Тёмный

HII NDIO SABABU CHIEF HANA MKE INATISHA SANA TIZAMA HII 

Chief_Godlove
Подписаться 46 тыс.
Просмотров 92 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 391   
@jagjitalvinder5471
@jagjitalvinder5471 2 месяца назад
WATANZANI WENZANGU KWANZA NIANZE KWA KUMSHUKURU MUUMBA MBINGU NA ARDHI ALHAMDULILLAH NA MUNGU AENDEELEE KUIBARIKI NCHI YETU YA TANZANIA 🇹🇿 TUDUMU KUWA KATIKA HII AMANI MUNGU AISITIRI NCHI YETU JUU YA USHOGA NA ALLAH AVIHIFADHI VIZAZI VYETU JUU YA USAGAJI NA USHOGA ,,NATAKA KUWAAMBIA KITU NDUGU ZANGU WATANZANIA TAFUTENI PESA NA RIDHIKI ZENU KWA NJIA YA HALALI NA ALLAH ATAZIWEKEA BARAKA RIZIKI ZENU NA ALLAH ATAZIWEKEA BARAKA NYUMBA ZENU NA FAMILIA YENU WATU WASITAKE KUFOSI MAISHA ISHI MAISHA YAKO KILICHO KUWA CHA MSINGI USIKAE KIZEMBE WEWE PIGA KAZI YA AINA YEYOTE ILE MAADAM IWE YA HALALI TUU KISHA JAMBO LA MAISHA MUACHIE MUNGU WALLAH KAMA ALLAH ALIKUANDIKIA WEWE KATIKA HII DUNIA LAZIMA UTAPATA MALI BASI JUWA HUTA KUFA MPAKA UMILIKI VILE ULIVYO KADILIWA NA MUUMBAJI NA KAMA YEYE ALLAH ATAKUWA AMEKUWEKA KATIKA HALI YA CHINI BAS WW SEMA ALHAMDULILLAH KISHA USIWACHUKIE WALE WALIO KUWA JUU MANA HUJUI SIRI YA MAFANIKIO YAO NINI WALLAH HUWO UMASIKINI ULIOKUWA NAO KUNA WATU WANAUTAMANI SEMA HAWAWEZI KUSEMA ,,MANA SEHEMU WALIZO JIINGIZA NI ZA HATARI NA HAWAWEZI KUJITOA KWA VILE VIAPO WALIVYO KULA IMMA WAKITAKA KUJITOA UTASIKIA NI CHIZI AU AMEKUFA AU SALAMA YAKE NI KUSHIKAMANA NA IMANI ILIYO YA SAWA PENGINEVYO UTASIKIA DAAAA JAMAA KAMA MASIHALA JAMANI TUZIFUNZE NAFSI ZETU NA ZA WATOTO WETU JUU YA KULIZIKA KWA TULICHO KUWA NACHO IPO SIKU MUNGU ATAKUBADILISHIA LAKINI NI KWAWALE WENYE IMANI ALLAH ATUONGOZE NA ATUPE MWISHO MWEMA.
@StansMushi
@StansMushi 2 месяца назад
Wala ataoa maishani mwake. Na Itafika tu wakati atajuta, hamjui shetani vizuri, ngoja apate akili kidogo.
