i have this car and suprisingly the consuption is more or less to toyota ist by decimals only. and it ia an eye catcher due to the fact that like in Arusha, there are only 3 as i speak.
First time nimeisikia review ya toyota blade kwa yule mshkajinwa Eastafrican cars, I was surprised na consumption yake. Maybe this will be my next car. Nice review, gari ipo very classic
BigUp sana Dr. Mechanics bonge ya review. Nina Recommendation mbili kwa mtazamo wangu; 1). Logo ya ROC tV hapo katikati ya screen iondolewe pale juu kwenye kona inatosha, videos zitakuwa clean sana. 2). Breaks ni nyingi mno kutoka segment moja kwenda nyingine, zipungue tupate continuity kwa utamu zaidi. Otherwise kazi nzuri sana.
Almost kila shot mtangazaji anaonekana, watu wanaibaje content? Na mwizi ni mwizi tu hata ukiweka logo ataiba, haya mawazo wangekua nayo wakina Mr.Beast au car reviewers wakubwa sidhani kama wangefika walipofika sababu ni vitu vidogo vidogo vinavyomkera mtazamaji@@kennygadau1774
Very good content ila punguzeni transitions zenye hyo kama intro na camera ingefocus zaidi kwenye gari na sio mzungumzaji ingekua poa zaidi.. Keep up the good job 👍
Mtumishi, Kwa hio Toyota blade, naweza adjust suspension na kuiwekea tairi za 17" ili kupata Ground Clearance rafiki zaidi hasa kwa barabara zetu za madongoni huko bila kupoteza balance ya gari hasa ukizingatia ni ya mithili ya sportcar? na kuna uwezekano wa kubadili taa za nyuma pia cuz kiukweli naona kama kwa upande wa taa za nyuma hazijakaa kuvutia kiivyo kwa takribani matoleo yake mengi. Ama ni mimi mwenyewe nimeliona hili???
Ipo ya 4WD? ishu ya engine za CVT kua kipengele je!? kwa upande wa toyota si kipengele??? na je hii blade yawezana kwa safari za mikoa walau kwa sisi wa 10-20% safariz but thru out tupo mjini???