Kutana na mzee Avelini (Linda) Kiwango akieleza vizuri historia ya wachaga hasa wa eneo la Shimbi na namna ambavo vijana wa mangi walitisha sana huko Rombo Kilimanjaro miaka hiyo.
Karibu upate kusikiliza makala hii na uifahamu makala hii kuhusu wakazi wa kaskazini mwa Tanzania .
26 авг 2024