@isaya.m.mwakapesa9808
@isaya.m.mwakapesa9808 2 месяца назад
Kweli kabisa
@JaneStelzer-lk9gl
@JaneStelzer-lk9gl 2 месяца назад
Tansania 80 % of pple r in Freemanson true
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 2 месяца назад
Asante sana
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 2 месяца назад
Eti jicho la tatu😢😢😢😢 Mungu atusaidie tuweze kulidhika na maisha🙏🙏🙏 Asante kwa ushauli
@omarkapayer1412
@omarkapayer1412 3 месяца назад
Vijana tujitume tusitafute short cut na kuingiziwa fikra za ajabu na watu kama Hawa kidogo chetu🙏 Mungu Kwanza Pili Mungu Mwisho Mungu Allah atufanyie wepesi
@NabilKhalifa-b8d
@NabilKhalifa-b8d 2 месяца назад
Ndugu tafakali na tumia mitandao kama maktaba kuna vilivyo fichwa ili usijitambue mfano mdogo hakuna mpaka leo tajili alie mfikia mansa musa hao wengine wanalazimisha kupita utajili wa muaflika mansa hembu waza kidogo kimetokea nini mpaka Africa tumekuwa mikia Acha kupinga kila kitu jifunze ndugu waambie na wenzako namii mwenzio sina muda mwingi wa kujifunza ila najitaidi kujua vitu na maisha asili
@VictorJohn-fu7ch
@VictorJohn-fu7ch 3 месяца назад
Haya wasio na laki wakakojoe wakalale 😂😂 nimecheka watu wako serious na kaz 😂 @chief mm nakuombea SKU moja ufanye kaz na Yesu utapendezea sana sante
@JamesKanyenda-y9y
@JamesKanyenda-y9y 3 месяца назад
Chifu MUNGU wa mbinguni akusaidie sana.duniani akuna tajili ambae atampita sulemani.lakin Leo yupo wapi.amegeuka udongo.wacha kupoteza roho za MUNGU kwasababu ya kumfata shetani wako.maisha ni kama kunijilisha upepo soma mathayo 16:26 okoka chifu Dunia hii sio ya milele.walikuwepo matajili kuliko wewe wamepita na Leo hawapo tena.basi ata wewe ndani ya mia 100.utakuwa umegeuka udongo.nafasi Bado ipo BWANA YESU anakupenda.acha kupoteza roho za MUNGU kwasababu ya pesa za mashetani.utajibu nn kesho mbele za MUNGU.muamini yesu nae atakuokoa.na kukutoa katika utumwa ambao teari umeingia .na unajutia nafsi yako sasa.mungu akusaidie sana amina.kila kitu kinapta Dunia hii.
@mussabaraka9498
@mussabaraka9498 3 месяца назад
Ni sawa lakini kila kitu kina zama zake huyo nabii uliemtaja ulikuwa wakati wake na huyu mwamba ni muda wake pia so #kojoaukalale boss kasema
@kassiannyamba805
@kassiannyamba805 2 месяца назад
Acha kujifariji kwa hizo hadithi, tukubali tu kuwa mwamba ana maisha hata kama ni ya muda mfupi
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 месяца назад
Ameni na MUNGU akubaliki
@BrianShirima-s3d
@BrianShirima-s3d Месяц назад
😂😂😂​@@mussabaraka9498
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 2 месяца назад
Ushindwe kwa Jina la yesu kristo huna uwezo wala mamlaka n heri kuwa maskini lkn una amani kuliko kuwa tajiri kwa kutoa kafara na amani huna moyoni ww mwenyewe unatamani ungepata nafasi ya kuhepa kwa hicho chama ungetoka lkn unashindwaa tuu Mungu ana haja na ww brother kubali kumpa yesu maisha yako
@hamisstimu
@hamisstimu 2 месяца назад
Unamjua yesu au kwasababu imani za dini umerithishwa tyu, dini ni za wazungu mbn mababu waliishi bila kuwa na imani za dini..
