Тёмный

Hii Ndio Tawheed ya Mawahabi | Ustadh Muhammad Al-Beidh 

ALI FAZA
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 151   
@OmarJuma-b5e
@OmarJuma-b5e 6 месяцев назад
Allah amsamehe kwa kuzua uwongo kwa ajali ya chuki
@macro9gamers805
@macro9gamers805 3 месяца назад
Amedanganya hapo.Wanavyosema mashekhe ni kuwa Mungu Ana mkono kwa njia isiyo na mfano na usuyoweza kufikiria hawasemi Mungu Ana mkono kana mkono
@shariffali7780
@shariffali7780 2 года назад
Mwenyezi Mungu amrehemu Ustadh Mohammad Al-Beidh ! Aalim al-allama. Wallahi tuwa ku miss sana! Allah ampe afya ndugu yetu Ali Faza azidi kututoa taka mashkioni!
@abubakarmohammed1234
@abubakarmohammed1234 Год назад
Allah akuongoze ww na Hilo jikhurafi lako
@zuhulahaluna110
@zuhulahaluna110 Год назад
Subhanallah allha akuongoze wew shekhe kwan wew haujui ulisemalo kuwa ni istihizai
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv Год назад
Masheikh kama hawa hatuwataki ktk dn yetu
@Mohammad_shidogo
@Mohammad_shidogo Год назад
​@@yusuphibrahim-yq9mv 😂😂😂😂 mkiambiwa ukweli mna taka kufa dini ya Allah shekh si yako wacha kufru
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Год назад
​@@yusuphibrahim-yq9mvuna dini ww dini ya Allah na mtume wake aliye mtumiliza sasa ww nani katika dini
@iddikayombe166
@iddikayombe166 Год назад
Tumche Allah tunayoyasikia kwa mashekh tuyachuje
@zuhulahaluna110
@zuhulahaluna110 Год назад
Halafu wew shekhe mzma ndevu ni sunna lakin umenyoa ndevu kidevu kimekaa kam mwanamke
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Год назад
Kwani ndevu faradhi ama suna mutabaki na upotofu tu miwahabi
@mahatmohamed8392
@mahatmohamed8392 8 месяцев назад
@@fikafikan8484 ndevu ni wajib
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 7 месяцев назад
kama mwanamke​@@fikafikan8484
@AliMohamed-gv7nw
@AliMohamed-gv7nw 2 года назад
Yaani huyu mzee sijui kwann anapenda kuongea uongo nakuwajaza watu chuki muogope Allah mzee nakuwazulia ahlusunna uongo
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 года назад
huo ndo ukweli kama ulikuwa hujui kawaulize masheikh zao.
@AliMohamed-gv7nw
@AliMohamed-gv7nw 2 года назад
@@rayisadesigns2646 fuatilia dini nausome ndugu yangu usiwe mshabiki hao masheikh munao wasapoti nimasheikh wanaompenda dunia
@الشيخحسين-ف3ش
@الشيخحسين-ف3ش 7 месяцев назад
mzee mche allah hapa ulipofikia panatosha.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 года назад
NAWASHAURI MASUFI WAACHE KIBRI,HIZI CLIP ZA MAREHEMU ZINA HALI MBAYA SANA,HAIFAI,ACHENI KUZIRUSHA ZINAMZIDISHA SHARIFF WENU MATATIZO HUKO ALIPO,MAANA NI ZA KUWAPOTEZA WATU!!
