Mungu awaongoze katika maisha mapya ya ndoa, Masanja TV Hongereni ila jitahidini kufanyia marekebisho kwenye upande wa Sauti na picha mnazozitoa hasa kwenye matukia haya ziwe zinavutia na kusikika vzr
Nimependa mamaids na mke wako alivyovaa kwa heshima...na uzuri wake....maana mabibi harusi wa sasahv matiti nje ni kawaida kabisa mbele ya wakwe zao ......Mungu awabariki sana kwa kweli ukiwa nae Huduma ikue maaraaaadufuuuu zaidi kwa ajili ya utukufu wa Mungu
Lesson learned.......ndoa so fashion lazima kwenda taratibu Sana bila kukurupuka,at the age of 33 ndo ameoa,kaokoka naamini amepata kilichobora zaiiidi......let me follow his feet!
Jacklen utulie chini ya uongozo wa roho mtakatifu ili mme wako apate kibali cha mungu aishaiini mwenu na mwananamke pumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake.mungu awatunze hadi utimilivu wa dayari
Jesus loves u and He saves Please believe on Jesus and receive HIM into your life and heart He cares for u...Jesus is real- satan and hell is also real Be saved if not yet. Thanks. God bless
Mbona ukumbi haujachangamka kama mtangazaji alivyosema. Na hao watu maarafu sio kweli hata wahajulikani labda masanja na David Robert. Tena David Robert amejulikana sababu ya kufundisha mashule na scripture unioni