Тёмный

SIMBA SC 1-1 UD SONGO: FULL HIGHLIGHTS (CAF CL - 25/8/2019) 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 815 тыс.
50% 1

Wekundu wa Msimbazi Simba SC wameangukia pua kwenye Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na UD Songo ya Msumbiji na kutupwa nje ya michuano katika hatua ya awali.
Simba imeyaaga mashindano hayo kufuatia matokeo ya sare ya bila kufungana iliyoyapata katika mcheo wa kwanza uliopigwa wiki mbili zilizopita nchini Msumbiji, na hivyo wapinzani wao UD Songo kufuzu raundi ya kwanza kwa faida ya bao la ugenini.
Katika mchezo wa leo uliopigwa kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam, wageni Songo ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 14 kwa free-kick kupitia kwa nahodha wao Luis Misquissone.
Simba waliongeza kasi ya mashambulizi na umiliki wa mpira huku wakifanya mabadiliko kadhaa na kufanikiwa kupata bao la kusawazisha kwa mkwaju wa penati lililofungwa na Erasto Nyoni dakika ya 87 baada ya Miraji Madenge kuangushwa ndani ya eneo la hatari.
Mara baada ya mchezo Msemaji wa Simba Haji Manara ameomba radhi huku akisema yuko tayari kuwajibika.

Спорт

Опубликовано:

 

24 авг 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 280   
@fatumabakaribindo1820
@fatumabakaribindo1820 4 года назад
Hongereni Simba 2tukubali matokeo na 2jipange upya kutetea ubingwa wetu wa Bara .
@nomansifaely
@nomansifaely 3 года назад
Simba timu kubwa na nzuri pia Ila matokeo haya siyo mbaya tunamshukuru Mungu tutajtahidi katika mechi zinazofuata
@isackpatrick2315
@isackpatrick2315 4 года назад
Inauma ila tumshukuru mungu kwa matokeo haya mpira unamatokeo katili ni vema tukayakubali yoyote haikuwa bahat yetu waachen tu yanga watambe ni muda wao ila mapambano bado yanaendelea ni mungu ndie ajuae sababu kwa nn tumeyapitia haya hakuna kukata tamaa na timu yetu bado ni bora na itaendelea kuwa bora SIMBA NGUVU MOJA
@michaelathanasy35
@michaelathanasy35 4 года назад
Kiukweli mmepambana napenda kuwapongeza mungu hakuwa wetu ishara mungu yu mwema tutaendelea
@cosmasdickson4941
@cosmasdickson4941 4 года назад
Dah miqusone ulitusononesha sana Leo unatufurahisha sana all the best Taifa KUBWA Simba sc @2020
@isunga1964
@isunga1964 4 года назад
Simba nguvu moja kweli tumefungwa kizembe ila hatukati tamaa ipo siku tutatinga fainal never give up
@dominickallute3169
@dominickallute3169 4 года назад
This is so called simba, next level for very bad performance.
@faridisaidi3187
@faridisaidi3187 4 года назад
amati
@ombenijonathan7107
@ombenijonathan7107 4 года назад
Aisee. Imetoka hii, labda tuone mwaka kesho
@joachimligwa5424
@joachimligwa5424 4 года назад
Umefungwa wewe simba haikufungwa
@jonesmadanya4008
@jonesmadanya4008 2 года назад
@@faridisaidi3187 well
@saidasa3921
@saidasa3921 4 года назад
Naipenda Simba ❤❤❤❤
@aulilaezekiel3749
@aulilaezekiel3749 4 года назад
Mambo
@Christophermagesa1985
@Christophermagesa1985 4 года назад
Mambo
@festohamad4174
@festohamad4174 4 года назад
Mpende mmeo au mpenz wako lakin ndio isha toka
@peterjulius9332
@peterjulius9332 4 года назад
Sana mwaaaaa
@agustinosamweli5305
@agustinosamweli5305 2 года назад
Nyimbo za ngelela
@lwitikophilipopelela1891
@lwitikophilipopelela1891 4 года назад
Wangapi tumekuja hapa baada ya Miqiussone kutua Simba?
