Тёмный
No video :(

Historia ya Wachaga wa OldMoshi ikisimuliwa na Esaria Meli, mjukuu wa Mangi Meli 

Kamili Media
Подписаться 3,1 тыс.
Просмотров 40 тыс.
50% 1

makala inayoelezea asili na historia ya Wachaga wa OldMoshi

Опубликовано:

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 5 лет назад
Historia nzuri sana hii.Asanteni sana,kwa haya makavazi ya wa Chagga wa Old Moshi.Ninamfahamu mjukuu wake Mangi Mandara.Anaitwa Dr.Mandara Rindi.Mara ya mwisho,kumsikia alikuwa anafanya kazi kule Uswizi,kama Daktari wa watu.
@beyondbeyond9889
@beyondbeyond9889 5 лет назад
Nimekumbuka sana Shule yangu Kolila. Asante sana Mzee, ila hiyo sehemu uliyokaa ilikuwa geti la kuingilia madarasani yani ukichelewa hilo geti likafungwa lazima uonje joto ya jiwe km empire hivi. Historia inasisimua sana. Kipindi tunasoma pale tuliambiwa Jina la shule Kolila lilitokana na huyo mfanyabiashara aliyeitwa Lila, kwa hiyo wachaga walipokuwa wanasema tunaenda kwa Lila kwa kichaga ukisema 'Kwa' unasema 'ko' kwa hiyo ukisema naenda Kwa Lila kwa kichaga unasema Ko-lila. Historia ya old moshi inasisimua sana japo haijaendelezwa. Pia ni kweli kabisa mji wa Moshi ulianzia Mlimani ulipoanzishwa na wajerumani hii ni kwa sababu ya Direct rule ya wajerumani kukusanya kodi wenyewe tofauti na waingereza waliokuwa wanatawala indirect. Mji ulipohamishiwa ulipo sasa hivi Waingereza waliuita New Moshi na Mlimani ulipotolewa pakaitwa Old Moshi. Ukitaka kudhibitisha hili unatakiwa kuwaonyesha watu Eneo la Post office iliyopo kwenye hiyo Empire ya Mangi Meli. Jengo la Hospitali ya Mawenzi ambalo pia lipo hapo Palipokuwa shule ya Secondary Kolila ( Mangi Meli Empire). Yapo mambo mengi sana niliyapata nilipokuwa nasoma Kolila. Km shule imekufa basi hilo eneo lijengwe kihistoria haipendezi sana kuonyesha Jengo la Mfanyabiashara maarufu km Lila likiwa katika hali mbaya hivyo limezungukwa na uchafu. Asante sana Mzee kwa kipisi motomoto, naomba majina ya utawala km walivyotawala kuanzia wa mwisho mpaka wa kwanza mfano Mandara alikuwa wa ngapi, Peter etc, pia naomba jina la mtu aliyetakiwa kuwepo madarakani sasa hivi km utawala unarudishwa. Pia naomba kujua jina halisi la ukoo wenu. Nyie ni akina Meli, Moshi, au Mushi? Asante sana
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 4 года назад
Asante nmejifunza vingi sana
@ellymuro4213
@ellymuro4213 4 года назад
Shule yetu kolila hapo umkute ticha komba au zed kasimama alaf ushachelewa darasan ni kujuta!
@NikolayStK
@NikolayStK 3 года назад
Thanks you for the subbed video! Esaria Melis is such a good narrator. I would listen to more of his stories.
@johnmacha2194
@johnmacha2194 5 лет назад
Beautiful story, bring back the skull to Old moshi❤❤
@gilbertvalerian7252
@gilbertvalerian7252 5 лет назад
Historia ya ukweli sana na ina hamasisha sana. Mzee amefunguka vizur . Serikali yetu hainabudi kuchukua hatua yote yaliyo sisi tizwa humo.
@DannySJ
@DannySJ 4 года назад
Warudisheeeeee kichwa cha Mangi wetuu SHUJAAA
@estherkoya8410
@estherkoya8410 5 лет назад
Nawapenda sana watanzania wenzangu mliopo kilimanjaro Napajua sana moshi mjin
@bensonkaile9606
