Тёмный

HIVI HAPA VIATU VYA MTUME MUHAMMAD. NYWELE ZAKE NA BAADHI YA VYOMBO ALIVYO TUMIA. 

ABUU JIBRIL TV
Подписаться 1,7 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 106   
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Месяц назад
Nishituka kusikiya nywele kwaiyo alikuwa hakinyoa anaweka ?? Kwaiyo tusiwi tunatupa nywele?mnatuchanganya wasomi kumbe nibya maulid?
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 2 месяца назад
Ni uongo wa mchana hata usiku wa manane mhamadi yeye alikaa kwenye pang la kijiwe pale madina na makha hivyo vitu vilikuwa wapo na alivitunzia wapi hebu acheni swaga na promo zenu ndugu zangu acheni kupotosha umma wa watu
@RahmaUdi-jx1rz
@RahmaUdi-jx1rz 3 месяца назад
Hii ndio tabia mbaya ya waislamu kukashifiana kwenye mitandao makafiri wao wakitukashif mnakuja juu wanafiki ni wale wote walio toa kasoro mitandaoni kwa nini usimtafute kivyako ukataka akure ukweli na wewe umpe ukweli unaoujua wewe? Walsham mwapigana vita kwenye mitandao aibu
@RahmaUdi-jx1rz
@RahmaUdi-jx1rz 3 месяца назад
Hii ndio tabia mbaya ya waislamu kukashifiana kwenye mitandao makafiri wao wakitukashif mnakuja juu wanafiki ni wale wote walio toa kasoro mitandaoni kwa nini usimtafute kivyako ukataka akure ukweli na wewe umpe ukweli unaoujua wewe? Walsham mwapigana vita kwenye mitandao aibu
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Месяц назад
Ichi kiti njo alikuwa anasomea eko maulid mtume???
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 4 месяца назад
Inna lillah wainna illaih Rajiuun ,,hii ni duniya ya mwisho hujui umuamini Nani wallahi,,, Yarrab tuoneshe njia haki waja wako ili tusipotezwe
@ashasalmin1625
@ashasalmin1625 3 месяца назад
hujui umuamini nani? soma utaelewanani wa kumuamini ondoa shaka
@BradothAdm
@BradothAdm 4 месяца назад
Kwa nni yaletwa msri acheni kupotosha waislm
@AllyAhamad-y3s
@AllyAhamad-y3s Месяц назад
Hawa wayahudi jamani duh wanazaririsha dini yetu
@mealiipafu-wg7dx
@mealiipafu-wg7dx 4 месяца назад
MashaAllah tabarakallah
@Gamba177
@Gamba177 4 месяца назад
Kwani Saudia hawajui kutunza hivyo vitu ? Acheni kudanganya watu jamani uwongo usiyofanana na ukweli mnaongea pumba siyo kweli kabisa.
@AminaMakera
@AminaMakera 4 месяца назад
Acheni ulaghabu msipende kuzusha vitu mkavifananisha na hizo ndoto mnazoota nani alimnyoa na akazitunza msichume madhambi mtaulizwa mshindwe kujibu
@mwajumaAbdallah-t2s
@mwajumaAbdallah-t2s 18 дней назад
Hamumuogoo hat MUNGU uzush huo
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 Месяц назад
Sasa wewe unaebisha Una masnisha nini?
@IbnKhamis745
@IbnKhamis745 Месяц назад
Uongo majambazi nyieee
@salimk.3562
@salimk.3562 4 месяца назад
Tafuteni machimo halali, hizi njaa zitawapeleka pabaya. Mnamihusisha mtume wa ALLAH na upuuzi huo. Laahaulaa walaa quwwata illa billah.
