Leo nmepata somo la aina za lens Nilikua nahitaj kujua speed light ya kutumia ambayo ni nzuri: Pia naomba kujua bei za speed light na kama kuna sehemu wanauza rahisi naomba nijue
Binafs Nafrahia sana kwa kozi zako kwa jinsi unavyo tamani kutufikisha sehemu frani. Naomba tuletee kozi ya sisi tunaojikita kwenye wedding tukiwa na 5d marck iii Light nzuri ili tupate picha nzuri binafs tashukuru
Brother siku zote naelewa sana tutorials zako, sasa mm nashoot harusi na music video kwa 550d canon sasa kwa music videos na sherehe mbali mbali niwe na lens gan ya ziada kutokan na kaz ninazo fanya