@christian7tv762
@christian7tv762 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 3 года назад
2021 September mwamba naingia kuangalia Simba day.... nimesoma comments chache na zinazomhusu Salamba aisee yaliyosemwa yametimia...Salamba kapotea.
@bisekomazigo4950
@bisekomazigo4950 2 года назад
Kagele msimuache sana simba wanzangu maana mayanga waliwaloga. Wachezaji wetu
@seiduibrahim5817
@seiduibrahim5817 6 лет назад
The referee is a bomb Im Asante kotoko supporter
@richardgole5836
@richardgole5836 5 лет назад
Seidu Ibrahim
@amospaul8225
@amospaul8225 2 года назад
@@richardgole5836 aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@severinpascal6514
@severinpascal6514 4 года назад
Ila huyu goalkeeper wa KUMASI ASANTE KOTOKO FELIX ANANI ni mzuri sana
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 4 года назад
Salama kuondolewa simba ULIKUWA sahihi kabisa bado ana utoto
@joshuanyonyi8820
@joshuanyonyi8820 6 лет назад
Yanga wakitulia simba mtapata tabu sana, sijaona mpira wa Professional yeyote timu mzima.
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 6 лет назад
Joshua Nyonyi utaona ukija chezeshwa kichura chura siku hyo we hujui mpira umejaa husda tu mpaka uje kupigwa nndio ujue kama ni wazr mtapa tabu sana
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 3 месяца назад
​@@EmedroadtocanadaAya Yanga tumetulia mmekula Tano😂😂
@thobiaskatoyo8622
@thobiaskatoyo8622 2 года назад
Fantastic game for simba day
@sekeyifabian9517
@sekeyifabian9517 6 лет назад
Asante Kotoko wazuri sana.
@patrickugula3300
@patrickugula3300 6 лет назад
Salamba ni Mchezaji mzuri, usife moyo kwa kukosa penati, tena kwenye friend mechi. Hixo ni changamoto za mpira. Tuliza akili, na ongeza bidii ya mazoezi na hizo penati pia. Muda si mreru utajibu uanjani kwa vitendo. God is Great and so good all time.
@bestmanboakye627
@bestmanboakye627 2 года назад
This game was more than a final match been played
@mariselimagazi8428
@mariselimagazi8428 2 года назад
Simba geita gorod
@cathymtemvu2351
@cathymtemvu2351 6 лет назад
huyu chama ana laaanaaaa.. hizo assist shida, watapata tabu sanaaaa vpl
@limoshlaizzer9869
@limoshlaizzer9869 6 лет назад
Savi sana Asande kotoko kwampira suriii hao wamatopeni warudi2 nyumbani wanarukaruka2 sioni wanacho kifanya kotoko nomaa sana
@pazihussein4692
@pazihussein4692 6 лет назад
Simba ipo vizuri sana nyuma, kati ila mbele walimu waongeze chumvi na ndimu kidooogo mambo yakae sawa forward wafunge walikosa mengi sana jana ilikuwa kotoko wafe hata 5
@denisdejo5033
@denisdejo5033 6 лет назад
This kid Salamba need to improve alot, this is the fourth time am seeing him playing, got nothing special just dreds. He will rotten in the bench. Needs to look at The living legend Okwi.