@dhinnureinhussein5348
@dhinnureinhussein5348 Год назад
Wewe ndiye malaika wa kaburini
@ramadhanomar8093
@ramadhanomar8093 2 года назад
Wallahi hili jitu ni rongo sana hili...nakuchukia kwa ajili ya ALLAH
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Год назад
Mrongo ni ww mawahabi wapotofu tauhidi yao ni tatu mawahabi wapotofu utasemaje ni mrongo mrongo ni ww mnafik
@ramadhanomar8093
@ramadhanomar8093 Год назад
Maneno yako yananuka usufi wa kijinga
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Год назад
@@ramadhanomar8093 ww ni mnafik na mtume s a w alisema kutakuja watu wakiwatusi wanazuoni mtume s a w amesema kweli moja wao ni ww subiri siku yakiyama mbele ya Allah utoe ushahidi urongo wa huyu mwanachuoni ni nn
@ramadhanomar8093
@ramadhanomar8093 Год назад
Mwanachuoni gani huyu...kuambiwa ukweli ndo kutukanwa...acha upumbavu wako wewe
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Год назад
@@ramadhanomar8093 utajua ww siku yakiyama mbele ya Allah ni mwanachuoni gani ww na shekhe lako na alie mfundisha sheke lako ilimu hamfikii huyu mzee ww humjui ni chuki tu ilimu aliyo nayo sahi sijaona ila ww ni wale mtume s a w aliwatabiri kutakuja watu wakiwatusi wanazuoni wake moja ni ww na insha Allah utafedheka tu nyama ya wanazuoni ni sumu
@makameally1962
@makameally1962 7 месяцев назад
Naomba darasa kamili
@matendupiterngoge8707
@matendupiterngoge8707 Год назад
Mzee bidh wewe ndio haupo wewe kapige falaki yaani wewe kaendelee kuandika makombe ya wanawake kuwaharibu waume zao
@shabaniumande
@shabaniumande Год назад
Wewe mz acha wongo Uyo mz ana kauli za uwongo Kama mashia
@9119-r4t
@9119-r4t 2 года назад
Huyu subhanaallah kumbe alikuwa akipoteza watu sana.haya tuone ujahil wake hapo kaburini atasaidiwa nanani. Mzushi ni mzushi
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
Sijawahi kumuona hasidi anae husudu walioko makaburini kama wewe ! subhana llah mbona wajipa kazi ambayo sio yako ama umekua mungu ? Kwanza ungesema mababa zako na mababu zako wana hali gani makaburini kisha ndio useme wengi lakini wewe hujui hata lolote kwa walio tangulia katika wazee wako lakini ajabu wajua ya wenzio
@allytwalibjr.6431
@allytwalibjr.6431 2 года назад
جاهل الأشياء أعمى حيث يدور Mjinga wa mambo ni kipofu hajui Aendapo sasa wewe Waona n kwli anao yasema huyu Sufi mkubwa.. haya si angetaja huyu alie sema ana shaka na mungu kuwa ana tupu
@yusufomar7081
@yusufomar7081 2 года назад
Ww ni jahil mkubua
@allytwalibjr.6431
@allytwalibjr.6431 2 года назад
تمسك بالسنة ياخي
@yusufomar7081
@yusufomar7081 2 года назад
اي سنة تعرق انت
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 Год назад
Wewe mze acha kudanganya watu
@abdullahali4956
@abdullahali4956 2 года назад
Huyu mzee Allah amrehemu kwa kupoteza watu na itikadi zake za kisufi
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 года назад
TAWEED YA ALLAH ANA MKONO NDIYO TAWEED ALIYOFUNDISHA رسول الله صلى الله عليه وسلم ALLAH YUPO JUU KENYE ARSHI YAKE NDIYO TAWEED ALIYOFUNDISHA رسول الله صلى الله NA MASWABA WAKE PIA,KESHA AIMMATUL ULAMAA WA AHLU SUNA WALJAMAA,NDIYO TAWED YAO. INACHULUKULIWA KENYE QUR"AN NA SUNNAH ZA MTUME, KESHA NYIE MASUFI MKAOTA KUTOKA KWA MAKAFIRI WA KISHIA TAWEED YA KUKATAA SIFA ZAKE ALLAH ,KAMA ALIVYOJISIFIA KENYE QUR"AN NA HADITH ACHA KUWADANGANYA WAUMINI MISIKINI HAWANA UJUZI WA DINI YAO!! ALLAH AWAONGOZE WAIJUE HAKKI
@allytwalibjr.6431
@allytwalibjr.6431 2 года назад
Huyu alisema mungu ninashaka nae jee mungu anao tupu au hana n WAHABI ganii??? challenge nawapa masufi
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 2 года назад
Naamini hawatokujibu abadan ila chuki tu zimewajaa
@salumjabir813
@salumjabir813 2 года назад
Hahahahahahahahahahahahahaha........sana waislam wa kwel.