@HekimaGadau-s9k
@HekimaGadau-s9k 2 месяца назад
So sad broo, any thing without lord is nothing in this world may GOD open your mind
@MariamMnyumba
@MariamMnyumba 2 месяца назад
Mwenyezi MUNGU akurehemu Kwan huenda haujui ulitendalo , Ee Mungu mrehem mja wako
@AnithaChinyeu
@AnithaChinyeu 2 месяца назад
Hahahaha kaka unafurahisha,hongera kwa kufanikiwa,Omba sana Mungu umpate huyo mwenye vigezo
@godfreysudi7264
@godfreysudi7264 3 месяца назад
Mungu akurehemu utoke ulipo maisha ni ya kitambo kifupi sana ila ghazabu ya Mungu juu ya uwovu ni kubwa mno
@nehemiamwailongano2960
@nehemiamwailongano2960 2 месяца назад
Ushindwee kwa jina la YESU KRISTO. Hayo ni ya kitambo tyu kifo chaja usipotubu
@bless.2559
@bless.2559 3 дня назад
Sura yako imekosa nuru. Unaonekana kuwa mwenye wasiwasi. Pole Bro.
@jumaibrahim9773
@jumaibrahim9773 3 месяца назад
Mm sijaona cha maana alichoongea
@JosephJoseph-v1m
@JosephJoseph-v1m 2 месяца назад
Kabisa
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 2 месяца назад
​@AwadhAlly-k1fAnajalibu kukokota vijana wale wenye kutaka maisha mepesi Mungu azinusulu roho zao🙏🙏🙏
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 2 месяца назад
Kuna aliyekuwa na pesa na magari kuliko wewe anaitwa Ginimbi, na Mali alizokuwa nazo kwa magari hayo yanaingia zaidi ya mara 10,000. Yuko wapi? Mpe Yesu maisha yako. Haitakufaidi kitu kupata ulimwengu mzima kisha nafsi yako kuja kuteketea motoni na shetani yule yule uliyemtumikia ndo atakuadhibu.
@victaeliud948
@victaeliud948 2 месяца назад
Acha kujilisha upepo...YESU ni jibu la mambo yote...mshahara wa dhambi ni mauti..lango bado liko wazi ....TUBUUÚ.
@AngelMbaga
@AngelMbaga 2 месяца назад
Matatizo yako ni makibwa, kuliko sababu zako. Mungu akusaidie Sana. Unaona huo ni utajiri kumbe ni vifungo. Matajiri wako huru, anaoa mke yoyote.
@lusianguno6434
@lusianguno6434 25 дней назад
Okoka, njoo Efatha Church, Mwenge Dsm. Utaponyeka. Utapata pesa, za halali bro. 💪
@MalikshotelsMalikshotels
@MalikshotelsMalikshotels 2 месяца назад
Ww bado ujasema akili siyo timamu hata mume hawe hana pesa mke wake hatatulia ww ndo huwezi kuoa maisha yako yote huwezi kuwa na mke hata ufanye nn ww n FREEMASONS na KAFALA YAKO N KUTOKUOA KABISA MSHEZI WW GODLOVE
@ArnoldMbulawa
@ArnoldMbulawa 2 месяца назад
Anazinguwa!! Money talk, kwanini anaongea yeye, pepo huyo. Dunia itamfundisha.. just watch.
@NgoshaJaphet-zo4sq
@NgoshaJaphet-zo4sq 2 месяца назад
Tubu sasa Mungu anakupenda Neema bado ipo ila siku inakuja ambayo Mungu ameiweka Ili kumhukumu mwanadam inatisha sana Yesu anarudi utaifaidia Nini ukipata fahali yoote na mwisho ukatupwa Jehanam milele
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 2 месяца назад
Toka pepo mchafu kwa jina la YESU
@ibrahimalex4978
@ibrahimalex4978 2 месяца назад
Okoka brother. Hayo mengine nayo sisi tunaona sifuri.
@HalimaMarijani
@HalimaMarijani 2 месяца назад
Weweee unachekesha sasa mimi masikini natoa wapi laki ila siku yako moja tu na anaijua mungu mwenye haki ya kuabudiwa
@CikeTanzania
@CikeTanzania 2 месяца назад
Mtumishi wa mungu huyu tafuteni pesa kwa njia ya halali.