@nickolaspmaly8732
@nickolaspmaly8732 4 года назад
FYI
@gilbertrwiza4953
@gilbertrwiza4953 4 года назад
He is now in kuwait he is among of high earners tz footballers abroad
@tasilogreyson3221
@tasilogreyson3221 6 лет назад
Okwi ni unawezo mzur sana katka football
@frezoomuna5687
@frezoomuna5687 6 лет назад
timu ipo vyemaa muhimu kocha kuinganisha timuuu Ndoooo vnzr zaidi ili iwe na coordination nzur kuanzia nyuma katikati na mbelee
@frezoomuna5687
@frezoomuna5687 6 лет назад
it really international football Jana ila kocha afanyie kaz makosa madogo madogo ili tupate muunganiko mzuri WA kikosi chetuu
@sammwasomolamwasomola6292
@sammwasomolamwasomola6292 6 лет назад
Haters wanajitahidi kukoments lakini koments zao zimejaa husuda hii ndio simba sports club
@shedy_marie
@shedy_marie 4 года назад
Daah mech tamu san naipenda simba
@wilemasero712
@wilemasero712 4 года назад
Mambo vp murebo
@shedy_marie
@shedy_marie 4 года назад
@@wilemasero712 poa tuuu
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 3 месяца назад
Utopolo Wana keleka Simba nguvu moja
@benimagaya7966
@benimagaya7966 6 лет назад
Simba Nguvu Moja Pamoja Sana
@peterkibuga401
@peterkibuga401 4 года назад
mwaka huo sikuiangalia ila 2020 kuna mtu amenifanya niiangalie kwa umakini zaid
@waziliLyamosi
@waziliLyamosi 3 месяца назад
Naangalia game 2024
@johnmbena4412
@johnmbena4412 6 лет назад
mtangazaji upo vizuri
@geofreysolomon8532
@geofreysolomon8532 6 лет назад
Kwa mambo aliyotufanyia Okwi mpaka sasa. Okwi acheze mpaka awe kikongwe. Then tumkabidhi timu akuwe kocha tu. Jamaa tangu ujana wake simba ipo damuni. Anajituma, anatafta nafasi kiukweli ndio messi wetu. Na kingine.... Kichuya kichuya kichuya kichuya... Tutakaa muda mrefu tanzania hii kuja kupata mtu kama kichuya
@bernardchibwana2564
@bernardchibwana2564 5 лет назад
Kabisaaa okwi mpaka azeeekeee
@oxleo8214
@oxleo8214 5 лет назад
Km
@martinwilliam4179
@martinwilliam4179 5 лет назад
OK Wii
@shabanimiyumbaniki9376
@shabanimiyumbaniki9376 4 года назад
Simba raha sana
@marklimbu8059
@marklimbu8059 6 лет назад
mtangazaji uko vzr napenda ck moja utangaze ck ya simba na yanga
@patrickfrederick6146
@patrickfrederick6146 5 лет назад
Na ombi lako likatimia kwenye game ya moja bila goli la kagere
@saadnahoda707
@saadnahoda707 4 года назад
Tunampaa baraka mpenja
@lucasshirima2880
@lucasshirima2880 3 года назад
Salamba alianza kuonesha ubinafsi tangia hii mechi.
@emmanuelmgogo5265
@emmanuelmgogo5265 6 лет назад
Wata pata tabu sana wapinzani wangu yanga mnyamaaaaaaaaaaaaaaa
@mohamednassormohamed3027
@mohamednassormohamed3027 6 лет назад
Emmanuel Mgog bado hatujaogopa kwa kikosi hicho kazi mnayo wanamsimbazi km yanga hatochukua basi azam atabeba au ht costi union
@isayalisaleyo8572
@isayalisaleyo8572 3 года назад
Wana simbaaa
@elizabethjohn4549
@elizabethjohn4549 6 лет назад
Hata kipindi ligi inaanza mliibeza sana simba lkn mwisho wa ligi mlibaki na aibu
@sekeyifabian9517
@sekeyifabian9517 6 лет назад
Kiukweli kwa Simba hii sipati picha kwa ligi kuu,tabu ipo.
@barnabasstanslaus6895
@barnabasstanslaus6895 5 лет назад
na sasa simba mabingwa TPL 2019 MK 14 NGUVU YA MAMBA.
@michaelkaunda3791
@michaelkaunda3791 4 года назад
Nikweli simba apewe tu ubingwa
@Randomuniverse-qn6cc
@Randomuniverse-qn6cc 3 года назад
Ghanas finest asante kotoko ...
@rajabuviva3160
@rajabuviva3160 3 года назад
Hiii ilikua bola sana mechi tam
@elizabethjohn4549
@elizabethjohn4549 5 лет назад
Jaman azam ,tuwekeen bas mchezo wa simba na kmkm ulioisha mda huu
@zawadnkyami7563
@zawadnkyami7563 4 года назад
,simba na ruvu shutingi
@zawadnkyami7563
@zawadnkyami7563 4 года назад
Simba na ruvu
@barakamassawe2454
@barakamassawe2454 6 лет назад
kwa mpira huu yangawatapata taaabu sanaaa
@hussenmwinyi1165
@hussenmwinyi1165 4 года назад
If you love simba sports club gonga like hapa
@stevenmaketa8051
@stevenmaketa8051 6 лет назад
Uuuwiii kwampira huu timu zingine watapata tabu saanaaaa coz hawa Asante kotoko ni Wakali sana Ila Sumba wamecheza Moira mwingi sanaa
@emmanuelleonard5387
@emmanuelleonard5387 3 года назад
Fri Toto namkubali
@mayalakulwa4740
@mayalakulwa4740 6 лет назад
Simba hii mtaisoma
@mbarikiwalazarowatisa2086
@mbarikiwalazarowatisa2086 6 лет назад
okwi anauponza timu...angekuwepo salamba
@billyrique
@billyrique 6 лет назад
watani mna timu nzuri. Washambuliaji wanatakiwa umakini tu kama wa Okwi sijajua kwanini wabongo tukifika golini mpaka mtu ukose mara 10 ndio ufunge 1 sasa tukienda kimataifa ni nani atafanya mikosa mingi hvyo ili uje kufunga? Pili sioni kama ile ilikuwa penati labda kwa vile refa alikuwa position mbaya.
