Тёмный

MAWAHABI NA WAKRISTO NI SAWA?| VIGAWANYO VYA TAUHIYD| Muhammad Bachu | BWAJUMWALI KENYA 11/12/2022. 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@dhahirdin
@dhahirdin Год назад
HAKIKA ya ALLAH akuhifadhi na akulinde na akupe afya njema na akupe hitaji lako na akupe mwisho mwema na akuingize PEPONI Tena Firdausi Yani umefasili vyema wallah mieuku nimekosheka sana Tena mno
@mudybeka6698
@mudybeka6698 Год назад
Aamin
@MohammedOmars
@MohammedOmars 4 месяца назад
​@@mudybeka6698😅😅😅😅😅😅😅😅😅😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😅
@chigoboy38
@chigoboy38 Год назад
Shekh nakupenda kwa ajili ya Allah acha kusema mungu, au mwenyezimungu,
@AbuuZahir2.
@AbuuZahir2. Год назад
Mhhhh
@IsmailOmar-h6g
@IsmailOmar-h6g Месяц назад
M a chwakupenda Sanaa shekh langu Muhammad bacho
@omarally6819
@omarally6819 Год назад
Shekhe Muhammad maashaa Allaah umejibu vizuri sana Allaah akulipe kheri
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Год назад
Baaraka llahu fik, shukran sheikh Mohammed
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko Год назад
Mashaallah jazakumllah kheir ust uko p
@omarally6819
@omarally6819 Год назад
Na mwisho tunasema laa hawla walaa quwwata illaa billaah.
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 Год назад
Shekh tumekuelewa sana na allah atupe pepo yake kwa neema zake, ila mungu sio jina miongoni mwa majina ya allah...
@mudybeka6698
@mudybeka6698 Год назад
Aamin
@AllyHussein-so1hr
@AllyHussein-so1hr 11 дней назад
BIDAA hii ya utatu inapigiwa Debe Sana ingawa mtume s. a.w. hakuifundisha
@abubakarabdulrahman286
@abubakarabdulrahman286 Год назад
MAA SHAA ALLAH ALLAH AWABARIKI MASHEIKH
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Год назад
Basi na sisi Tumpwekeshe Allah SW katika ibada zote tusije tukalaumiwa km walivyolaumiwa Mayahudi na Manaswala
@MohamefMullah
@MohamefMullah Год назад
Tawhid ni moja tu kumpwekesha M.mungu hakuna sababu ya kuzungukazunguka wakati wa mtume hakukuwa na tauhid tatu mumetowa wapi mbona jibu lenye akili hutowi
@omarally6819
@omarally6819 Год назад
Na mtihani utabakia kwa waislamu wasioijua Dini yao kwa uhakika balu wanakwenda kwa kuiga na kuzingatia walivyo waona wazee wao na mashekhe zao wakifanya na kuamini
@Nevershot
@Nevershot Год назад
Ninachompendea sheikh Muhammad ni maelezo yake ni muruwa kabisa
@ShuaibuMsofe
@ShuaibuMsofe Год назад
Mnafanya bid aa
@hamdiabdi1420
@hamdiabdi1420 Год назад
Na la kigawanyo hicho Ni Sawa mbona hakufanya mtume sallallahu alaihi wa alihi wassallam? Mbona hakufanya maswahaba? Mbona hawakuyafanya watu wa qarne Bora,? لوكان خيرا لسبقونا إليه لوكان خيرا
@IsmailSanga
@IsmailSanga 3 месяца назад
Swali ninani alieigawanya hi tawhid mara 3?ni Mtume au Maswahaba? Mtume alishasemaga RUBUBIA,ASMAA WASIFAT,ULUHIA? Lete kitabu chenye kuonyesha Mtume ametamka hayo maneno.
@mudarrib5427
@mudarrib5427 Год назад
shukran
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q 11 месяцев назад
Kwa ilmu hiyo mbona iko wazi kabisa kwamba haihusiani na trinity(utatu) wanao uabudia wakristo? Huyo Sheikh aliye uliza, kapata wapi na vipi cheo hicho?