@aishasalum2963
@aishasalum2963 4 года назад
😀😀😀😀nimefurahi
@danielmshingilwa5257
@danielmshingilwa5257 4 года назад
Lwitiko philipo pelela hahahaaa kabsa
@waziriwaziry4179
@waziriwaziry4179 3 года назад
Daa jamani hawo yanga wana jitapa tutawaona hio ijamaa pir
@allymtumbati179
@allymtumbati179 4 года назад
Dah polen sana jilani zetu
@mahengomahengo8191
@mahengomahengo8191 3 года назад
Kagere kaupisha mpira upite
@mohammediallykaboza5862
@mohammediallykaboza5862 4 года назад
Usajili wa.huyu dogo luisi upo sahihi anajituma mungu ibariki simba
@wamburawarioba986
@wamburawarioba986 4 года назад
Kocha wetu anatatizo la kukaliri , manula .wawa,! viwango vyao vinatia shaka
@Damarry-FX
@Damarry-FX 4 года назад
Ushamba. Manila ana kosa gani. Kufungwa ni kawaida sana. Mbona man city, juve, real Madrid, barca wanafungwa. Huu sio muda wa kurumbana tugange yajayo.
@tabitajoseph7331
@tabitajoseph7331 4 года назад
Dilunga love uuu💞💞💞💞💞💞💞💞
@fatimamzee6218
@fatimamzee6218 3 года назад
Vp
@joelezekiel9921
@joelezekiel9921 4 года назад
simba chama la sana wana hata kama tulifungwa ila naikubali sana simba
@SlamaMatunda
@SlamaMatunda 4 года назад
Kwani okwi ndo nani ataangekuwepo tungefungwa mungu kapanga chamuimu tuwape moyo naso kuaza kulaumu tungeshinda mngewaponda acheni izo mashabiki wacmba mi naipenda sana smba lkn ndo mpira mbona man u juzi kafungwa kawaida la
@enockdaniel290
@enockdaniel290 4 года назад
Hiyo machine kama inatinga msimbaz tumeulamba
@rashidrehan7338
@rashidrehan7338 4 года назад
Kama mwana simba unapenda mpira usife moyo hata ss simba tulizifunga tim ambazo kiuwezo wa mpira kifedha wala hu2ziwezi tusishangae ila tim tunayo tim tunayo subirini mdaufike tunatim mzuri sana
@judithpaul5946
@judithpaul5946 4 года назад
Kbs
@rasvankiller8732
@rasvankiller8732 3 года назад
Tundulis
@rasvankiller8732
@rasvankiller8732 3 года назад
Mkutano wa tundulisu
@victordogan582
@victordogan582 4 года назад
Ifke Mahali lazma tujue huu ni mpira wa miguu unachezwa uwanjani na sio mdomoni....😂🤣🤣🤣🤣
@frankmahena7342
@frankmahena7342 4 года назад
alie ludi kumuangalia miquison tujuane
@bernardchibwana1907
@bernardchibwana1907 4 года назад
mpira una matokeo 3, kwahiyo wanasimba lazima tukubali matokeo, mpira wachexaji wamepiga tena mkubwaa ila bahati haikua kwetu tujipange kwa michezo mingine.
@geofreysolomon5954
@geofreysolomon5954 4 года назад
Kama umekuja kumchek upya Luis like hala😂😂😂😂
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 4 года назад
🤣🤣🤣🤣
@gervacymartial7864
@gervacymartial7864 4 года назад
Huyuuu jamaa ana sifaaa San
@mefyuzimaico3200
@mefyuzimaico3200 4 года назад
Tumefungwa kizembe
@emanuelmabula680
@emanuelmabula680 4 года назад
Simba mpira upo simba nguvu moja
@linusrohomoja8856
@linusrohomoja8856 4 года назад
iga ufe, this is simba next level. hu hu hu hu hu
@barakakaduma8803
@barakakaduma8803 4 года назад
linus rohomoja 😂😂😂😂 eti next level
@cotagery1834
@cotagery1834 4 года назад
Grande uds!