@VictorMukombozi-o6o
@VictorMukombozi-o6o 2 месяца назад
Tafuta kuanza mungu bro, umupe maisha yako Yale yote niubatili tuliishi haliiyo sisi yenziyo ila leo tume mrudiliya mungu muumba, mtafute angali ana patikana
@sarahmwakipembe5033
@sarahmwakipembe5033 2 месяца назад
Mwenyekujikweza atashushwa labda maisha yako use na Mungu
@adeliphinusgabone7431
@adeliphinusgabone7431 2 месяца назад
''Yeye ajikwezaye atadhihiliwa na yeye ajidhihiliaye atakwezwa''asijisahau.
@storytownTv
@storytownTv 3 месяца назад
Sasa laki ya nini wakati pesa unayo ,,we kuku nn
@fx3.0
@fx3.0 2 месяца назад
Hela za masharti hatakiwi kuoa hatakiwi kukaa na ndugu
@NestyTz
@NestyTz 2 месяца назад
Huna maishaaa mbona hung'aii umefubaa kama unashinda maskani daily
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Месяц назад
😂😂😂Mbona kwenu Kuna wadada wameolewa na wako kama hao unaowaona hawafai kuolewa?? (Maskini) BIG UP BROO.
@pharmtech_1
@pharmtech_1 Месяц назад
Naelimisha Nashauri Natibu na kufwatilia maendeleo ya afya yako KARIBU TUJIFUNZE WOTE
@Japhet_JafarNiyonkur_burundi62
@Japhet_JafarNiyonkur_burundi62 Месяц назад
Mimi nimesha amua ila njia yakutuma pesa huku BURUNDI ingali inanisumbua. Kati ya 5 au 10/09/2024 ni na imani na uhakika wakuzilipa. In shaa Allah.
@raulnassor5761
@raulnassor5761 2 месяца назад
Mbwa ww kenge huna lolote mshirikina unatapeli watu tu
@SabastianRaymond
@SabastianRaymond 2 месяца назад
ADABU HAUNA KABISA. HURUMA ZA MUNGU AKUHURUMIE.
@alexyustine1863
@alexyustine1863 3 дня назад
God nichek mi alex kuna mtu ananizingua.
@panduafricangiant4902
@panduafricangiant4902 3 месяца назад
Hakuna cha iluminate kuna principles mnaishi nazo nmezijua am on they way to succes
@emiliankomba5217
@emiliankomba5217 3 месяца назад
Emb niambie mzaz, tushare wote damu yang hizo kanuni
@allahisone6386
@allahisone6386 3 месяца назад
😅😅
@juliusmakamba255
@juliusmakamba255 Месяц назад
Shetani anakutesa sana, wala hu a furaha wewe wala amani,kazi kubwa sanaa unayoifanya ni tujitahidi kutafuta watu kwenda kwa shetan
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 2 месяца назад
Anatutambia anaona ss tunatamani pesa zake ....hhh tunaangalia maisha ya AKHERA kwsababu maisha ya binaadamu hpa duniani km safari tu
@magyy8727
@magyy8727 25 дней назад
Your soul is more important and that is what the devil is working day and night to make sure you don't get to know. Omba mungu afungua macho ya roho yafunguke uone .....chagua maisha hizi mali ni ya kukupumbaza macho usione....omba usife kama hujamjua Yesu...kwa maana adhabu ijayo si ya mchezo.....😢
@fawziyahassan5714
@fawziyahassan5714 Месяц назад
Eee Mungu wa Mbinguni na Ardhini Mmiliki wa viumbe vyote inasikitisha sana😢😢 Vijana wengi wanapotea kwa tamaa za Kidunia saivi pesa na Nguvu na Umaarufu imekua ni fashion ya maisha... Yaa Allah tujaalie Mwisho Mwema... Tuepushie na huu ujinga wa Kidua. Na haikua starehe za Dunia ila ni za muda mchache.. Na kwa Mungu kuna ufalme wa milele.