@hamdiabdi1420
@hamdiabdi1420 Год назад
Hata katika manaswra pia wamegawanyika katika utatu....... fahamu Hilo
@ramaadam3551
@ramaadam3551 Год назад
Kichwa chako kigumu kama ujaelewa apo kwenye hiyo aya autaelewa mbaka unakufa Kaa kiushabik shabik hivyo hivyo tu
@hamdiabdi1420
@hamdiabdi1420 Год назад
@@ramaadam3551 hamasa Ni za za Nini mahemko Ni ya Nini Realx Mimi Ni Swali tu nimeuliza uzuri ulikua unijibu Na unyamaze tu
@ramaadam3551
@ramaadam3551 Год назад
Sasa Kwan shekh kajib swal gan apo si Ilo Ilo lavigawanyo na kachambua vizur na ajatumia akil yake ni Aya ya Quran ndio imegawanya sio yeye we unavyoona mgawanyo huo aliouweleza ALLAH apo kweny hiyo aya na mgawanyo wamanaswara ni sawa? Kama sio sawa yanin kuludie swal ambalo lishajibiwa
@benjaminkangolo2017
@benjaminkangolo2017 Год назад
Allah Akbar
@Ustadhihamza
@Ustadhihamza 7 месяцев назад
Jibu swali uliloulizwa acha kujikanyagakanyaga
@BushDoctor-dw8el
@BushDoctor-dw8el 8 дней назад
Kwanza hakuna kauli ya tawhihidi ndani ya Qur'an bali ni الدين الخالص Unaposema tawhidi ni ku unite ...kuunganisha kuwa kitu kimoja.
@athmanbabusa8020
@athmanbabusa8020 Год назад
Athman akiwa na sifa ya upishi. Je, ni watu wawili tofauti?
@hindamir2008
@hindamir2008 Год назад
Hujajibu swali
@MuhammadMuhammad-lq2um
@MuhammadMuhammad-lq2um День назад
Ana zunguka sana hajaongea kitu na hawezi kutete hio hoja maisha yake
@IbrahimIsmail-te7mw
@IbrahimIsmail-te7mw Год назад
Alouliza swali ilo ni mchungaji au myahudi
@AbdallahMtimkavu-gk8bh
@AbdallahMtimkavu-gk8bh Год назад
Swali halijajibiwa swali kwnn mgawe tawuhidi
@SaidKhalifa-x4o
@SaidKhalifa-x4o Год назад
Bachu wangonjwa mambrui ukatete itikadı yk😂😂
@alimasiga8422
@alimasiga8422 Год назад
Haya matamshi ya tawheed ni Mungu 3 km wakiristo imenezwa sana na watu wa Twarika kuaribia watu wa Sunnah na kueneza propaganda.
@makameally1962
@makameally1962 Год назад
Rabbi ndo ilah na ilah ina sifa ndo hiyo hiyo moja haina haja ya kuigawanya
@abdulrahmanabubakar5127
@abdulrahmanabubakar5127 Год назад
Hakujagawanywa kitu isipokuwa imefafanuliwa ....na hapo kaleta Aya ambayo imefafanuwa ....usikubali ujinga ukutawale utafeli maishani
@makameally1962
@makameally1962 Год назад
@@abdulrahmanabubakar5127 jee mtume kagawanya tawheed??!
