Ama kweli hamna akili !!! Hivo mnafikiria nini wakati kama huu wa Ramadhan mukijichumia midhambi kwa kujianika mitandaoni???? Wewe ulie post hii video ndie utakae beba Dhambi zote. NA Kwa UZURI GANI HASA MULIONAO???? Mijuso, mawigi na makeup na mikope fake!!! ? Astaghfirullah. May ALLAH GIVE U GUIDANCE. WANAWAKE MUMEZIDI