@bensonkaile9606 3 года назад
Historia murua sana, tunahitaji pia na historia ya Mangi Horombo wa Rombo naye huyu hasikiki kabisa
@material_liv4674
@material_liv4674 5 лет назад
Wow this is amazing history
@kamilimedia9278
@kamilimedia9278 5 лет назад
Binti Issa in deed it is
@michaelshayo569
@michaelshayo569 5 лет назад
Mzee uko vizuri
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 5 лет назад
yaan wazungu kwel walikuwa matapel mtu analeta dini baadae anapigana na kuuwa...Afrika sasa sio ile ya Jana lkn kuna ambao bado wanaenda kuungana na kuwapelekea ushushushu kwa manufaa yao bila kukumbuka historia za mababu zao walivyofanywa
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 4 года назад
Wametubeba akili na dini ndo chanzo
@material_liv4674
@material_liv4674 5 лет назад
I WOULD LIKE TO DONATE WHEN I COME IN THE SUMMER THIS YEAR
@nicenice413
@nicenice413 6 лет назад
Historia inasisimua!!!
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 4 года назад
Bring Back Meli's Skull
@thamanimifumo851
@thamanimifumo851 4 года назад
kirudishwe haraka aisee
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 4 года назад
Hivi kwanini mnakataa kukubali kama wazee wenu walikua na roho mbaya wakawauza ndugu zao kwa thamini ndogo ? eti wamerubuniwa pumbavu zenu hivi mnataka kusema waafrika wote walokua wakiuza ndugu zao ni mazezeta wakurubuniwa kwa nguo kuwauza ndugu zao utumwani ?
@youngxhadah7951
@youngxhadah7951 5 лет назад
story nzuri
@estheronyoro1452
@estheronyoro1452 4 года назад
Nice story
@aaronamos8538
@aaronamos8538 4 года назад
Kweli ujue
@material_liv4674
@material_liv4674 5 лет назад
Im in the UK 🇬🇧
@emanuellyatuu731
@emanuellyatuu731 Год назад
I request
@venslausblaise7397
@venslausblaise7397 5 лет назад
Mzee katupiga kamba kidogo chief 1899 kingereza alikijua wap.. mm ni mchaga ni juzi tu wachaga tumejua kiswahili
@nestorykimario3108
@nestorykimario3108 5 лет назад
Sasa wewe huyo ni mjuku wa mang kabisa na kulikua na wazungu hao wajerumani na kabla ya wajerumani kulikua na mwarabu mwanamke kwanini kingereza kisipandee na nilugha tuu kama lugha nyingine unazozijua na wachaga wa old mosh ni wasambaaa utaki au ama
@alphamixtv2829
@alphamixtv2829 4 года назад
Em mwamboe huyo
@ellymuro4213
@ellymuro4213 4 года назад
Shule yangu Kolila high school daaah
@lukakyauke3258
@lukakyauke3258 4 года назад
Makavazi ya na historiya ndefu lkn serekali aichungulii ili kulinda historian hiyo
@barbarajoh7394
@barbarajoh7394 4 года назад
Koka iyo nyi mchaka lyumanyane
@georginahaule5513
@georginahaule5513 4 года назад
Inyi ny mchaka njiwiam mbony tsafo iyo
@gracetenga8989
@gracetenga8989 2 года назад
Shimboni
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 2 года назад
inyi nyi o mahoma ipfo oldmoshi aiyo nyi okuu
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 2 года назад
@@georginahaule5513 ipfo ko wachaka kuwodepfo Haule pfo kofia no mualike na Haule mleu
@rodneymero5961
@rodneymero5961 5 лет назад
Nitakwambia new year 2020
@rodneymero5961
@rodneymero5961 5 лет назад
Nitakwenda
@dowhatyourepassionateoftra1668