@rankdefire4518
@rankdefire4518 4 года назад
Acheni tamaa
@mickymtenga8919
@mickymtenga8919 4 года назад
Simba zidi ya nkana downloads
@pendokatindasa2281
@pendokatindasa2281 6 лет назад
Huu ndiyo Mpira.
@jolammoses2195
@jolammoses2195 5 лет назад
pendo katindasa umeona dadaaa
@tubiajuma1542
@tubiajuma1542 4 года назад
Kwa tulioanza kuangalia ubora wa chama tangu hii mech tujuane
@dawayao2837
@dawayao2837 6 лет назад
Mh simba ina mpira mwingi sijui ligi kuu itakuwaje 😀😀😀
@felixluoga3394
@felixluoga3394 6 лет назад
Hapana gem ilikuwa ngum hawa asante kotoko wanajua sana kupiga mpira ila kiukweli simba ya mwaka huu moto wa kuotea mbali
@abbakarim5587
@abbakarim5587 6 лет назад
asate xan ooookwe
@abbakarim5587
@abbakarim5587 6 лет назад
yanga mwakahuu mtakoma pobafu San simba bele yanga nyuma π√¥€
@felixluoga3394
@felixluoga3394 6 лет назад
Sana mwaka huu mkude,nyoni,wawa,asante,kwasi,kapombe,na chama watakaba hadi nyasi
@mrmkwepu902
@mrmkwepu902 6 лет назад
Felix Luoga y
@lulukibanga8152
@lulukibanga8152 3 года назад
Always Simba is the best
@nurdinrashid9722
@nurdinrashid9722 Год назад
Kumbe huyo yakuba kosa kosa sana kitamboo!
@pendoelias4822
@pendoelias4822 3 года назад
Mm naangalia Leo tar 25/2/2021
@kaizamgawa5573
@kaizamgawa5573 6 лет назад
Salamba ustaa mwingi mno
@binmakamesalim4616
@binmakamesalim4616 6 лет назад
Yaaaaaaaan kwa simba hiiii timu ninayoigopa ligi kuu ni azam pekeeeeeeee
@celeone2655
@celeone2655 6 лет назад
Wanajangwan rudn gm kumenogaaaaaa#msimbaz
@adubimpong4095
@adubimpong4095 2 года назад
Felix Annan was too good. We ended his career, hmmmm
@chrintonsasuni3818
@chrintonsasuni3818 5 лет назад
okwi ningependa abakie simba mpaka stafu yake tumfanye kama mess na Barcelona
@saadnahoda707
@saadnahoda707 4 года назад
Toka hapa
@laurentngowi3052
@laurentngowi3052 6 лет назад
Chama ni moto
@raismwaigombe7179
@raismwaigombe7179 6 лет назад
Kweli kabisa niyonzima akasome ni mzigo kwahuyu Chama Kuna timu itakula nyengi
@petermgogosi2534
@petermgogosi2534 6 лет назад
Noma
@ismailymrisho
@ismailymrisho 2 месяца назад
Sana
@silviaasenga1833
@silviaasenga1833 3 года назад
Jamani huyu yakuba. ni.yule.wa yanga.au
@japhetmatuma7808
@japhetmatuma7808 3 года назад
Usajil.
@siamekellah7528
@siamekellah7528 6 лет назад
kimtazamo,ni gemu la kawaida tu! kumbuka hii ni siku ya simba(simba day)
@richardgole5836
@richardgole5836 5 лет назад
Siame Kellah name
@lwimikoyusuph4388
@lwimikoyusuph4388 6 лет назад
Uyu chama atareeeee
@chazally8273
@chazally8273 3 месяца назад
Ssa uyu salamba alkua anacheza nn
@mkalifanny4555
@mkalifanny4555 4 года назад
Yacouba sogne😅😅😅 kwan Ligi inaanza lin
@severinpascal6514
@severinpascal6514 4 года назад
Kwamba?
