Watafukuzwa kwenye hozi ya mtume kuomba maji pale mtume atakapo ita umati umati yaluma umati umati wangu njoeni itatokea sauti toka mbinguni ikisema laa tadil ma ladhii muhudathat ataambiwa mtume,hawo so katika umati wako kwanini walizua baada yako.mtume atasema suka liman badala baadi suka liman badala baadi ondekeni wenye kuzuwa baada yangu wakae mbali na mimi