@aluphonscharles1558
@aluphonscharles1558 4 года назад
bora heshima iwe mjn ingikuwa kelo
@mohamedishaibu6178
@mohamedishaibu6178 4 года назад
Wewe pimbi shekhe
@josephkobeli8405
@josephkobeli8405 4 года назад
nabado tunawa subili ligi kuu mtawapenda yanga bureeee
@shadyahemedy1276
@shadyahemedy1276 4 года назад
yanga mbona ndondocha unazani atafika wapi yanga tuna piga sita ligikuu
@ahmedtajdin9521
@ahmedtajdin9521 4 года назад
Simba ya safarii ni nomaaaaaa
@michaelsteven6466
@michaelsteven6466 4 года назад
😭😭😭😭😭, simba yangu wewe lini tena utanirudisha kule kwenye raha ya msimu uliopita? Daaah naumia sana nikiangalia hiiii daaaah eeeeeh mungu ibariki simba
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 4 года назад
Dah wacha best inaniumagA mpk leo
@michaelsteven6466
@michaelsteven6466 4 года назад
Duuh kabisa lakin hamna jins tutaenda tena mwakan
@michaelgabriel3634
@michaelgabriel3634 4 года назад
Diamond
@eunicejackson5636
@eunicejackson5636 4 года назад
Jamani ata mfungwe me nawapenda
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 года назад
hivyo
@franklugiko2071
@franklugiko2071 4 года назад
Hilo ndilo soka ndioama tunasema kwenye soka amna mwenyewe mpaka dak 90 zitimie ndio useme yako juu ya timu yako...
@nuranzubail8134
@nuranzubail8134 3 года назад
Luiz alikuwa mweusi, bongo kuzuri
@yohanakangaro5724
@yohanakangaro5724 4 года назад
Walitufunga kwa shelia ya gol la ugenini,, lakin kama soka simba mliupiga mwingi sanaaaa.
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 4 года назад
Daaah Daktari kafa kaacha wagonjwa wodini Ipo kazi
@estherpascal7253
@estherpascal7253 4 года назад
Brother brother walahi hii simba haijawahi kutoa, sasa hii hatari Barcelona, hayo siyo maneno yangu bali ni ya msemaji wa simba Haji Manara. Dharau nyingi, kejeri nyingi kwa Young Africans, mpira haupo hivyo, ukiwa na furaha control mdomo, sasa wametolewa, safi sana, maana dharau ilizidi sana, na waliweka pesa nyingi sana walitegemea watafika mbali zaidi, sasa ni msiba mkubwa kwao, wakome
@petermagege9358
@petermagege9358 4 года назад
Simba oyeeeeeeee
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 4 года назад
Kocha wakulaumiwa vipi utamuweka manula golikipa wakati ametoka katika majeruhi
@mikemnyamwezi7856
@mikemnyamwezi7856 4 года назад
Dah..! Hii game sintoisahau ilinifanya nisile
@frankafrica3973
@frankafrica3973 4 года назад
Nililia usiku Kucha wee Acha tyuu
@edwardchacha5128
@edwardchacha5128 4 года назад
Hata sitaki kuikumbuka!
@athumanmgissasimbadamu3316
@athumanmgissasimbadamu3316 4 года назад
Simba Angu 😭😭😭😭
@elishabigazaba1485
@elishabigazaba1485 2 года назад
Mikison aludi jaman nimemc kumuona akicheza simba
@mtedewede22
@mtedewede22 3 года назад
2020 hii namchek mmakonde
@jamesmoses375
@jamesmoses375 4 года назад
Pengo LA okwi limeonekana halijaonekana?????