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 6 месяцев назад
we babu weweee kudadeq
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 6 месяцев назад
Kazee kaongo haka😂😂 Allah akasamehe kwa uongo wake na kupoteza watu
@JamalAli-tz6pj
@JamalAli-tz6pj 2 года назад
Mola amueke pema
@omarjumaan3061
@omarjumaan3061 2 года назад
HUYU ANAPOTEZA WAKTI NAWATU WAMSIKIZA TOWA DARASA WATU WANUFAIKE .
@dhinnureinhussein5348
@dhinnureinhussein5348 Год назад
Usimskize ....wafwata nn hapa
@quran._0013
@quran._0013 2 года назад
Tawheed , ziko dalili zakee, mbona hutaji maulamaa wengine walizozitaja , .
@Abdullah06494
@Abdullah06494 2 года назад
Alikua afaa ataje references ya hayo anayoyasema, ili tuweze kuenda kusoma wenyewe. Lakini kusema hivi hivi bila kutaja yamesemwa wapi hayo maneno ni makosa na hatuezi kuyaamini maneno yake
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
Wewe kwa kweli hata huelewi usemacho sasa wewe ukiamini au usipo amini ndio itakua nini nendeni mukasome mawahabi masugu shida yenu ni elimu hamuna na kusoma hamutaki sasa shekhe akieleza utumbo ulio ndani ya vitabu vyenu munaanza kukataa na hamuthibitishi kua maneno hayo hamna kumbe tatizo mumetanguliza matusi mbele na mukaacha elimu nyuma
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 2 года назад
Kwani wewe hujui kuna tawheed tatu
@mohamedabubakar7397
@mohamedabubakar7397 2 года назад
fungua kitabu cha ibnul qayyim IJTIMAI JUYUWSHUL MUSLIMIYN UTAPATA HAYO ANAYOYASEMA USTADH MUHAMMAD AL BIEDH ACHA KUONGEA KAMA KADUKU UKWELI NI MUNAFICHWA NA MASHEKHE ZENU HEBU SOMA KWANZA UCHAMBUE VITABU VYENU HALAFU FUNGUA DOMO LAKO
@selemohd9060
@selemohd9060 2 года назад
@@shariffhabshy6770 lete ushahidi wa aya au hadithi kama tawhid ni aina tatu
@muhudinabdi4570
@muhudinabdi4570 2 года назад
Watapika au waongea uyu
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 2 года назад
Acheni kufuru ninyi mawahab mayahud et kisa yahudiy mkuu huyo Ibnu Taimiyyah mnaemwabudu kasoma Wapi walimu wake akinani et oo kasomeshwa nawezeewe ikisha yahapo kendawap Israel someni vzur kaenda Israel kufanyaj ndokurudi tayr anaaqiidah ya kiyahud na kinaswara tawheed tatu siutatu huo tyar naa Allaah asemaj
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص 11 месяцев назад
​@@Zuwenamachela kwa hiyo Huyu Teimiyya kumbe alikuwa yahudi? Sio muislamu? Mimi nasikia tu akitajwa sijajua alikuwa ni mtu wa aina gani, ila anatajwa sana na mawahabi kumbe yahudi haswa! 😂😂😂😂 sasa nani amuita mwenzake kafiri? Sisi ama wao?! 😅😅😅😅 ndio maana nina shaka sana na usufi wetu kaka mpaka naanza kufuatilia makini naona kama hatuna inswaaf, ni bandika uongo watu waamini.
@ismailmohamed41
@ismailmohamed41 7 месяцев назад
HUYU MZUSHI MPOTOVU HUKO ALIKO ALLAH AMLIPE ANAYOSTAHIKI. KIZERE KIPOTOFU
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
Huyu mzee jamani wallahi muhurumieni hizi clips zake mnatia kwenye matatizo saana uko aliko kama kuna watu kawapoteza saana.
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
Hizo ni fikra zako lakini kwa itikadi yetu Allah anamlipa kheri nyingi kwa kuzungumzia haki na watu wakajua ukweli wa mambo
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
@@al-furqan3639 anazungumza haki? Wakati anawazulia watu uwongo, ndugu yangu someni jama acheni ushabiki huyu mzee anaongea utumbo mtupu sheikh
@pakashume725
@pakashume725 2 года назад
Chukiiii
@hajiali9300
@hajiali9300 2 года назад
wasomesheniwatu dini msieneze chuki naujinga Allah anasefa amejisifia lazima zielezwe kama alivojisifia au mtuambie kama mmejiunga na majahmia wanaozikataa sifaza Allah nakuleta ta awili
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
Ujinga uko ndani ya vitabu vya kiwahabi shekhe amenukuu tuu wewe unaropokwa sana kama kasuku thibitisha kua huo ujinga haupo ndani ya vitabu vyenu
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 2 года назад
Huo ndio ukweli wamahawabi hakuna ujinga wowote.