@SaidMkambo
@SaidMkambo Месяц назад
Vili fikaje huko uturuki
@tibaasiligreatmoment8850
@tibaasiligreatmoment8850 3 месяца назад
Wajinga ndio waliwao
@Saidfadhil-o3o
@Saidfadhil-o3o 28 дней назад
Wacheni uzushi huo
@abdulbonomali6548
@abdulbonomali6548 3 месяца назад
He he he he he 😢😢😢😢😢 hivyo vilitumiwa na mababuzenu mtuachie mtume wetu apumzike
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 3 месяца назад
Mimi hua nauliza hivi Hizo nywele mlizipata je mpaka mukazihifadhi uturuki? Watu wabidaa hupenda kudanganyana sana. Mcheni Allah na kueni miongoni mwa wasemao ukweli.
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 3 месяца назад
kwani ww ukianza kuweka nywele zako sehem sio kuziacha saloon hawatozikuta tumia hata akili tu
@salehsleyum
@salehsleyum 4 месяца назад
Kwaiyo unataka kusema kipindi cha mtume kulikuw na maulidi na watu walitengez kiti maalumu????
@KhadijaRamadhan-fo4gt
@KhadijaRamadhan-fo4gt 3 месяца назад
Weee vp?😔😔
@ShabaniJumbe
@ShabaniJumbe 4 месяца назад
Achani kudanganya watu Kwan mtume alinyoa ndevu adi munasema ndevu zake zimeifadhiwa muogopen Allah
@Shariffshariff-q7j
@Shariffshariff-q7j 4 месяца назад
Hakuna alico kiaca mtume zaidi ya quran ,,aca uwongo mzushi wewe
@gamarmahsan8254
@gamarmahsan8254 3 месяца назад
اللهم صل وسليم عليه
@SaidMkambo
@SaidMkambo Месяц назад
Kazaluwa maka kafia madina
@AbdallahSalum-vi3tw
@AbdallahSalum-vi3tw 4 месяца назад
Kuhusu mtume (S.a.w)Huo ni uwongo unakithiri.Nani aliyeokota nywele za mtume ? Isitoshe na vitu alivyotumia ! Wewe watoka planet gani ? ACHA UWONGO .WE DON'T NEED SUCH A FUCKEN STORY !
@binurusm8886
@binurusm8886 4 месяца назад
Viatu inawezekana vikawepo mahala Pa makumbusho, Lakini nywele Mhh KwaKweli Sio rahisi.
@NduwimanaMariam-hl9tn
@NduwimanaMariam-hl9tn 3 месяца назад
Tunavyo faham kua mtum wetu Muhammad s.a.w.alizikwa madina je hizo nywele zikafikaje kuhifadhika huko utirik ? Subhannallah
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi 23 дня назад
Alizikwa wapi?
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w Месяц назад
?????????.
@Mabahdl
@Mabahdl 4 месяца назад
Hizo ni ghurqfaati za masufi
@Shariffshariff-q7j
@Shariffshariff-q7j 4 месяца назад
Hakuna alico kiaca mtume zaidi ya quran ,,aca uwongo mzushi wewe
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 месяца назад
Wehu huo ushakupanda
@ZenaMsumagilo
@ZenaMsumagilo 4 месяца назад
​@@hilalkhalfan1452wewe ni zaidi ya mwehu
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Месяц назад
Nitatuliza sana tu kwaiyo kusema ivyo vitu vya mtume kufika uko uturuki makah n'a Madina walikosa sehem yakubihifadhi?iyo bangi zenu n'a njaa zenu mueshi kwa kujiandalia majini mtakauo kwenda jibu mbele ya Allah
@jumakasuly8875
@jumakasuly8875 3 месяца назад
Hivyo vitu vimetokaje saudia nakuja uturuki, nibiashara au? hizondevu zamtume alinyolewa wakatigani nahiyo sunah yakufuga ndevu tuliipataje?
@allymohamed9137
@allymohamed9137 3 месяца назад
Viatu na vyombo vyake vinaweza kuwepo ila nywele na ndevu za Mtume(s.a.w) huo ni uongo mkubwa sana Mtume kafa madina na kazikwa na nywele zake na ndevu zake
@salimk.3562
@salimk.3562 4 месяца назад
Uongo
@harshkirit6780
@harshkirit6780 Месяц назад
SubhanAllah.
