Тёмный
No video :(

WATANZANIA WAMEVURUGWA NA MASUALA YA PETE ZA MAJINI, ELIMU KUHUSU PETE HAWANA SHEIKH NURDIN KISHK 

KHIDMA TV
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Tufuatilie mitaondao ya kijamii;-
Facebook: / mzeewakhidma
Instagram: / khidma_tv
Tiktok: / khidmatv1
RU-vid: / @khidmaonlinetv350

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@RajabuLabu
@RajabuLabu Час назад
Jazakalau khayra shekh, kishk Allah akujaze kher
@Shamsudeen-h5o
@Shamsudeen-h5o Месяц назад
Jazakallahu khyrañ ....bora umetia neno shaykh naamini wengi tulikuwa twangoja taalik yako ktk hili janga
@FadhilChai
@FadhilChai Месяц назад
Aslm alaykum ya sheikh, wallah, tumeshukuru sana kwa kuwazindua wakislam, Allah akutilie Barka kwenye ilimu ya dini
@RajabuLabu
@RajabuLabu Час назад
Hakika shekh wetu kishk Allah akujaalie mwisho mwema maana ameifundisha jamii ya kiislam Mambo mengi Sana
@user-wr5ce6lu8q
@user-wr5ce6lu8q 29 дней назад
Nakupenda Kwa ajil ya Allah ❤❤❤
@faizanassor6336
@faizanassor6336 Месяц назад
shukrain sheikh wetu kwa kutufuza ALHAMDULILA ALLAH azidi kuwapa afya njema mashekh wetu ALLAH azidi kuwa weka THUMMA AMIN AMIN 🤲🏼
@RajabuLabu
@RajabuLabu Час назад
Usichoke shekh kishik ukiwa Allah amekupa pumzi , na uhai itumikie dini hii Allah mwenye sifa zote hakika atakunusuru na Adhabu zake
@AbedPonda
@AbedPonda Месяц назад
Allah akujalie umri mrefu wenye manufaa kwako skekhe kishk(mhadhir wa kimataifa)
@khalfaankauga294
@khalfaankauga294 Месяц назад
Mashaallah Allah Akuhifadhi shekh wetu
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 23 дня назад
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh umesemakweli kipenzichetu dr sule hana elim yadini ila anaelim yakuwatumikisa majin napete ambavyo viakupelekea kuamchawi kwakifupi niwachaw
@RAMATHANI-eu5dk
@RAMATHANI-eu5dk Месяц назад
Aslam alykum cheikh wangu. Aksanti sana kwa mafunzo haho. Mungu wangu akulipe kila laheri.
@user-mt4sd6cj5y
@user-mt4sd6cj5y 27 дней назад
Na ndio maana naupenda uislamu kila kitu kina asli yake na jibu lake.Allah barik
@NiyonkuruYazidi
@NiyonkuruYazidi Месяц назад
Shukran sheikh wetu
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg Месяц назад
Mashaallah tabarakaallah tunaelimika
@BadruHisha
@BadruHisha Месяц назад
Jazakallah khayl
@user-yy2rk4wi3p
@user-yy2rk4wi3p 17 дней назад
Walkum salama warahmatullah wabarakatuh karma kweli
@rafikindugu4674
@rafikindugu4674 Месяц назад
Kuvurugwa kwa watanzania kuhusu pete za majini; sababu ni kuwa ,1 imani ndogo 2 ushabiki 3 umaskini kati ya raia wengi ambao wamekata tamaa.
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij Месяц назад
🎉🎉🎉 mashaalaah
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi Месяц назад
Alhamdulillah
@user-fc4vl8zi4r
@user-fc4vl8zi4r Месяц назад
Shukran
@user-rk1cp5qs9d
@user-rk1cp5qs9d Месяц назад
Asalam alaykum 🙏🙏💯
@user-cd9nk8yz2h
@user-cd9nk8yz2h Месяц назад
Ikiwa kuna haramu na halali imeandikwa kwa kuruani mpaka kuhusu ushirikina na majini na mashetani na binadamu wanyama wadudu na vinginevyo vyote viliumbwa na allah tuu.
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 Месяц назад
Wabie hao wafunga majini halafu wanapotowa watu kwatama zao naja walozi weka bele halafu wakajifanya mashekhe wanaijuwa ndini
@user-oo7yr5zq6g
@user-oo7yr5zq6g Месяц назад
Shida hap nilivy elewa ni mtume je wengine sio manabii Kila mtume amkuja kisadikish yalio nyuma au sio hivy ,
@universitylink
@universitylink Месяц назад
Katika masuala ya kisheria na si mambo ya mubahaat au mapambo na Mtume hasadikishi yaani lazima afanye yote aliyafamya nabii Suleiman. Yaani kusadikisha si lazima afuate. Na mambo ya Nabii suleiman alipewa mambo yanayomuhusu yeye tu
@zuhuraMangapi
@zuhuraMangapi Месяц назад
Huyu Sasa ndyo shekh na sio sule mtumiya majini
@user-fd5pb1dt4j
@user-fd5pb1dt4j Месяц назад
S,a,w❤❤❤❤
@baqirmkilindi9369
@baqirmkilindi9369 Месяц назад
Tupe hadithi sahihi inayoonyesha kuwa Mtume alivaa pete mkono wa kushoto.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Месяц назад
Nyie majadida bwana Ivo vitabu alivotaja hujasikia au Yaani nyie masalafia jadida kazi yenu ubishii tuuu
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Месяц назад
Nabi sulemani petezake zilikuwa zanini?
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Месяц назад
Kigezo chetu waislamu ni Mtume Muhammad. Kuna mambo yalikuwa halali kwa uma zilizopita lakini ikawa haramu kwa zama za mtume saw and vice versa
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Месяц назад
Mtajijua Wenyewe bora tushwali tu?
@24Dailylife-Channel
@24Dailylife-Channel Месяц назад
Kusikiliza napo ni moja wapo ya elimu
@faridfrefre35
@faridfrefre35 Месяц назад
Soma dini yako
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Месяц назад
Tumechoka sasa
@baqirmkilindi9369
@baqirmkilindi9369 Месяц назад
Mhhh.toa dalili kuwa chafya ya kujitakia harehemew...
@BushDoctor-dw8el
@BushDoctor-dw8el Месяц назад
Swali langu la kijingajinga ni hili. Yaani hii kuvaa pete ni katika dini? Au tu ni uzushi wenu?
@salamaalladini
@salamaalladini Месяц назад
C ktk dini c umemskia xhkh ntumie altumia km muhur
@HemedyKhamisi
@HemedyKhamisi Месяц назад
Mtajiju
@Shamsudeen-h5o
@Shamsudeen-h5o Месяц назад
Huyu nae vipi
Далее