Allah tujaalie tuwe na mazingatio na tupe moyo wa utiifu Wa kutekeleza swala za Sunna hizi baada ya kuwa tunatekeleza faradhi ili utujengee nyumba peponi Kwa idhini Yako.
Tunakuelewa shaikh watu lakin usiombe kukosa hiyo nyumba wazee wetu wanakosa utulivu 😢 leo yuko hapa kesho hapa Wanakosa utuliv hata ibada haiwi tuliv kwao tena bora mama zetu kuliko wababa Mungu atusaidie tupate hio saada fil dunia Amiin