@ibrahimkassim8289
@ibrahimkassim8289 14 дней назад
Mungu ametuumba na macho mawili, ya kiroho na yakawaida , jicho la tatu linatokea wapi Kama si jicho la shetani aliye laaniwa ? Hasbunallahu wani'mal wakil
@deeruta9894
@deeruta9894 2 месяца назад
Wewe kwani family yako ni matajri? Kwanza wewe unajisahu kuwa kuna mungu unaona shetani ni bora but kesho utakutoroka shetani😢😢😢😢
@odamssanga6871
@odamssanga6871 2 месяца назад
Ayubu 20:4 Je! Hujui neno hili tangu zamani za kale, Tangu wanadamu kuwekwa juu ya nchi, Ayubu 20:5 Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu? Ayubu 20:6 Ujapopanda ukuu wake mpaka mbinguni, Na kichwa chake kufikilia mawinguni; Ayubu 20:7 Hata hivyo ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe; Hao waliomwona watasema, Yuko wapi? Waebrania 9:27 Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu; KUMBUKA HAYO NI YA MUDA KAMA HUJAPATA KWA HALALI BASI KILICHOMBELE YAKO NI HAYO MAANDIKO HAPO JUU.
@simasimon9917
@simasimon9917 2 месяца назад
Jaman😂 Hii inahitaji Milan kweli kuchunguza kua huyu ni mtumishi wa Mungu??? Duh. Mungu atusaidie
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 2 месяца назад
Kuna andiko moja kwenye biblia ukilisoma utashangaa sana mambo yanayowapata watu wa aina hii ya majisifu. Hebu soma Ayubu 20: 4 - 9.
@SbahHiai
@SbahHiai 2 месяца назад
Kwa jaliwa na utajiri ni kujaliwa. Na mungu ndie anaetoa riski sio binadamu mungu ndie kila kitu hapa duniani
@MudyFaudhia-Games24
@MudyFaudhia-Games24 Месяц назад
Kwa hapo hajanoshawishi nahata kama hata nishawishi sitaiiiingiiiiiaaaaaa
@saidmbarouk3553
@saidmbarouk3553 Месяц назад
NA KWA ALLAH KAONGE HIVYO HIVYO
@enocktumbo5776
@enocktumbo5776 Месяц назад
Mungu amsamehe na hajui alitendalo. 😢
@2pacbreg
@2pacbreg 2 месяца назад
Good job 👍
@mboneamalaki5674
@mboneamalaki5674 Месяц назад
Duh! Kweli kumcha Mungu ndiyo Chanzo cha maarifa,Huyu bwana anachoongea inaelekea ndumba zimeshaharibu akili yake kabisa
@BwenzaofficialMusic
@BwenzaofficialMusic Месяц назад
Kwanza bado mshamba na hela zake za masharti fala ww unazani kuna anae taka kuwa kama ww mshamba mmoja Tu kafie mbele na hela zako za mashetani ngoja si tuone hao maskini usiowataka halafu tafuta mume akushone
@ntakilutandato
@ntakilutandato 2 месяца назад
Ahsante
@dignakanje4508
@dignakanje4508 2 месяца назад
Umeshasema umezaliwa namama ntilie,umetoka familiya yakawaida,sasa kwanini unadharau masikini.Kaka gdlove tuelimishe wasaidie waitaji,lkini usifedhul watu wabaki kujiuliza huyu ninani,anajeuri yamungu tu ama ipo yaziada.
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 2 месяца назад
Kwani umesikia wapi mtumwa wa shetani akiwa na akili za kukumbuka alikotoka😂😂😂😂 kwanza wakifika huko wanapolwa akili kisha mambo mengine yanafwata Jamani Yesu kristo atabaki kuwa namba moja aki💯🙌🙌🙌🙌💃💃💃💃💃
@Imanaiwachu
@Imanaiwachu 3 месяца назад
Uyu ni tapeli 😊
@lirastanley390
@lirastanley390 Месяц назад
Sasa hutaki haajiriwe je utampataje akiwa na pesa?
