Тёмный

Hii ndio tofauti ya Harusi ya Abwene mwasongwe na wengine 

Moses Simkoko
Подписаться 5 тыс.
Просмотров 338 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 148   
@bahatimakala3964
@bahatimakala3964 6 лет назад
Arusi moja tangu nizaliwe ndo naiona so excitable.. Adorable Mungu Wa Mbinguni awafanyie jubilee miaka kenda na kenda zaidi
@denismwalukunga8686
@denismwalukunga8686 6 лет назад
Bahati Makala barikiwa dadaangu kwa ujumbe mzuuri usichoke kuwaombea peke yao hawataweza
@DativaPoul
@DativaPoul 10 месяцев назад
Mungu awabarik katika ndoa yenu na awabarik watoto wenu waizunguke meza
@NaomiMwakyonde-rj4vo
@NaomiMwakyonde-rj4vo Год назад
Mungu awabaliki pia awape maisha yenye furaha siku zote amen
@elishiliazefania1341
@elishiliazefania1341 6 лет назад
Hongera mungu azidi kukupa nguvu
@janethbernady8406
@janethbernady8406 5 лет назад
Mwenyezi Mungu awalinde na awabariki mpate kila hitaji la mioyo yenu
@lucyshayo540
@lucyshayo540 6 лет назад
Mmependeza sana damu ya yesu kristo ikawalinde katika maisha yenu ya ndoa barikiwa sana
@ashellabani7988
@ashellabani7988 6 лет назад
songa mbere Shemeji yangu maisha mazuri yako mbere
@josephmwaqsir-yr5ti
@josephmwaqsir-yr5ti Год назад
Ishi miaka mingi mtumishi wa mungu
@elizabethjohn6571
@elizabethjohn6571 6 лет назад
Ndoa ni heshma sana hongra. sana mungu awekiongzi was ndoa yako
@amiwitu9101
@amiwitu9101 6 лет назад
Mungu muanzilishi wa ndoa awe nanyi daima Mr & Mrs Ambwene
@faithmmbaiza6197
@faithmmbaiza6197 6 лет назад
hongera kabisa.....muwe na maisha mazuri
@evamtafya7443
@evamtafya7443 6 лет назад
hongera sana mtumishi wa Mungu abwenee... maishaa memaa
@rechomakungu5342
@rechomakungu5342 6 лет назад
Ambwene Hongera sana Mungu akutangulie katika ndoa yenu
@fyuujfgfggg3673
@fyuujfgfggg3673 6 лет назад
Mashaallah kweli imependeza sana kweli hongereni sana na mungu awatangulieni katika safar yenu ya maisha ya ndoa maana peke yenu hamuwezi pasipo mungu ili ndoa yenu iwe yenye furaha siku zote za maisha yenu
@mwasitiemmanuel1800
@mwasitiemmanuel1800 6 лет назад
hongera sana ambwene mwasongwe na mungu awasimamie katika ndoa yenu love you so much Mr and Mrs ambwene mwasongwe
@maryyohana302
@maryyohana302 6 лет назад
Mungu awajalie hekima na maarifa
@blandinaandrubysforexvlogb9779
Wooow,,,, what a blessings ,,,Mungu awahifadhi siku zote,,,it's my prayer Amen
@naomimakuya7960
@naomimakuya7960 6 лет назад
Hongera kaka ambwene barikiweni zaidi
@janembwilo9730
@janembwilo9730 6 лет назад
Hongeren sana ase ukiwa ndani ya kumjua mungu na ndoa kwa pamoja ad wivu ase nataman ingekuwa ni mimi .blessed @Jack&Ambwene
@perpetuamjema6752
@perpetuamjema6752 6 лет назад
God bless u mtumishi ni mfano wa kuigwa
@annachristopherokeno9387
@annachristopherokeno9387 6 лет назад
Ongera sana MUNGU awatunze
@azinaelaseri8113
@azinaelaseri8113 6 лет назад
Barikiwa Mungu awabariki awainue kwa viwango vingine
@luganohezron9881
@luganohezron9881 6 лет назад
Ongereni sana Ndoa nikama jua lenye mwangaza mwanana. SUTI YANGU SIONGEZI kitu nitachafua SUTI
@irenernest8920
@irenernest8920 6 лет назад
Mungu awe kiongozi wenu daima na aitangulie ndoa yenu ciku zote za maisha yenu
@stewardmwilenga779
@stewardmwilenga779 6 лет назад
Hongera sana brother Mungu aiongoze ndoa yenu.
