Тёмный

HII ni ya KISASA! MACHINJIO ya VINGUNGUTI IMENOGA BALAA, WANYAMA WANACHINJWA KIDIGITALI... 

Подписаться
Просмотров 21 тыс.
% 113

HII ni ya KISASA! MACHINJIO ya VINGUNGUTI IMENOGA BALAA, WANYAMA WANACHINJWA KIDIGITALI...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: ru-vid.com/group/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: ru-vid.com/group/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

31 авг 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 3 года назад
Mzee wetu jpm tutakukumbuka Sana kwa alama ulizotuachia mwenyezi mungu akufanyie wepesi ktk kaburi lako
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 года назад
Safi sana. JPM alituheshimisha sana. Mungu ampumzishe kwa amani. Tutamkumbuka daima
@eneambogo1941
@eneambogo1941 3 года назад
R.i.p jpm
@eliaminishembazi6804
@eliaminishembazi6804 3 года назад
Uongozi nikuacha alama .Rip Magufuli
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 года назад
Tutazidi kumkumbuka kwa kweli hata waliomchukia wanatumia alivyoacha
@victorjames3730
@victorjames3730 Год назад
Nilitegemea kuona kwa vitendo 😔😔 ninemaliza MB zangu pumbavu zenu
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 3 года назад
Uyo mama yenu kaz yake kuimba taarab kaz ya jpm iyo mungu aku leheem upo ulipo maana yake uku kuna wa2 na via2
@kibasatv1524
@kibasatv1524 3 года назад
Hiyo ni theory ulipaswa kuonesha practical really sasa unaelezeaaaa porojoooo mjifunze jamaniiiiiii duuuuuuuuu
@yusuphabsaid8151
@yusuphabsaid8151 3 года назад
Hongera mama Samia
@ebraniacosmosy2072
@ebraniacosmosy2072 3 года назад
Nyoooo
@ibrahimmsokile5381
@ibrahimmsokile5381 2 года назад
Mama samiaaa 🙆‍♂️🙆‍♂️
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 3 года назад
Hio machinjio ni kero sana hapa, mtaa mzima harufu mbaya..hafadhali ingeliwekwa pembezoni mwa mji ingeokoa sana utunzaji wa mazingra na afya bora kwa binadamu
@neemarobert6159
@neemarobert6159 3 года назад
Kweli Tanzania tupo juu
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 Год назад
Mnatesa wanyama sababu ya imani? Hiyo risasi kwanini isimuue moja kwa moja kisha achinjwe chap
@kessykatimba7272
@kessykatimba7272 3 года назад
Tuonesheni kwa vitendo maneno matupu hayatosh
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 3 года назад
Mbona jengo navifaa havilingani na mapesa uliyoyataja? Yani bilioni 12
@ramadanmahunja1708
@ramadanmahunja1708 3 года назад
Maneno tu vitendo tunataka inaonesha hamna maendeleo
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 3 года назад
Mashine hazina kasi sana nishda
@kainimlowe7555
@kainimlowe7555 3 года назад
mbona dada unatudanganya ivo
@jomoswai
@jomoswai 3 года назад
Unaongea sana na kuuza sura bila kuonyesha picha halisi ya story! Acheni Porojo kasomeni zaidi!!!
@ukhtynaa1096
@ukhtynaa1096 3 года назад
Bas hapo watu watageuza wenzao ng'ombe watachinjana
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@gefmwa-nyigo1596
@gefmwa-nyigo1596 3 года назад
Lala salama MWAMBA
@binahmedjuma8681
@binahmedjuma8681 3 года назад
Hawa ndio ma *journalist* wetu! Kelele nyingi vitendo sifuri, wakati majournalists wa nchi za wenzetu tungeoneshwa vitendo vyote! 😆😆😆
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 3 года назад
Dadangu izo hela ulozitaja unazijua lakini,ivi ayo mabanda na mitambo hiyo inayopigiwa kelele kila uchao ndio inaendana na pesa hiyo,sema tu pesa imeliwa mno apo acheni kuwaona watz ni wajinga
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 года назад
Pesa nyingi iko kwenye mitambo
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 3 года назад
Wengi walishindwa kujenga chuma kikarekebisha
@sebastianmpepayena5587
@sebastianmpepayena5587 3 года назад
Mbona kama mifugo inatia huruma
@ramadhannjaite8326
@ramadhannjaite8326 3 года назад
tayar kuta ziekua chafu
@paulonatanael2286
@paulonatanael2286 3 года назад
Asee kumbe baba magufuri kweri aripania kuibadirisha tazania manake nirikuwa naangaria mitambo hiyo kama uraya manake baba magufuri arikuwa ni mutu wamaono sana bahati mbaya hatutamupata tena mwingine
@amenyemwansile631
@amenyemwansile631 3 года назад
Huo mradi ulianza kipindi Cha kikwete na ukaja kukamilika kipindi Cha magufuli
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 года назад
@@amenyemwansile631 Sio kweli
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 года назад
Alianzisha chuma mwenyewe
@hamisiliton4505
@hamisiliton4505 3 года назад
@@amenyemwansile631 hta kama unamchukia mtu sio kwa dizine hii watz wote tunajua mradi huu umeanza 2017 mwisho kikwete katokea wapi
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 3 года назад
@@amenyemwansile631 acha uongo basiiii!!!
@jennifersindano5135
@jennifersindano5135 3 года назад
Mbona pachafu safisheni
@princekagame8203
@princekagame8203 3 года назад
Hiy sio machinjio ni zizi la kufugia nan? Aliwahi kuona ikifanya kazi hii mashine essu sio kununua mitambo itunike sasa sio kituonyesha2 kila siku