Тёмный

Historia: Hivi Ndivyo Ilivyo - Sehemu ya Pili. 

Stambuli wa Sh. Abdillahi Nassir
Подписаться 5 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@justfix2647
@justfix2647 9 месяцев назад
Great history
@saidhiribae8331
@saidhiribae8331 10 месяцев назад
Very good for this informtion.
@stambuliwash.abdillahinass8123
@stambuliwash.abdillahinass8123 10 месяцев назад
Ahsanta sana ndugu.
@democracy480
@democracy480 Год назад
Masha allah.Nilienda fort jesus nilipokua mdogo pamoja na wanafunzi wenzangu.Wameficha mambo mengi ambayo hatuku ambiwa.Subhana allah
@OmarOmar-sx7kn
@OmarOmar-sx7kn Год назад
Masha Allah mola akujaaliye afiya njema uzidi kutujuza haki zetu sisi wapwani tusimameni wima umoja ninguvu
@stambuliwash.abdillahinass8123
Allahumma aamiin. Inshaa'Allah, atujaaliye sote.
@izzidinabdi6064
@izzidinabdi6064 Год назад
thank you professor
@abubakaralimohammed3388
@abubakaralimohammed3388 Год назад
Twasubiri history kutoka kwako Shekh
@abdallahmasare3116
@abdallahmasare3116 Год назад
Shukran Mzee wetu, tuweni na subra tuelimishwe.
@salimmachila5736
@salimmachila5736 Год назад
Mashallah sawa star
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 Год назад
Asalaam Alaikum,,,Uncle shukran sana, naitafuta sehemu ya 3🙂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Asante kwa historia nzuri
@mohamedsurur2726
@mohamedsurur2726 Год назад
that true wallahi
@nidaquincy3275
@nidaquincy3275 Год назад
Shukran kwa juhudi zako ndugu yangu.Mwenyezi Mungu akuzidishie hekima ya kuchanganua mambo kwa ufasaha
@stambuliwash.abdillahinass8123
Allahumma aamiin. Nami nashukuru ndugu.
@rizikiMohammed-r4u
@rizikiMohammed-r4u 9 месяцев назад
kiswahili chako ni cha ndani chaki zamani namkumbuka nyanyangu maneno yake akitamka kama hivo mungu akuzishie tujue mengi coz shule tulifudishwe vegine kuhusu fortjesus
@stambuliwash.abdillahinass8123
@stambuliwash.abdillahinass8123 9 месяцев назад
Ahsanta sana.Naomba Du'a zenu ili tuweze kufaulu kwenye hili lengo letu la kuilimishana.
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 Год назад
INNA LILAAHI WA WA INNA ILAYHI RAJIUNAA
@donmwakio6407
@donmwakio6407 9 месяцев назад
Asante kwa historian Part 3 iko wapi
@faithfultoyeshua4576
@faithfultoyeshua4576 Год назад
I'll buy this book
@stambuliwash.abdillahinass8123
Muhimu sana kila mmoja apendaye historia ya huku kwetu akinunuwe hiki kitabu!
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 9 месяцев назад
wht name of the book
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 Год назад
Haya makala yako Yanawachoma makafiri wanaokuja Hapa Kwa majina ya Brian Lawrence na David Sparks . Watu Hawa wanaona aibu ya majina Yao ya kiafrika na lakini Hapa wanaokuja Kama watetezi wa muafrika hii Ni ajabu ya hii mijitu.
@democracy480
@democracy480 Год назад
Si makafiri pekee welio leta shari na dhiki.Waarabu pia walikuja na balaa zao.Walihusika kwenye “slave trade “ pamoja na wareno na Muengereza.
@anwaraminmohammed6598
@anwaraminmohammed6598 Год назад
Kusema kweli mm Tangu kuinukia kwangu nilimchukia marehemu Baba yako Kwa kusikia tetesi yeye ndio mwenye kuiza mwambao nasubiri makala yajayo ili tupate kujua ukweli no upi?
@stambuliwash.abdillahinass8123
Nakuelewa sana ndugu yangu. Na, kwenye hilo la kumchukia Babangu, huko peke yako (muko wengi)! Hata hivyo, ni wajibu wangu kukushibisha kwa hujja na ushahidi kuwa hayo uliyoyasikia si kweli na nikuwezeshe kuiona 'kweli' kama ilivyo na kwa ushahidi wa kuaminika. Af'wan.
@mocua2910
@mocua2910 Год назад
Sultan mwenyewe alikua ni mgeni kutoka oman (foreigner) ndani ya bara la afrika. Alikua sio mwafrika
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 Год назад
Wewe pia Ni mgeni Hapa Pwani. Hebu tueleze Jina lako la kiafrika unaitwaje? Ama umepewa Jina na yule aliekufunza kuvaa nguo ?
@adamkivango5504
@adamkivango5504 Год назад
Semabasi unazidisha maelezo tena
@mkenyamzalendo4130
@mkenyamzalendo4130 Год назад
Mungu akulinde kwa hayo mafunzo. Weka nambari yako ya simu ,mpesa.