@samiahjmlimanzilla9354
@samiahjmlimanzilla9354 3 дня назад
Huyu hata akimuoa huyo mke hatoishi kwa flaha manyanyaso ndo yatakua mengi coz anazarau sana
@CikeTanzania
@CikeTanzania 2 месяца назад
Nabii suleiman yuko wapi hivi sasa.
@Kautharkabanga
@Kautharkabanga 3 месяца назад
Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 2 месяца назад
Wewe umetokea kwenye familia gani?
@AmaniMrema-i3i
@AmaniMrema-i3i 2 месяца назад
Tapeli Mkubwa we fala
@NeemaLudovick-ec2je
@NeemaLudovick-ec2je 2 месяца назад
Nilijuaga nimeona yote kumbe bado 😢
@GloryKashililika
@GloryKashililika 2 месяца назад
Ahahahahaha yameanza kukukaba nn mbona sababu hazina mashiko
@antidiusalfred365
@antidiusalfred365 3 месяца назад
Kwahyo wanawake wote wameajiliwa sema kwamba unamahagano na Lusifa
@godsonishengoma5378
@godsonishengoma5378 3 месяца назад
Majigambo meng,kuwaona walokosa km hawana akili.. Kavaa pete na mikufu . Haya Mungu we2 hayapo.. Nachoamin shetan humuwazia yalo mabaya mwanadam.. Huja km malaika mwema lkn mwshowe n maangamiz makbwa! Mungu amuokoe huy kjana kwakwel.!
@pinaphilly2629
@pinaphilly2629 12 дней назад
Wewe ni lumbukeni wa maisha...utajiri wako siuoni bado...hii ni dalili kuwa wewe ni maskini uliyepata pesa kidogo
@victaeliud948
@victaeliud948 2 месяца назад
Sasa saa nane usiku we unatafuta nini wakati watu wamelala? Nyie ndo mnaiba na kuuwa watu usiku...majivuno kibao mwisho utalia mwenyewe...
@UstadhiRai
@UstadhiRai Месяц назад
Ushamba uo. Shet'ani 😢kakuteka na hiyo siyo sababu ya kutokuoa wake tele tafta wa kummiliki mwenyewe ww.
@raulnassor5761
@raulnassor5761 2 месяца назад
Matapeli wenzako hawo unao ishi nao
@HamisiFakhi-mx4tb
@HamisiFakhi-mx4tb 2 месяца назад
Gali zenyewe za milioni tatutatu
@RukiaMdide
@RukiaMdide Месяц назад
Samahani nahitaji namba yako please
@zedymobile7615
@zedymobile7615 Месяц назад
Pesa niazko kelele zann Sasa mwenye pesa haongoeii sana
@rosemkude4804
@rosemkude4804 3 дня назад
Huyu ataishia kujiunga kwenye vyama vya wachawi
@AdmiringAquaticWhale-qr1vp
@AdmiringAquaticWhale-qr1vp 2 месяца назад
Pesa kwanzaengine badae
@SimonJoseph-l9i
@SimonJoseph-l9i 2 месяца назад
Magari yote hayo yann sasa afu yaliyo mengi yanafanana, yaani unadhihirishia kuwahuo una ubongo wa kuku
@Hadiharoun-w1w
@Hadiharoun-w1w 3 месяца назад
Boss lady nae yupo busy.
@AbeidMsalla
@AbeidMsalla Месяц назад
❤ 😊😊
@fanuelpandisha-by1oo
@fanuelpandisha-by1oo 2 месяца назад
Inna lilah waina ilaih laajurun
@JumaChristina
@JumaChristina 3 месяца назад
Kaka wewe unahela sana ila huna furaha maishani mwako lakini kuna mtu ambae hana hela rakini anafuraha sana
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 2 месяца назад
Ni kweri
@JuliethNgoi-c5i
@JuliethNgoi-c5i 2 месяца назад
Anatafuta Ela za mafuta kwenye magari yake
@BakariAthumani-vs8lk
@BakariAthumani-vs8lk 2 месяца назад
Kidogo aseme siwezi kuoa takataka ila huyu jamaaa...