@shabanimussa4269
@shabanimussa4269 4 месяца назад
hivi mbona watu hatumuopi mwenyezi mungu viatu Gani acheni uwongo Tena acheni kabisa hiv hamna KAZI zakufanya nyinyi?
@RashidMtoi-o4k
@RashidMtoi-o4k 4 месяца назад
Ni Kwa Nini Yakahifadhiwe Utuluki Nayasiwe Sehemu Husika Hapo Huoni Kama Unatudanganya
@ramzanqarim4977
@ramzanqarim4977 4 месяца назад
Hili ni jumba la historia ..kuna vitu wa mtume s.a.w..kuna vya othman..na kunanvitu vya historia vya turkey
@SaidMkambo
@SaidMkambo Месяц назад
Alipokua ana nyoa anahifazi ndevu lakini mbona kidogo hizo
@BilaliIloko
@BilaliIloko 3 месяца назад
Ukisoma sira unajua kabusa ni uongo,eti nywele za mtume😂😂😂
@BradothAdm
@BradothAdm 4 месяца назад
Sio kweli ni uongo hakuna athari ya mtume iliyo baki zaid ya qur ani na sunna hao ni wazushi ktk dini
@SWABRASWALEH-nc2lf
@SWABRASWALEH-nc2lf 4 месяца назад
La si uzushi kama hujui fanya utafiti
@IssaMangala-j5e
@IssaMangala-j5e 4 месяца назад
Nyie mbona munaangaisha saana, kila kitu ni uzushi ivi ku madrassa yenu hakuna kitu chochote mnachokisoma ya kufundishwa bidaa , ile yote ni ufinyo wa elimu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 месяца назад
Ukafiri wa kiwahabia umewehuka sasa
@ramzanqarim4977
@ramzanqarim4977 4 месяца назад
Tembea ujioneee usiseme ni uzushi
@ustrashidsalimtz9316
@ustrashidsalimtz9316 4 месяца назад
Vilichoma moto?
@yusuphmoshi
@yusuphmoshi 4 месяца назад
Naam kweli wazushi hawa.
@awadhally1052
@awadhally1052 4 месяца назад
Uongoo mkubwa huuu haya masufi ni maongo sanaaaa.
@FelixMurishi
@FelixMurishi Месяц назад
Swadqta, Tupeni na Picha za Mtume Muhamad S W
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 4 месяца назад
Uchawi tupu
@hajihaji123-lp5lx
@hajihaji123-lp5lx 4 месяца назад
hakuna chochote alichotumia mtume kwa sasa tangia zama za imaam dhahabi alikanusha kuwepo mabaki ya mtumme acheni uongo
@JohnMuhogo
@JohnMuhogo 4 месяца назад
We mwongo
@SadikiKiriti
@SadikiKiriti 3 месяца назад
Huo ni uongo maana. Hizo nywere mmezitowa wap
@richardhosea8827
@richardhosea8827 3 месяца назад
Kumbe vinahusishwa tu si vya mtume?
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 2 месяца назад
Iweje vitu hivo viwekwe huko na si maka?
@maulidbaggo6144
@maulidbaggo6144 9 месяцев назад
Maa shaa Allaah!
@kateadam8204
@kateadam8204 4 месяца назад
Allah tufungue macho waja wako
@salehedikupatile
@salehedikupatile 4 месяца назад
Naomba kuuliza khahaba ninini?