@stambuliwash.abdillahinass8123
Inshaa'Allah, atulinde sote.
@ahmedbaamironlinetv4753
@ahmedbaamironlinetv4753 Год назад
@@stambuliwash.abdillahinass8123 NIMEISOMA SANA HISTORIA YA SULEIMAN ALKANUN KWELI INASIKITISHA
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 Год назад
Waarabu na wazungu wote wametufanyia unyama
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 9 месяцев назад
acha kutia dosari waarabu soma historia
@justfix2647
@justfix2647 9 месяцев назад
Pongezi
@stambuliwash.abdillahinass8123
@stambuliwash.abdillahinass8123 9 месяцев назад
Ahsanta sana.
@brayo001
@brayo001 Год назад
Hujaelezea maovu ya Waarabu kuchukuwa watumwa kwa kutumia dini ya kiislamu pia
@salaahkarama9927
@salaahkarama9927 Год назад
Kama wewe waujua, na wewe anzisha episode yako ueleze uyajuayo na ushahidi hujazuiwa.
@brayo001
@brayo001 Год назад
@@salaahkarama9927 ukweli wauma sio
@brayo001
@brayo001 Год назад
@Ibrahim Hussein washindana na ukweli unaojua...jibu unalo kama dada zenu wakienda uarabuni hivi Sasa wanatupwa kwa balcony jiulize wale wa enzi zile walifanywaje
@lenniefei6710
@lenniefei6710 Год назад
Wewe pia uko na haki na nafasi kueleza hayo na uonyeshe ushahidi wako otherwise tulia uelezewe historia ya kweli kuhusu Fort Jesus and many more
@salaahkarama9927
@salaahkarama9927 Год назад
@@brayo001 ndio nkakwambia utueleze huo ukweli uujuao wewe juu ya waarabu kuchukua watumwa. Usiropokwe like a mad man. Prepare your documentary and present it the way Shaikh Istanbul is doing. Ukweli utabaki ukweli ndio maana umeanza kukuuma.
@balusilunganyi1387
@balusilunganyi1387 Год назад
Leo hii nenda bara arabu uone iwapo kuna mtu mweusi ana mamlaka serikalini kama ulaya na Amerika. Wazungu na waarabu walikuwa wageni walio endeleza utumwa iweje tuhuma unaelekeza upande mmoja....!!!!
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 Год назад
Wewe Ni mpumbavu mwengine mwenye chuki za kijinga. Kila nchi ya kiarabu ina watu weusi . Royal family za nchi zote za kiarabu wamo watu weusi. Oman royal family wengine wao Ni weusi kushinda wewe. Royal ya Saudi Arabia Iko na watu weusi. Kuwait, Bahrain,UAE zote ziko na watu weusi katika jamii ya ufalme. Kwa hivyo Tafuta Jambo lengine useme. Poleni sana maana mutaumia sana Kwa historia ya Pwani.
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Год назад
Uongo mtupu Mzee utulie umri wako aukuluhusu kufanya hayo unayotaka yatokee
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 Год назад
Aukuluhusu Ni Kiswahili Gani?? 😂😂😂😂 Basi watu wanaandika na wewe umo?
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Год назад
@@hassanalhussein3982 haya mswaihili hila ujumbe umefika kwako Hassan nakukalibisha Kwa Yesu kristo mwokozi wetu njoo hupate amani na uzima wa milele
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 Год назад
@@prochesernest5439 Wewe Ni jaluo Aliekafiri. Wacha ukafiri Yeso Ni mtume wa mwenye ezi mungu. Wacha kuamini utatu 1+1+1 = 1 ? Haingii akilini hata kidogo .,🤣🤣🤣
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Год назад
@@hassanalhussein3982 wewe huoni utatu kwenye Quruan 6:79Nasi ni mmoja uyo ? Kama wewe ni kipofu sawa au ujui kusoma Kama Muhammad mtume wenu kilaza
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 Год назад
@@prochesernest5439 Wewe Ni kafiri. Ingia kwenye uislamu ama utakwenda motoni .
Далее
Waswahili ni Wapwani Halisi - Makala ya Kwanza.
34:52
Просмотров 3,5 тыс.
РОК-СТРИМ без ФАНЕРЫ🤘
3:05:16
Просмотров 1,3 млн
Tom Feelings discusses The Middle Passage
11:12
Просмотров 10 тыс.
Waqf wa Waislamu ni Haki ya Waislamu wa Pwani.
23:08
Je, Wajuwa Waswahili ni Nani?! Makala ya Tatu.
6:09
Просмотров 2,2 тыс.
KWANINI MASHIA HAWASWALI TARAWEHE
9:06
Просмотров 17 тыс.
Kweli kuhusu Uwanja wa Makadara-Makala ya Tatu.
19:51
Просмотров 1,2 тыс.
Marufuku ya Muguka Pwani (Utangulizi).
23:38
Просмотров 3,3 тыс.
Kweli kuhusu Uwanja wa Makadara-Makala ya Pili.
17:17
Просмотров 1,8 тыс.
РОК-СТРИМ без ФАНЕРЫ🤘
3:05:16
Просмотров 1,3 млн