@abdulrahmanabubakar5127
@abdulrahmanabubakar5127 Год назад
@@makameally1962 tawheed haijagawanywa mara tatu , ni imefanunuliwa zile njia ambazo unafaa kufanya tawheed , kusema kwamba yeye ni Muumba peke yake, hakuna wakuabudiwa Ile yeye na asiitwe mwengine kwa jina ama sifa ambazo ni zake yeye..... Haijagawanywa
@ramaadam3551
@ramaadam3551 Год назад
Kwan shekh kachambua maneno yake au kachambua Aya ya Quran? ALLAH ndio aliesema yeye ndie rabbi na yeye ndie anaestahik kuabudiwa na majina yake yaliokuwa mazur Sasa ilikuwa haja gan Aya kueleza yote hayo siingeixhia tu kweny rabbi ssamaawat wal'ardhw wamaa baina hhumaa shekh hii din jaman tuache ushabik shekh kaichambua aya inavyosema
@makameally1962
@makameally1962 Год назад
Tawhed haiwez kugawanywa
@golonguoyemchina4937
@golonguoyemchina4937 14 дней назад
Adabu yako ni mdogo sawa aisee wewe kijana salaaaalaa
@rashid3562
@rashid3562 Год назад
Hicho mnachokifnya hakifai
@i_gabbykisalo4280
@i_gabbykisalo4280 Год назад
Wakristo wanaitakidi kwamba MUNGU BABA, MUNGU MWANA na MUNGU ROHO nikitu kimoja. Wenyewe hawasemi kwamba MUNGU ROHO ni Jibril hiyo ni tafsir yetu sisi waislamu. Wanasema wote hao nikitu kimoja japokuwa wamegawa sehemu 3.
@checkcheck5191
@checkcheck5191 Год назад
Hiko kitu kimoja ndo kipi sasa?
@i_gabbykisalo4280
@i_gabbykisalo4280 Год назад
Mungu baba, Mungu mwana na Roho mtakatifu vyote nikimoja. Wenyewe wanasema: HAPO MWANZO KULIKUWA*NENO*, NAYEYE *NENO* ALIKUWA KWA MUNGU, NA HUYO *NENO* NDO MUNGU.
@nasrarichadi2278
@nasrarichadi2278 Год назад
Tatizo ni kwamba hata adabu ya kielimu hauna
@hamisiomary9777
@hamisiomary9777 Год назад
Kusha kwama towa hadisi kamawewe inavyo washurutisha watu was maulidi
@MohamefMullah
@MohamefMullah 9 месяцев назад
Bachu jielewe usipayuke payuke ovyo kwani mtume amefundisha hiyo tauhid 3 au ni moja ya bidaa zenu za kiwahabi tu sema usikike
@MahmoudBabura
@MahmoudBabura Год назад
wacha porojo sheikh hiyo ndio bidaa safi
@salumjabir813
@salumjabir813 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@fatmaomari7824
@fatmaomari7824 Год назад
Yaani wewe ni majinun zifte yaani
@husseinmwiti2801
@husseinmwiti2801 Год назад
Kua na Adabu wewe maana nyie mlipokosa kujua hili somo la tawheed manaenda kuombewa siku hizi makanisani na pasta ezekiel majaoni shenzi sana wewe
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Год назад
Kwan mtume S.a.w kaigawa hiyo tauhid. Mnatupiga changalamacho. Bado hoja zako hazilishi unaongea ongea tu kwa fikira zako.
@ahmedsaid-rx1bb
@ahmedsaid-rx1bb Год назад
Kasome vizuri mwalim
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Год назад
Wapi hadith kaigawa tauhid au hata aya Allah kaigawanya hiyo tauhid shida mnadandia treni kwa mbele hamjui mwanzilishi wa hicho kitu kakusudia kitu gani.
@ahmedsaid-rx1bb
@ahmedsaid-rx1bb Год назад
@@KHALIFAMPYA-TV Bado nakwambia tena zidi kusoma mwalim ili ujuwe kutumia elimu yako vizuri
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Год назад
Hamna kitu hapo we ndo ukasome
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Год назад
Hamna kitu hapo we ndo ukasome
Далее
RADDI KWA SHEIKH SAMEER ZULFIKAR || Muhammad Bachu
44:23
КАК ВАМ ТАКОЙ ТЮНИНГ НИВЫ?
00:42
Просмотров 284 тыс.
ATHARI ZA LGBTQ
5:31
Просмотров 2,9 тыс.
swali moja tu lamzuzua bachu na kukimbia maskini
2:40
КАК ВАМ ТАКОЙ ТЮНИНГ НИВЫ?
00:42
Просмотров 284 тыс.