@mohamedabubakar7397
@mohamedabubakar7397 2 года назад
wapi kajisifu ya kuwa anauwezo wakukaa juu ya ubawa wa mbu ??
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 2 года назад
@@al-furqan3639 tambua hizo ni aya za Allah wazipinga wazi wazi
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 2 года назад
@@mohamedabubakar7397 Umemsikia nani katika mawahabi akisema hivyo kama so umemsikia tu sheikh wako kasema hivyo nawe ukabeba.
@waleedahmed6530
@waleedahmed6530 Год назад
Naona watu wote wamelala😁😂!!!ni darsa au ni nini?
@nasirdinmohammed8741
@nasirdinmohammed8741 2 года назад
Wallah huyu mzee alikuwa muongo hana haya na anahiyana sana wallah achane kueneza maovu yake wallah haridhiii na anjuta juu ya uongo wake huko aliko mungu amsamehe
@shabaniissa3464
@shabaniissa3464 2 года назад
Kumuelewa huyu shaikh Allah amrehemu inatakiwa akili yako iwe huru kwanza. Usilete umakundi uliopo kichwani mwako
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
@@shabaniissa3464 wewe hukusoma na huna elimu ya dini yakujua haki na batil sasa umejuaje kama albidh kadanganya? Labda wewe ndio wadanganya kwa kumzulia shekhe uongo wakati maneno ya shekhe yapo vitabuni ukosefu wenu wa kusoma ndio ndio natija yake ni hayo matusi mulionayo komekeni
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 2 года назад
Yeye baba yako muongo zaidi ni nani au ni mama yako.
@mohamedabubakar7397
@mohamedabubakar7397 2 года назад
hana uwongo wowote ila munsfichwa na mashekhe zenu fungua kitabu cha ibnul qayyim mwanafunzi wa ibnu ttaymiyah kitabu ijtimaai juyuwshul muslimiyn utapata hayo anayoyasema ustadh acha kuropoka bila ya uchambuzi wa vitabu vyenu
@ramadhanisamata7485
@ramadhanisamata7485 2 года назад
Sasa uwongo uko wapi hapo? Kayasema aliyeyakuta kwenye vitabu vya wanachuoni, na athari za uzushi kwenye ibada ya hija ambazo wakati Wa mtume hayakuwepo. Kwa mfano kutupa vijiwe sehemu tatu; juu, kati na chini, wakati wa mtume ilifanyika hivyo au kaagiza ifanyike hivyo? Si nao in uzushi vilevle?
@abubakarahyan9515
@abubakarahyan9515 2 года назад
Sheikh usiw mjuaji sana wacho mambo ya ikh'tilafu usiongeze ikh'tilafu nan yp sahihi mungu ndio ajuae na yy ndio anasema atatuhukumu kwa yle tunayoikh'talifiana
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
Ujuaji umeanza na mawahabi kwa itikadi zao kila hana uislamu sahihi ipokua wao ndio wakatuletea sifa za utatu kwa Allah
@salumjabir813
@salumjabir813 2 года назад
Sio mjuaji..anajua kwel
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص 11 месяцев назад
​@al-furqan3639 akhy mimi ni mwezenu lakini ilikuwa naomba kujua kitabu walichosema mawahabi Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, maana hawa ni makafiri basi na ni wakristo haswa, lakini nataka kuwa muadilifu nao!!! Sio niseme niaibike nikiulizwa wapi kimyaa sina la kusema, maana nishapatikana sana na yote niliyosema nikaona ni uongo, sasa hili naomba reference ili nisiaibike. Shukran kaka.