@dorahisaya2908
@dorahisaya2908 6 лет назад
Hongereni sana mungu awabariki.
@beatricemoni2924
@beatricemoni2924 6 лет назад
Congratulations mungu awatangulie katika ndoa yenu munahonesha mfanoxuri sana ndoa yenu niyaluhigwa mungu awabariki sana
@shukurujohn844
@shukurujohn844 6 лет назад
Kila la heri kwenye ndoa yenu,Mungu azidi kuwatunza milele na milele Amina.
@magejose1386
@magejose1386 6 лет назад
So sweet what a lovely, enjoyable, adorable,touching wedding🙆😍
@amenyekibona8730
@amenyekibona8730 6 лет назад
barikiwa sana wapendwa
@rosemkuka9153
@rosemkuka9153 6 лет назад
Raha Sana kumjuwa Mungu maana anakuweka sehem ya Aman hongeren Sana kwenu
@concolatakalinga3187
@concolatakalinga3187 6 лет назад
kaka huu wimbo naungoja kwa shauku mnooo....Mungu akuinue kiukweli unanibariki sana
@happinesslucas1811
@happinesslucas1811 6 лет назад
Ninampenda Ambwene tangu utoto wangu,nimaombi yangu Mungu azidishe furaha amani na pendo la kudumu kwako loving you more.
@sisterkope9012
@sisterkope9012 6 лет назад
ongera kaka mungu awenanyi mpate watoto wamchao mungu
@daningasa849
@daningasa849 6 лет назад
Mungu awajalie katika ndoa yenu
@emmanuelmungatta181
@emmanuelmungatta181 6 лет назад
Hongereni sana Mungu awe nanyi
@neemamgina6433
@neemamgina6433 6 лет назад
Mungu awe nany katk safar mloianza mbrikiwe
@mwajumahamisi6738
@mwajumahamisi6738 6 лет назад
Ambwene please tupe huu wimbo soon... Moyo wangu una shauku zaidi ya ayala
@helenamhema3606
@helenamhema3606 6 лет назад
mungu awape maisha mema katika maisha yenu ya ndoa pia mtangazaj uko vizur
@niyonzimakalitas9076
@niyonzimakalitas9076 6 лет назад
God blessed you .i love your songs . And congratulations 🎈🎉 for a beautiful wife💕❤️🌹😍😘😍
@philipkitui3383
@philipkitui3383 3 года назад
So nice God bless u all
@mamysifa2736
@mamysifa2736 6 лет назад
Amen mubarikiwe san
@marionrehemaraphael1849
@marionrehemaraphael1849 6 лет назад
Mungu abariki ndoa yenu muwe kielelezo sifa tuzisikie kwetu Kenya
@halimarajabu6600
@halimarajabu6600 6 лет назад
Hongera kaka
@abednegoekonia360
@abednegoekonia360 6 лет назад
Bwana awe pamoja nanyi katika ndoa yenu, I love u so much AMBWENE MWASONGWE...
@haibaathuman3945
@haibaathuman3945 6 лет назад
Mungu azidi kusimama nanyi milele
@anamanoni1243
@anamanoni1243 6 лет назад
Hongereni sana
@victoriagadiel2191
@victoriagadiel2191 6 лет назад
hongera kaka angu Ambwene Mungu awaongoze katika ndoa yenu ikawe ya Amani
@lethesther6335
@lethesther6335 6 лет назад
Hongeren sana mungu akawe ngao ya maisha yenu yote!!
@LucyMwashitete-rp4xr
@LucyMwashitete-rp4xr Год назад
Balikiwa mtumishi
@janetsaidi8272
@janetsaidi8272 6 лет назад
ongera sana mtumishi wa mungu.