@machinefannatic99
@machinefannatic99 6 лет назад
Salamba mavi sana
@ifaozil325
@ifaozil325 6 лет назад
Kwa simba hii mm sisemi memgi ila chama noma
@hussensaid2228
@hussensaid2228 4 года назад
Ifa Ozil kenya
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 4 года назад
Bora salamba kaondoka
@amirlehao8945
@amirlehao8945 4 года назад
Hii mechi ndo ilionesha ubora wa simba uko wap na ndo hii ilifanya vizur mpaka kufika robo fainal
@kiolodo3
@kiolodo3 3 года назад
Salamba alijipa usupastaa kabla ya kuwa supastaa
@naiiemkosovo8132
@naiiemkosovo8132 5 лет назад
YAKUBA AJE SIMBA
@peterblessed8016
@peterblessed8016 5 лет назад
Safi sana
@MightyLumber
@MightyLumber 6 лет назад
Mpira ulikuwa ni wa kawaida sana, sitashangaa Ndanda FC kuchukua ubingwa mwaka huu.
@andrewkalubi3524
@andrewkalubi3524 6 лет назад
MightyLumber Acha kuota mchana...eti ndanda
@martinnassary587
@martinnassary587 6 лет назад
MightyLumber kapime tezi dume mpira ulikuaje wakawaida wakati twakimu zinaonyesha simba kaipeleka kotoko mputempute
@MightyLumber
@MightyLumber 6 лет назад
Martin Nassary kama umewahi kucheza mpira maishani mwako then utakuwa umenielewe ila kama ni shabiki uchwara tu kama ulivyo naelewa kwanini unatokwa na povu.
@osamankungu9432
@osamankungu9432 6 лет назад
Roho mbaya husuda,
@mathiasjohn4454
@mathiasjohn4454 6 лет назад
itasumbua mwalimu alipata shida sana
@BontamLee
@BontamLee 6 лет назад
Ndio mechi pekee ya kirafiki AFRICKA kwa vilabu vya ndani,kushuhudiwa na watazamaji wengi.
@nestorndogan5080
@nestorndogan5080 4 года назад
Video vya kutombana
@rashidissack8712
@rashidissack8712 6 лет назад
wajipenge vizuru
@lazarojr8923
@lazarojr8923 6 лет назад
Huyu Chama ni 💥💥💥
@sadamulugongo69
@sadamulugongo69 6 лет назад
Simba
@seifngakoma2537
@seifngakoma2537 5 лет назад
Umeona uyu dogo nyota
@emanuelshijakagondi6010
@emanuelshijakagondi6010 6 лет назад
imezihilisha kwamba pesa za simba zinanunua majina sio wachezaji
@footmobonline
@footmobonline 4 года назад
Adam Salamba ni bonge la gharasa.
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 4 года назад
Hiii ndo ilikua simba wanakuja kwaacha wachezaji wa maana wakalitea magalasa mambayo kwa simba hii hatakama tunaongoza ligi ila kimataifaa tutapgwa saana
@allysaidy8808
@allysaidy8808 6 лет назад
Simba sports club imeiva ligi sipati picha
@elizabethjohn4549
@elizabethjohn4549 5 лет назад
Kwa mechi watu waliiponda sana simba sasa sijui bado wanakumbuka maneno yao hhhaaaahaaa
@francisremji3930
@francisremji3930 5 лет назад
salamba alikuwa mzigo to
@HassanHamad-q6e
@HassanHamad-q6e 3 месяца назад
Kwel iy ndy ximba wenyw
@emmanuelmussa8331
@emmanuelmussa8331 5 лет назад
Salamba garasa since day 1
@benardjackison3002
@benardjackison3002 4 года назад
V
@agyengkwakuantwi1510
@agyengkwakuantwi1510 6 лет назад
Seriously? what a dubious penalty
@MultiMbongo
@MultiMbongo 4 года назад
Clear penalty may be you are new to this game
@agyengkwakuantwi1510
@agyengkwakuantwi1510 4 года назад
ill skillz I don’t think so!