@selmaswaleh2133
@selmaswaleh2133 Год назад
Ushasema Ibnu Taimiyyah ndiyo aliyoleta Tauheed Tatu sasa Mawahabi wahusika vipi??? Ibnu Taimiyah Rahimahullah alikuwepo kitambo kabla ya Muhammad ibnu Abdul-wahab sasa hao muwaitao Mawahabi wamenukuu kutoka Kwa Ibnu Taimiyah sio kwa Muhammad ibnu Abdul-wahab.Ama kweli Chuki zimewazidi.Alafu nyinyi Makhurafi husema kuweni na Adabu na Wanazuoni mbona Shekhe lenu yuwayakejeli maneno ya Ibnu Taimiyah??? Kuweni na Inswaf.Allah nimuweza wa Kila kitu kwani hawezi kukaa kwenye Ubawa wa Mbu??? Yamesadiki maneno ya Imam Shafii Rahimahullah pale aliposema: لو أنّ رجلا تصوف من أول النهار لم يأتي عليه الظهر إلاّ وجدته أحمق
@9119-r4t
@9119-r4t 2 года назад
Wewe mzee mrongo sanaa. Muogope mungu.
@Nedjadist
@Nedjadist 2 года назад
Ukweli wako ni upi basi? Kila mtu aweza kusema 'wee ni muongo'.
@abunusrat3016
@abunusrat3016 2 года назад
@@Nedjadist Urongo wake HUYU Mzee ni kuwa amezulia Ahlu sunnah Urongo. Kama ni kweli toeni reference. Ni kitabu gani. Hayo yote ni kinyume na Ahlu sunnah wanavyo itakidi. HUU NI URONGO WA WAZI.
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw Год назад
​@@abunusrat3016 vitabu vyenu hivyo vipo na sheikh anasema kweli
@abunusrat3016
@abunusrat3016 Год назад
@@JabirBakar-ys8dw Taja kitabu kimoja chetu Ahlu sunnah kinachosema hivyo. Sisi twaenda na Qur'an na hadith kwa ufahamu wa wema waliotangulia. Na Sheikh yeyote akienda kinyume twamkhalif. Hata UWE NI sheikh na elmu kuoita kiyasi. Mumezoea kuchafu watu. Allaah amsamehe huyu Mzee kwa madhambi endelezi aliyoyacha. Msiba mkubwa.
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw Год назад
@@abunusrat3016 wewe sio ahlusunna bali wewe ni ahlulfitna na usije ukajifanya huvijui vitabu vyako munaafiq wewe
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 2 года назад
Fanyeni heshima na mwanachuoni wawatu someni vitabu vya kiwahabi mutaona hiyo tawheed tatu ya mungu baba mwana na roho mtakatifu na Mwenyeezi Mngu yuashuka mpaka mbingu ya saba na akaekewa kiti akae.
@allytwalibjr.6431
@allytwalibjr.6431 2 года назад
جاهل الأشياء أعمى لا يدري حيش يدور bc n nanyie muna miungu wa 5 mwasema لي خمسة أطفأ بهن نار جهنم ١ المصطفى ٢ والمرتضى ٣.٤ وابناهما ٥ وفاطمة kwa hio mungu hawatowaokoa na moto ispokua hao tuuuu wa tanu
@abuuaisha3582
@abuuaisha3582 2 года назад
ظلما وعدوانا
@mohamedabubakar7397
@mohamedabubakar7397 2 года назад
mwanzo soma halafu hukumu hii ndio tatizo la masalafiy ikiwa ibnul qayyim mwanafunzi wa ibnu ttaymiyah kayanukuu maneno hayo katika kitabu ijtimaau juyuwshul muslimiyn ww ni nani unaropoka
@quran._0013
@quran._0013 2 года назад
Muongooo, Allah sindio amethibitisha kwa quraan . Si maneno yetuu
@abuuaiman9575
@abuuaiman9575 2 года назад
huyu mzee hajiulumii allahuma hadahu ila manhaji salima
@Mohammad_shidogo
@Mohammad_shidogo Год назад
Waomba pilau 😂😂😂😂
@mabrukjuma3878
@mabrukjuma3878 2 года назад
Wallah nashangaa nahawa wanaochukua mda wao kumsikiza MTU jaahil Rongo kama hili nawale wanaofanana nalo akili na mawazo
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 года назад
kama na wewe unawafata hao jamaa tambua hiyo ndiyo Tawhid yao wanadai Mungu ana mkono ana macho ana miguu na kadhalika nenda kawaulize masheikh zao utajua hao ni watu wa sampuli gani?!