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 6 лет назад
Amen Amen amen na Mungu awape aja ya moyo wenu God bless you all 😍😍 well done and thankful God for that opportunity
@elishapatrice70
@elishapatrice70 6 лет назад
Barikiwa sana
@Clarisse755
@Clarisse755 6 лет назад
Beautiful! God Bless Your marriage mtumishi!
@josephinemuhonja743
@josephinemuhonja743 6 лет назад
All the best. Congrats God bless your family
@salomeherbert4407
@salomeherbert4407 6 лет назад
Hongera Ambwene
@eveclement2588
@eveclement2588 6 лет назад
Mungu awabariki
@monicamwazambe9427
@monicamwazambe9427 4 года назад
Harusi imetulia namna iyo mungu wa mbingun awatangulie ktk ndoa yenu
@mwajumahamisi6738
@mwajumahamisi6738 6 лет назад
Jamani huu wimbo usharekodiwa? N mzuri sana..... Barikiwa ambwene na Jacky
@ferirs2068
@ferirs2068 6 лет назад
mbarikiwe mnoo
@jenithakennedy1985
@jenithakennedy1985 6 лет назад
Hongereni sana maharusi Mungu aitunze ndoa yenu ..
@janemrisho5376
@janemrisho5376 6 лет назад
Wow so amazing Bwana akawe nanyi
@maryammaryam971
@maryammaryam971 6 лет назад
mungu awatanguliye katika maisha yenu yando kaka
@fibioko8916
@fibioko8916 6 лет назад
safi sana kaka na dad
@clairesimiyu3694
@clairesimiyu3694 6 лет назад
So powerful wedding plus worship
@imanimagubika4828
@imanimagubika4828 6 лет назад
Big up Brother God be with you forever ever.
@winieadam4903
@winieadam4903 6 лет назад
kuokoka ni kuzuri na pia unakua na amani...wake kwa waume mnakua na furaha
@jescamwalukog3330
@jescamwalukog3330 4 года назад
Nimeipendshii
@Blessed_Ann
@Blessed_Ann 6 лет назад
Mungu awatunze!
@chombochombo1242
@chombochombo1242 6 лет назад
Mwenyezi Mungu awe nanyi kwenye maisha yenu barikiwa sana
@esterherman5635
@esterherman5635 6 лет назад
hongera sn kaka yetu ambwene mwasongwe
@happynyonga4536
@happynyonga4536 6 лет назад
Mungu awatunze
@petroedwars1167
@petroedwars1167 6 лет назад
Hongera sana kaka Ambwene kwa hatua hiyo
@scholastikakayanda7932
@scholastikakayanda7932 6 лет назад
Safi sn kiukweli
@joellumala3206
@joellumala3206 6 лет назад
That's nice brother! "Hili Ni Ombi Langu"
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 6 лет назад
Imesisimua mungu wetu awabariki sana
@everkyando4305
@everkyando4305 6 лет назад
Mungu awe nanyi katika safar yenu ya ndoa
@malianahom6630
@malianahom6630 6 лет назад
Amina fundisho kwetu
@muhonjapauline279
@muhonjapauline279 6 лет назад
Congratulations Mwenyezi Mungu awajalie
@merrythomas6836
@merrythomas6836 6 лет назад
Muhonja Pauline nic more ...mungu awape maish maref
@badgirlimatonyaibadgirlima2557
@badgirlimatonyaibadgirlima2557 3 года назад
Penda Sana nyie wawil,Mungu awajalie ndoa yenu iwe ya Aman na furaha milele na milele...
@saradolaso9730
@saradolaso9730 6 лет назад
Mungu ambariki hongerani
@nancyjohn957
@nancyjohn957 6 лет назад
Hii nyimbo inaitwaje jaman naomba msaada
@vivianvictor5069
@vivianvictor5069 6 лет назад
Waooooooo am so so.and very very proud of you ambwene May God be with you and your family always
@davidndaha9607
@davidndaha9607 6 лет назад
Adam na hawa chungeni shamba la Bwana bila kasolo.Mbalikiwe mkiwa na njaa kuleni bila ulafi.