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 4 года назад
Wangapi wanamuangali konde boy 25/7/20/20🤣🤣🤣huyu mtoto ali tusumbua sana
@wilsonpatrickmlogwa2559
@wilsonpatrickmlogwa2559 4 года назад
Daaa jamani nimeumia sanaa
@stevenfumbi9566
@stevenfumbi9566 4 года назад
Yaaani wachezaji wangu mmeniangusha sana
@benadethakiula4853
@benadethakiula4853 4 года назад
Mimi presha mpaka dakika hii
@othumanmwela9710
@othumanmwela9710 4 года назад
Daaa malindi imesonga mbele mabingwa wanchi wamerudi kwenye kombe lamapinduzi
@shadyahemedy1276
@shadyahemedy1276 4 года назад
malindi nitimu nzuri siokama yanga mabindia
@frankgwasa4201
@frankgwasa4201 4 года назад
Kelele za kwenye vyombo vya habari sio Mpira wa uwanjani. Bora simba kafa ajipange vizuri. Yanga na azam hongereni.
@ericmasumbuko5091
@ericmasumbuko5091 4 года назад
Mikia Leo hamja puliza madawa ya kuwarewa L ewesha
@josephkambe7265
@josephkambe7265 4 года назад
Mikia ni mama yk K ww
@joshuayusuph8476
@joshuayusuph8476 4 года назад
Mwanaume kafa kwa ngoma ...ni swala la muda tu mwanamke atafuata muda sio mrefu
@benjaminzephaniah4583
@benjaminzephaniah4583 4 года назад
kuna muda chama huwa anaigarimu timu make inapohitaji ushindi yeye anataka kuchenga na kuonesha ufahali hiyo ndo shida niliyoiona
@sticulardickyson7776
@sticulardickyson7776 4 года назад
mambo
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 4 года назад
Tatizo siyo kucheza bahati pia simba walikosa.
@joramujohn8826
@joramujohn8826 4 года назад
Siku mbaya kwangu hii dah isije jirudia
@benmwasakujonga3575
@benmwasakujonga3575 4 года назад
Nimerudi tena kuicheki hii 27/07/2020 saa 14:15 ili nimuone Louis
@sanifukahemela8962
@sanifukahemela8962 3 года назад
Sawa blo
@ayangaotacho2057
@ayangaotacho2057 4 года назад
Mtawakumbuka okwi , nihonzima na kotei wachezaji waliowapeleka mbali kwa kiburi Cha pesa mnawasajili wabrazil mpaka mmalize kuwatibu mmeshatolewa au mshakua wa nyuma nyuma kwenye ligi kuu mlijiamini ila ukweli wa viwango vyenu ziro wachezaji wazuri ni Daniel Michael,deo Kanda kwa wachezaji mliawasajili
@mubamubasaid9949
@mubamubasaid9949 4 года назад
Karibuni kwenye Tim LA wana safari hii mpira simba akuna
@nasibumikindo6323
@nasibumikindo6323 3 года назад
Kama umemuona Barbara gongs likes za kutosha hapa
@selemanikimbwene279
@selemanikimbwene279 4 года назад
Kafa Kabla Jua Halijachomoza.