@allytwalibjr.6431
@allytwalibjr.6431 2 года назад
Kila linalo zungumwza na ahlu SSUNNA lina dalili ile ya watu bid'a ni khofu hawaoni
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 2 года назад
@@rayisadesigns2646 kwa maana hiyo we waipinga Qur an wazi wazi kwani hizo ni aya alizojisifu nazo Allah mwenyewe.Tubu urejee kwa mola wako
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Год назад
Ww ndio mrongo
@thefoodshaikh811
@thefoodshaikh811 Год назад
Hili jitu rongo kama Iblis.
@omarbaomi9361
@omarbaomi9361 2 года назад
Hii ya leo kali yaani sharifu amewatumbua ile mbaya kabisa
@abuuaisha3582
@abuuaisha3582 2 года назад
Hayo manen yamesemw wap?
@ahmedlali7823
@ahmedlali7823 2 года назад
Lohh mahawabi muogopeni Allah
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 6 месяцев назад
Loh sufi muogope Allah umejazwa uongo
@abuushaakir9582
@abuushaakir9582 2 года назад
Albiidhii khanithiiij kweliii wewe wapii mawahabii wamesema Allah nikiwiliwilii achachki jaahili murakkabu wewe ...
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
Ikiwa wewe ni khanithi basi usifikirie watu wengine pia ni makhanithi kama wewe nenda ukasome tawhid ya ibnu taimia ndio kisha useme kama kweli hakuna maneno hayo aloyasema shekhe lakini usitukane watu ukawa ni domo kaya kakwa
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 2 года назад
Wewe ni shoga ndio ukawa hujui kuwa masheikh wakiwahabi wasema hivyo nenda ukasome vitabu vya ibn Baaz mshenzi wewe.
@almurajjabuaswabbu250
@almurajjabuaswabbu250 2 года назад
Mawahabi
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 года назад
WE JIZEE MCHE MOLA WAKO,MNAJIITA MASHARIFF HUKU MWACHUKUWA KHUMSI KWA MASHIA,NA ITIKADI YENU NA AQIDA YENU PIA MMECHUKUWA KWA MASHIA, MANENO YAKO NI UWONGO MTUPU!!
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
Kwani wewe ndio unaemleta shekhe hiyo khumsi hadi ukasema hivo ? Basi yaonekana wewe ni mshia na kazi yako ni kuchukua hiyo khumsi kwa mashia au tubainishie albidh alikua akiipata vipi hiyo khumsi
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 2 года назад
Kama nyinyi munavyo tukua kwa mayahudi na waamerika.
@allyally5156
@allyally5156 2 года назад
@@al-furqan3639 it
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 года назад
Huyu Mzee Alikuwa ni Mnazi wa Madhehebu ya Kisufi Asiyejua Sunna sahihi za Mtume wetu (Swalla llahu alaihi wasalam ) Ila kwa kuwa ametangulia Mbele ya Haki Basi Allah Amsamehe Haya aliyoyaharibu
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 2 года назад
Kwahiyo sunna ni kuitakidi kuwa Allah anaweza kujigeuza mb na akaruka>?? Mawahabi mnatatizo
@Dawah99
@Dawah99 2 года назад
Abu Jahal akiongea.
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Год назад
Usije kua ww siku ya kiyama
@Dawah99
@Dawah99 Год назад
@@fikafikan8484 ni wewe na shaykh lako la kisufi
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Год назад
@@Dawah99 sawa nyinyi ndio mwatia watu motoni na peponi kazi ya Allah mumechukua nyinyi ok sawa wacha tuoni Allah sio dhalim kama ww kutukana wanazuoni
@Dawah99
@Dawah99 Год назад
@@fikafikan8484 aah yeye huyu shekhe lenu akitukana salafiyyah na aqeedah ya masalafi na mashekhe wa kisalafi ni sawa kwenu, lakini majibu yakirudishwa kwake mnaumia. Kuweni waadilifu
@mbjunior166
@mbjunior166 Год назад
Sidhani kama huyu mzee alikua na akili timamu kweli. Ila nashangaa na hawa wenye kumsikiliza nao wamekua na akili kama makondoo wa kanisa yani hawawezi hata kumuuliza Marejeo ya hizi porojo zake yapo ktk kitabu gani ili na wao wakajiridhishe ni msiba mkubwa! Twamuomba Allah amsamehe makosa yake.
