I love this man for free, open heart, down to earth, very composed, he loves God, humble the list continue, l prayed to God for his safe return, faithful God his back in one piece, a country needs people like him, may God protect him always.
napenda sana kuangalia interviews za watu walio fanikiwa kimaisha au matajiri au the most successful individuals kwa lugha ya wenzetu... kitu ambacho nime jifunza toka nianze hii hurka ya kufatilia interviews za style hio.. ni kwamba "the most successful people think, act, speak, behave, almost 99% different from low life individuals" kitu kingine success needs TIME am gonna put that in capital letters... jamaa alianza 1998 kutafuta utajiri / biashara tuseme lakin its upto this moment ndio tumsikia sasa kua ana pesa according to FORBES, so take lets say 2013-1998= 15 years, so guy roughly ali hangaika for 15 Years kuweza kufika kwenye pick aliyopo sasa which shows a degree of patience and determination he has. Congratulations! at some point am inspired.
Kwakeli Mo Dewji anasema ukweli ...I give you lots of respect!!even in UK your dad help lots of Tanzanians. Please keep doing what your doing. And mkasi producer you have one of the best program in tanzania.
Yaa Allah kama ulivyomvusha nabii yunnus kwenye tumbo la samaki, ya Allah kama ambavyo uliufanya moto kwa Nabii Ibrahim ukawa barid, Allah tunakuomba na huyu mja wako mo popote alipo umrudishe salama Yaa Rabb😢😢😢
very inspiring...ni mfano mzuri kwa vijana wengine...kwa kweli tunatakiwa tuamke tukafanye kazi hasaaaaa....biashara. I salute you Mr. Mo....endelea kupambana ukawe mwanga kwa wengine....
tangia moo atekwe sina raha katika nafs yang na namuomba ALLAH amlinde huko aliko na inshaallah atapatikana akiwa salama. 2gther from soni lushoto tanga tanzania
Jamani nye mliomteka turusishieni mo wetu salama maana ni mtu muhimu sana kwa nchi hii leo ndo nimesikiliza intavyu yake maashaallah ni mwanaume wa maaana sana
this is epic and inspiring.salama next time invite abubakar bahressa(son of said salim bahressa) for interview.I hear he is the master mind behind bahressa's success in business. we would like to hear something from him.
+Steven Mamba "The society prepares the crime..the criminal commits it" Ndo maana hata leo hii watu wameekewa sehemu za kuvukia barabara salama mfano "zebra cross" lakini hawazitumii badala yake wanajivukia ovyo sehem wanazotaka. *Maana ya mfano hapo juu ni kua Matatizo ya Tanzania yanatokana na mfumo ulioandaliwa au kutengenezwa na Taifa (Tanzania) ndio maana unakuta makosa hayo.
Hii ni interview nzuri Sana na pia nimejifunza mengi kupitia Mohamed Dewji. Natamani sana siku moja kufanya mambo kama haya aliohadisia... Ntajitaidi kutimiza aliyotushauri Mo. *Mungu nisaidie katika hili.Amen!
Daaagh yani brother wangu umeniamsha akili yangu sanna na hadi sasa sijui upo wapi Umeniwachia Majiraha makubwa sanna na Namuomba mungu Akulinde na kila sharii By Salim Mohammed Awamy from znz
Kaka mo nnakuombeaa duwaa kwa mungu yaaraby akulinde na akutowe kwenye makucha ya mayahudi haoo yaaraby akufanyiee kila la wepesi yaaraby mmungu awatiee imaani na huruma haoo walio kutekaa YAARABY mmungu watiee imaani kwakilaa aliee shiriki kwa kudhulumiwa kakayetu mo kama walivyo amrisha atekwee basi mmungu watiee imaani na uwafanyiee moyo mwepesi wakutowa ambri arejeshwe kwa usalama na afya yake YAARABY jaaliyaa mo wamrejeshe akiwa yuhaii AMEENA YAARABY 🙏🙏🙏🙏🤝🤝
Honesty is an expensive thing don't expect it from cheap people! I love this😘💕💕..........Jaman mrudisheni mo wetu ! Mungu simamia maisha ya mtu huyu Amen. Soon Mo atarudi akiwa salama naamini Mungu anaona hili kwani hawezi ruhusu mwenye haki wake ateseke kiasi hiki....
Pongezi zangu kwa Team "MkasiTv".. Ongezeni interview na watu tofauti kama hii hapa. sio star wa muvi na miziki tu. nice job. Salama is an amazimg person
dewji kasema anataka kufungua "benki zitazotoa mikopo midogo kwa riba nafuu" alafu salama akasema "in shaa allah mungu atakusaidia", ajui maskini kwamba Allah kwenye quran katangaza vita na wala riba
Mungu nakuomba mlinde huko alipo arudi salama na watekaji Mungu husika kikamilifu najua ww wajua kila kitu kuhusu mor ww ulie mlizi wa kila kiumbe Mungu wa mbingu na ardhi wafedheheshe hawa waliomteka huyu kijana
Alhamdulillah Mohamed has been found safe and sound. I have been praying Allah to spare his life. We have to learn from experience, InshaAllah he will review the way he moves around the country. Soooooooo happy he’s ok alhamdulillah