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Год назад
Siku ile Gadiel Michael alianza halafu Zimbwe Junior alikaa bench... kuna ile through ball ya Shaiboob kwa Gadiel ingekua Zimbwe angechomoa goli... mechi iliniuma sana! Ila ilisaidia kutuchangamsha... uzito wa Mkude ulifanya kuteswa sana na Jose Luiz 😁😁
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 4 года назад
huu ni mwaka wa wananchi.Mtamjua juma balinya ni nani.Subirini january mshiriki mapinduzi cup😄😀
@aisharashid2785
@aisharashid2785 4 года назад
Leo ndo tumemjua juma balinya ni nani
@fadhilmpola5800
@fadhilmpola5800 4 года назад
Simba imetia aibu sanaaa
@winstonemugarula9601
@winstonemugarula9601 4 года назад
Kocha leo hakuvaa shati lake jeupe analo amini kuwa ni la bahati....inauma sanaaaa
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 4 года назад
Mechi hii sitakuja isahau aiseee Ila vitu vya Luis bhn😁😁😂😂
@muharramtsanze1727
@muharramtsanze1727 4 года назад
Hivi kweli unamuacha okwi unamsajili ajib,unamuacha nionzima kwa ajili ya kibobo sijui shibobo,juuko murshid unamfananisha na mbraziri aliyeokotwa india,james kotei kwa nani sijui,lazima kuna mtu aliyewaroga sio bure.
@bonifacembilinyi5576
@bonifacembilinyi5576 4 года назад
Unaacha timu iliofika robo fainali unasajili wageni unategemea nin , hawa lazima wamfukuze kocha
@abdulbhaijaanabdulbhaijaan3380
@abdulbhaijaanabdulbhaijaan3380 4 года назад
Nyie wapuuzi subirieni
@mhandowalace2594
@mhandowalace2594 4 года назад
Unajua sie wote ni mashabiki Wa simba tumefungwa tukubali tumefungwa tujipange kivingine lakini ukitaka kulinganisha wachezaji tunakosea sana labda nikuulize swali kama kweli mpira unaujua nionzima unaweza kumfananisha Na shibobo au miemko Na asira nionzia ni mcheziji mdogo sana Kwa shibobo Na kama ukitaka mpaka yofauti zao ntakwambia ifike maala tukubali tumefungwa zinafungwa timu kubwa dunian itakua simba acheni ushabiki mandazi
@saidmamu3470
@saidmamu3470 4 года назад
Ttuna wasubiri mnafuata
@muharramtsanze1727
@muharramtsanze1727 4 года назад
Said,hilo ni dua la kuku
@AbduRahman-os2vx
@AbduRahman-os2vx 4 года назад
Msemaji wenu sijui atasema nn,kelele zimekwisha njooni mshangilie yanga chama la wana. Daima mbele nyuma kwetu mwiko.
@maryamzuheir1633
@maryamzuheir1633 4 года назад
TUTAKUTANA KTK LIGI. TPL , KWA SSC TUNASEMA KUJIKWAA SIYO KUANGUKA AU SIYO MWISHO WA SAFARI , TUTAWATESA TU NYIE.
@aminaluvingaallahamlindehu7150
@aminaluvingaallahamlindehu7150 4 года назад
Nakuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi....tukutane kwenye ligi
@AbduRahman-os2vx
@AbduRahman-os2vx 4 года назад
@@aminaluvingaallahamlindehu7150 huko kwenye ligi labda muhonge tena marefa na viongozi wa tff,boss wenu katoa billioni tatu kwa ajili ya tpl kweli simba kwake porini mjini kunataka mahesabu mengi,daima mbele nyuma kwetu mwiko..