@hopemadrago
@hopemadrago 2 месяца назад
Ni vya muda tu haviwezi ishi milele kama neno la Mungu🙏🏽
@boraspecial201
@boraspecial201 Месяц назад
WOW
@SIMONNOELIA
@SIMONNOELIA 2 месяца назад
Mchawi makubwa wew kufa ni pale pale 😂
@BrianShirima-s3d
@BrianShirima-s3d Месяц назад
Nilijua umehustle jupata hizo do kumbe ni shortcut!😂 na sababu ya kutokuwa na mke sio umaskini bana usisinfizie😂😂😂 ni masharti ya freemason hayo
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 2 месяца назад
Acha ujinga bhana we ni fm member
@florencejames-jo1cz
@florencejames-jo1cz 3 месяца назад
Laki tano kujiunga washamba washamba wapige tu!!😂😂😂😂😂😂😂
@EmmanuelEmmanuelyego-rv9nh
@EmmanuelEmmanuelyego-rv9nh Месяц назад
Hizo ni pesa ya illuminate bro Michael Jackson alikua akawacha yote shenziii Sana upuzi
@MaywaTifurukwa
@MaywaTifurukwa 2 месяца назад
Watu wa hivi huwa wana Mateso sana hutafuta wa kuwashawishi ili nao waahangaike nao, kwani ukiwa na fedha ukaa kmya hufaidi ?!!, Mungu awasaidie munaotamani Maisha ya Mateso
@wakayakaya6
@wakayakaya6 Месяц назад
Hamna kitu kama hicho inawezekana hakuna shughuli huko chini.alafu.
@ArnoldMbulawa
@ArnoldMbulawa 2 месяца назад
Nenda kamuunge bibiyako na mama yako.
@Jackson-l7v
@Jackson-l7v Месяц назад
Love bro
@josephkambole4958
@josephkambole4958 Месяц назад
Mimi nina shida na kibunda afu tena unaniambia nitoe kibunda cha laki pagumu hapo!!
@CrismaAdrian-pp2by
@CrismaAdrian-pp2by 2 месяца назад
Nioe mimi basi ❤😢😢
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni Месяц назад
Sasa huyo mwenye ela si atakuwa.na mipango yake
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 2 месяца назад
Bora nife masikini kuliko niende jehanamu😢😢😢😢
@Timothy-o2e
@Timothy-o2e 3 месяца назад
Nimekuelewa sana
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 2 месяца назад
Huyu naye serikali haimuoni?
@FestoMunishi
@FestoMunishi 3 месяца назад
Dahh wanicheksha aisee kwa hiyo km mtu hana laki ya kukutafuta wewe akakojoe akalale sio haya bhan yetu macho km utajirii ni rahisi hivyoo unavyojinadi wengi tungekuwaaa tajiriii lakini pia unasema mwenyewe jicho la tatuu ndio mwanzooo wakufanikiwa hapo vipiiiiiiiiii c salknasema maisha na magari ya kwako
@Vladmir9112
@Vladmir9112 3 месяца назад
Wa kongomani kwanini hautujibu
@simbamaduhu1600
@simbamaduhu1600 3 месяца назад
Huyu mshenzi kama washenzi wengine
@CHRISTOPHERDENIS-p6s
@CHRISTOPHERDENIS-p6s 2 месяца назад
Hana mia ni chawa wa bakari
@NapatNapat-x6i
@NapatNapat-x6i 2 месяца назад
Mlaanifu mkubwa ww na kesho kwa mungu ajiaifiye km hivyo kunguru we sw
Далее
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43