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw Год назад
Kwa elimu aliyonayo huyo sheikh albeidh yeye mwenyew ametosha kuwa kitabu
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Год назад
Na ww akusamehe pia yuwasema kweli ww kama hujui nyamaza usingie motoni kwa kichwa
@abdulazizkadika6244
@abdulazizkadika6244 2 года назад
ليس بعالم هاذا
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
فمن انت حتى تحكم العلماء بنفسك
@asiamuhammad8718
@asiamuhammad8718 2 года назад
Mawahabi ni kirusi katika uislamu ni vizuri watu kuhadharishwa nao
@jumanasoro8903
@jumanasoro8903 2 года назад
Huyu ni sheytwaan
@Mohammad_shidogo
@Mohammad_shidogo Год назад
Na wewe!!! " Mtume amesema kumtukana muislamu ni ufasiq na kumpiga vita ni ukafiri"
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص 2 года назад
Basi pia wewe waongea tawhiid?!! Hhhhhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhhhhh kuna misiba yachekesha, ungewacha kuomba maiti mwanzo.
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 2 года назад
Hiyo ndio tawheed yenu ya mungu baba mungu mwana na roho mtakatifu tawheed tatu.
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
Tawhed yenu mawahabi ina mushkil mkubwa sana kwanzia lini Allah akawa na sifa za binadamu ? Sasa nyinyi mwamuabudu Allah au mwamuabudu lucifer?
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 2 года назад
@@al-furqan3639 kwahiyo waipinga Qur an ama ??
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
@@subulus_salaam2023 sipingi quran bali nasimama na quran pale Allah alipo sema ليس كمثله شيء
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 2 года назад
لقد كفر الذين قالوا إن الله ثالث ثلاثة hiv ndivyo masalafi walivyopotea kuamin utatu mtakatifu Innaa lillaah wa Innaa ilyh rajiuun
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص 2 года назад
Huyu hakupata wakti wa masalafy atasagwa sagwa mjinga mkubwa huyu, kadhaab na mjanja mjanja! Yani waliokaa chini yake maskini hawawezi kumwambia umepata waapi???!
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 2 года назад
Kuna mjinga zaidi yako wewe na baba yako na mama yako.
@Ahmed-yp2si
@Ahmed-yp2si 2 года назад
@@shariffhabshy6770 Allaah anasema hivi katika Qur'an( Sura 2:83 )(وقولو لناس حسنا ) na semeni na watu kwa wema(maneno yaliyo mazuri)
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 2 года назад
@@Ahmed-yp2si kuwa mwadilifu we hyo was juu katukana unekaa kimya ila hyu habshi unamuons Ana makosa
@mabrukjuma3878
@mabrukjuma3878 2 года назад
Mashallah kweli kabisa
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
Kama masalafi wenyewe ndio nyinyi wenye kumuabudu lucifer kisha mwaitakidi ni Allah na sunna yenu ni matusi basi afadhali mnyama kuliko mtu wa aina hiyo
@abdulazizkadika6244
@abdulazizkadika6244 2 года назад
هاذا جاهل مركب.
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
إذ كان هذا جاهل فأنت مجنون
@Nedjadist
@Nedjadist 2 года назад
كما فعل باشياعكم من قبل!
@abdallahmikidadi5412
@abdallahmikidadi5412 2 года назад
هذا دجال مندجاجلا
@al-furqan3639
@al-furqan3639 2 года назад
فمن انت أيها الإبليس للعين
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص 11 месяцев назад
​@@al-furqan3639😂😂😂😂😂😂😂 una bidii kaka, naona wajibu hawa jamaa kila kitu...😅😅😅😅😅
@muhudinabdi4570
@muhudinabdi4570 2 года назад
Watapika au waongea uyu
Далее
Сняли домик блин🏠
23:19
Просмотров 700 тыс.
Интересный наборчик 😀
00:12
Просмотров 14 тыс.
Please Help This Poor Boy 🙏
00:40
Просмотров 4 млн
MJADALA WA VIGAWANYO VYA TAWHEED-KENYA - 14 OF 15
9:19