Moshi ndo wapi hapa Tanzania jamani,msaada tafadhali kwa watanzania wenzangu
@estherkoya8410
@estherkoya8410 5 лет назад
Kilimanjaro
@leviciouskimicious9072
@leviciouskimicious9072 5 лет назад
mji mkuu kilimanjaro
@ellymuro4213
@ellymuro4213 4 года назад
Moshi vijijin kijiji kinaitwa kidia! Alipokaa anaposimulia ilikuwa shule ya secondary inaitwa Kolila high school
@liliantemba7761
@liliantemba7761 4 года назад
Hardworkers & Patients nyuma ya kichogo chako
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 4 года назад
Mbeya town
@barbarajoh316
@barbarajoh316 10 месяцев назад
njiichi mmeku chuu ni alya kanyi old moshi
@isayasway8633
@isayasway8633 4 года назад
Aika meku
@material_liv4674
@material_liv4674 5 лет назад
I mean next year
@kamilimedia9278
@kamilimedia9278 5 лет назад
Binti Issa you’re most welcome, which country are you residing apparently and are you planning to visit Kilimanjaro by next year?
@beyondbeyond9889
@beyondbeyond9889 5 лет назад
Nimekumbuka sana Shule yangu Kolila. Asante sana Mzee, ila hiyo sehemu uliyokaa ilikuwa geti la kuingilia madarasani yani ukichelewa hilo geti likafungwa lazima uonje joto ya jiwe km empire hivi. Historia inasisimua sana. Kipindi tunasoma pale tuliambiwa Jina la shule Kolila lilitokana na huyo mfanyabiashara aliyeitwa Lila, kwa hiyo wachaga walipokuwa wanasema tunaenda kwa Lila kwa kichaga ukisema 'Kwa' unasema 'ko' kwa hiyo ukisema naenda Kwa Lila kwa kichaga unasema Ko-lila. Historia ya old moshi inasisimua sana japo haijaendelezwa. Pia ni kweli kabisa mji wa Moshi ulianzia Mlimani ulipoanzishwa na wajerumani hii ni kwa sababu ya Direct rule ya wajerumani kukusanya kodi wenyewe tofauti na waingereza waliokuwa wanatawala indirect. Mji ulipohamishiwa ulipo sasa hivi Waingereza waliuita New Moshi na Mlimani ulipotolewa pakaitwa Old Moshi. Ukitaka kudhibitisha hili unatakiwa kuwaonyesha watu Eneo la Post office iliyopo kwenye hiyo Empire ya Mangi Meli. Jengo la Hospitali ya Mawenzi ambalo pia lipo hapo Palipokuwa shule ya Secondary Kolila ( Mangi Meli Empire). Yapo mambo mengi sana niliyapata nilipokuwa nasoma Kolila. Km shule imekufa basi hilo eneo lijengwe kihistoria haipendezi sana kuonyesha Jengo la Mfanyabiashara maarufu km Lila likiwa katika hali mbaya hivyo limezungukwa na uchafu. Asante sana Mzee kwa kipisi motomoto, naomba majina ya utawala km walivyotawala kuanzia wa mwisho mpaka wa kwanza mfano Mandara alikuwa wa ngapi, Peter etc, pia naomba jina la mtu aliyetakiwa kuwepo madarakani sasa hivi km utawala unarudishwa. Pia naomba kujua jina halisi la ukoo wenu. Nyie ni akina Meli, Moshi, au Mushi? Asante sana
@shadrackgreek8755
@shadrackgreek8755 5 лет назад
Historia hii itumike kama kivutio cha utalii
@godlistenievance6689
@godlistenievance6689 4 года назад
Mochikomkya
Далее
Музыкальные пародии
00:28
Просмотров 20 тыс.
LYIMO - SONYIWACHAKA (OFFICIAL VIDEO)
7:49
Просмотров 65 тыс.
Stalin, The Red Terror | Full Documentary
1:23:53
Просмотров 24 млн
Mwana Mpotevu
6:20
Просмотров 540 тыс.
Asili ya wahaya kuwa wapenda sifa na watu wa kujivuna
9:54
we forgive you kony
9:49
Просмотров 44 тыс.
Музыкальные пародии
00:28
Просмотров 20 тыс.