makonda anafanya kazi kwa ajir ya wana nchi na sio vihongozi wa selikali ambao wanajali matumbo yao. nasema kwamba ukwuli una uma.fanya kazi makonda mungu atakulipa
Hongera sana Zungu kwakutuletea ukumbusho Mh Makonda ni jembe jeshi la mtu mmoja mchapa kazi asiye na majivuno 🎉🎉🎉🎉Hongera nyinyi Mh Makonda Mungu akulinde akupiganie uchape kazi hakika ww ni kiongozi wa wanyonge 🎉🎉🎉
Kwani uongo wengi wanalala tu Bungeni wengine wabunge ndiyo wanafiki na wenye msimamo madawa ya kulevya viongozi wao wako humo humo ndani ya Serikali yetu
Pamoja na mabaya yakeee nayoyaskia ila madhal ni kiongozi mkubwa ambae anakemea ushoga hadharani bila kuogopa niko pamoja na wanaotaman kuwa awe Rais na kura nitampigia akigombea😊😊😊
Hongera Sana mchambuzii Charles wiliamu hii ndio faida ya kuhifadhi kumbukumbu za matukio zinatusaidia kufanya rejea (kweli Makonda ni jembe ni sawa na bondia anayejua kukwepa ngumi za uso maana hizo hupekekea kushindwa pambano)
Gwajima amesema sanaaaa ndiyo maana akaitwa Bashite umechapa kazi nzuri sanaaaa Makonda sasa yamerudi upyq wauzaji wamerudi kama kazi sasa hivi ni kama pipi
Tunahitaji kiongoz mithir ya makonda Tanzania..Mwenye hofu ya Mungu, mwenye huruma, katir na jasiri panapohitajika kufanya hivyo na haogop wala hana wasiwasi...Hi serikal ingeend sawa...Biteko yupo vyema ila Mama samia una huruma sana juu ya vijana wako..Ungemueka makonda Kama Naibu Wazir Mkuu...Tunamuombe baada ya mama kupumzika bas Makonda akabidhiwe form ya kugombea Urais
Makonda mungu akulinde hakuna safali lahisi apa chini yajua mungu Skype wepesi tunakupenda Kila sehemu tunatamani ufike watu watu wanateseka jaki haipo watu wanatumia pesa zao kunyanyasa watu wangonge
Hapo bwana makonda naona roho ya hayati magufufi ipo kwake tukipata watanzania warau watano kama hawa tanzania yetu itatakasika serikari yetu itang'ara mungu qetu alie mwema akurinde paul makonda
Hao ndio viongozi, maana watu wanafanya kaz kwa mazoea na kwakujisikia ndio maana, hawawajibiki ktk kaz ,ndio maana lazma wawajibishwe ,ili waepuke mazoea ya kujisikia, sisi ndio tunataka viongoz wa namna hio na sio wale wanaojiskia na kutaka uongoz wa kuangalia ugal tu
Sisi wenye imani ya Rasita faliani,tunamuoña makonda kama nabii wetu kwasababu anawakumbusha waafirika tuishi kwa tamaduni zetu,,kwanza sio mnafiki,ukizingua anakuanika wazi bila kujali um
KUWASIKILIZA Wananchi hasa wanawake nadhani hayo ni mambo mazuri tu kwani ukitaka kujua hakuna ustawi wa Jamii TANZANIA au ni wadhaifu sana ni jinsi wadada walivyomiminika kwa Makonda. Badala ya watu kushukuru na kujifunza kwa Makonda ikawa ni kuzidi kumpiga vita.
Mh Makonda, huo uchapaji Wa kazi, ninaomba tupatie kidogo huku Mozambique. Nina penda ningelikuwa mwanafunzi wako, unanifurahisha, unanipa moyo, ninakubali kwamba, África, kuna siku itakuwa safi, ita nyooka. Kila la Kheri!
Tatizo ni hili, hata awe Raisi hataweza. Uliona watu waliodharau na kuto kutii. Ni mfumo mzima mbovu. Mpaka mfumo ubadilishwe na uanze upya. Mtu mmoja hawezi kufanikiwa katika mfumo mbovu. Haiwezekani.Ni ndoto tupu.
Mazito na ya hatari yalikua yale ya 2018 aliyodiriki kuwataja watu innocent katika kazi za hatari kama madawa ya kulevya. Hayo ndio yaligeuka shubiri katika vichwa vya watanzania wengi pamoja na waliotajwa,wote tulitahayari kwakweli lakini alikua na ngao ya chuma hakuna ambaye angeweza kujitokeza kushindana naye ndani wala nje ya serikali angegusa moto
Watu wanalia sana wanateseka sana nani atawatetea nilijua tu makonda awezi kutetea watu nakutenda aki akabaki apo lasima atakua na mingongo na ccm daa makonda ulipo mungu akulinde san watu wanalia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakwambia ukweli ccm munashida san nyinyi mufanye kazi ila mungu yupo ccm siyo wakweli niwaongo nyiye mukiona mutu anadany kazi zuri amumutaki anakua namisukosuko kwanin mungu awalani nyinyi kam wew upo apo umekaa tu unanenepa tumbo yako bani anayajua acha ushamba tu yote ayo niyaukweli siy uongo munatendea watu vitu vyaovyo sana mungu apendi mungu anakua nachuki nanyie acha kua watu mumepewa madalaka ila ayamuyatumii ifatavyo munanyanyasa watu munatesa watu
RC PAUL MAKONDA MUNGU ATAKULINDA DHIDI YA KUTETEA HAKI . USIWAOGOPE WADHULUMAJI WA HAKI..RAISI WETU MAMA SAMIA KUWA MAKINA NA WANAOMCHAFUA MAKONDA. HAO NI MAWAKILI WA TUMBO NJAA.