@judithpaul5946
@judithpaul5946 4 года назад
Akushangilie nan 😂😂
@japharshitindi6050
@japharshitindi6050 4 года назад
Madhara ya kuwa bingwa wa viti maalum
@emmanuelmussa8331
@emmanuelmussa8331 4 года назад
Karibu unyamani miquissone
@amanmsigala2799
@amanmsigala2799 4 года назад
Inauma sana lakni ndo mpira
@marianomariomagaia8406
@marianomariomagaia8406 4 года назад
Parabens Mocambicanos parabens luiz dicson
@johnernesternestjohn5606
@johnernesternestjohn5606 4 года назад
Replies
@hermankoba4970
@hermankoba4970 4 года назад
Bahat aikuwa yetu wana simba
@kingkingd5073
@kingkingd5073 3 года назад
Ilasimba wanaonekanawako vizuri hawana presha lakini wajitahid mwanzonByKingdToka budekera
@nuh9433
@nuh9433 3 года назад
Daaah nikimuangalia uyu deo kandaa iv kwel tumemuacha kirahis rahis 2
@Jastus100
@Jastus100 3 года назад
Alikuja kwa mkopo na timu yake iliweka dau kubwa kumchukua
@mubamubasaid9949
@mubamubasaid9949 4 года назад
Makelele kwisha barabara kesho nyeupe akuna ngoma
@mubamubasaid9949
@mubamubasaid9949 4 года назад
Mmefungwa na watoto jaman
@rajabuselemani8904
@rajabuselemani8904 2 года назад
Hapa konde boy alisumbua sana
@bhokedavid8932
@bhokedavid8932 3 года назад
Na bado mtapigwa tena round hii mkome😀😀😀😀😀😀
@rebekapetro9622
@rebekapetro9622 4 года назад
Yanga mnaongea nn mbere ya wanaume zenu Simba tulieni humuuwezi huu mziki.
@muharramtsanze1727
@muharramtsanze1727 4 года назад
Rebeka inaelekea hujaolewa,wanaume wanaoishi kwa pesa ya mwanaume mmoja?,akifa ghafla na hajaandika wosia na timu imekufa,maana nina uhakika mke wake hatafanya huo ujinga wa kulisha watu asiokuwa na undugu nao.
@baklangrauss9654
@baklangrauss9654 4 года назад
Rebeka Petro nyie ndo wanawake yanga wanaume
@sosomacharles2422
@sosomacharles2422 4 года назад
huyoooooooo leo cyo kwa Mkapa tena ni kwa Kikwete
@hassanseif6452
@hassanseif6452 4 года назад
@@muharramtsanze1727 kwani mmiliki wa Leicester City alivyofariki timu nayo imekufa
@muharramtsanze1727
@muharramtsanze1727 4 года назад
Hassan nakubaliana na wewe,lakini wale watu weupe mambo yako kiutaratibu na kisheria tofauti na sisi weusi,ndo maana nina mashaka kuwa je mo akiondoka ghafla documents zimekaa sawa?
@eliaskirato4070
@eliaskirato4070 4 года назад
Ilitakiwaa mpgweee zakutsh
@dreambutterfly244
@dreambutterfly244 4 года назад
😆😆😆😆wewe
@ashuumizz942
@ashuumizz942 4 года назад
Fala ww unaonaje ukapew ww
@veronikamartin2315
@veronikamartin2315 3 года назад
Nan apgwe lbd yng
@veronikamartin2315
@veronikamartin2315 3 года назад
Nan apgwe lbd yng
@stevenfumbi9566
@stevenfumbi9566 4 года назад
Mtaani hakukaliki
@yusufalimasi4433
@yusufalimasi4433 4 года назад
Steven Fumbi amna vumilia ndiyo mpirauo
@andreastanely1380
@andreastanely1380 4 года назад
Steven Fumbi nikwel
@manalamanjale643
@manalamanjale643 3 года назад
Kumbe Miqson alikua mjanja mjanja toka UD Songo
@bahatiswago1027
@bahatiswago1027 4 года назад
Kaeni nyumbani mpike mboga wanaume ndio hao mbele kwa mbele
@judithpaul5946
@judithpaul5946 4 года назад
We chizi kwl... ni ubingwa mmebeba au 😂😂😉 kweli chura hawana akil
@nasorokazimoto3625
@nasorokazimoto3625 4 года назад
wabrazil wanini sasa
@sungwanhandi2602
@sungwanhandi2602 2 года назад
Mara. Hawezi. Hata. Kama. Akihamia. Yanga
@sarahrajabu9812
@sarahrajabu9812 3 года назад
Simba nguvu Moja
@man.lule.585
@man.lule.585 4 года назад
Simuoni haji manara, ooo amna hela, oooh wazee wa vibakulii. mbona pamoja na hela zenu mmetolewa sasa. acheni mboyoyo, kuujaza uwanja sio ushindi. ushindi ni dk 90.
