Тёмный

HIVI BABA NA MAMA YAKE MTUME NI WAMOTONI AU WAPEPONI NA WALIKUWA DINI GANI 

Adil TV
Подписаться 187 тыс.
Просмотров 2,6 тыс.
50% 1

#AdilTV #shkshahran
• HIVI BABA NA MAMA YAKE...

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@abdulnadhifhassan-eb3dh
@abdulnadhifhassan-eb3dh Год назад
Mama na baba wa mtume walikuwa ni waislam ambao wametokana na ukoo wa Ismail ambao ulienea katika mji wa Makkah ukifuatlia vzr sirah ndo utayaelewa vzr haya
@rushu1232
@rushu1232 Год назад
Kisha tukiwambia hawapendi mtume hawakubali ndio tuawambia manhaj yao imetengenezwa na mayahudi kuondoa nuru ya mtume wetu mtukufu.
@allylassuh4947
@allylassuh4947 Год назад
Asnt sana shekh watoe dongo la kichwa
@rushu1232
@rushu1232 Год назад
Mashaallah sheikh taabu yao wanatafuta mabaya hiyo beti uliosoma nimzuri sana lakini wanatafuta zile ambazo hawakuelewa ufahamu wake ndio wazisome kimakosa kimakosa.
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 Год назад
uislam haukuanza kwa mtume ila alikuja kukamilisha uislam
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 Год назад
HATA MTUME MWENYEWE NIWA MOTONI TU, NDO ITAKUWA HAO WAZAZI WAKE WALIOABUDU MIZIMU YA KIARABU 😭😭😭😭😭😭😭😭
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c Год назад
MIKAFIRI ETI NAYO INDHANI ITAINGIA PEPONI MIJINGA KWELI HII HAINA AKILI
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Год назад
MASHALLAH, HUYU SHEKH ANAELEZEA UZURI SANA NAMFATILIA. HANA POROJO. ANATOA ELIMU SAFI
@mohammedalnabahan.4127
@mohammedalnabahan.4127 Год назад
Baba na mama yake mtume wote walikua waislam, ukiangalia nasaba katika sira ya mtume ndo itajua kua baba ake mutume alikua muislamu.
@dani72130
@dani72130 Год назад
shk kasema hawakuwa waislam, na ww wasema walikuwa waislam, toa aya ya kuthibitisha.
@abdulnadhifhassan-eb3dh
@abdulnadhifhassan-eb3dh Год назад
Shekhe ilo halihitaj Aya ya Quran sababu liko waz kabisa nenda ukawasome Ismail na is-hak apoh ndo utatambuw kama wazazi wa mtume walitokan na hapah Bain ya Hawa watoto wawil na ni dhahir utatambuw kuwa walikuwa ni waislam safi
@ramadhanhajji
@ramadhanhajji Год назад
​@@abdulnadhifhassan-eb3dh shehe iyo sira umeisoma mwenyewe ukafahamu au umesikia misomoni mwawatu kuanzia Ismail niwaislam right ukumbiki baadae Amru alkhuzaiy alikuja kubadilisha dini ya Ismail wakaanza kuabudia masanamu? Mtume swa akamuona yupo motoni anaburuta machangoyake kwann awe motoni ?
Далее
HUKMU YA WAZAZI WA MTUME - SHEIKH MBARAK AHMED AWES
55:15
ОБЗОР НА ШТАНЫ от БЕЗДNA
00:59
Просмотров 371 тыс.
Teeth gadget every dentist should have 😬
00:20
Просмотров 941 тыс.
WAISLAMU WALIZWA  MSIKITINI
28:59
Просмотров 110 тыс.
ОБЗОР НА ШТАНЫ от БЕЗДNA
00:59
Просмотров 371 тыс.