@vivianvictor5069
@vivianvictor5069 6 лет назад
Amen
@kevinochieng9839
@kevinochieng9839 6 лет назад
Be blessed
@zuhurashaaban4815
@zuhurashaaban4815 5 лет назад
Penda sana kaka
@rozeeroz2515
@rozeeroz2515 6 лет назад
Hongeleni mumependeza sana
@theresiadaniel4906
@theresiadaniel4906 6 лет назад
Yaan raha bhana kwa yesu
@salmakihongosi4606
@salmakihongosi4606 6 лет назад
mmependezaaa
@Givenhatibjohn424
@Givenhatibjohn424 Год назад
AMEN AMEN AMEN
@officialdeogratiusnelson
@officialdeogratiusnelson 6 лет назад
Hongera bro.... Mungu awajalie furaha aman na kusimamia kusudi la Mungu...
@tumainielia8902
@tumainielia8902 6 лет назад
amen
@sarahmwakilasa7425
@sarahmwakilasa7425 6 лет назад
Hongera kaka Ambwene
@neemamateso7375
@neemamateso7375 6 лет назад
balikiwa sana mim
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 6 лет назад
Hongeren sana
@denismwalukunga8686
@denismwalukunga8686 6 лет назад
Ni ombi langu kaka Ambwene na shemeji yetu Jackline Ambwene ndoa yenu ni mfano tosha wa kuigwa Mungu aliye ianzisha hii safari awe nanyi mpaka kifo kitakapo watenganisha na mnaenda kuwa washauri wazuri kwa watu wengine
@mrsmusasaganda4369
@mrsmusasaganda4369 6 лет назад
Kaka ambwene naomba mwimbo wako wa NENO uliomshirikisha Elizabeth maliganya uumalizie ni mzuri sana
@glorysilvanus1386
@glorysilvanus1386 6 лет назад
Denis Mwalukunga
@gabrielmagwega1146
@gabrielmagwega1146 6 лет назад
Denis Mwalukunga Amen
@denismwalukunga8686
@denismwalukunga8686 6 лет назад
Gabriel Magwega Amen mwana wa Mungu ubarikiwe
@denismwalukunga8686
@denismwalukunga8686 6 лет назад
glory silvanus ubarikiwe dadaangu damu ya pasaka ikunenee mema kila itwapo leo
@janesuma2193
@janesuma2193 6 лет назад
wow I love u guys mwaaaaaaaa
@emmahazengaemmahazenga6531
@emmahazengaemmahazenga6531 6 лет назад
Congrats guys
@LEAHAwinja-sv1oc
@LEAHAwinja-sv1oc Год назад
❤❤
@mariaulanga4761
@mariaulanga4761 6 лет назад
all the glory belongs Gog , haleluyaaaaaa
@neemamasaoe2077
@neemamasaoe2077 6 лет назад
God bless your marriage
@sarahkhamis6416
@sarahkhamis6416 6 лет назад
Nice
@adyaa8922
@adyaa8922 6 лет назад
Nimependa sana hii stahili
@daudimalya7118
@daudimalya7118 6 лет назад
Mungu awe nanyi katika safari ya maisha lakin kaka ambwene kaktka maisha yenu, kumbuka sana maneno ulionena katika wimbo wako Wa ndoa, mungu awashike mkono, haraka tele ziw e juu ya nyumban yenu, amina
@eldamasikamuhangi3344
@eldamasikamuhangi3344 4 года назад
Arusi yake Ambwene ilivutia kwa kweli n'a nitofauti n'a zetu
@jackiedaniel6009
@jackiedaniel6009 5 лет назад
When will this song be released jamaany 😡I love the song❤💖💕
@amenyemwansile5838
@amenyemwansile5838 5 лет назад
Harusi nzuri sana miongoni mwa Harusi bora kabisa Tanzania kuwahi kutokea
Далее
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
Uliniona Toka Mbali - Malak Mbise
5:09
Просмотров 910 тыс.
AMBWENE MWASONGWE: BINTI WA IMANI
7:37
Просмотров 329 тыс.