@leonardhosea5537
@leonardhosea5537 4 года назад
Nikikumbuka duu inauma sana
@bernardchibwana1907
@bernardchibwana1907 4 года назад
kwa deo kanda simba tumepata mchezaji bora kabisaa
@nasorokazimoto3625
@nasorokazimoto3625 4 года назад
unauza bunduk unanunua rungu na Hugo zeluzelu ataongea nn?
@hildembilinyi7346
@hildembilinyi7346 4 года назад
Hii mechi nimeirudia kumbe mkude ni tabia yake kucheza hizi faulo
@edwardchacha5128
@edwardchacha5128 4 года назад
Ni kweli
@shabanipili4919
@shabanipili4919 3 года назад
25_8_2020 baada ya miqson kuchelewa kurudi msumbiji
@aluphonscharles1558
@aluphonscharles1558 4 года назад
manar aongee tena km anaubav
@josephmanyama435
@josephmanyama435 4 года назад
Huyu jamaaaaaa anajua sana luis
@didassikombe412
@didassikombe412 4 года назад
Mtafuteni OKWI. Simba bila Okwi ni tatizo.
@soccertv293
@soccertv293 4 года назад
Mm hao wabrazil sioni umuhm wao wauzwe anunuliwe straiker
@abdulbhaijaanabdulbhaijaan3380
@abdulbhaijaanabdulbhaijaan3380 4 года назад
Kwa fikra zako finyu
@DjullyBreezy_Tha_Prince
@DjullyBreezy_Tha_Prince 4 года назад
Tanzania siku zote amutiwezi ki mpira... Moz for life
@mamajonsonmamajonson461
@mamajonsonmamajonson461 4 года назад
Mh? tutaona kama na nyie mtaendelea kwenye club bingwa kama hamja sokomezwa kwenye maji mile kama vyula yanga nyie Hanna lolote mtatolewa 2 kwenye club bingwa
@shedy_marie
@shedy_marie 4 года назад
Bless simba cku zote
@mubamubasaid9949
@mubamubasaid9949 4 года назад
Jamani kapumziken yenu yameisha nendeni nyumban
@maxjofrey70
@maxjofrey70 4 года назад
Somaiyoooooo! 😂😂😂😂😂😂😂
@rosemaryaloyce8746
@rosemaryaloyce8746 3 года назад
Aisee leo tare 16-01-2021 nimekija kumcheki mikison
@dreambutterfly244
@dreambutterfly244 4 года назад
Yanga jaman kumbe ndo maana simba wanatuchukia kumbe kunawanayanga walikua wanaishangilia ud song
@stevenfumbi9566
@stevenfumbi9566 4 года назад
Hamjui tu adha tunaipata mashabiki msingecheza undava
@didassikombe412
@didassikombe412 4 года назад
Tatizo vile viporo vililiwa bila utaratibu mzuri
@hermenejoseph2131
@hermenejoseph2131 4 года назад
Imeniuma lkn ndio mpira kushinda ,kufungwa
@juliussabuni9999
@juliussabuni9999 4 года назад
Nitabia ya vyura kupiga kelele lakini usimucheke aliye kunyanyua usije kupata laana
@batwelyaloise6080
@batwelyaloise6080 4 года назад
Hakika hawa mashemeji feki tukanyage
Далее
БАТЯ И ТЁЩА😂#shorts
00:58
Просмотров 1,2 млн
Она Может Остановить Дождь 😱
00:20
Okuri set up #judo #ippon #judotraining
0:10
Просмотров 2,2 млн
Хабиб о хейтерах с России.
0:57
Просмотров 249 тыс.
Месут ОЗИЛ ЦЕЛУЕТ ХЛЕБ #shorts
0:28