@salehsleyum
@salehsleyum 4 месяца назад
Muongo mkubwa wewe
@MartinOnesmo-rk7hy
@MartinOnesmo-rk7hy 4 месяца назад
Mh hicho kiatu kinasema mengi
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 4 месяца назад
Acheni uongo
@SWABRASWALEH-nc2lf
@SWABRASWALEH-nc2lf 4 месяца назад
Vitu vilikua turkey sio masri
@RahmaUdi-jx1rz
@RahmaUdi-jx1rz 3 месяца назад
Hamkupaswa kujibu hayo mlio yajibu km ni waislam kweli nyinyi mtafuteni msitusi mitandaoni
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 3 месяца назад
Kiatu namba 60
@latifasuleiman7527
@latifasuleiman7527 4 месяца назад
Allah ndie anaejuwa kama ni kweli au sio kweli
@fatinaselemani9859
@fatinaselemani9859 4 месяца назад
T
@AsshaKhamis
@AsshaKhamis 3 месяца назад
Allah mkumbwa kwa kweli
@Abuusaid-bm2go
@Abuusaid-bm2go 4 месяца назад
Mcheni Allah msiwe wanafi mkapitiliz kia's hicho ndev adhali Gani inayothibitisha kuwa alinyowa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 месяца назад
Wewe mwehu ukawehuka Kwa mawahabi
@lolodaprincess7411
@lolodaprincess7411 4 месяца назад
Mashaallah mashaallah mashaallah
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf 4 месяца назад
Wew ni juha kabisa
@HAMISISHABANIDAUD
@HAMISISHABANIDAUD 4 месяца назад
Acheni kutudanganya
@comredmuslimmputa2275
@comredmuslimmputa2275 9 месяцев назад
Mhhhhhh
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 4 месяца назад
Mashallah mashallah
@AbujadiAbdalaAbujadiAbujad
@AbujadiAbdalaAbujadiAbujad 4 месяца назад
Masha allh
@ShafiAthmani-bu6hq
@ShafiAthmani-bu6hq 4 месяца назад
Mh acha uzushi ww
@LatifaLatifa67-ho1zr
@LatifaLatifa67-ho1zr 4 месяца назад
MashaAllah ❤
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 4 месяца назад
Acheni uongo
@AlawAdam
@AlawAdam 3 месяца назад
Tumu amini nan
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm 4 месяца назад
Lakini kweriiiiii
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 4 месяца назад
Liongo sana
@RashidiSaidi-j6n
@RashidiSaidi-j6n 4 месяца назад
Tokapaaaa,
@MuhammadShariff-ji9ye
@MuhammadShariff-ji9ye 4 месяца назад
Ikiwa firaun amehifadhiwa akiwa mwili mzima kwanini washabga na nywele za mtume Muhammad s a w
@MwanakhamisSalehe
@MwanakhamisSalehe 4 месяца назад
Mashallah
@Gamba177
@Gamba177 4 месяца назад
Acha uwongo wewe huoni haya kwa uwongo wako
@AdamrohoRoho-fr1kz
@AdamrohoRoho-fr1kz 4 месяца назад
Uzushi(bida'a)
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 месяца назад
Umewehuka na mawahabi
@SwalehMkuki
@SwalehMkuki 4 месяца назад
Huu ni uzushi zahiri kabisa wala hakuna chenga.
@markabibrahim2397
@markabibrahim2397 4 месяца назад
It's true god is great
@markabibrahim2397
@markabibrahim2397 4 месяца назад
Nii ukweli mashaall a
@mussasaidhamad1891
@mussasaidhamad1891 4 месяца назад
Basi alikuwa na mguu mkubwa sana
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 4 месяца назад
Nimefurai kuina wallai
@A.a.m-b4y
@A.a.m-b4y 4 месяца назад
Kweli mawahabi ni wapumbavu na niwajinga hawataki kusoma firauni yuko misri mbona wapuuzi nyinyi hamupingi
@salehengoma5550
@salehengoma5550 4 месяца назад
Uongo
@Shariffshariff-q7j
@Shariffshariff-q7j 4 месяца назад
Nywele apana ,,haziwezi kupatikana aca uwongo,,
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c 4 месяца назад
MPAKA AJE MZUNGU ATWAMBIE KWELI NDO TUTAAMINI.
Далее
Обменялись песнями с POLI
00:18
Просмотров 285 тыс.
MIUJIZA YA WADUDU HAWA  // SHEIKH IZUDINI ALAWY
35:36
Просмотров 42 тыс.
Обменялись песнями с POLI
00:18
Просмотров 285 тыс.