Alhamdulillah msneno unayo ongea yakweli yamenigusa yakitokea kwa baba yetu tulikuwa wengi ira nani atajitolea kutowa pesa kumuguza mimi nikajitolea sitaji mchango mpaka kifo chake akuna alie shudia nimimi tu ata alielala nae ospital akumuona nilipofika mimi tu yeye akatoka nje mimi nikampakata bale pale akafa kwenye miguu yangu km alikuwa ananisubili namshukuru mungu
Ya rabbi wasamehe wazazi wangu na uwarehemu kama walivyonilea na nakuomba umsamehe baba yangu aliyetangulia mbele ya Haki na mjaalie mama yangu kauli thabiti atakaporudi kwako
Ya Allah warehemu wazazi wangu uwaepushie adhabu za kaburi uyafanye makaburi Yao yawe raudha minraudhati jannahtul firdaus na waislamu wote Kwa jumla Amiin Ya Rabbal Alamiin
Mawaidha mazuri sana shukran ustadh Allah akulinde na sharri balaa na husda,na akupe husnul khatima mwisho wa maisha yako na akupe daraja kubwa katika jannatul Firdausi Ameen Ameen
Allahmdulilah mimi nimeodokewa na wazazi wote wawili Allahmdulilah kwa wale wazazi wao wako hai wafanyea wema wakiodoka utakua na uzito kubwa walai ya Rabbi nakuomba wajalie wazazi wetu jannatul fardoz na pia sisi tupe mwisho mwema hapa Duniani na kesho Akheira 🤲 ukweli hakuna mtu hanakupenda kama wazazi wako❤️❤️❤️ Allahmdulilah Allahmdulilah Allahmdulilah 👏
Ya allaah .namuombea mama yangu umpumzishe pema peponi na msameee makosa yake na kumfungukiya pepo firdaus iwe makazi yake na nawaombea wazazi wote waliyotangukiya mbele ya khaki allah wapumsihe pema peponi 😢😢🤲🤲🤲
Yaaallah,nijalie niwatunze wazazi wangu wawili.Nijalie mema kupitia vinywa vyao uwape subra juu yangu uniongoze nizidishe wema said ya huu ninaojaribu ya Rabi kuwatendea. Uniepushie Kila dhara na dhira juu Yao uwape pepo.lnsha allah
Alihamndulilah rabila allamin sheikh Mohammed bahero ulipo kuja singida nilifurah sanaaaaa nilipo jaliwa kuusikiliza maneno yako yatakuwa ni yenye kuendelea kila siku huwa narudia kila wakat mawaiza
Yaa Allah wape utulivu wazaza wangu kwenye makaburi yao na ujaalie majirani zao wawe ni malaika wema na waja wema walotangulia. Alla akuhifadhi uzidi kutufungua na kututoa katika giza lilotuzunguka
Maashaallaah allaah atuzidishie mapenzi kwa wazazi in shaallaah na kware waliotangulia mbele ya khaki bas allaah awarehemu nas tuwazidishie duwa in shaallaah
Ewe Allah 😢 wajaalie wazazi wetu waliopo hapa duniani na waliokwisha tangulia mbele ya haki 🤲🤲amiin.. nawapend san wazazi wang🥰,, Allah wape furah wazazi wang popote walipo inshaallah
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER INSHALLAH ALLAH ATUJAALIE TUWE NIWENYE KUWAPENDA WAZAZI WETU INSHALLAH NA MWISHO MWEMA INSHALLAH❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yaa Raab, wenye wazazi hawajui thamani,mie nnalia kwa kuwakosa. Yaani pepo mie siipati kwa bonus ya bir ul walidein😭 pepo chini ya nyayo ya mama nmeikosa. Yaarabi wahifadhi makazi mema palipo na wema, unikutanishe nao katika pepo yako Ya Allah
Allah amulekhem baba yangu😢😢 kabaki mama yangu. Alhamdulillah. Nikiwa nacho hua nampa hata kama hajaniomba najiongeza namtumia nimemtibia baba yangu mpaka katuondokea mikononi mwetu innalilah wainallh rajiun