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 6 лет назад
kwa kosi hili yanga hatoki 30/9/2018
@enockpaul7172
@enockpaul7172 6 лет назад
Emed Ibrahim umeona.naww
@richardhaule3744
@richardhaule3744 6 лет назад
Refa kawabeba kwa penalty lakn hawajabebeka ☺☺☺
@iddimussa7010
@iddimussa7010 6 лет назад
Wana simba tuipe moyo itashinda
@sospeterilagila5277
@sospeterilagila5277 4 года назад
Okwi alko kwa sasa
@allyjuma5640
@allyjuma5640 6 лет назад
simba vsz mtibwa
@timothyhandy2408
@timothyhandy2408 6 лет назад
simba bingwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@jolammoses2195
@jolammoses2195 5 лет назад
timothy handy kweli ban
@martinswai8031
@martinswai8031 4 года назад
Yacouba alikuwa mtamu kipindi icho
@amurubashiru7748
@amurubashiru7748 6 лет назад
good gam
@michaelmartin8344
@michaelmartin8344 4 года назад
Baba lao
@sirhersi
@sirhersi 6 лет назад
Mpira wetu bado sana. Defensive is all over the places hawajui kujipanga kabisa. Tukikutana na team kubwa zenye kujua counter attacks tunafungwa mengi tu. Washambuliaji nao wanakosa nafasi za wazi kabisa. Tutafute vipaji toka kwa vijana wadogo na tuwape trainings ndio tutafika mbali.
@mastarjay2635
@mastarjay2635 5 лет назад
Kama gormahia😁😁😁
@anordclemensi9440
@anordclemensi9440 4 года назад
Imeishaiyo
@ellyclassic2675
@ellyclassic2675 4 года назад
Yocoube sogne mali ya yanga🇹🇿🇹🇿
@kassimulugajo6512
@kassimulugajo6512 6 лет назад
huyo alie wafunga simba muda si mrefu utasiki kasajiliwa simba 😂😂😂😂
@yusuphjames6869
@yusuphjames6869 5 лет назад
5d
@ottogodfrey3175
@ottogodfrey3175 6 лет назад
hyu. chama ni motroooo kiungo namwona. niyo nusu akichoma mahind bechi sana. #fundi
@raismwaigombe7179
@raismwaigombe7179 6 лет назад
Si wakati wa kuwa na wachezaji mzigo kwa Sasa hii ndo simba ya Enzi zile za mafisango naona gusagusa nyingiiii kama F, C, Barcelona
@malelembamabula8432
@malelembamabula8432 4 года назад
Mambo
@husseinmohamed9365
@husseinmohamed9365 6 лет назад
Good game
@tensonmzumbwe1701
@tensonmzumbwe1701 6 лет назад
Hussein Mohamed Simba iko vzuri tatizo ni kumalizia
@chazytv2648
@chazytv2648 6 лет назад
Simbaaaaaaaa
@geoffreygregory7173
@geoffreygregory7173 6 лет назад
hamna kitu tumewashindwa hata hawa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 лет назад
Geoffrey Gregory unawajuwa HAO ni kina nani lakin??
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 лет назад
TENSON MZUMBWE kwa leo yaani tuseme ilikuwa kumalizia ila inshallah watapata kuelewana kupitia michezo mingine ya mashindano tofauti..na endapo Kagere angebaki tungeongea vingine saiv ila dogo mzuri muda tu bado mapema sana kwake.,dilunga kama kaja kufanya shughuli aliyokwisha wahi ifanya vile ani saafi sana dilunga cheza vzr sana hali kadhalika kwa chama ebhana wawa kumbe bado ana vituZ nyoni inabidi aache zile dambudambu asee pelekea goli + mwenzie manula akae golini atoke inapobidi mpaka kupigiwa mpira namna ile mpaka kushindwa kuutoa kwenye hatar. Kiujumla kwangu ulikuwa mchezo mzuri na kipimo sahihi vijana wamepambana na kututoa kimasomaso japo ilipaswa kuwa hadithi nyingine kwa mwal wa kotoko kwan wlipaswa chezea co kwa nafasi walizokoswa.,penati nadhani Salamba apongezwe kwan aliweza kumhadaa mwamuzi alicheza kiUKOMAVU sana pale kujiangusha kwa akili. Mtibwa miongoni mwa timu ninazozipenda kwenye ligi hii co kwamba ni mluguru au natokea moro hapana ila ni kwa namna gani wamechangia kuleta vipaji katika uso wa TZ na kukuza Taifa stars na vilabu vingi tu naikubali sana hii timu ila daah..Ngao ya jamii watanisamehe asee na ni vijana wenzao nitaomba wawekewe na hata wao itakuwa kipimo kama kwl wapo tayari kushiriki mashindano kimataifa. Sante waTZ, Mashabiki.,Azam na mwekezaji MO #GGSIMBA!
Далее
1 Subscriber = 1 Penny
00:17
Просмотров 46 млн
The Match That Made Zinedine Zidane Retire
14:37
Просмотров 3,2 млн
FULL HIGHLIGHTS: SIMBA SC 1-0 YANGA SC (29/04/2018)
18:53